The richest people in Africa and sources of their wealths

(photo: etsy.com)

Ventures Africa has launched its second annual ranking of Africa’s wealthiest people at richlist.ventures-africa.com. The Richest People in Africa list remains the most comprehensive compilation of the continent’s wealthiest individuals.

In 2014, we counted 55 African billionaires with a net worth totalling $161.7 billion, a 12.4 percent rise from $143.8 billion in 2013. This year Africa welcomed five new billionaires, four of whom are Nigerian.

Reclusive industrialist, Cletus Ibeto, leads the newcomers with $3.7 billion in net worth. Oil mogul, Benedict Peters, Tony Elumelu, Chairman of UBA Group and founder of Heirs Holdings, Samih Sawiris of Egyptian multi-business conglomerate, Orascom Group, and Akanimu Udofia complete the list.

Key findings from the research include:
  • The average net worth of the continent’s wealthiest people is $2.9 billion. The median age is 63 years.
  • Mohammed Dewji of Tanzania and Igho Sanomi, a Nigerian oil trader, remain the continent’s youngest billionaires. They are both 39 years old. Moroccan businessman Miloud Chaabi, Kenyan industrialist Manu Chandaria, and Mohammed Al-Fayed, the Egyptian property tycoon, are Africa’s oldest billionaires.

Taarifa ya mabadiliko ya matumizi ya barabara za Kawawa na Morogoro




Mkandarasi mkuu wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka (BRT), Strabag International ametangaza mabadiliko ya matumizi katika makutano ya barabara za Morogoro na Kawawa.

Mabadiliko hayo yanaanza Jumatatu tarehe 17 hadi tarehe 30 mwezi huu. Akitangaza mabadiliko hayo jana jijini Dar es Salaam, Afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema mabadiliko hayo yanatokana na matengenezo yatakayokuwa yanafanyika eneo hilo.

Tanzania redrafting bill to: Regulate bloggers; Jail/Fine anyone publishing data from unofficial sources

Tanzania is redrafting a bill that would give the national statistical agency powers to punish journalists who publish data from unofficial sources, following criticism it was trying to suppress freedom of speech.

The bill introduced by the administration of President Jakaya Kikwete sought to impose prison terms or fines on those who published or aired statistical data without prior approval.

The government withdrew the bill, which would also apply to opinion polls and data from foreign organisations, after a parliamentary hearing on Wednesday.

CAN 2015 kuchezwa nje ya Afrika? Qatar i tayari kuandaa

Shirikisho la soka la Qatar limesema liko tayari kusimamia maandalizi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (CAN) itakayochezwa kuanzia Januari 17 hadi Februari 8 mwaka 2015, iwapo viongozi wa Emirate watafahamishwa rasmi, amesema Alhamisi Novemba 13 rais wa shirikisho hilo.

Uamuzi huo unakuja baada ya mataifa zaidi ya tano kutoka barani Afrika kukataa kusimamia maandalizi ya michuano hiyo yakidai kuhofia afya za raia wao.

ENGEN yaadhimisha miaka 21 tangu kuanzishwa


Sehemu ya wafanyakazi wa Engen nchini Tanzania wakiwa ya jengo lao Kurasini, Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania, Novemba 14,2014 waliungana na wafanyakazi wenzao barani Afrika kusherehekea maadhimisho ya miaka 21 ya kuanzishwa kwa kampuni hiyo, ambayo husherehekewa kila mwaka ifikapo tarehe hiyo.

Engen ni kampuni iliyojikita katika uuzaji wa mafuta bora ndani na nje ya Tanzania, huku ikiendelea kujivunia kwa ubora wake. Bofya hapa kuona picha zaidi

[video] Pres. Kikwete leaving hospital after surgery


President Jakaya Mrisho Kikwete walks out of the Johns Hopkins Hospital in Baltimore, Maryland, USA, four days after undergoing prostate surgery at the world famous medical facility. Escorting him is the surgeon who performed the surgery, Dr Edward Schaeffer.

Kinana kuanza ziara mikoa ya Lindi, Mtwara leo

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahaman Kinana, Novemba 15, 2014 anatarajia kuanza Ziara katika Mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara). Ziara hiyo ya Katibu Mkuu inategemea kuanza kesho katika wilaya ya Kilwa iliyopo Lindi na Kisha kuendelea katika wilaya zingine kwa takribani siku kumi na sita za kutembelea majimbo, kata, matawi na mashina ya Chama Cha Mapinduzi.

Ziara hii ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahaman Kinana ni muendelezo wa Ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ambazo zimekuwa zikiendelea kote nchini tangu Sekretarieti hiyo ilipoteuliwa mwanzoni 2012.

Kizaa zaa! 'Marehemu afufuka' baada ya kukaa mortuary saa 11

Mwanamke mmoja raia wa Poland mwenye umri wa miaka 91 aliyekaa chumba cha kuhifadhia maiti kwa saa 11 baada ya kutangazwa kufariki dunia amerejea kwenye familia yake, akilalamika kusikia baridi.

Maafisa walisema Janina Kolkiewicz alitangazwa kufa baada ya dakatari wa familia kumfanyia vipimo.

Hata hivyo, wafanyakazi wa chumba hicho cha kuhifadhia maiti walishtuka kuona mfuko maalum alimohifadhiwa ukitikisika. Polisi wameanza uchunguzi.

Aliporejea nyumbani, Bi Kolkiewicz alipata joto kwa kunywa bakuli la supu na mikate ya maji miwili.

Familia yake na daktari walisema wameshtushwa na jambo hilo.

Mtoto wa kike wa ndugu wa bibi huyo, katika mji wa Ostrow Lubelski, mashariki mwa Poland alimwita daktari huyo baada ya kurudi nyumbani asubuhi moja na kumkuta shangazi yake hapumui na mapigo ya moyo yamesimama.

Baada ya kumpima bibi huyo, daktari alimwambia ameshafariki dunia na kumwandikia cheti cha kifo.

Mwili ukapelekewa chumba cha kuhifadhia maiti na maandalizi ya mazishi yalikuwa yafanyike baada ya siku mbili.

Cheti hicho sasa kimetangazwa kuwa batili, gazeti la Dziennik Wschodni limeandika.

Bi Kolkiewicz hana habari ni kwa kiasi gani alikaribia kuzikwa hai, kwani binti yake alisema ana ugonjwa wa kusahau.
  • Kwa taarifa nyingine motomoto za matukio mbalimbali duniani na vituko vya kukuburudisha na kukuchekesha, usiache kutembelea: SwahiliBuzz

GSK launches 1st call for proposals for research in to non-communicable diseases in Sub-Saharan Africa




PRESS RELEASE

Up to £4m will be available in this first funding round

LONDON, United-Kingdom, November 14, 2014/ -- GSK (http://www.gsk.com) today launched the first call for proposals for its Africa NCD Open Lab, to support much-needed scientific research into non-communicable diseases (NCDs) in Africa. Up to £4m will be available in this first funding round, to support successful proposals from researchers in Côte d’Ivoire, Cameroon, Ghana, The Gambia, Nigeria, Kenya, Uganda and Malawi.

The Africa NCD Open Lab was established by GSK earlier this year, with a commitment of £25m funding over five years, as part of a series of strategic investments in sub-Saharan Africa. In this region, and across developing countries, non-communicable diseases, such as cancer and diabetes, are becoming more prevalent, and we need to learn more about how – and why – these diseases manifest differently in this setting. The Africa NCD Open Lab aims to address this through the

USA National Cathedral to host first Muslim prayer

WASHINGTON (AP) -- Washington National Cathedral is hosting a Muslim prayer service for the first time.

Planners say they hope Friday's service at the historic cathedral will foster more understanding and acceptance between Christians and Muslims around the world.

The prominent Episcopal cathedral often hosts national events, such as presidential funerals, and has hosted Muslims at various interfaith services in the past. But planners say this is the first time the cathedral has invited Muslims to lead their own prayers there, which they call a "powerful symbolic gesture."

Planners say the prayer service developed after the cathedral's liturgical director met South African Ambassador Ebrahim Rasool while planning the national memorial service for Nelson Mandela.

In a statement, Rasool says, "This is a dramatic moment in the world and in Muslim-Christian relations."

Elimu kutoka kwa Wataalamu kuhusu kuvimba kwa Tezi Dume

Tezi Dume (Prostate gland)



Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume (urethra).

Mojawapo ya kazi za tezi dume ni kutoa majimaji yanayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) wakati wa kilele cha tendo la ngono. Mchanganyiko huu wa mbegu pamoja na majimaji hayo hufanya shahawa (semen). Aidha majimaji hayo husaidia kuzipa mbegu za kiume nguvu ya kusafiri kwenye uke mpaka kufikia kwenye mirija ya fallopian tayari kwa utungisho na yai la kike. Vilevile

Yatch Party ya Castle Lite imewadia


Ile pati katika boti la kifahari iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sasa imewadia Jumamosi hii tarehe 15 Nov 2014. 

Washindi wetu wataburudika ndani ya boti la kifahari la Castle LITE wakitumbuizwa na muziki bomba, chakula cha mchana na Castle LITE za baridi. 

Baada ya pati hiyo, kutakuwa na After Party katika fukwe za Coral Beach ambapo kila atakayependa kujumuika na washindi hao anakaribishwa. 

Ni kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa mbili usiku kiingilio ni bure. 

Karibuni sana ku LITE UP Wikeindi na Castle LITE!

Dkt Thomas Lyimo azungumza na UN kuhusu mafanikio ya tiba dhidi ya 'pneumonia' Tanzania

Dkt. Thomas Lyimo

Takwimu mpya za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF zinaonyesha kupungua kwa kiasi kikubwa kwa vifo vya watoto wachanga kutokana na ugonjwa wa Numonia au vichomi.

Mathalani ikilinganishwa na mwaka 2000 kiwango cha vifo sasa kimeshuka kwa asilimia 44 lakini UNICEF inasema hatua lazima ziendelee kuchukuliwa kwani Numonia inaua watoto wengi kuliko hata UKIMWI. 

Je nchini Tanzania hali ikoje? 

Assumpta Massoi wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio ya Umoja wa Mataida, amezungumza na Dkt. Thomas Lyimo mtaalamu wa afya katika Idara ya Afya na Lishe ya UNICEF, Tanzania na hapa anaanza kwa kuelezea hali ya Numonia nchini humo.




Call for applications: Fund for Maize and Poultry Entrepreneurs in Dodoma, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Iringa, Mbeya

Applications now being accepted for the LEAD Project Investment Fund


Are you an entrepreneur? Are you looking to expand your business?

Poultry feed processor, hatchery, poultry meat processor, maize seed processor, maize processor etc. and all other product and service providers, YOU are welcome to apply!

To qualify, you must be a for-profit company and your business activity must be related to the poultry and/or maize sectors.

Your business must be in Dodoma, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Iringa, and/or Mbeya and it must help to improve the productivity of poor smallholder farmers in one of these areas.

Download the application form and APPLY NOW!

You can also visit your nearest BRAC office or email [email protected] to apply and to learn about the LEAD Project Investment Fund.

Closing date is December 2, 2014!

Karuranga's letter wishing President Kikwete a speedy recovery

Last Sunday (09/11/14) the world was informed that the Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete, was in the United States receiving medical treatment.
The Tanzanian Directorate of Presidential Communications issued a statement saying that the President, who is 64, had prostate surgery over the weekend. The statement announced that the operation was performed at the Johns Hopkins Hospital, Baltimore, Maryland.

The surgery, which took some ninety minutes, was accomplished safely and successfully. The President's doctors were pleased with his condition after the surgery, although he was still in a ward under medical supervision. The statement went on to say that the public will be kept informed of the President's condition.

President Kikwete is a neighbour, a friend and a strong advocate of regional cooperation. The Rwanda People's Party strongly supports regional cooperation as it offers a way to secure social, political and economic emancipation for the region and its peoples. On my behalf and on behalf of my party, the Rwanda People's Party and all Rwandans, I would like to wish President Kikwete a very speedy and full recovery. My party will, also join his family, friends as well as millions of Tanzanians in praying for the President.

John V Karuranga
President Rwanda People's Party

Kuhusu Maabara: DC aagiza Mwalimu Mkuu, Afisa Mtendaji waadhibiwe

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile, ameuagiza uongozi wa halmashauri hiyo, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mayanga, kwa kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.

Pia ameagiza watendaji hao kushushwa vyeo kutoka Ofisa Mtendaji wa Kata hadi Mtendaji wa Kijiji, ambapo kwa upande wa Mwalimu Mkuu wa Sekondari ya Mayanga, kwa sasa anatakiwa kuwa mwalimu wa kawaida.

Aidha, ametoa angalizo kwa watendaji wote wa halmashauri hiyo watakaoshindwa kuendana na kasi ya utekelezaji wa agizo la ujenzi wa maabara, kuwa ni bora watafute kazi zingine mapema.

Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya maendeleo ya ujenzi wa maabara ndani ya wilaya yake.