Handle heated arguments as you would child's tantrum


Dealing with someone else's emotions is always hard, and often it just involves letting someone blow off steam. 

When you find yourself in a heated argument, clinical psychologist with 40 years of experience Dr. Albert J. Bernstein says, as people often argue with adults rationally, no matter how upset they are, trying to talk them out of being angry rarely works however, treating them like you would a screaming child doesn't have to mean being condescending:

People say to me all the time, "You mean I have to treat a grown-up like a three-year-old?" I say, "Yes, absolutely." If you're a parent, what do you do with a tantrum? You ignore it, or at least you try to ignore it. But with an adult you try and talk them out of it, and it never works.
Here is a summary of Al’s 7 tips for turning difficult conversations into easy ones:

 1. Keep calm. 
 2. Treat’em like a child. You can’t talk them out of emotional outbursts and getting angry over it does nothing good.
 3. Say “Please speak more slowly. I’d like to help.” Slow it down. Don’t come off like you’re fighting back.
 4. Ask “What would you like me to do?” You gotta make’em start thinking in order turn off the rage machine.
 5. Don’t make statements. Ask questions. Explaining is veiled dominance. Questions get them thinking.
 6. Start sentences with “I’d like…” not “You are…” If you start with “I” it’s hard to be seen as attacking.
 7. Let them have the last word. Don’t let your ego blow it at the last minute.

So what does Al say is the single most important thing to do when dealing with people?

If you want to get along well with people and understand what’s going on in situations, whenever somebody says something to you, ask yourself, “Why is he saying this to me? What’s going on with him?” That is a doorway to understanding, a doorway to getting what you want, and also a doorway to compassion. Rather than judging the person, try and understand them.

The full post can be found by clicking here: Barking Up the Wrong Tree 

How to switch Android phone's layout for Left handed people

Image: android.wonderhowto.com)

By default, layouts in phones are set for right-handed people. If you're left-handed or prefer to use it on phones, you can switch the layout as follows:

 1. Go to the phone's "Settings" and hit "About Phone"
 2. Scroll down to see "Build Number" and tap it 7 times in quick succession to enable developer options. Once your phone tells you you're a developer, hit the back button to go to the main settings
 3. Scroll down to the bottom to see "Developer Options" and Tap it
 4. Scroll down and tap the box to enable "Force RTL layout direction".

The layout should instantly switch.

Iringa International School

Rais Kikwete azindua nyumba za Wanajeshi Gongo la Mboto


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Wasanii wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015. 

Picha: Ikulu

ZuRii House of Beauty kufunguliwa rasmi 12 Januari 2015Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015.

Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4.

Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.

Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK na Marekani Bei zao ni very affordable. Pia Kuna nywele aina zote kuanzia huma hair za kawaida na Natural Human Hair like Brazilian, Peruvian, Closures na ma lace wig ya ukweli. Bei zao ni nafuu sana karibuni mjionee wenyewe.

Wamiliki wa salon za kike, kiume na kucha pia mnakaribishwa kujipatia bidhaa zenye ubora wa hali ya juu.

Wasiliana nao kwa kuwafollow kupitia acc yao personal ya

Instagram @officialjestinageorgeblog au @zuriihouseofbeauty

Contact details +255 752 019 597 au +255 65 918 9769 Whatsapp ni +447557304940 (Business Enquires Only Please).

Email: [email protected]

MSIKOSE SIKU YA UZINDUZI BEI ZA SALE! Karibuni!

Jamani! Wambaka mtoto hadi kufa na kumweka kwenye sinki


MWANAFUNZI wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Rwanda Nzovwe jijini Mbeya , Elika Mkubwa (8), amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema baada ya watu hao kufanya unyama huo, waliuweka mwili wa mtoto huyo katika sinki la kuogea kwenye nyumba moja ambayo haijakamilika ujenzi wake. Pamoja na hayo, alisema upelelezi bado unaendelea ili kuwabaini waliohusika na tukio hilo.Akizungumza eneo la tukio, kiongozi wa Mtaa wa Ilomba, Ezekiel Mwakalandwa, alisema taarifa za mauaji hayo alizipata jana asubuhi kupitia kwa majirani zake.


Akizungumza eneo la tukio na paparazi huru, kiongozi wa Mtaa wa Ilomba, Ezekiel Mwakalandwa, alisema taarifa za mauaji hayo alizipata jana asubuhi kupitia kwa majirani zake.


"Nilipota taarifa hiyo, niliongozana na majirani tukiwa na ndugu wa marehemu na kushuhudia mwili wa mtoto huyo ukiwa umelazwa kwenye sinki la kuogea huku sehemu zake za siri zikiwa zimeharibiwa vibaya."

Mama mlezi wa mtoto huyo, Sala Mwandobo, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani kwake Januari 7 mwaka huu baada ya kuaga anakwenda kufua nguo za shule eneo la chemchemi ya maji lililopo mbali kidogo na nyumbani kwake.


Polisi Mara yakamata SMG 2 na risasi 167Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mara, Philip Kalangi akizungumza na wanahabari kuhusiana na operesheni iliyokamata bunduki mbili aina ya SMG na risasi 167 pamoja na bidhaa mbalimbali kama vile mafuta ya chakula, ngano, sukari na bidhaa nyinginezo.Baadhi ya vilivyokamatwa