Help Interpol find Amhed Kamran who smuggled live animals from Tanzania

Amhed Kamran, 29. Credit: Interpol
Nine suspects, whose crimes range from illegal crab fishing to smuggling 'a small zoo' out of Tanzania and illegal toxic waste dumping, have been featured on Interpol's first-ever 'Most Wanted' appeal to help catch criminals accused of environmental crimes.

'Noah's Ark in reverse'

Ahmed Kamran, 29, is wanted in Tanzania for 'unlawful exportation of government trophies'. In what some have called 'Noah's Ark in reverse,' Mr Kamran is suspected of co-ordinating the illegal smuggling of private zoo. Live animals including four live giraffes, impalas, 68 Thomson's gazelle and several other species.

Call for applications for the 2015-2017 ODI Fellowship Scheme

We are now inviting applications for the 2015-2017 Fellowship Scheme; the deadline is 17 December 2014.

Requirements

The Fellowship Scheme is open to candidates of any nationality. You must have a Masters or PhD in economics, econometrics, statistics or a related field. Suitable specialisms include agricultural, environmental, international, health or development economics.

You must also be willing to commit to a two-year posting in any of the participating countries.

We are looking for candidates who have a demonstrable interest in development; relevant work or voluntary experience in a developing country; French, Portuguese or Swahili language skills; and strong computer skills.
Application and selection process

Applications must be submitted via our online application form.

Tanzania's Nasibu Adul ‘Diamond’ and Ally Edha Awadh in Future Awards Africa 2014 finalist

Unveiling the list of The Future Awards Africa (TFAA) finalists for the 2014 edition, Elikem Nutifafa, who is member of the Independent Audit Committee said:

“We are delighted to announce the finalists for this year’s awards. It was a painstaking process but we are happy that the quality of nominations keeps rising every year;” “These are the brightest stars of Africa’s today, and future, the organizers said in a statement made available to Vanguard.

The finalists are:

TFAA Prize in Technology
Jamilia Abass, Linda Kwamboka & Susan Oguya (Kenya)
Mark Essien (Nigeria)
Joshua Okello (Kenya)

TFAA Prize in Community Action
Jake Okechukwu (Nigeria)
Nixon Ochatre (Uganda)
Tricia Ikponmwonba (Nigeria)

UK, International donors suspend Tanzania aid

International donors have suspended nearly $500m (£311m) in budget support to Tanzania in response to claims that senior government officials siphoned off funds from the country’s central bank under the guise of energy contracts.

The chair of Tanzania’s public accounts committee, Zitto Kabwe, said several high-ranking officials colluded with corrupt businessmen to transfer $122m from a holding account in the central bank to private accounts overseas.

A group of 12 funders, including the UK’s Department for International Development (DfID), have given Tanzania $69m for general budget support so far this year and the group has committed to contributing $559m towards the current budget.

China and Tanzania conclude a month long historic naval exercise

China and Tanzania have concluded a month-long naval training exercise, the first joint training exercise in the history of bilateral military relations between the two countries.

The closing ceremony of exercise Beyond/Transcend 2014 was held on November 14 at Kigamboni Naval Base and attended by guests that included China’s ambassador to Tanzania, the chief of the Tanzanian military and heads of the navy and air force.

The exercise between the Chinese People’s Liberation Army Navy (PLAN) and Tanzanian People’s Defence Force (TPDF) kicked off on October 16 in Tanzania’s capital Dar es Salaam, with more than 100 navy officers and seamen participating, although the official opening ceremony was held on October 21.

C Chachage: Tatizo la Tanzania ni Waziri Mkuu?

Sakata la Zanzibar kujiunga na OIC na G55 kudai Tanganyika irejeshwe lilisababisha Waziri Mkuu abadilishwe. Mchakato wa utoaji wa zabuni ya uzalishaji wa umeme wa dharura kwa kampuni tata ya RICHMOND ulipelekea kujiuzulu kwa Waziri Mkuu. Ugawanaji wa fedha za akaunti tete ya ESCROW unaweza kumuondoa Waziri Mkuu.

Kwa nini Tanzania ilianzisha cheo hiki cha Waziri Mkuu? Ilikianzisha ili iweje ilhali kuna Rais Mtendaji? Nini kilipelekea hilo ukizingatia kuna Katibu Mkuu Kiongozi?

Majibu ya maswali haya yanaweza kutusaidia kubaini kwa nini tunashindwa kutatua matatizo ya utendaji na ufisadi nchini. Karibu kila mara kunapokuwa na mgogoro mkubwa wa kiutendaji au kiufisadi suala la Waziri Mkuu linajitokeza. Pengine tatizo kubwa tulilo nalo ni nafasi ya Waziri Mkuu. Kama ni hivyo ‘tuutatue’ Uwaziri Mkuu.

Doris Mollel na MAK Solutions Ltd wachangia vitabu S/M Mpunguzi

Doris Mollel akikabidhiwa vitabu 200 na mkurugenzi wa MAK Solutions Bi Meetal Kirubakaran. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwa shule ya msingi Mpunguzi iliyopo Dodoma kama mchango wa kuadhimisha siku ya watoto duniani.(Picha zote na Albert Manifester).

Katika kuadhimisha siku ya watoto duniani inayofanyika tarehe 20 Novemba kila mwaka, Mrembo wa Redds Miss central Zone 2014 Doris Mollel amechangia Vitabu vyenye thamani ya Shilingi Milioni moja (1,000,000/=) katika shule ya msingi Mpunguzi iliyopo katika kijiji cha Mpunguzi mkoani Dodoma.

Doris, ambaye pia ni mshindi wa tatu kwenye Redds Miss Tanzania 2014 amejikita katika sekta ya elimu kama sehemu ya huduma zake za jamii ambapo amedhamiria kuendeleza mchango kwenye elimu ya msingi kwa kuchangia vitabu kwenye shule zenye uhitaji zaidi.

Udini: “Wanafunzi kulazimishwa kuingia darasani au kufanya mitihani siku za ibada”

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imezuia uongozi wa vyuo vikuu nchini kuwalazimisha wanafunzi kuingia darasani au kufanya mitihani kwa siku zao za ibada.

Ingawa hazikutajwa, siku maalum za ibada zilizozoeleka kwa madhehebu mengi ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.

Agizo la Serikali limetolewa na C.P. Mgimba kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Barua hiyo ya Novemba 11, mwaka huu yenye kicha cha habari: “Wanafunzi kulazimishwa kuingia darasani au kufanya mitihani siku za ibada”, imepelekwa kwa Makamu Wakuu wa Vyuo, Wakuu wa Vyuo Vikuu Vishiriki; Wakuu wa Vyuo- Vyuo Vikuu na Vyuo Vishiriki vya Umma na Binafsi, Tanzania Bara.

Inasema: 
“Wizara imepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini na wanafunzi kuhusu kuingiliwa kwa uhuru wa kuabudu kwa kulazimisha wanafunzi kuhudhuria mihadhara au kufanya mitihani siku za kuabudu kinyume na imani zao za dini.

African Diaspora Awards Honors Extraordinary Individuals from the Diaspora

NEW YORKNov. 19, 2014 /PRNewswire/ -- In one of the most electrifying and highly anticipated awards shows, some 400 attendees came out in full force to salute exemplary individuals who are working towards the advancement of Africans in the Diaspora and in Africa at the 4th Annual AFRICAN DIASPORA AWARDS, held on Nov. 15 at Gerald W. Lynch Theater at John Jay College in New York City.

The 2014 Honorees were: Actor of the YearGer Duany, star of "The Good Lie" [South Sudan]; Creative Artist of the Year: Kemi Adetiba [Nigeria]; Entrepreneur of the Year: Meck Khalfan, Puku Charger [Tanzania]; Community Leadership Award: Semhar Araia, Dawn Inc. [Eritrea]; Musician of the Year: Somi [Rwanda-Uganda]; Friend of Africa: Bernadette Paolo, The

Polisi aliyeua mwanafunzi Chuo Kikuu ahukumiwa kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa.

Aidha, mahakama hiyo imewaachia huru washitakiwa wengine wawili wa kesi hiyo, polisi wa upelelezi, Shaaban, F 7769, na polisi wa kike mpelelezi, Neema, F 6545, baada ya kuwakuta hawana hatia.

Hukumu hiyo ya kesi namba 16 ya mwaka 2013, ilitolewa jana mjini hapa na Jaji Rose Temba, baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na pande zote mbili.

Yadaiwa alifariki akifanya mapenzi ndani ya gariPolisi mkoani Kagera inachunguza kifo cha mmiliki wa ukumbi wa klabu ya usiku ya Linas Night, Leonard Mtensa (50) ambaye inadaiwa alifariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye gari lake.

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema Mtensa, ambaye alikuwa na mpenzi wake kwenye gari maeneo ya Buyekera, alifariki dunia kabla ya kufikishwa kituo cha afya cha ELCT Ndolage.

Tanzania denies plans to evict Maasai from Loliondo for a hunting park

Tanzania on Thursday dismissed as false claims by activists that it is planning to evict thousands of members of the Maasai community from their traditional lands to create a hunting park.

Global activist group Avaaz alleged earlier this week that Tanzania had ambitions to turn 1,500 square kilometres (580 square miles) of land in the Loliondo district into a hunting reserve for a company catering to the royal family of the United Arab Emirates.

Hali ni mbaya! Usiku ni mlinzi kituoni, Mchana ni mtoa huduma kliniki

Mlinzi, Mhudumu


Kituo cha afya Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa watumishi hali iliyofanya mlinzi wa usiku wa kituo hicho Boaz Selelo Kiganamo kutumika kama mtoa huduma katika kliniki ya baba,mama na mtoto.

Hali hiyo inatokana na ongezeko kubwa la kina mama wajawazito wanaohudhuria kliniki sambamba na kuwahi kituo cha afya wakati wa kujifungua ikiwa ni matokeo ya kampeni inayojulikana kama Thamini Uhai okoa maisha ya mama na mtoto inayoendeshwa na shirika la World Lung Foundation.

Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Nguruka,Staford Chamgeni amekiri kuwepo ongezeko kubwa la mama wajawazito na watoto wanaohudhuria kwenye kituo na kubainisha kwamba ongezeko halilingani na ikama ya watumishi waliopo.

Mhe. Shy-Rose Bhanji adaiwa kumpiga Mhe. Kessy; Serikali yakanusha

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji ameingia katika mgogoro mpya baada ya kutuhumiwa kumpiga mbunge mwenzake kutoka Tanzania, Dk Nderakindo Kessy jijini Nairobi, Kenya.

Bhanji, ambaye amekuwa katika mgogoro na wabunge wenzake kwa kipindi cha miezi miwili sasa, anadaiwa kumvamia Dk Kessy na kumpiga mgongoni.

Akizungumza kwa simu kutoka Nairobi, Dk Kessy alisema tukio hilo lilitokea bungeni juzi jioni baada ya kikao kuahirishawa.

“Kwa kuwa muda wa Bunge ulikuwa umeisha nisingeweza kuipeleka kesi hiyo bungeni badala yake ikawa shambulizi na niliambiwa kiutaratibu nikaripoti Kituo cha Polisi cha Bunge ambako baadaye nilikwenda na kupatiwa cheti cha matibabu,” alisema Dk Kessy.

The Rwanda People’s Party statement on the present violence in JerusalemRef: RPP/IPC-01/19NJ14/3999/N2014/JK/CVJ/1SS-JPS/01MES

The Rwanda People’s Party statement on the present violence in Jerusalem

Today (18/11/14) we learned of the cold blooded murders of five Jews in a Synagogue. In the same attack eight people were injured, four of them critically. All right minded people will condemn this act of terrorism. The Rwanda People’s Party condemns unequivocally this and all acts of terrorism and urges an end to the present cycle of violence in the Holy City of Jerusalem. On behalf of myself and of my Party I wish to extend my heartfelt sympathy to the Israeli government and the family and friends of all those who died in the attack and my deepest sympathy to those injured.

Mkuu wa Wilaya Temeke ashauri Vodacom isambaze huduma zaidi

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Shophia Mjema wa kwanza (kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Mbagala zakiemu jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.Hafla hiyo imefanyika leo.


Mkuu wa wilaya ya Temeke Sophia Mjema ametoa ushauri kwa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kufungua zaidi vituo vya kutoa huduma kwa wateja wilayani humo ili kuwawezesha wateja wake kupata huduma kwa karibu badala ya kuzifuata mbali na kupoteza muda mwingi ambao wangeutumia kufanya shughuli za uzalishaji.Alitoa ushauri huo wakati akifungua duka la Vodacom la Mbagala ambapo pia alitoa pongezi kwa hatua hiyo.

Katika kuhakikisha wakazi wa vitongoji vya Mbagala na maeneo jirani ya Mtoni,Temeke na Tandika wanapata huduma kwa karibu,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom leo imefungua duka jipya katika eneo la Mbagala Zakiemu.

Serikali ichukue hatua thabiti kupunguza uhaba wa dawa


Description: Description: Sikika-Logo.JPG

Taarifa kwa Vyombo vya Habari, 19 Novemba 2014

Serikali ichukue hatua thabiti kupunguza uhaba wa dawa

Tunasikitishwa na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala la upungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika sehemu mbalimbali nchini lakini serikali bado haijachukua hatua madhubuti, jambo ambalo linaweza kuchangia wagonjwa kuteseka zaidi na hata kusababisha vifo.

Sikika ilitegemea serikali ingeangalia janga hili kwa makini zaidi na kulipa mara moja deni lote (Tshs bilioni 90), linalodaiwa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Badala yake ni Tshs. bilioni 20 tu zilizotolewa mpaka sasa na nyingine Tsh bilioni 11 zilizoahidiwa kutolewa ndani ya mwezi mmoja. Kutokana na unyeti wa suala hili ambalo linagusa maisha ya wananchi, tungependa kuona serikali ikilipa fedha zote inayodaiwa na MSD ili kuiwezesha kufanya kazi ipasavyo na kupunguza upungufu wa dawa na vifaa tiba uliojitokeza nchini.

Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo yakagua madaraja Luhekei, RuvumaKiongozi wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (mwenye koti jekundu) pamoja na timu yake wakijionea Daraja la Luhekei C lenye urefu wa meta 60.