Hiyo nyundo yake ivunjike...

Undergraduate scholarships for Zanzibaris

ANNOUNCEMENT FOR UNDERGRADUATE (BSc or BA) SCHOLARSHIPS OFFERED BY THE OMAN ACADEMIC FELLOWSHIP (OAF) PROGRAM


The Ministry of Education and Vocational Training of Zanzibar, in collaboration with the Ministry of Higher Education of Oman and the Oman Academic Fellowship (OAF) Joint Committee, is pleased to invite potential applicants of qualified Zanzibaris to apply for undergraduate scholarships under the Oman Academic Fellowship (OAF) Program for the academic year 2014/2015.

ELIGIBILITY REQUIREMENTS:
  1. All applicants must be Zanzibaris.
  2. Applicants must have completed Advanced Certificate of Secondary Education Examination (Form VI Certificate) with Division ONE or Division TWO. Preferences will be given to applicants with higher grades.
  3. Applicants must not exceed 25 years of age.
  4. Proof of study in Zanzibar for complete of 3 years of Secondary levels, from Form IV to Form VI.

APPLICATION PROCEDURES:

Safari hii ni mwanamke amekamatwa na silaha nje ya Ikulu

Mwanamke mmojamwenyeji wa Michigani amekamatwa nje ya Ikulu ya Marekani (White House) akiwa na bunduki muda mfupi tu baada ya Rais wa nchi hiyo, Barack Obama kuhutubia taifa akielezea sera na mpango wake kuhusu wahamiaji nchini humo.

Maafisa wa usalama walitaarifu kuwa mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina la April Lenhart (miaka 23) mkazi wa Mount Morris, Michigan alikamatwa mwendo wa saa mbili u nusu usiku siku ya Alhamisi.

Alikuwa anashiriki kwenye maandamano na watu wengine kaskazini mwa uzio wa Ikulu kabla ya kukamatwa na maafisa walioiona silaha hiyo (hand gun) aliyokuwa ameiweka sehemu ya mbele ya paja lake.

Sasa hivi anashikiliwa kwa makosa ya kumiliki silaha isiyosajiliwa na kubeba bastola bila leseni.