For sale! Mercedes Benz ML 350, Inauzwa!Mercedes Benz ML350, Year of production 2003
Engine capacity 3750 cc, petrol.
Odometer reading almost 85,000 km, Serviced regularly
For serious and interested bidders, please call 0779484351

Rais Kikwete aenda Marekani kwa uchunguzi wa afya

Rais Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la Ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya leo, Alhamisi Novemba 6, 2014, kwenda Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

Rais Kikwete atakuwa Marekeni kwa muda wa siku kumi.

Mwisho.

Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es Salaam.
06 Novemba, 2014

Zuhura Yunus katika meli inayofanya kazi miaka 100 sasa

Mtangazaji mahiri wa BBC Swahili, Zuhura Yunus alizuru Ziwa Tanganyika hivi kariuni na kuikagua meli ya abiria ambayo zamani ilikuwa meli ya kivita, Mv Liemba.

Iliyopachikwa hapo chini ni video ya simulizi lake...

Watu 13 wafariki Kilombero katika ajali ya treni


Watu kumi na watatu wamefariki katika ajali iliyotokea huko Kibereke, Ifakara mkoani Morogoro, kati ya basi la abiria la Al Jabir lenye namba za usajili T725 ATD lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Ifakara na treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero akizungumza na TBC kwa njia ya simu, Hassan Masala amesema:
"Chanzo cha ajali ni basi ambalo limeigonga treni, treni ambayo ilikuwa inakatiza hapo kwa hivyo bahati mbaya ikawa imefika na ikakatiza kwa hiyo ikagongwa kwa nyuma."

Masala amekaririwa akisema kuwa watu waliojeruhiwa ni 40 ambapo 14 wametibiwa na

Baada ya UKAWA, vyama vingine vyaungana

Mhe. Fahmi Dovutwa akitoa taarifa mbele ya Wanahabari.

Mwenyekiti wa Chama cha UPDP na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Mmaalum la Katiba Mhe. Fahmi Dovutwa ametoa taarifa ya makubaliano ya vyama sita vya siasa visivyokuwa na Wabunge kuwa vimeamua ushirikiana katika uchaguzi wa Serkali za Mitaa, Wabunge na Rais unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu mpaka mwaka 2015 ambapo uchaguzi wa Wabunge na Rais utafanyika.

Dovutwa amesema vyama hivyo vimeamua kushirikiana kwa sababu vipo vyama vilivyounda

Mabalozi, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mkoa na Makatibu Tawala waapishwa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka, pamoja na mabalozi wengine kutoka kushoto Balozi Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Austrlia). Balozi Simba yahya (Mkurugenzi idara ya Mashariki ya Kati na Balozi Celestine Mushi, Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa.

Katibu Mkuu wa CCM azungumza na Balozi wa Rwanda nchini

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akimkaribisha Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri

Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa Fistula katika hospitali ya CCBRT wakifanya kazi za sanaa za mikono kwa lengo la kujiajiri sambamba na kujikwamua na wimbi la umasikini, Kituo hicho kinachofadhiliwa na Vodacom Foundation kinawawezesha mabinti hao kupata elimu ya kazi za mikono ili waweze kujikimu kimaisha pindi wanaporudi makwao.

Wanawake waliopona Fistula CCBRT wapatiwa ujuzi wa kujiajiri Wanawake waliougua kutibiwa na hatimaye kupona maradhi ya fistula katika Hospitali ya CCBRT iliyopo Dar es Salaam wameamua kujikita katika sanaa ya kazi za mikono kwa lengo la kujiajiri sambamba na kujikwamua na wimbi la umasikini.

Takribani wanawake wapatao 62, chini ya mpango madhubuti ulioratibiwa na hospitali ya CCBRT, wamekuwa wakihitimu mafunzo mbalimbali ya kazi za mikono zikiwemo sanaa za ushonaji wa batiki, nguo za aina tofauti, utengenezaji wa mabegi, kofia, ususi na kadhalika, katika Kituo kinachoendeshwa na hospitali hiyo kijulikanacho kama ‘Mabinti’ tangu mwaka 2007.

Akizungumza mbele ya ujumbe wa wadhamini waliotembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mratibu wa Kituo hicho, Katia Geurts, alisema kituo hicho kinatoa

A chance to double your donation and make a difference!We are delighted that BasicNeeds has been invited to take part in the 2014 Skoll Social Entrepreneurs Challenge! Please join us to raise funds to support even more people with mental illnesses around the globe.

The Skoll Foundation supports social entrepreneurs and innovators, who are working to solve the world’s pressing social issues. For 6 weeks until 5th Dec, the Skoll Foundation has committed up to $3.25 million in prizes and matching funds for this Challenge.

How it works

Every week, prize funds will be allocated from the Skoll Foundation in proportion to the money BasicNeeds has raised.

On a weekly basis, the Skoll Foundation will also offer regular bonus match funding opportunities, which will mean an even greater contribution for every $1 donated.

To qualify for our Skoll funding, we have to raise at least $5000, but we want to raise much more than the minimum and this is where you come in!

We need your help!

To date BasicNeeds Foundation Tanzania has transformed the lives of over 24,296 people with mental illness and epilepsy and we aim to reach more than 5000 poor people living with mental disorders and epilepsy in Tanzania for the coming two years. Please help us race against the Skoll Challenge clock and raise funds to support our much needed work.

What you can do:
1. Donate! Click here to donate https://www.crowdrise.com/basicneeds-se/fundraiser/makenemalembo - $50 can fund a comprehensive mental health care and income generating project for an affected individual for a month.

2. Participate! Set up a fundraising page on CrowdRise (Don’t worry: it’s easy and fun!) and enlist your friends, neighbours, and family to join this Challenge. Join our fundraising team for the campaign simply by clicking here and select ‘Join the team’.

3. Share! Let your friends and family know about this campaign. Send them an email, post it on Facebook, Tweet it out, or share it on LinkedIn!

Every gift makes a difference! Please support us today.

Yours Sincerely,

Malembo Makene
Country Programme Manager- BasicNeeds Foundation Tanzania

Rais Kikwete maliza hili lisije ikuwa hoja ya wapinzani

Mheshimiwa Kikwete, utaiacha Ikulu bila kutatua matatizo makubwa ya wakulima. 

Na ninaamini wakulima hawatakusamehe, umetuagiza tutafute hati zakimila za mashamba yetu yatusaidie kupata mikopo benki kwa ajili ya maendeleo yetu. Hati hizo hazina sifa, haziuziki. 

Mabenki yote hayazipokei, viongozi wako hata waziri wa ardhi anaelewa jambo hili lakini hakuna utatuzi aloshafanya kuhusu kadhia hii. Kupata hati miliki ya serikali ni hadithi ndefu isiyo na mwisho. Muheshimiwa wakulima ndio wapiga kura wakubwa kuliko kundi lolote la watanzania. 

Nakuomba Mkuu maliza tatizo hili lisije ikuwa hoja ya wapinzani. Wananchi wanaumia sana. 

Wako
Mwaminifu,
Hosea Jeremia.
Kagera.

Unataka kwenda Selous? Ndovu inakulipia kila kitu


Kufahamu zaidi ingia katika tovuti hii: http://bit.ly/1122BP2