Moto waunguza shule ya Filbert Bayi

Wanakijiji wanaokaa karibu na shule hiyo wakishuhudia shule hiyo ikiwaka moto huku wakishindwa kutoa msaada wowote kutokana na gari la zimamoto la mkoa wa Pwani kushindwa kufika kwa madai kuwa ni bovu

Moto umezuka katika Shule ya Msingi ya Filbert Bayi, Kibaha, mkoani Pwani na kuteketeza majengo kadhaa yakiwamo mabweni mawili ya wanafunzi na kusababisha hasara ya zaidi ya Sh. milioni 700.

Mkurugenzi wa shule hiyo, Anna Bayi, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 8:00 usiku wakati wanafunzi wakiwa wamelala na kuteketeza vyumba 14 vya madarasa, mabweni mawili ya wanafunzi na ofisi moja ya walimu. 

Alisema katika tukio hilo ambalo inawezekana chanzo chake ni kukatika katika kwa umeme shuleni hapo, wanafunzi 70 waliokuwa wamelala ndani ya mabweni hayo waliokolewa na walimu.

Jiwe la msingi la jengo la NSSF Moshi kuwekwa leo


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Leonidas Gama ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo hili la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), lililo mtaa wa Aga Khan mjini Moshi leo, Novemba 13, 2014. 


Kifusi chaua wanafunzi wakifanya kazi ya Mwalimu

WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.


WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.

TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS HUKO KATIKA KITONGOJI CHA ILOMBA, KATA YA ITALE,TARAFA YA BUNDALI WILAYA YA ILEJE MPAKANI NA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI,MKOA WA MBEYA. AWALI KABLA YA KUKUTWA NA MAUTI WAHANGA HAO WALICHUKULIWA SHULENI NA ISAMBI MWASENGA [57], MWALIMU MKUU MSAIDIZI WA S/MSINGI ILOMBA KWENDA KUMFANYIA KAZI BINAFSI YA KUCHIMBA UDONGO NA KUMPELEKEA NYUMBANI KWAKE. MIILI YA MAREHEMU IMEFANYIWA UCHUNGUZI WA KITABIBU NA KUKABIDHIWA NDUGU KWA MAZISHI. MTUHUMIWA AMEKAMATWA NA YUPO MAHABUSU KWA AJILI YA USALAMA WAKE WAKATI UPELELEZI WA SHAURI HILI UKIENDELEA.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUWATUMIKISHA KAZI WATOTO WENYE UMRI MDOGO KATIKA MAENEO/MAZINGIRA HATARISHI YATAKAYOWEZA KUSABABISHA MAAFA NA KUFANYA VITENDO VYA NAMNA HIYO NI KWENDA KINYUME CHA SHERIA.

Imesainiwa;
[ AHMED Z. MSANGI – SACP ]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

Namba ya kuwasiliana na Rais Kikwete nchini Marekani

Rais Kikwete akiwasiliana na baadhi ya wananchi waliokuwa wakimjulia hali kupitia simu yake ya mkononi kupitia ujumbe mfupi(sms) leo Jumatatu.Rais Kikwete anayepata matibabu katika hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore Maryland nchini Marekani anaendelea vizuri na anafanya mazoezi mara kwa mara na afya yake inaendelea kuimarika
(picha: Freddy Maro)

Rais Jakaya M. Kikwete ametoa namba yake (+1-646-309-2295)  maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

(Namba na maelezo yake vimenukuliwa kutoka Michuzi blog)

Kero ya VETA kuchelewesha vyeti

Ujumbe uliowasilishwa wavuti.com kwa njia ya barua pepe unasomeka ifuatavyo:

Habari za kazi
naomba uiwekee kwenye mtandao ili wahusika waweze kuisoma kirahisi.

Lalamiko langu kubwa ni kuhusu VETA kumekuwa na tatizo la ucheleweshaji wa vyeti pindi wahitimu wanapomaliza course zao siju ni kwanini? Tukiangaliwa vyuo vingi vinavyomilikiwa na serikali wanafunzi wanapomaliza shule yao na matokeo yao yakatoka uwa wanapewa result slip inayoonyesha kuwa huyu mtu amemaliza course fulani na ameshinda wakati anasubili cheti chake na cheti hakichelewi sana kutoka kama ilivyo kwa VETA kitu ambacho ni tofauti na VETA mwanafunzi anapomaliza course yake na matokeo yakatoka amefauru anasubili cheti karibu mwaka mzima sasa huyo mwanafunzi au mhitimu kama anatafuta kazi ataipataje bila cheti? au atafanyaje maombi katika vyuo vingine kwa ajili ya kujiendeleza? Jamani tunaomba milifanyie kazi maana sio kawaida kabisa ni uonevu hasa kwa vyuo vya mikoani kazi zenyewe zimekuwa ngumu bilacheti cha uhakika sio rahisi kupata kazi.

TUNAOMBA WAHUSIKA WALIFANYIE KAZI

Nimewasilisha

A year before elections: No leading contender for President; Tanzanians unhappy with MPs performance

  • One year before elections, there is no leading contender for President
  • Many Tanzanians are unhappy with performance of MPs and will not re-elect them

12 November 2014, Dar es Salaam: One out of three citizens (33%) on Tanzania Mainland does not know who they will vote for in the upcoming presidential election. No single potential candidate is preferred by more than 15% of the voters. According to poll data collected by Twaweza in September 2014, the front-runners are Edward Lowassa (13%) and Mizengo Pinda (12%) of CCM and Wilbrod Slaa of Chadema (11%). Among CCM supporters, one quarter (24%) say that they will vote for whomever the party chooses.

Comparing parties, half of citizens (51%) report that they will vote for CCM in the presidential election compared to one quarter (23%) preferring Chadema. When asked what they would do if the opposition fields only one candidate, as the coalition UKAWA has promised to do, CCM still leads but its overall support drops to just under half (47%) of all citizens, while almost three out of ten (28%) report that they would vote for the opposition candidate. Significantly, one out of five (19%) say that they will not vote for the party but rather the individual; should most of this group opt to vote for an opposition candidate the contest could become very tight in 2015.

Notice of Intent: amfAR $2 million/4-year Impact Grants on HIV Cure
Estimated date of RFP release: mid-January, 2015
Estimated award date: July 1, 2015
Estimated number of awards: 3

amfAR plans to issue a Request for Proposals to solicit research proposals relevant to exploring the mechanisms for HIV persistence and the potential for HIV eradication.
amfAR has established a new funding mechanism known as Impact Grants. Impact Grants support the in-depth development of concepts where preliminary data have indicated genuine promise in curing HIV. Impact Grants are conducted over a four-year funding period with up to $2,000,000 in total funding (including up to 20% indirect costs) and should include in vitro, animal and clinical (in vivo or ex vivo) testing. Impact Grants aim to directly inform efforts to safely eliminate or control persistent viral reservoirs in HIV-infected people. Priority will be given to projects with a clear pathway to development of an implementable intervention in humans.

All 5 points listed below must be incorporated into Impact Grant applications:

Second round of OnePlus One phone pre-ordersOnePlus says because of some server issues from the surge visitors to their site during last month's pre-order system as a chance to purchase the OnePlus One without an invite, they have scheduled a second round of pre-orders.

You can go here to prepare your cart and add shipping and billing information in advance. When the one-hour pre-order windows opens on November 17 at 16:00 GMT (8am PST, 11am EST), you’ll be all set to check out and complete your order with the click of a button.

The pre-order window will only be open for one hour.

OnePlus says, if items are in stock, they’ll ship immediately. If not, your order will automatically convert to a pre-order. 

Ngoma ya Kisukuma

Guide to quitting bad habits

It seems like it was only last year when I was quitting smoking while stuck in debt, bad eating habits, a procrastinator and sedentary … but in reality that was me 9 years ago.

I still remember how hard it was to quit, how I justified those bad habits to myself for years, and how I didn’t think I could do it.

Nine years later, I’m living proof that anyone can change their bad habits. If I can do it, you can. I’m not special.

What worked is a series of small, doable steps that added up to monumental change in mindset and environment.

I’m going to list those steps here, but know this: you do have to (and shouldn’t) do these all at once, and each step is not that hard.


Why Make a Change

Why quit cigarettes or all those sweets you’ve been eating? Isn’t life short and meant to be enjoyed? Don’t you deserve a treat?

Yes, these are the justifications I gave myself too. And they’re full of crap.

Rais Kikwete aendelea na majukumu ya kazi angali kitandani

Rais Jakaya M. Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore Maryland nchini Marekani.

(picha: Freddy Maro)

The Inaugural LEAP Conference 2014


Kinukamori yaomba $30,000 ili itengeneze ajira 300

Mtoa maelezo kwa watalii (Guide) wa EWP na Kinukamori Enterprises, Pascal Cosma akitoa maelezo ya sehemu ya utamaduni wa Kabila la Kichaga kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez aliyembatana na ujumbe wake kutembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na UNDP.

Na mwandishi wetu, Moshi

Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro Executive Wilderness Program (EWP) inatafuta dola za marekani 30,000 kwa ajili ya kuendesha program tatu zenye kutengeneza ajira, ujasirimali, utunzaji wa mazingira na mvuto kwa watalii wanaokwenda kupanda mlima Kilimanjaro.

Kauli hiyo wameitoa kwa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez wakati alipofanya ziara mkoani Kilimanjaro kuangalia miradi inayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Bado nao tu? Eh! Keissy awavuruga tena Wazanzibari

Ally Keissy
Ally Keissy

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, juzi alifanikiwa kudhibiti kuchafuka hali ya hewa bungeni baada ya wabunge kutoka Zanzibar kutaka ‘kumshughulikia’ Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy, wakichukizwa na kauli yake waliyoitafsiri kuwa ni ya kuikejeli Zanzibar.

Keissy, ambaye mara kwa mara amekuwa akijikuta akiingia katika msuguano na wabunge kutoka Zanzibar, alitoa kauli hiyo akipinga kauli ya Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Rukia Kassim Ahmed, aliyoitafsiri kuwa ni ya kukejeli hatua ya Rais Jakaya Kikwete kwenda kutibiwa Marekani.

Rukia alitoa kauli hiyo katika mwongozo wa spika aliouomba bungeni jana chini ya kanuni ya Bunge ya 47 (1), (2) na (3).

Alisema kutokana na serikali kudaiwa na Bohari ya Dawa (MSD) Sh. bilioni 102, hali imekuwa mbaya katika hospitali nchini, wagonjwa wanateseka, dawa hakuna, huku wabunge