Madiwani Tanga wagonga meza mfululizo na kuvunja kikao

Zilipendwa: Hangaika Ee - Orchestra Safari Sound

eCopy/Soft copy: Sera ya Elimu na Mafunzo 2014

Rais Kikwete azindua Sera mpya ya Elimu na Mafunzo 2014

Rais Jakaya Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam, Ijumaa Februari 13, 2015. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik

Rais Jakaya Kikwete leo amezindua Sera ya mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambapo kwa mujibu wa sera hiyo, pamoja na mabadiliko mengine miaka ya kupata elimu ya awali imepunguzwa kutoka miaka miwili hadi mwaka mmoja.

Sera hiyo pia inapunguza umri wa kuanza darasa la kwanza kuwa miaka mitano badala ya miaka saba na muundo wa elimu utakuwa ni 1+6+4+2+3+ badala ya 2+7+4+2+3+ ili mhitimu amalize mzunguko wa masomo kwa muda mfupi.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika shule ya sekondari Maji ya Chai iliyoko Kiwalani jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete amesema kuwa lengo kuu la sera hiyo ni kuifanya Tanzania ifikie lengo lake la kuwa Taifa lenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Rais Kikwete amesema kukua kwa uchumi na ongezeko la watu nchini kumezua changamoto nyingi, hivyo ni lazima elimu inayotolewa ikidhi matatakwa ya mabadiliko huku akiitaka Wizara ya Elimu kuwa na utaratibu wa kitabu kimoja cha kufundishia kwa kila somo nchi nzima.

Amesema kwamba utaratibu unaotumika sasa kila shule kuwa na kitabu chake cha kufundishia ni chanzo kikuu cha watoto kufeli.

Rais Kikwete pia amezindua maabara za shule za sekondari kitaifa ambapo amesema katika kutambua umuhimu wa elimu nchini, bajeti ya Wizara ya Elimu imeongezeka kwa asilimia 20.

Akizindua maabara kitaifa Rais Kikwete amewataka viongozi ambao hawajakamilisha ujenzi wa maabara katika maeneo yao kuongeza juhudi kwani kipindi cha miezi sita alichoongeza kitaisha akiwa madarakani hivyo hatasita kuchukuwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwafukuza kazi au kutengua uteuzi.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Shukuru Kawambwa amesema lengo la kuanzisha sera hiyo ni kuhakikisha watoto wa Kitanzania wote wanapata elimu bila ubaguzi na kwamba sera imebainisha maeneo ambayo serikali na wadau watayawekea mkazo zaidi ili kutoa elimu bora.

Akitoa taarifa ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari mkoani Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo Bwa. Said Mecky Sadick amesema maabara 281 zenye thamani ya shilingi bilioni 10.9 zimejengwa, huku mkuu wa Wilaya ya Ilala akitoa taarifa ya ujenzi wa maabara ya kisasa iliyotumika kuzindua maabara zote nchini.


Kuhusu leseni ya biashara ya duka la hardware na ada zake

Update:
Maoni ya mchangiaji:
Kupata leseni, Wizara ya Viwanda na Biasha ipo Waterfront kama unaeleke Mbagala ukitoka Posta. Floor ya pili, kwa msahada zaidi.

Ujumbe wa msomaji ametuma akisema:

habari, naomba nifahamu kuhusu utoaji wa leseni ya biashara na ada zake.
mfano ukitaka kufungua duka la hardware, utaratibu ukoje na ada ni kiasi gani?

Katuni: Hebu pekua pekua inawezekana kuna chaguo bora zaidi...


Set out how your account on Facebook, Gmail, Yahoo! should be when you die"We all pass away sooner or later, leaving only a few memories behind for family, friends and humanity—and eventually we are all forgotten, But what if you could be remembered forever?" reads a startup website called Eterni.me on its landing page.

Eterni.me lets people continue to communicate with a digital replica of their loved ones after they die. Eterni.me plans to let you curate your own immortal avatar while you're living and choose who you make it accessible to when you pass on.

Other companies attempting to grapple with the legal and emotional challenges of the digital afterlife include:

Google introduced the Inactive Account Manager (click here) tool to protect the privacy of the deceased. 

Yahoo Ending (Yahoo! Japan) allows the living to prepare by crafting posthumous emails, canceling subscriptions and curating videos and photos to share when they're gone.

There is also QR codes on headstones, linking visitors to personalized Web pages for the deceased. 

Facebook announced Thursday that it is adding a new "legacy contact" feature — think of it as an emergency contact for your account in the case of death. As before, Facebook says the account of a deceased user will change to a "memorialized" status. But now, depending on the preferences the user has selected while they've living, Facebook says a family member or friend can:
  • "Write a post to display at the top of the memorialized Timeline (for example, to announce a memorial service or share a special message) 
  • "Respond to new friend requests from family members and friends who were not yet connected on Facebook 
  • "Update the profile picture and cover photo"


[Info via the NPR]


This Facabook's new system makes it much easier for family members or friends to take care of your Facebook account in unfortunate circumstances. Whoever you assign your legacy contact will be able to post things that appear at the top of your memorialized Timeline, respond to requests from friends and family members that may not have been connected to Facebook beforehand, and update profile pictures.

You can also set it up so that your Legacy Contact can download an archive of your photos, posts, and profile information for safe keeping (no private messages will be saved). Of course, your Legacy Contact can also have your Facebook account permanently deleted if that's what you prefer. 

Here are the steps to setting it all up:

  1. Go to your account Settings > Security > Legacy Contact.
  2. Then type in the name of the person you would like to make your Legacy Contact.
  3. You have the option to send them a message to let them know, but it's not required. Otherwise, they'll notified when Facebook becomes aware of your passing.
  4. Then select whether your Legacy Contact will have Data Archiving permission and whether or not you'd like your account to be deleted.

That's all there is to it. Again, this all might seem a little morbid, but it's really for the people you care about in your life. Your passing will be hard on everyone, and giving someone the ability to either memorialize your account or delete it can help. It also keeps your account from becoming dormant, possibly to be hacked into later on. You can learn more about Legacy Contacts at the link below.

It appears that the option is rolling out to everyone over time. If you don't have it yet, you'll probably get it soon.

[info from the LifeHacker]