DCI Mngulu astaafu

 

L-R: Isaya Mngulu; Diwani Athumani

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amestaafu baada ya kufikia kikomo cha umri kisheria (zaidi ya miaka 60). 

Kwa sasa nafasi yake amekaimu Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya, hadi pale jeshi litakapotangaza rasmi
Msemaji wa jeshi la polisi nchini, Advera Senso amethibitisha taarifa hiyo.

Kumbukumbu ya 6 ya Mwalimu Nyerere iliyoanzishwa na MmarekaniBwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo juzi siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikuwa ni kumbukumbu ya 6 tangu Bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. 

Bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemfahamu Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza

Pre Order Samsung Note 4 on Vodacom Tanzania


To order your Samsung Note 4 visit: https://www.facebook.com/tzvodacom/app_298798470319488

Picha za mkutano wa BAWACHA/CHADEMA Shinyanga


Maelfu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na maeneo ya jirani waliojitokeza jioni ya jana katika viwanja vya mahakama ya mwanzo Nguzo Nane mjini Shinyanga katika mkutano mkubwa wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa ndugu

Msingi wa makosa ya kutafuta viongozi Tanzania na suluhisho lake (II)

Msingi wa Makosa Katika Mchakato wa Kutafuta na Kupata Viongozi wa Kisiasa Tanzania na Suluhisho Lake


Sehemu ya Pili

Katika sehemu ya kwanza ya makala haya, nilieleza ni kwa jinsi gani nchi yetu ya Tanzania kwa muda mrefu imejikuta kwenye tatizo kubwa la kutafuta na kupata viongozi katika ngazi zote za utawala wa nchi yetu. Nilionesha ni jinsi gani uongozi wa kisiasa umegeuzwa kuwa mtaji mkubwa wa uwekezaji kwa mafanikio ya watu binafsi na walio karibu nao. Kama vile haitoshi hali hii imepelekea siasa kupanda mbegu mbaya na kuifanya jamii kutothamini taaluma, utaalamu na uwajibikaji mwingine wa kimaendeleo kwa raia. Naomba niendelee na sehemu hii ya pili.

Hatuna Misingi na Mfumo Imara wa Kudumu wa Kitaasisi na Kijamii wa Kuwandaa Viongozi Waliobeba Maono ya Nchi

Nilipoanza kazi katika taasisi ya elimu ya juu niliambiwa kwamba; ukiwa katika hatua ya awali kama mwanataaluma (mkufunzi) unakuwa bado hujafuzu kufundisha madarasa ya shahada kwa kuwa unakua nawe ni mwanafunzi. Katika kipindi cha ukufunzi, niliambiwa nitatakiwa kuwa chini ya

5 Best and 10 Worst Airports in Africa 2014 (also Asia, America, Europe)


While Africa is rarely renowned for its innovative or comfortable airports, a few gems do exist among a slew of mediocre transit hubs. They may pale in comparison to some of the airport finalists in other regions, but these locations do offer elements of each of the four Cs (comfort, conveniences, cleanliness and customer service) to those who travel through. And heck – while they may not blow your mind, the cities that are making an effort to improve air travel certainly deserve some positive recognition!

Here are the Top 5 Best Airports in Africa based on overall airport experience as determined by voters in our 2014 Airport Survey:

 


  1. Johannesburg O.R. Tambo International Airport, South Africa (JNB)
  2. Cape Town International Airport, South Africa (CPT)
  3. Durban King Shaka International Airport, South Africa (DUR)
  4. Algiers Houari Boumediene International Airport, Algeria (ALG)
  5. Addis Ababa-Bole International Airport, Ethiopia (ADD)


Worst Airports in Africa 2014


Africa has a reputation for having some of the worst airports on the planet and, to be honest, it’s easy to see why. In this year's survey, voters were quick to submit stories as they relate to unfortunate airport experiences across the continent. From dirty floors and bathrooms to the

Jinsi ya kutajirika na shilingi elfu moja tu!


Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata miaka mitano ijayo huna mtaji. Nasema mtaji ni kigezo tu ambacho watu wengi hutumia kuficha sababu halisi ya kutokuingia kwenye biashara ambayo ni kutokujipanga na kutokuwa tayari.

Leo nakushirikisha siri moja ambayo itakuwezesha kufikia mafanikio makubwa sana japo utaanza kidogo. Kupitia siri hii unaweza kuanza na tsh elfu moja na baadae ukapata mtaji ambao utakuwezesha kufanya biashara kubwa. Pia tutaangalia kama ukianza na kiasi kikubwa kidogo itakavyokuwa bora zaidi.

ANGALIZO: Mambo utakayoyasoma hapa yatabadili kabisa maisha yako kama ukiyatumia. Ila kama utayasoma na kupita utaendelea kuwa na maisha magumu huku ukilalamika bila ya msaada wowote. Hivyo chukua hatua, huu ndio ukombozi wako.

Job opportunities at PPRA
1.0 BACKGROUND

The Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) is a regulatory body established under the Public Procurement Act No. 7 of 2011. The Authority is charged with regulatory functions and vested with oversight powers and responsibilities on all public procurement activities of all public bodies in the mainland Tanzania. Objectives of PPRA is to ensure the application of fair, competitive, transparent, non discriminatory and value for money procurement standards and practices, harmonize the procurement systems in Tanzania between the local and central governments, set standards for the public procurement systems in Tanzania, monitor compliance of procuring entities and build procurement capacity in the country.

PPRA is hereby inviting applications from qualified and experienced Tanzanians to fill in the vacant positions described below:-