You choose; They donate! Help them make this Christmas special for the less fortunate

In light of the holiday season Hellofood and Rotary Club of Bahari (Dar es Salaam) is running a Corporate Social Responsibility campaign called Light Up A Soul. This campaign allows the public to go to the following page lightupasoul.hellofood.co.tz/csr and choose what they would like to donate and Hellofood will donate it for them.

MSD yatii ushauri wa Serikali wa kuweka alama

Bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa za umma pamoja na vifaa tiba ili kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.

Akizungumza na jijini Dar es Salaam kuhusu mikakati bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla ya dawa na vifaa tiba ili kusambaza dawa katika ngazi zote badala ya ile ya dawa kufikia ngazi za Wilaya.

“Ifikapo Januari 30 mwakani ,MSD itatekeleza mabadiliko yenye lengo la kuhakikisha dhima ya kuwezesha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vyenye ubora na bei nafuu ambayo kila Mtanzania anaweza kumudu. Utekelezaji huo ni vitendo na siyo kusema bila kufanya utetekelezaji”alisema Mwaifwani.

Tovuti ya gazeti la JamboLeo


Inapatikana kupitia anwani: jamboleo.co.tz