Job opportunities at TIRDO

Tanzania Industrial Research and Development Organization (TIRDO) announces job vacancies in different sections. Please, click here to download and see the advert.

Hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa alipozungumza na Wazee Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma, Novemba 4, 2014 katika mkutano waliouitisha ili kuzungumza naye masuala kadhaa ya maendeleo.

Ndugu Wananchi;
          Nakushukuru sana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Dodoma, Mheshimiwa Balozi Job Lusinde kwa kuandaa mkutano huu.  Wakati nilipofanya ziara ya Mkoa wa Dodoma tulipanga tukutane lakini kwa vile ratiba yangu iliingiliwa na mambo mengi, hivyo haikuwezekana, lakini leo imewezekana.  Pengine hii ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alipanga tukutane.  Tumshukuru Muumba wetu kwa rehema zake, na tumuombe ajaalie mkutano wetu uanze salama na uishe salama. Nawashukuru kwa Risala yenu na maudhui yake.  Nawaahidi nitayafuatilia na majibu mtapata. Pamoja na yaliyomo kwenye risala yenu mimi nina mambo manne ambayo ni yatokanayo na ziara yangu nchini China na Vietnam, maradhi ya Ebola, uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hatua zinazofuata kwenye Mchakato wa Katiba. 

Ziara ya China na Vietnam
Ndugu Wananchi;
Kuanzia tarehe 21 Oktoba, 2014 hadi tarehe 28 Oktoba, 2014 nilikuwa katika ziara rasmi ya kutembelea nchi za China na Vietnam. Nilitembelea China tarehe 21 hadi 26 Oktoba, 2014 na Vietnam tarehe 26 hadi 28 Oktoba, 2014. Ziara hizo nilizifanya kufuatia mwaliko wa Rais wa China, Mheshimiwa Xi Jinping na mwaliko wa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tan Sang.  Ziara katika nchi hizo zilikuwa za mafanikio makubwa sana hata kuliko nilivyotarajia.  Nchini China tulipokelewa kwa namna hawajafanya kwa miaka mingi.

Ziara ya China
Ndugu Wananchi;
Nchini China, kwa makubaliano na wenyeji wetu tulifanya hafla maalum ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Katika hafla hii upande wa

Wafariki ajalini wakisindikiza 'mzigo nyeti'

Picha via blog ya GSengo

GARI lililokuwa likisindikiza mzigo nyeti limepinduka leo likijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kuua waliokuwemo na kujeruhi wengine.

Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza, Valentino Mlowola amethibitisha kuwepo kwa ajali hiyo.

Amesema ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 7.40 katika eneo la Mkuyuni, jijini hapa ambapo
ilihusisha gari la Benki Kuu (BOT) lenye usajili namba SU 35296 Toyota Land Cruiser.

Alisema waliokufa ni Beatrice Wanzagi Lumereja (37) afisa wa BOT na mkazi wa Kiseke na

Taarifa ya Kova ya kuachiwa huru viongozi wa TPDC waliolazwa rumande na PAC

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri ufafanuzi wa Bunge kutokana na tuhuma zinazowakabili.

Awali, jana tarehe 03/10/2014 saa tano asubuhi katika ukumbi wa Bunge uliopo jijini Dar es Salaam katika chumba cha mikutano kulikuwa na kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mwenyekiti akiwa ni Mh. ZITTO ZUBERY KABWE (MB) na makamu wake ni Mh. DEO FILIKUNJOMBE (MB).

Katika kikao hicho agenda ya mkutano ilikuwa ni kuwasilisha mahesabu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi kinachoishia tarehe 30 June, 2013. Baada ya majadiliano ya

Meya wa Ilala kagua ujenzi wa barabara ya Ukonga Mazizini - Moshi Bar...mimi ni mkazi wa Bombambili Kivule jijini Dar es salaam na barabara ya Ukonga Mazizini - Moshi Bar – Kwa Mkolemba au Moshi Bar kwa Diwani – Bombambili ndizo barabara zangu nipitazo kila siku.

Tulilia wakazi wa Ukonga Mazizini kwa muda mrefu juu ya kusahaulika kwa barabara yetu na hatimaye Mungu alisikia kilio chetu tukapatiwa kalami kiduchu kuanzia Mombasa hadi Zahanati pale Transfoma...

...kilichofanyika katika barabara hii ni aibu kwa uongozi wako makini na ni dhihaka kwa wakazi wa Ukonga na vitongoji vyake... Bofya hapa kuendelea kusoma.

Rais Kikwete azungumza na Watanzania kupitia Wazee wa Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na Wazee wa mji wa Dodoma, Novemba 4, 2014 katika mkutano waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.


Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma, Novemba 2014.


Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo.
Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma.


Wimbo wa Taifa ukiimbwaMeza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma.


Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano.
Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano.


Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete.


Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete.


Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodom.

Picha zote: Ikulu

Half of Tanzanians witnessed job discrimination against people with disabilities

  • Communities and individuals also admit to not 
  • respecting people with disabilities
4 November 2014, Dar es Salaam: Almost half of citizens (46%) report to have witnessed discrimination in employment against people with disabilities. At the same time only two out of ten (17%) know of any organisations that give preferential treatment in terms of employing people with disabilities. Among these, citizens reported that 38% are governmental institutions. Similarly citizens report knowing of school age children with disabilities who are not in school; one out of three claim this for primary school age children and two out of ten for secondary school age children.

These findings were released by Twaweza in a research brief titled Protecting the rights of everyone: citizens’ views on disabilities. The brief is based on data from Sauti za Wananchi, Africa’s first nationally representative high-frequency mobile phone survey that interviews households across Mainland Tanzania. Data were collected in July 2014.

The findings, based on citizens’ perceptions, reveal deep rooted discrimination against people with

Taswira toka Coral Beach katika Set for Sunset


Mji wa Moshi kupewa hadhi ya Jiji mwakani


(image: wikipedia.org)

MKOA wa Kilimanjaro umepitisha rasmi azimio la kuiomba Serikali kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwa jiji ifikapo mwaka 2015.

Azimio hilo limepitishwa katika kikao cha ushauri cha mkoa huo (RCC), chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa, Leonidas Gama ambaye amewataka watendaji wa ngazi mbalimbali kutekeleza vigezo vichache vilivyobaki ili kupandishwa hadhi hiyo.

Alisema miongoni mwa vigezo vikubwa vilivyokuwa vikihitajika ni pamoja na kuongeza ukubwa wa eneo la Manispaa hiyo kutoka kilomita za mraba 58 za sasa hadi kufikia kilometa 142, jambo ambalo

Hasheem Thabeet signs with D-League the Grand Rapids Drive

Hasheem Thabeet

Hasheem Thabeet has spurned interest and higher pay from international squads and has decided to sign with the Grand Rapids Drive, the exclusive D-League affiliate of the Detroit Pistons.

Thabeet was an unremarkable addition to the Pistons training camp roster, much like he has been unremarkable since becoming the second overall selection of the 2009 draft. Thabeet was signed by the Pistons with a chance to make the roster, especially once Aaron Gray's heart condition cropped up, but he only played 4.7 minutes and had a goose egg in every box score category except for a lone missed

Muhimbili yasitisha huduma SUA, TANESCO, NIC, JKT

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imesitisha kutoa huduma za matibabu kwa mkopo kwa taasisi nne nchini.

Taasisi hizo ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Bima la Taifa (NIC), Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tangu kupandishwa kwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa rufani ambapo kwa sasa wanalazimika kulipia kitanda Sh 5,000 pamoja na Sh 2,000 ya chakula kwa siku.

Kwa mujibu wa tangazo lililobandikwa katika mbao za matangazo hospitalini hapo na kusainiwa na Mkuu wa Idara ya Uhasibu, Cassian Faustine, hatua ya kusitishwa kwa huduma kwa taasisi hizo

Waliokuwa wamefungwa kwa wizi wa fedha za EPA waachiwa huru

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Walioachiwa huru ni mume Manase Makale na mkewe Edda Makale, na mfanyabiashara mwingine Bahati Mahenge.

Washitakiwa hao waliachiwa mwisho wa wiki iliyopita baada ya Jaji Augustine Shangwa kukubali rufaa iliyowasilishwa na wafanyabiashara hao kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwaka jana.

Akisoma hukumu hiyo, Jaji Shangwa alisema anawaachia huru wafanyabiashara hao kwa kuwa

Timu ya Vodacom yalala 1-0 kwa CBA

Mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania  Hans Henry  akijaribu kumtoka beki wa timu ya CBA Anjerus Ngimbo wakati wa bonaza lillozishirikisha timu za makampuni  mbalimbali lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya shule ya msingi ya Ushindi iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam,  Timu ya Vodacom ilifungwa 1-0 na timu ya CBA.

Tunalaani kudhalilishwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba

Chama cha Wananchi kimesikitishwa na vitendo vilivyofanywa na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na Kamanda wa Chipukizi UVCCM Paul Makonda kwa kufanya fujo na kusababisha mdahalo kuvunjika ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye Ukumbi wa Hotel ya Blue Pearl, Ubungo jijini Dar es Salaam jana alasiri.

Vijana hao wa Chama cha Mapinduzi ambao walionekana kuwa wameandaliwa maalum kuja kumdhalilisha Waziri Mkuu na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mstaafu) Mhe Jaji Joseph Warioba Sinde, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya kwa kumtolea matusi, kumzomea na kuonyesha mabongo ya kashifa na ujumbe wa kuipongeza Katiba Pendekezwa.

Vurugu hizo zilizopelekea mdahalo huo kuvunjika, zilisababisha mapigano ya ngumi na kurushiana viti baina ya vijana hao wa CCM na wananchi wengine walikuja kushiriki mdahalo huo ambao

Barua kwa Jaji Joseph Warioba

Jaji Warioba akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika nje ya jengo la Ubungo Plaza ambako mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulikuwa ukifanyika.

Shikamoo mzee wangu Warioba na pole sana kwa masaibu yaliyokukuta jana.

Mimi mjukuu wako pasi na shaka ukiangalia kwenye diary yako utanikumbuka kwani niliwahi “kukutupia” swali moja pale chuo kikuu Mzumbe siku ya tarehe 16 mwezi Novemba 2011.

Tangu hapo hatujapata kuonana tena ingawaje nimekuwa nikifatilia harakati zako zote tangu hapo? Kwanini nimekuwa nikifatilia? Jibu ni moja tu, kwa namna ulivyonijibu siku ile sikutia shaka uelewa wako mkubwa sambamba na uzalendo wako usio na doa kwa taifa hili.

Anne Makinda achaguliwa kuwa Rais wa Bunge la SADC

Spika wa Bunge la Zimbabwe Mhe. Jacob Mudenda akimpongeza Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Bunge la SADC kwa miaka miwili ijayo. Pembeni kulia ni Spika wa Bunge la Afrika Kusini Mhe. Mhe. Baleka Mbete

Na Owen Mwandumbya, Victoria Falls, Zimbabwe

Hatimaye wajumbe wa Mkutano wa 36 wa Bunge la SADC ambalo linaloundwa na mabunge ya nchi wanachama wa SADC (SADC PF) wamemchagua kwa kishindo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kuwa Rais wa Bunge hilo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo.

Makinda ambaye alikuwa hana mpinzani katika uchaguzi huo, aliungwa mkono na wajumbe wote wa Mkutano huo ambao ni Maspika na Wabunge kutoka mabunge ya Nchi wanachama wa SADC jana tarehe 2 Novemba, 2014 wakati wa kuhitimisha Mkutano wa 36 wa Jukwaa la Mabunge ya SADC uliokuwa ukifanyika katika Hotel ya Elphant Hii iliyopo Mjini Victoria Falls Nchini zimbabwe.

Video ya Mdahalo wa Katiba Mpya uliofanyika Ubungo Plaza, 02/11/2014Video hapo juu ni dakika tatu tu ya sehemu, wakati chini ni video ya zaidi ya saa nzima ya mdahalo tajwa.

Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu 12 wa Shirikisho la Taasisi za kuzuia na Kupambana na Rushwa za SADC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa wamesimama kutoa heshima kwa msiba wa Rais wa Zambia Marehemu Sata kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.