WHO Disease outbreak! Plague – Madagascar

On 4 November 2014, WHO was notified by the Ministry of Health of Madagascar of an outbreak of plague. The first case, a male from Soamahatamana village in the district of Tsiroanomandidy, was identified on 31 August. The patient died on 3 September.

As of 16 November, a total of 119 cases of plague have been confirmed, including 40 deaths. Only 2% of reported cases are of the pneumonic form.

Cases have been reported in 16 districts of seven regions. Antananarivo, the capital and largest city in Madagascar, has also been affected with 2 recorded cases of plague, including 1 death. There is now a risk of a rapid spread of the disease due to the city’s high population density and the weakness of the healthcare system. The situation is further complicated by the high level of resistance to deltamethrin (an insecticide used to control fleas) that has been observed in the country.

Public health response

The national task force has been activated to manage the outbreak. With support from partners –

Jinsi ya kukata kamba ukitumia kamba ikiwa huna kifaa cha kukatia

Fellowship Program for Intellectual Exchange

Application deadline has been extended until Friday 28th November 2014.

The Fellowship Program for Intellectual Exchange is a program designed by The Japan Foundation to provide selected intellectuals with an opportunity to visit Japan and conduct their own individual research on a chosen topic as well as networking/exchange activities.

The research topic must be one that is appropriate for visiting Japan in the fields of humanities or social sciences, or for those who have practical experience in research, media, or non-profit organizations.

Taarifa ya dharura kuhusu mgogoro wa ardhi Loliondo

Taarifa ya Haraka kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Loliondo


Sisi Viongozi wa Mila, Kisiasa, Wawakilishi wa Wanawake tumesikitishwa sana na Taarifa ya uongo aliyoitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu juu ya ukweli wa Mgogoro wa Loliondo. Ifuatayo  ni ufafanuzi wa hali halisi kinyume na Waziri alivyodanganya Dunia kupitia BBC tarehe 19/11/2014 na Gazeti la leo la Mwananchi

  1. Kwamba eneo la Loliondo halina Wamaasai 40,000 watakaoadhirika endapo Serikali itatoa tamko Wakati  wowote sasa:
Jibu: Idadi ya wakazi katika eneo la km za mraba 1,500 ambavyo ni vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Oloipiri, Arash, Maaloni, Olorien/Magaiduru, Piyaya na Malambo ambavyo vina jumla ya wakaazi 57,532. Kwa mujibu wa sensa ya Taifa ya watu na Makazi ya 2012 kama ilivyo kwenye jedwali hapa chini.

SN
Kata
Idadi ya watu
1
Arash
7,841
2
Olosoito/Maaloni
4,353
3
Oloipiri
4,114
4
Soitsambu
10,956
5
Ololosokwan
6,557
6
Piyaya
5,303
7
Malambo
8,923
8
Olorien- Magaiduru
9,485
9
Orgosorok
1,521
10
Engusero Sambu
12, 268

Jumla
71, 321

Vijiji viwili (Engusero sambu na Orgosorok) venye idadi ya watu 13,789 hawana makazi katika eneo la mgogoro lakini ni watumiaji wa eneo hilo la malisho.Hivyo tunathibitisha kuwa watu watakaoathirika eneo hili likichukuliwa ni 71,321.Hivyo Waziri kusema eneo hilo halina watu 40,000 ni uongo mtupu.

Rais Kikwete atolewa nyuzi; Afya yake inaimarika

Rais Jakaya M. Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita. Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri. Kulia kwake ni Daktari wa Rais, Profesa Mohamed Janabi

Vodacom kinara wa kulipa kodi sekta ya mawasiliano

Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (wapili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na washindi watatu bora wakubwa walipa kodi. Kutoka kushoto ni Meneja wa Maswala ya kodi wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) Godfrey Ferdinand,. Wa pili ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza. Kulia ni Meneja Huduma wa Kampuni ya Tanzania Breweries, Alois Qande, wakati wa maadhimisho ya nane ya siku ya mlipa kodi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imekuwa ya pili kwa kuchangia pato la serikali kupitia kodi ikiwa inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano.

Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha Elimu ya walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania,Richard Kayombo, aliyataja makampuni 3 yanayoongoza kwa kufuata kanuni bora za ulipaji kodi na utunzaji wa kumbukumbu za kulipakodi nchini kuwa ni Kampuni ya Bia Tanzania,Kampuni ya Vodacom na Kampuni ya kutengeneza sigara.

Conference on Advancement of Geography for Sustainable Development of Tanzania

NATIONAL CONFERENCE ON THE ADVANCEMENT OF GEOGRAPHY FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT OF TANZANIA 20th-21 March 2015


A stronger community of Geographers has a greater influence on how geography is taught in schools and higher learning institutions, on geographical research that is capable of explaining patterns of resource use and misuse, allocation and re-allocations which characterise the contemporary world of resource grabbing. As such, a stronger geographical research community can inform policy for a better world. Yet, Tanzania has no an active community despite having trained many geographers within and beyond the borders.

Geography Department as an integral part of Mkwawa University College of Education (MUCE) has taken a responsibility to pull geographers in a national conference as a starting point for initiating an active Geographical Association of Tanzania. The Department has a duty of fostering the core functions of the College including knowledge exchange. It is in this regard that the Department of Geography at MUCE in collaboration with Geography Department at JK Nyerere Mlimani Campus is organizing a National Conference on Geography and Development. The main objectives of the Conference are as follows:

Msikilize J. K. Nyerere: "Tunaona taabu sisi kuungana kuwakabili wenye nguvu, Wenye nguvu wanaungana kumkabili mnyonge"

...Unachukua mali kutoka kwa masikini unapeleka kwa matajiri, mfumo gani huu? Mfumo wa shetani huu. Maana tunao Waswahili, jambo la kipumbavu likisemwa Kizungu linaonekana linaa maana sana. Uncultured. Uncouth. Tunaona taabu sisi kuungana kuwakabili wenye nguvu, Wenye nguvu wanaungana kumkabili mnyonge. Wanyonge hawaungani kumkabili mwenye nguvu...
Aliyasema hayo hayati, Julius K. Nyerere. Malizia kumsikiliza katika video iliyopachikwa hapo chini...


Shukurani: Said Michael

US President Obama's Speech on immigration

My fellow Americans, tonight, I'd like to talk with you about immigration.

For more than 200 years, our tradition of welcoming immigrants from around the world has given us a tremendous advantage over other nations. It's kept us youthful, dynamic, and entrepreneurial. It has shaped our character as a people with limitless possibilities – people not trapped by our past, but able to remake ourselves as we choose.

But today, our immigration system is broken, and everybody knows it.

Families who enter our country the right way and play by the rules watch others flout the rules. Business owners who offer their workers good wages and benefits see the competition exploit undocumented immigrants by paying them far less. All of us take offense to anyone who reaps the rewards of living in America without taking on the responsibilities of living in America. And undocumented immigrants who desperately want to embrace those responsibilities see little option but to remain in the shadows, or risk their families being torn apart.

It's been this way for decades. And for decades, we haven't done much about it.

Compaoré aalikwa na Mfalme Mohammed VI


Aliyekuwa rais wa Burkina Faso, Blaise Compaoré, amewasili Morocco kwa mwaliko wa Mfalme Mohammed 6. (AFP/Georges Gobet)

Aliyekuwa rais wa Burkina Faso, Blaise Compaoré amewasili Morocco akitokea Côte d'Ivoire Alhamisi Novemba 20. Ikulu ya Côte d'Ivoire imeiambia RFI kwamba rais huyo wa zamani wa Burkina faso amejielekeza Morocco kwa mwaliko wa Mfalme wa taifa hilo, Mohammed 6.

Blaise Compaoré amekua akiishi katika mji wa Yamoussoukro, baada ya kujiuzulu Oktoba 31 mwaka 2014 kufuatia maandamano ya raia yaliyoitishwa na upinzani pamoja na vyama vya kiraia.

Morocco imejizuia kutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu sahihi aliko na muda gani ataishi nchini humo.

"Hatukubali! ...fedha kuibwa halafu wezi wanaishia kujiuzulu tu"

Hatutakubali kula peremende. Tunataka bunge lisimamie uwajibikaji mkubwa. Haiwezekani mchezo huu wa kuiba fedha za wananchi unaendelea Tanzania halafu wezi wa fedha hizo wanaishia kujiuzulu tu..Hatukubali.
Lazima bunge lichukue uamuzi mgumu. Lazima waziri mkuu apumzike, Baraza la mawaziri livunjwe, serikali iundwe upya na isimamie jukumu la kuwapeleka mahakamani raia na viongozi wote waliohusika ama kufanikisha au kupokea mgao wa fedha za ESCROW.
Na kisha pamoja na kuwashtaki, lazima hasa warejeshe fedha hizo, kisha wakapumzike kwenye magereza zetu bora.PERIOD!
Supu ya mbwa hunywewa ikiwa ya moto 

Mhe. Nimrod Mkono anyweshwa sumu; Kisa? Fedha za BoT escrow / IPTL

Musoma Rural MP Nimrod Mkono was poisoned while he was on a parliamentary trip to London, The Citizen has learnt.

Mr Mkono, who is also a prominent lawyer, fell ill suddenly in London. His doctors said he had been given poison that was meant to destroy his kidneys within 72 hours. “It was exactly two days after arriving in London and I collapsed as I attended to the matters that took me there,” he told The Citizen. “I fell unconscious and lost my memory for about six hours.”

Mr Mkono is reported to have suddenly started sweating profusely before he collapsed. “After I was attended to, the doctor in London said the poison was categorically damaging my kidney.” he told The Citizen.

According to Mr Mkono, he was warned shortly before flying to London that he should be careful and avoid the hotel booked for the delegation from Tanzania—and he chose to

Watafiti wahitimisha: Hakuna uhusiano wa elimu ya mzazi na ubora wa malezi

IMEJENGEKA dhana kwamba kiwango kikubwa cha elimu anachokuwa nacho mzazi kinaamaanisha ubora na ufanisi wa malezi. Katika nchi za ki-Magharibi kwa mfano, ubora wa malezi kwa maana ya uelewa wa mahitaji ya kisaikolojia ya mtoto umekuwa ukihusishwa na elimu ya wazazi inayokwenda sambamba na uwajibikaji wa kimalezi. Hali inaonekana kuwa tofauti katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara.

Tafiti zilizofanywa kwa nyakati tofauti katika nchi za Tanzania, Botswana, Naijeria na Lesotho zinaonesha kwamba hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu, kipato wala mafanikio ya kimaisha ya wazazi na ubora wa malezi ya watoto wao. Badala yake, katika hali ya kushangaza, wazazi wasio na elimu na wenye kazi zisizo na hadhi ndio wanaoonekana kuwajibika zaidi kuliko wenzao wenye elimu ya kuanzia Shahada na kuendelea.

Watu wa Ontario, Canada watembelea Jumuiya ya Wagonjwa wa Hemophilia

Dave Neal akiwafundisha vijana jinsi ya kujidunda wenyewe

Mtaalamu kutoka Hemophilia Ontario, Canada Bw. Dave Neal akiwafundisha vijana wenye tatizo la kutoganda damu au Hemophilia jinsi ya kujidunda sindano bila ya msaada wa daktari au muuguzi.

Mafunzo hayo yalifanyika katika washa iliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chama cha Hemophilia Tanzania kikishirikiana na Chama cha Hemophilia Ontario cha Canada tarehe 15/11/2014 na kufanyika katika ukumbi wa Salender Bridge Club, Dar es salaam.

Hemophilia ni ugonjwa unaowapata watoto wa kiume zaidi na mgonjwa hulazimika kuishi nao maisha yote. Ugonjwa husababisha uvimbe katika maungio ya mwili, ulemavu, maumivu makali, damu kuvuja bila ukomo pale mshipa unapokatika/ pasuka na mara nyingine upotevu wa maisha.

Kwa upande wa wanawake ugonjwa huu hujulikana kama Von Willebrand Disease (VWD). Vilevile unaondoa uwezo wa damu kuganda na hivyo damu kuvuja kwa muda mrefu au bila ukomo.

Maelezo zaidi tembelea; World Federation of Hemophilia - Home (www.wfh.org)

Picha ya mkutano wa wadau


  • Shukurani mdau R. M. kwa kutushirikisha taarifa hii.

Basi la kwanza linalotumia kinyesi cha binadamu, maji taka na vyakula vilivyooza laanza kazi

 (picha: Wessex Water/GENeco)

Basi la kwanza la Uingereza linaloendeshwa kwa kutumia kinyesi cha binadamu na vyakula vibovu limeanza kazi baina ya Bristol na Bath.

Basi hilo lenye uwezo wa kuchukua watu 40 liitwalo "Bio-Bus" linatumia gesi ya biomethane inayotokana na vyakula vibovu na maji taka pia.

Basi hilo linalozingatia masuala ya mazingira linaweza kusafiri hadi kilomita 300 katika tangi moja la gesi, linalochukua takriban kinyesi cha watu watano kuzalisha kwa mwaka.