Taarifa ya IGP ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi nchini

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.

Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Deusdedit Nsimeki anayekwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara kamishna msaidizi (ACP) Akili Mpwapwa anakwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma.

Wengine ni aliyekuwa Afisa Mnadhimu mkoa wa Lindi Kamishna msaidizi (ACP) Renatha Mzinga anakuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, aliyekuwa afisa Mnadhimu Mkoa wa Dodoma

Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2014

Bofya jina la mkoa katika jendwali lililopo hapo chini ili kuona orodha ya shule na kuchagua unayoihitaji.

ARUSHA
IRINGAKAGERAKIGOMA
KILIMANJAROLINDIMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZAPWANIRUKWA
RUVUMASHINYANGASINGIDA
TABORATANGAMANYARA
GEITAKATAVINJOMBE


UKAWA watiliana saini makubaliano ya Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kutoka kushoto: Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, wakisaini makubaliano hayo ya UKAWA.

Sehemu yamakubaliano ya UKAWA yaliyotiwa saini

Viongozi wa UKAWA wakionesha hati ya makubaliano aada ya kutia saini Jumanne, Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam.
Makubaliano ya UKAWA yamevihusisha vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo UKAWA utasimamisha mgombea anayekubalika katika eneo husika bila ya kujali chama. 

Safaricom;Moneygram sign deal targeting $1billion Diaspora Remittance

Kenya’s Safaricom (SCOM.NR) and U.S. company MoneyGram International (MGI.O) have agreed a deal for money to be sent from abroad to Kenya through their money transfer services, targeting more than $1 billion sent in remittances every year.

Safaricom’s nearly 22 million users will be able to receive money directly to their mobile money M-Pesa accounts from MoneyGram outlets in 90 countries.

The deal is expected to drive growth in Safaricom’s M-Pesa division and boost Kenya’s remittances, a key source of hard currency for east Africa’s biggest economy.

“This new relationship with MoneyGram enables us to tap into remittances coming in from Kenyans living in other countries,” Safaricom Chief Executive Bob Collymore said in a statement on

Anusurika kifo ajalini akikimbizwa na Polisi


Mtu anayekadiriwa kuwa na umri kati ya 32-40 amenusurika kupoteza maisha katika ajali iliyotokea mjini Moshi asubuhi ya leo ikihusisha polisi, na magari mawili.

Ajali hiyo imetokea barabara ya Boma mjini hapa majira ya saa 3:20 asubuhi ikihusisha gari aina ya Toyota Spacio yenye namba za usajili T 111 BHW na gari jingine aina ya Toyota Corolla yenye namba za usajili T 378 BCL ajali iliyotokea mbele ya jengo la TFA, mkabala na jengo la Vodacom.

Mashuhuda wa tukio hilo wamesema askari wawili walikuwa wakimfukuzia mwenye gari namba T 111 BHW aliyekataa kusimama baada ya kutakiwa na askari hao kusimama mjini hapo, ndipo

Waraka walionasa UKAWA kuhusu kuitangaza Katiba Inayopendekezwa

Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kuhisiana na nakala iliyopatikana mtandaoni kama inavyoonekana hapo chini:


Taarifa ya TCRA kwa wamiliki wa blogu Tanzania

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY


ISO 9001:2008 CERTIFIED

TAARIFA KWA UMMA

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA KIJAMII “BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.

MKUTANO HUO UTAJADILI MATUMIZI YA BLOGS KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WABUNGE NA RAIS KAMA ILIVYOAINISWA KWENYE RASIMU YA MWONGOZO WA MAUDHUI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI MWAKA 2015.

TAFADHALI MNAOMBWA KUFIKA BILA KUKOSA.

Imetolewana
MkurugenziMkuu
MamlakayaMawasiliano Tanzania
S.L.P. 474
DAR ES SALAAM

Taarifa ya uhamisho na uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: [email protected]
Website : www.ikulu.go.tz   
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.
Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa.

Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya leo, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa walioteuliwa kuwa Makatibu Wakuu ni Dkt. Donan Mmbando ambaye anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Yohana Budeba ambaye anakuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mbogo Futakamba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Dkt. Adelhelm James Meru ambaye anakuwa Katibu Mkuu wa

Taarifa ya uteuzi wa Wakuu Wapya wa Mikoa

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: [email protected]
Website : www.ikulu.go.tz   
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine.

Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya leo, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dkt. Ibrahim Hamisi Msengi ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Bi. Amina Juma Masenza ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa na Bwana John Vianney Mongella ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Taarifa inasema kuwa kabla ya uteuzi wake Bi. Dendego alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dkt. Msengi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Bi. Masenza alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela na

Wait to Send! Stop cell phone use while driving

Mohamed Mpinga launching the “Wait to Send” campaign

Chief Traffic Police Commander, Mohamed Mpinga, urged drivers to stop using mobile telephone while driving to reduce road accidents.

Addressing at the press conference during receiving special ring for drivers donated by Vodacom to remind them not to using telephone while driving under “Wait to Send”  campaign launched by the company recently, he noted that road accidents are enemy to the Tanzania workforce as they kill and maim hundreds of capable workers and other productive citizens annually thus hindering national development.

Commander Mpinga thanked Vodacom Tanzania and PUMA for cooperating with the government to

"Ole wako Tanzania"Taifa lenye vijana walio tayari kuua,
Kuua kwa ajili ya Ukuwadi na Utumwa,
Kuua kwa ajili ya kutumwa na wakubwa,
Matajiri waliogeuza nchi hii Ubwabwa.

Ole wako Tanzania unayechezea amani,
Amani iliyodumu barabarani hadi nyumbani,
Amani imekuwa ghari sasa jaribu vitani,
Kwa kutumia vijana waso maadili ukubwani.

Ole wako chama kubwa kulewa madarakani,
Hakika pakichafuka utakuwa mashakani,
Afrika italia wakubwa mbio ulayani,
Unaanza twamaliza tumechoka asilani.

Ole wenu vyombo dola kwa kushindwa majukumu,
Kwa hakika wananchi watabeba gurudumu,
Gari letu litasonga bila nyinyi kwa ugumu,
Tutalinda Tanzania kwa ushindi wa machungu.
Julius Mtatiro

Job opportunity at DAWASCO for Driver

Job Vacancy

PURPOSE STATEMENT

DAWASCO is a Public Corporation which was established to provide water and sewerage services to the City of Dar es Salaam and some parts of Coast Region. It has vacancies which has to be filled immediately. Applications are now invited from suitable candidates to fill the various positions below. DAWASCO is an equal opportunity employer; hence competent candidates are encouraged to apply.

Job Title: Driver

Report to: Transport Officer

Work Stations: Dar es Salaam (14posts),

Duties and Responsibilities:
1. Driving cars and trucks as well as machines and provide transport to staff when in need
2. Keep vehicles logbook and all accident records pertaining to assigned vehicle.
3. Transporting parcels from head office to outsiders and other Area offices with dispatch.
4. Ensure that assigned vehicles is clean and in good working condition.
5. Carrying out any other related 'duties as may be assigned by Supervisor.

Qualifications and Experience: Holder of Secondary School Certificate with passes in English with a class "C" Clean driving license, training as a mechanic will be an added advantage. The candidate should have undergone training with NIT or VETA plus 2years experience in driving

Mode of Application

Candidates who meet the above qualifications and experience are requested to submit their applications which shall include a detailed curriculum vitae or resume, photocopies of relevant certificates and testimonials. Candidates shall also submit names, telephone numbers and addresses of three referees.

The applications should be submitted not later than two weeks from the date of advertisement. The applications shall be addressed to;

CHIEF EXECUTIVE OFFICER,
DAWASCO,
P.O. Box 5340,
DAR ES SALAAM.
E – MAIL: recruitment @dawasco.com
OR
hand delivered to
DAWASCO HEAD OFFICE,
GEREZANI ALONG SOKOINE DRIVE:

Walimu watumia mihogo kuandikia ubaoni; Wafundishia vitabu viwili wanafunzi 200

Walimu wawili wanaojitolea katika Shule ya Msingi Msali, Kata ya Nyakahura, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera wanatumia vipande vya mihogo mikavu na mkaa kuandikia ubaoni baada ya kukosa chaki.

Wakizungumza shuleni hapo juzi, walimu hao walisema hawana chaki za kuandikia na kwamba wanatumia vitabu viwili vya Hesabu na Kiswahili kufundishia wanafunzi 200.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Evelina Jeremiah alisema shule hiyo ilianzishwa mwaka mmoja uliopita kutokana na uwapo wa watoto wengi ambao hawajaenda shule lakini haijasajiliwa.

Alisema baada ya kuwa na idadi kubwa ya watoto, wazazi walianzisha banda la kuwafundisha

Vodacom yaja na Jaza Buku upate Buku


Pumzika pema Yunis Festo; Mwanafunzi aliyeaga dunia akiugua seli mundu akisubiri kuanza mtihani wa Kidato cha Nne 2014

Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye gari kwa ajili ya kusafirishwa jana jioni tayari kwa mazishi leo, Jumatano huko Kwimba mkoani Mwanza

Picha na Damian Kageba Lupimo

Mazishi ya mwanafunzi aliyefahamika kwa jina la Yunis Festo aliyekuwa anasoma Kidato cha Nne katika shule ya Sekondari ya Simba wa Yuda iliyoko katika kijiji cha Bulima wilaya ya Busega yanatarajia kufanyika kesho huko Kwimba mkoani Mwanza.

Mwili wa marehemu umesafirishwa juzi jioni kutoka shuleni.

Yunis Festo aliyezaliwa tarehe 26.02.1996 amefariki dunia juzi saa 11 alfajiri zikiwa zimesalia saa

Sheikh Mwarangi shot, killed

A religious leader was on Tuesday evening shot by attackers outside a mosque in Likoni

Sheikh Salim Bakari Mwarangi was shot while leaving Bilal Mosque after prayers.

According to Kasim Mranja, a relative, he was shot three times; twice in the abdomen and once in the arm by two attackers who were on a motorbike. They sped off after the shooting.

Sheikh Mwarangi was rushed to a nearby health facility before being transferred to Likoni Dispensary where he died.

Bill & Melinda Gates Foundation call for applications - Grand Challenges: New Interventions for Global Health

The Bill & Melinda Gates Foundation (BMGF) is launching a new Grand Challenge: New Interventions for Global Health. This challenge focuses on innovative concepts for vaccines, therapeutics, and diagnostics with the potential to be translated into safe, effective, affordable, and widely utilized interventions to protect against the acquisition, progression, or transmission of infectious diseases, or to provide a cure for infectious diseases, in resource‐limited settings.

This request for proposals will fund full awards that could include grants, program related investments, or contracts up to USD $10,000,000 per awardee for up to four years. Full awards must include an industry, biotech, or other translational partner, either leading or participating in the application. We will also consider applications for pilot awards of up to USD $2,000,000 and up to four years to explore concepts that require additional investigation, with the anticipation that successful applicants will apply for a full award in subsequent years. Pilot awards do not include a requirement for a biotech or translation partner, but such partnerships would still be welcome.

Open for applications: November 4, 2014

Application deadline: January 13, 2015

Further information: gcgh.grandchallenges.org/GrantOpportunities/Pages/NewInterventions.aspx

Job opportunities at the Bank of Tanzania

The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s central bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office and at its Branches in Mwanza, Mbeya, Zanzibar and Dodoma.

Please click here to download the file containing the advertised posts

Application deadline is November 18, 2014

Castle Lite Just Got Paid IlivyofanaMwishoni mwa wiki iliyopita wakazi wa Dar es Salaam walijumuika katika party ya kujipongeza kwa kuumaliza salama mwezi Oktoba iliyofanyika katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay.
Party hiyo inayodhaminiwa na bia ya Castle Lite kwa mara nyingine ilifana huku mamia ya waliohudhuria wakitoka wakiwa wameridhika na burudani waliyoipata. Hizi ni baadhi ya taswira toka katika Just Got Paid.

Tanzania featured in Huffingtonpost's "The World's Best Adventure Holiday Destinations"

An African Adventure in Tanzania


For those with a passion for wildlife, there can be no better destination for an animal adventure than Tanzania. It has the most varied scenery and wildlife of any African country and, home to the imposing Mount Kilimanjaro, the gleaming lakes of the Great Rift Valley, the awe-inspiring Ngorongoro Crater and the sprawling Serengeti plains, simply trekking through this quintessentially African landscape is an adventure in itself.
Tarangire National Park, Tanzania. Image by A_Peach

Tanzania's biggest draws for those seeking excitement is obviously its wildlife, and if you're looking to incorporate an element of danger to your holiday then this is the destination for you. The risk that lions, hippos, rhinos and elephants can pose to tourists is very real - but the thrill of seeing some of the most majestic animals in the world in their natural habitat is unparalleled.

If Iceland is home to the greatest light show in the world then it's worth noting that Tanzania is home to the "greatest show on earth", the Great Migration. This is the annual movement of two million wildebeest, zebra and gazelle from Southern Serengeti into Kenya's Masai Mara and, just like witnessing the northern lights, it's a once-in-a-lifetime experience. Witnessing this immense herd of animals as they thunder through the plains will get your adrenaline levels going like little else.