Mahojiano na Dk Talib Ali; Atoa 50% kwa Watanzania watakaotibiwa kwake


Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dk Talib Ali.

Yeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia.

Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati aliyonayo baadaye. Pia, ametoa punguzo la 50% kwa Watanzania watakaoenda kutibiwa kwake, pamoja na mpango wa malipo ya awamu kuwezesha watu kumudu gharama hizo.

Karibu...


Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com .

A fix for slow connections YouTube video buffer annoyances


SmartVideo For YouTube provides 'Smart Buffer' for slow connections; auto loop; buffer preferences; quality selection; and more.

Click here for Chrome users and here for Firefox users.

Waliopangiwa vituo vya kazi kwa kada za afya 2015

TANGAZO

NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2014/2015


Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwaarifu Wizara imeanza zoezi la kuwapangia vituo vya vya kazi Wataalam wa Kada za Afya kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

Wataalam wote waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kwa waajiri wao ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo. Aidha,waajiri wanakumbushwa kuwasilisha taarifa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu wataalam ambaohawajaripoti ili kuona uwezekano wa kujaza nafasi zao.

Vilevile, waajiri wanakumbushwa kukagua vyeti halisi vya kidato cha IV na VI, Vyeti vya taaluma na vyeti vya usajili (kwa wataalam wenye masharti ya usajili kwa mujibu wa miundo yao yau tumishi).

Orodha ya majina ya wataalam waliopangiwa kazi pamoja vituowalivyopangiwa inapatikana kwenye tovuti ya wizara www.moh.go.tz. Wizara haitatoa barua za kupangiwa vituo vya kazi kama ilivyokuwa awali.

Nawapongeza wataalam wote kwa kupata nafasi ya kutumia utaalam wenu katika kuwahudumiwa wananchi, na ninawatakia kazi njema na utumishi uliotukuka.

Imetolewa na:-
Katibu Mkuu
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
06 Januari, 2015

2015 Call for MSc Scholarships at Universities in Denmark

Danida Fellowship Centre (DFC) on behalf of Danida, Ministry of Foreign Affairs, Denmark,calls for applications for MSc Scholarships under the Building Stronger Universities Programme.

The Programme offers 38 two-year full-time scholarships available for commencement in September 2015.

Bachelor graduates from the following universities are eligible to apply:

  • Ghana: University of Ghana and Kwame Nkrumah University of Science and Technology 
  • Tanzania: Sokoine University of Agriculture, Kilimanjaro Christian Medical College, and State University of Zanzibar
  • Uganda: Gulu University
  • Nepal: Kathmandu University.

The aim of the MSc Scholarship Programme is to provide talented students from Southpartner universities with the opportunity to obtain a master's degree from a Danishuniversity in order to contribute to the development of their countries. In addition to theirprofessional studies, it is expected that the students will obtain good knowledge of theDanish society, culture and values as well as the opportunity tonetworking with Danishstudents, companies and organisations.

The following English-taught master studies are included in the Programme:

Deadline for applications: 1 March 2015

Deadline for applications: 15 March 2015
Application process:

The applicants must apply directly to the relevant Danish university by following the links provided above, indicating clearly in the application portal that he/she is applying for a BSU Scholarship.

Please note that some of the Danish universities may require an application fee to be paid before the application is processed

The applications will be processed by the study administration at the relevant Danish university and will be assessed on the same criteria as any other application to the Programme.

Please note that an IELTS or TOEFL language test may be required as part of the admission requirement. In order to be awarded a Scholarship from DFC, the test has to be received by the University no later than 1 June 2015 (even if the deadline is at a later date at the university).

Any questions regarding the admission requirements and programme must be addressed directly to the study administration at the specific university.

Award of a scholarship:

Please note that even if you are accepted by the Danish university, there is no guarantee that you will be granted a BSU scholarship. The scholarships will be awarded on a strictly competitive basis with focus on grades and level of English.The award of scholarships is carried out according to the following criteria:
  1. The grants are awarded according to the best possible allocation among BSU countries, BSU universities and gender.
  2. Students under the age of 30 are given priority.
  3. Grants will be allocated, if possible, between the participating Danish universities in proportion to their size and with a minimum of 2 candidates in each of the provincial towns.
  4. Applicants who do not already have a master degree will be given priority.

The successful applicants will be offered a scholarship which will cover tuition fee, travel costs, field work cost in home country, accommodation and allowances during the study period.

Please take note that accommodation and allowance for spouse and children are not included in the Programme.

DFC will cover the expenses in connection with language test and application fee, if the applicant is awarded a scholarship.

DFC will be responsible for the residence permit application process, travel arrangements,and accommodation while in Denmark, payment of allowances, insurances, etc.

Study start will be 1 September 2015, but most programmes will include one to two weeks introductory course, which will take place in August 2015.

[video] Ilivyokuwa katika mazishi ya Fidel Odinga

Kifungua mimba wa familia ya kinara wa siasa nchini Kenya, Raila Odinga (CORD) aliaga dunia nyumbani kwake eneo la Karen asubuhi ya Januari 4, 2015. Ili kujua zaidi kuhusu tetesi za chanzo cha kifo hicho na shughuli ya mazishi kwa ufupi, tafadhali tizama video zilizopachikwa hapo chini...Wadau wa soka kuendelea kupata habari za michezo kiganjaniKutokupoteza muda mwingi kutafuta habari
Ni kupitia Vodacom Tanzania


Wadau wa soka nchini na wateja Vodacom Tanzania kwa ujumla wanaendelea kupata habari za soka zinazohusiana na ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(VPL)Ligi kuu ya Uingereza,na masuala mengine mengi yanayohusiana ya burudani kupitia simu zao za mkononi kupitia huduma maalum iliyozinduliwa mwaka juzi.

Katika huduma hiyo ambayo inawafanya wateja kupata burudani ili kupata taarifa hizo za michezo na burudani anachotakiwa kufanya mteja ni kutuma neno SPORTS kwenda namba 15775 na hapo mteja atajipatia habari motomoto na burudani kwenye simu yake ya mkononi mahala popote pale aliko.

Akiongea kuhusu huduma hii Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu amewasihi wapenzi wa soka na watanzania kwa ujumla kuitumia huduma hii ambapo itawarahisishia kujipatia habari motomoto za michezo na burudani kwa urahisi bila kupoteza muda mwingi.

“Ni rahisi kupata habari za michezo kwa pamoja kupitia simu yako ya mkononi kupitia huduma hii ukiwa popote pale badala ya kupoteza muda mwingi wa kusubiri kusoma magazeti au kufika manyumbani kusikiliza radio na kuzitafuta kwenye intanent,kwa kujiunga na huduma hii utaona maisha yanakuwa murua na tunawaaidi wateja wetu tutaendelea kuboresha huduma zetu na kuwaletea huduma zilizo bora na zenye manufaa kwao”. Alisema Nkurlu.

Vodacom imekuwa ikiboresha huduma mbalimbali ili ziweze kwenda na wakati na kuwanufaisha na kuwapatia burudani wateja wake ambapo mwaka jana ilizindua huduma ya kipekee ya shinda na kabumbu ambayo iliwawezesha wateja wengi kujishindia zawadi za kila aina ikiwemo fedha taslimu.Mbali na huduma kama hizo za michezo Vodacom imekuwa ikiandaa promosheni za kubadilisha maisha ya wateja mojawapo ikiwa ni ile ya Timka na bodaboda na Vodacom milionea ambapo washindi waliweza kujishindia pikipiki na fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 100.


Mbunge wa Mbeya Mjini anusurika kifo baada ya gari kupinduka

Gari la Mhe. Mbilinyi lililopata ajali

Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi al maaruf, Mr Sugu wa CHADEMA amenusurika kifo baada ya gari lake kupinduka katika mlima Kitonga katika wilaya ya Kilolo kwenye barabara kuu ya Iringa - Dar es Salaam.

Imeelezwa kuwa ajali hiyo ilitokea majira ya mchana wa jana Jumamosi, Januari 10, 2015 wakati Mhe. Mbilinyi alikpouwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. Hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa kupata michubuko.

Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuwa taarifa kamili itatolewa baada ya kurejea kwa askari polisi waliokwenda katika tukio hilo.
"Mr. Sugu" akiwa Hospitali


Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi akifanya mawasiliano kwa ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi (watatu kushoto) akizungumza namna hali ilivyokuwa mpaka kupata ajali hiyo.