Is running barefoot better than in shoes? Watch this...

A growing number of runners are abandoning their supportive, cushioned sneakers and choosing to run with bare feet. Punters say running without shoes is more natural, and can reduce running injuries.

But, what does the science say? Ruben Meerman is hooked up to monitoring equipment to measure the impacts of hoofing it barefoot and in runners.

EU yawatunuku Dk Helen Kijo-Bisimba, Fid Q, Keisha, Balozi Mpungwe, Paul Nduguru

Helen Kijo- Bisimba
Helen Kijo-Bisimba

Umoja wa Ulaya (EU) umemtunuku Bi. Helen Kijo-Bisimba kutokana na mchango wake kwa ajili ya kutetea na kulinda haki za binadamu nchini.

Tuzo hiyo, ilitolewa juzi na EU siku ya Jumanne wiki hii jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Mwaka wa Maendeleo Ulaya 2015.

Balozi wa Umoja wa Ulaya bwana Filberto Sebregondi alitoa tuzo hizo na kusema kuwa lengo lake ni kusimamia haki kwenye masuala ya kiulimwengu ikiwemo kupambana na umasikini na kuhamasisha raia kujihusisha na maendeleo.

Wengine waliotunukiwa tuzo katika hafla hiyo pamoja na Mama Bisimba ni wanamuziki Keisha Saban, Fareed Kubanda (FID Q), na Balozi Mpungwe, pamoja na Paul Ndunguru ambaey ni msanii na mchoraji.

EU imekuwa mstari wa mbele kupambana na vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu hususani ukatili dhidi ya Wanawake na watoto ikiwemo vitendo vya ukeketaji, ndoa za utotoni, na mauaji ya vikongwe.

Rais Kikwete awasili Burundi kulihutubia Bunge la EAC

Rais Jakaya M. Kikwete akipokea Maua kutoka kwa watoto waliokuja kumlaki katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bujumbura ambapo alianza ziara ya kikazi ya siku mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya Jumatano, Machi 18, 2015 amewasili nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo.

Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mji mkuu wa Burundi wa Bujumbura, Rais Kikwete amepokelewa na Rais wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza na pamoja na mamia kwa mamia ya wananchi wa Burundi.

Rais Kikwete ambaye amewasili Burundi akitokea Dodoma ambako alikuwa katika ziara ya kikazi pia leo Machi 19, 2015, atahutubia Bunge la Nchi Wanachama wa Afrika Mashariki (EALA) katika nafasi yake ya Uenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) katika hotuba ya The State of the East African Community Address.

Saa chache baada ya kuwasili Bujumbura, Rais Kikwete amehudhuria chakula cha jioni ambacho ameandaliwa na Rais Nkurunzinza kwenye Hoteli ya Panoramique.

Wabunge wa Bunge la EALA pia wamehudhuria chakula hicho cha jioni. Rais Kikwete ataondoka Burundi mara baada ya kuhutubia EALA kurejea mjini Dodoma kuendelea na ziara yake. Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza akimkaribisha Rais Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura leo jioni.Rais Kikwete yupo nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.Rais Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakipokea heshima wakati nyimbo za Taifa za nchi zao zikipigwaRais Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakikagua gwaride liloandaliwa na jeshi la Burundi.Rais Kikwete akiwa na Mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi jijini Bujumbura jana jioni.

Picha: Freddy Maro
Taarifa ya IKULU

Nyumba inauzwa Salasala, Dar es Salaam, mil 90/=House for sale. Bei poa only Tsh. 90 mil. 3 bedrooms, 1 master bedroom, public bathroom, kitchen, dinning and livingroom. 720 squre meter. Already surveyed and title is in process. Nyumba ipo Salasala kunduchi Skanska. Ina maji tayari, umeme upo nje hatua kumi tu bado kuingiza ndani.

Wasiliana na Josephat Makonda +255655477476 au Julieth Francis +255653174497


Kongamano - BBC & British Council: Tanzania na Vita ya Kwanza ya DuniaFor English version ad, see: BBC Tanzanian Event - World War One: Tanzania and Colonial War

TANZANIA NA VITA VYA KIKOLONI


Alhamisi, 19 Machi 2015
18.00 – 21.00hrs

BBC na British Council waandaa mdahalo wa wazi mjini Dar es Salaam kuhusiana na umuhimu na historia ya Vita vya Kwanza vya Dunia leo

Kwa ajili ya kuadhimisha Vita vya Kwanza vya Dunia, shirika la habari la BBC na British Council wanaandaa midahalo dunia nzima kutathmini kumbukumbu za kudumu za vita hivyo duniani. Midahalo hiyo ni wazi kwa umma.

Tunavikumbuka kama vita vya mataifa ya Ulaya, lakini miaka mia moja iliyopita dola za Uingereza na Ujerumani pia zilipigana vita hivyo vya dunia katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ugomvi wa kumiliki Tanzania ya sasa ulikuwa na madhara makubwa kwa watu wake.

Suala la rangi lilikuwa suala kubwa katika vita hivyo, kulikuwa na uhamaji mkubwa sana ya wanajeshi kati ya mabara , na pia simulizi za kijeshi kwamba masuala ya rangi na kabila yalipewa kipaumbelea katika mikakati ya vita duniani kote. Nchini Tanzania, pande zote mbili zilishindana kuwapata wanajeshi kutoka kabila la Wayao, ambao walisemekana kuwa ni wapiganaji bora. Waingereza pia walileta watu wa makabila yenye sifa za ‘wapiganaji’ kutoka India na Afrika ya Kusini. Makabila yasiokua na sifa hizo za kupigana katika Tanzania na Kenya yalitumiwa kama wachukuzi wa vifaa na mizigo, kazi ambayo ilikuwa ni ya hatari zaidi kuliko kupigana. Waingereza peke yao walikuwa na watumishi zaidi ya milioni moja kwa jina maarufu ‘Carrier Corps’ ambao walifanya kazi katika mazingira magumu. Takriban watu laki mbili kati yao walikufa katika vita hivyo. Wale ambao hawakupigana pia waliathirika. Pale Wajerumani waliposhindwa walichoma nafaka na mashamba na matokeo yake zaidi ya watu laki tatu kutoka ukanda wa Afrika Mashariki walikufa njaa.

Vita hivi viliaathiri vipi mustakbala wa Afrika Mashariki? vilibadilisha vipi ukoloni na fikra zao kuhusu makabila?. Vita hivi vilimaanisha kwamba Tanzania ilibadilisha utawala wa Wajerumani na kuja kwa Waingereza- je kuliathiri vipi vuguvugu la uzalendo nchini Tanzania?

Kwa ajili ya mdahalo huu maalum jijini Dar es Salaam, mtangazaji wa BBC Audrey Brown ataungana na wataalam kutoka Tanzania na nchi za kimataifa kama Mwanahistoria kutoka Afrika ya Kusini Bill Nasson wa Chuo cha Stellenbosch, Mwanahistoria kutoka India Santanu Das wa King’s College London, pamoja na Bw. Oswald Masebo kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Atawasilisha mada ya Kumbukumbu za Watanzania katika Vita Vikuuuu Afrika Mashariki. Watakaohudhuria siku hiyo katika British Council ya Dar es Salaam watapata nafasi ya kuchambua na kufahamu ni kwa namna gani Vita vya Kwanza vya Dunia vinapaswa kukumbukwa na maana yake kwa Tanzania.

Mkurugenzi Mkazi wa British Council Tanzania, Bw. Richard Sunderland anasema: “Tanzania na Uingereza zina historia ndefu iliyofungamana na yenye utajiri mkubwa. Mambo yaliyotokeo nyuma yanabaki kama msingi mzuri wa kutathmini mustakbala wetu.. Mdahalo huu unalenga kutafakari urithi tatanishi, wenye machungu lakini pia utajiri mkubwa. Hapa British Council, tuna imani ya kwamba uelewa wa mambo ya miaka iliyopita utatusaidia kujenga mahusiano mazuri zaidi baina ya Uingereza na Tanzania katika miaka ijayo.”

Mkurugenzi wa BBC World Service , Bi. Mary Hockaday anasema: “Midahalo hii inaonyesha jinsi matukio ya miaka zaidi ya mia moja iliyopita yanaweza yakawa muhimu kwetu leo. Nina uhakika ya kwamba mdahalo huu hautakuwa tofautii-kujaribu kuelewa madhara ya vita hivi kwa Tanzania na jinsi vinavyokumbukwa nchini kunachochea masuala muhimu na ya kusisimua kwa mashabiki wa BBC duniani kote.”

Kipindi cha redio cha Vita viliyoibadilisha dunia: Tanzania na Vita vya Kikoloni kitapeperushwa na BBC World Service saa 1800 GMT (saa 3 usiku za Afrika Mashariki) Jumamosi 11 Aprili 2015 na saa 11 GMT( sawa na saa 8 mchana za Afrika Mashariki) Jumapili 12 Aprili 2015.

Baada ya mjadala kufungwa , waandishi watakaohudhuria watapata fursa ya dakika 10 kuwauliza maswali wanajopo na muongozaji wa mjadala huo.

Maelezo zaidi kwa wanahabari wasiliana na :
[email protected]
[email protected]

Baada ya kuzinduliwa nchini Bosnia Juni 2014 na kumalizika nchini Jordan Juni 2015, mdahalo huu jijini Dar es Salaam ni wa 8 katika mfululizo wa midahalo ya Vita viliyobadilisha Dunia. Midahalo hiyo pia inaongozwa na Allan Little, Amanda Vickery na Razia Iqbal pia inajumuisha nchi za Ujerumani, Uingereza, Uturuki, India, Ufaransa, Australia na Marekani.

Wanaotaka kushiriki wanaweza kujisajili hapa https://www.eventsforce.net/britishcouncil/45/home

Notice to NMB Customers: Replace your cheque books


Mtaalamu wa kuunganisha 'apps'...


Ndiko tulikofika? Mtu amkata kidole mtoto (SIYO albino) na kutoweka nacho

Mtoto Chrispin akionesha kidole kilichokatwa

KATIKA hali isiyo ya kawaida mtu asiyefahamika amemkata kidole cha mkono wa kushoto mtoto wa miaka sita (siyo mwenye ualbino) na kutokomea nacho kusikojulikana katika mtaa wa Mtakuja eneo la Majengo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Akizungmza na mwandishi wa habari aliyefika nyumbani kwa mtoto aliyekatwa kidole jana Machi 17, 2015, Bi Lucy Savery (26) mama wa mtoto huyo ambaye ni mjane alisema mwane anaitwa Chrispin Leonard Nkana (6) wanaishi katika mtaa huo wa Mtakuja kata ya Majengo katika
Manispaa ya Sumbawanga.

Alisema kuwa juzi Machi 16, 2015 majira ya saa sita mchana alikuwa kibaruani kwake katika hoteli moja mjini Sumbawanga akapigiwa simu na majirani kuwa mwanae amekatwa kidole na mtu asiyefahamika na kuondoka nacho, alipofika nyumbani alimkuta mwane Chrispin akilia sana akiwa
amepakatwa na jirani yao.

Alisema walipomuuliza mwanae nani kamkta kidole alisema kuwa ni baba mmoja aliyefika akamkamata na kuingia nae kwenye shamba la mahindi akamfunga na nguo mdomoni akatoa mkasi mkubwa mfukoni na kumkata kidole kisha akakimbia kuelea ndani ya mahindi.

Alisema waliamua kumkimbiza hospitali ya Dk Artman (Kristu Mfalme) Sumbawanga wakaelekezwa wafike kituo cha polisi kwanza wapewe fomu namba tatu ndipo mtoto apate matibabu maelekezo ambayo waliyetekelezwa mtoto akatibiwa.

Alipohojiwa na mwandishi wa habari, mtoto aliyeumizwa, Chrispin Leonard Nkana alisema kuwa mtu huyo alikuwa amevaa suruali nyeusi na shati jeupe na kuwa aliwahi kumuona mara moja mashineni siku za nyuma.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Rukwa Jacob Mwaruanda alipoulizwa kuhusu tukio la kukatwa mtoto kidole eneo la Majengo mjini Sumbawanga alisema kuwa bado lipo kwa RCO wake bado halijafika kwake.

"Tukio hilo kwangu bado halijafika lakini kama walitoa ripoti polisi litakuwa katika ofisi ya RCO kwa hatua zaidi na wakilikamlisha faili wataniletea nami nitawapa taarifa tutakachokuwa tumebaini juu yake" alisema Mwaruanda.

WILLY SUMIA, SUMBAWANGA via Lukwangule blog: BAADA YA ALBINO MTOTO MWINGINE AKATWA KIDOLE

Study finds: Income level influences alcohol drinking


A person's income level influences the push and pull of genes and the environment, according to a study published Tuesday in the journal Alcoholism: Clinical and Experimental Review.

There was a lot more variation in how much people drank if they had lower incomes, with some drinking heavily and others drinking not at all, the researchers found. By contrast, people with higher incomes were more likely to drink, but also more apt to moderate their drinking.

Genetics had a bigger influence on drinking habits in low-income people, with environmental influences playing more of a role with higher-income people.

The researchers looked at data from 672 pairs of adult twins who were interviewed twice, 10 years apart. Some of the twin pairs were identical and had the same genes, and some were fraternal, no more genetically linked than any other siblings. And each pair shared the same environment growing up.

That gave the scientists the opportunity to tease out genetics vs. environment question more reliably than they could have for people who aren't twins.

The fact that genetics are more of a factor in the drinking habits of low-income people supports the widely held belief that the stresses of being poor could trigger genetic vulnerabilities.

And it also suggests that if you want to do research on how genes influence alcohol consumption, lower-income communities would be a good place to start.

But ultimately this study shows the complex, tangled influences on drinking behavior and how they play off each other. With alcohol one of the top 10 risk factors for death, disease and disability worldwide, getting a better grip on risk factors could make it easier to prevent problems and reduce the toll.

Here we go! Tanzania cuts Kenya flights by 30 per cent

The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) has cut the frequency of flights from Kenya by as much as 30 per cent, setting the stage for another round of diplomatic and trade disputes between the two East African countries.

Starting today, flights from Nairobi to Dar es Salaam have been reduced from 42 per week to 14, a decision that is bound to have a direct and adverse impact on tourism and trade between the two countries. 

In a letter seen by The Standard, TCAA has further cancelled all previously scheduled flights by Kenya's national carrier, Kenya Airways, pending a revised flight schedule. The decision follows a stalemate on the Bilateral Air Services Agreements (BASA), in which Tanzania blames Kenya for maintaining a hard stance despite eight years of negotiations.

"The United Republic of Tanzania regrets that the discussions could not come into consensus on the matter relating to principal place of business and effective regulatory control as a criterion for airline designation parallel to the majority ownership and effective control requirement," read the letter in part. 

TCAA further said the matter has been an agenda for the past eight years, raised for the first time by the Tanzania government in 2007. Delegates from the two countries met again in Nairobi in February 2011, and in Indonesia in November 2014 and discussed the matter. But it has not been resolved to date, with Tanzania claiming to be the biggest loser. 

"Having considered the gravity of the non-acceptance by Kenya of the proposed criterion by Tanzania and time taken, I am instructed to inform you that the Aeronautical Authorities of the United Republic of Tanzania wish to implement several actions before contemplating any future Basa review," read the letter.

"Total frequencies per week on Nairobi-Dar es Salaam route reduced to 14 per week from the current 42 per week. All previous approved Kenya Airways flights scheduled by TCAA were cancelled and hence the revised flight schedule. TRADE TIFFS TCAA has further restricted the entry and exit points to three: Kilimanjaro, Dar-es-Salaam and Zanzibar, with the type of equipment restricted to the Embraer 190 or Boeing 737-800. 

The Kenya government is yet to issue an official statement on the matter, with the Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) stating that the Ministry of Transport is the body mandated to speak on bilateral negotiations. "Any negotiations between governments are not going to be rushed but I would refer you to the Ministry of Transport for further comment," stated KCAA Communication Officer Mutia Mwandikwa. "However, under the East African Community spirit, the motive is to open up the regional airspace," he added.

The developments are the latest diplomatic and trade tiffs between Kenya and Tanzania. Last month, tour vans from Tanzania were denied access into the Jomo Kenyatta International Airport, setting the stage for frosty relations between tourism stakeholders from the two countries.

The move by Tanzania also comes barely three months after the presidents of Uganda, Kenya, Rwanda and South Sudan signed a pact on the management of the Northern Corridor Air Space bloc expected to reduce the cost of air travel in the region.

Pres. Ellen Johnson Sirleaf consoles Tanzania

President Ellen Johnson Sirleaf of Liberia has extended messages of condolence to the Government and People of the United Republic of Tanzania for the death of their citizens.

According to a Foreign Ministry release, the unfortunate death of 41 persons occurred in a truck accident in the Iringa Region in Tanzania.

The release further indicates that in her separate messages to her counterpart Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, President Sirleaf extended her heartfelt condolences to him and the bereaved families for the irreparable loss sustained.

The Liberian leader then prayed that the Almighty Allah will grant Dr. Kikwete and the People of Tanzania strength, courage and fortitude as they go through this period of national mourning.