[video] Magufuli 'push-ups' Misenyi, KageraWatch Tanzania's CCM Presidential candidate, Hon. John Pombe Joseph Magufuli "wow!" the audience by showing off his physical fitness with a 1-2-3-push-ups on stage at a campaign rally in Misenyi, Kagera.


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akionesha umahiri wa afya yake kwa kufanya mazoezi ya Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini Karagwe, mkoani Kagera leo.


Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Nkwenda, wilayani Kyerwa, mkoani Kagera.


Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli na ahadi alizokuwa anazitoa.
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kyerwa, Swisbert Ntambuka wakati wa mkutano wa kampeni jimboni humo leo.


Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi katika Mji wa Nkwenda Jimbo la Kyerwa
Dk Magufuli akijinadi katika moja ya mikutano midogo midogo jimboni Kyerwa, Kagera


Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Posta ya Zamani mjini Ngara leo
Mgombea ubunge Jimbo la Nkenge, Balozi Diodorus Kamara akijinadi kwa wananchi wilayani Missenyi, Kagera.


Dk Magufuli akisisitiza jambo alipokuwa akijinadi wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Kyerwa, Kagera


Mrembo akionesha tabasamu baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli katika wilayani Misenyi, Jimbo la Nkenge.


Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Karagwe leo


Picha ya Dk Magufuli ikiwa imewekwa kwenye moja ya matairi ya Lori mjini Karagwe


Ni furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli kwamba akishinda urais Elimu itakuwa ya bure kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.


Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia CCM, Innocent Bilakatwe wakati wa mkutano wa kampeni mjini Karagwe leo


Mke wa mgombea ubunge Jimbo la Karagwe, Jennifer akitumia simu kupiga picha wakati mumewe akinadiwa na Dk Magufuli mjini Karagwe leo.