Watoto 3 wa darasa la pili Kilimanjaro wakutwa wakilawitiana


Wanafunzi wa darasa la pili katika shule moja mkoani Kilimanjaro wamefumwa na mwalimu wao wakilawitiana kwenye moja ya shamba karibu na shule hiyo, huku mzazi mmoja akivamia shule hiyo kutaka kuwadhuru walimu kwa madai kuwa wanamwonea mwanaye.

[video] Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje akitangaza ruhusa ya safari magari na ndege baina ya Tanzania na KenyaJOINT STATEMENT BY FOREIGN MINISTERS OF TANZANIA AND KENYA FOLLOWING THE MEETING BETWEEN HIS EXCELLENCY JAKAYA KIKWETE, PRESIDENT OF TANZANIA AND HIS EXCELLENCY UHURU KENYATTA, PRESIDENT OF KENYA HELD IN WINDHOEK, NAMIBIA ON 21ST MARCH, 2015


His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania and His Excellency Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya met in Windhoek, Namibia on 21st March, 2015 to discuss bilateral issues.

Both Presidents were in Windhoek to attend the 25th Independence Anniversary and Inauguration of the 3rd President of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Hage G. Geingob. Also in attendance were the Foreign Ministers Bernard K. Membe of Tanzania and Ambassador Amina Mohamed of Kenya as well as Engineer Michael Kamau, Kenya’s Transport and Infrastructure Minister.

The main issues of the meeting revolved around transport and tourism sectors. In particular, the two Heads of State discussed the decision by the Ministry of Tourism of Kenya to bar Tanzania registered vehicles from accessing the Jomo Kenyatta International Airport. They also discussed the decision by Tanzania Civil Aviation Authority to reduce the frequency of Kenya Airways flights operating between Kenya and Tanzanian Airports.

On the two issues under deliberation, the two leaders agreed on the following actions:

1. To reinstate the status quo. This means, with immediate effect, Tanzania registered vehicles will access the Jomo Kenyatta International Airport as before, while Kenya Airways will continue with its normal operations.

2. Within four weeks, Ministers of Foreign Affairs will convene and chair a meeting of the parties including Ministers of Transport, Ministers of Tourism and Chiefs of Staffs in the two Presidencies to discuss and reach a mutual beneficial agreement. The first meeting will be held in Dar es Salaam on a date to be agreed by the conveners.

The meeting was held under a very cordial atmosphere with two Heads of State emphasizing the need to continue discuss openly issues affecting the brotherly and a long-standing bilateral relationship that exists between Tanzania and Kenya.

Done in Windhoek, Namibia on 21st March, 2015.

[video] Kauli mbiu ya ACT...

Kauli ya Sheikh Mkuu wa Bagamoyo kuhusu Masheikh waliokwenda kwa Lowasa


[audio] Tam Tam single ya Galaxy [New artist in Tanzania]

Links:The Administrative Professionals Week Conference 2015


Wanachuo, wabodaboda, wamachinga waenda kwa Lowasa
Walibeba na mabango yaliyo na jumbe mbalimbaliMbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa akiwasalimia mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa Dodoma, waendesha bodaboda na wamachinga wa mkoa huo walioandamana hii leo hadi nyumbani kwake Area D mjini Dodoma kumuomba pindi wakati ukifika kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi (CCM) asisite kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais.

Lowassa amesema anazidi kuhamasika kufuatia maombi ya watu wa makundi mbalimbali ya jamii wanao muomba kugombea urais mwaka huu. Aidha na yeye amewaomba vijana hao na makundi mengine kuwahimiza wenzao vyuoni na hata mitaani kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili siku ya uchaguzi wawe na sifa za kuweza kushiriki katika uchaguzi kwa kupiga kura.KIONGOZI WA MACHINGA MKOA WA DODOMA ALISEMA HAYA
RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI UDOM AKIZUNGUMZALOWASSA ALIYASEMA HAYA KWA VIJANA HAO.Wanafunzi hao zaidi ya 300 walifika nyumbani kwake hapo majira ya saa sita mchana na kuzungumza nae na kufikisha salamu zao ikiwa ni pamoja na kumchangia fedha za kuchukulia fomu.Aidha Lowassa kwa Upande wake amewashukuru vijana hao na kusema kuwa ujio wao na ule wa masheikhe wa Bagamoyo unazidi kumhamasisha kutangaza nia na pindi muda ukifika anaweza kufanya hivyo.
Bodaboda nao walifika eneo hiloSehemu tu ya umati uliofika nyumbani hapo kwa Lowassa hii leo.

  • Taarifa hii tumeshirikishwa na Mroki Mroki/Father Kidevu blog

World Water Day na Wiki ya Maji: Maji na Mabadiliko kwa Maendeleo

Leo ni siku ya maji duniani ( #WorldWaterDay )na kwa Tanzania ni kilele cha wiki ya maji. #MajiNi maisha, #MajiNi maendeleo ( #WaterIs Life, #WaterIs Development ). Shiriki na Umoja wa Mataifa katika maadhimisho kwa kutembelea www.unwater.org/worldwaterday na kushiriki kupiga picha za #WaterIs ( #MajiNi ) na kuweka katika mitandao ya kijamii.

Ujumbe wa wiki ya maji kitaifa ni “maji kwa maendeleo endelevu” na maadhimisho yanafanyika Musoma ambao Rais anatajiwa kuhutubia. Kwa kuwa maadhimisho haya ni ya mwisho kwa utawala wake, anapaswa kulieleza taifa ni kwa nini ameonyesha udhaifu wa kushindwa kutekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati akizindua Bunge mwaka 2005 ya kwamba anatambua kuwa maji ni kero ‘nambari wani’ na kwamba Serikali yake ingeandaa mpango kabambe wa kuhakikisha matatizo ya maji yanakuwa historia.

Ameonyesha udhaifu 2005-2010 na ameendeleza udhaifu huo mwaka 2010-2015 hivyo aelekeze Waziri Mkuu atekeleze ahadi iliyotolewa na Waziri Mwandosya kwa niaba yake ya Serikali kuwasilisha katika kila Mkutano wa Bunge Taarifa ya Mpango wa dharura kwa kuwasilisha katika Mkutano huu wa 19 wa Bunge taarifa hiyo.

Aidha, nabashiri kwamba Rais atatumia maadhimisho ya Musoma kwenye uzinduzi wa miradi kueleza ‘mafanikio’ makubwa yaliyopatikana kutokana na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (MMS)- Big Results Now BRN.

Hata hivyo, Rais azingatie kwamba MMS/BRN kwenye Sekta ya Maji haijaweza kushughulikia kwa ukamilifu matatizo niliyoyaeleza kwenye hoja binafsi niliyowasilisha Bungeni kuhusu Hatua za Haraka za Kuboresha Upatikanaji wa Maji Safi na Ushughulikiaji wa Maji Taka Jijini na Nchini (rejea ). Ilani ya CCM ya mwaka 2005 iliahidi ifikapo 2010 maji yangepatikana mijini ikiwemo Jijini Dar Es Salaam kwa asilimia 90 na vijijini kwa asilimia 75 ahadi ambayo haijatekelezwa.

Ili Rais asiendelee kuonekana dhaifu zaidi walau kupitia siku hii ya maji awaagize watendaji katika ofisi yake watekeleze agizo alilowapa la kuitisha kikao cha kazi Ikulu kuhusu matatizo ya maji katika Jiji la Dar Es Salaam mwezi Machi 2013 kama alivyoahidi (rejea).

Namshukuru Rais kwamba kuna hatua katika upatikanaji wa fedha na utekelezaji wa miradi ya Ruvu Chini na Ruvu Juu na pia miradi mingine ya visima vya dharura ikiwemo katika Jimbo la Ubungo ikiwemo mradi wa Mpiji Magohe ambao tumeuzindua siku chache zilizopita kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya maji; hata hivyo kasi, nguvu na ari ya mpaka sasa hailingani na ahadi za kufanya tatizo la maji kuwa historia 2010, 2011, 2012, 2013, 2014 na hata 2015.

Zipo hatua zaidi zinaweza kuchukuliwa katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia sasa iwapo tukikutana na kujadili udhaifu uliopo katika utekelezaji wa Mpango Maalum wa maji Dar es Salaam; hivyo kwa kuwa nimeshamkumbusha yeye mwenyewe na wasaidizi wake mara kadhaa bila kikao hicho kuitishwa ni wakati sasa wa wananchi wa Dar Es Salaam kushiriki kumkumbusha kwa njia mtakazoona zinafaa.

Kwa kuzingatia hali hii kwa wote wenye kutaka kushiriki ujumbe wetu kwake na kwa wengine kitaifa unapaswa kuwa #MajiNaMabadilikoKwaMaendeleo ( #MaMaMa ) ili tuitumie siku hii na zijazo kuhamasisha mabadiliko yenye kuwezesha kupatikana kwa maji kwa maendeleo ya wananchi na nchi kwa ujumla. ( #WaterIs #MaMaMa ).

Wenu katika uwakilishi wa wananchi,
John Mnyika (Mb)
Jimbo la Ubungo
22 Machi 2015

Mwanafunzi wa St Joseph akabidhiwa milioni 10/=

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim (kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Katikati ni Meneja Uhusiano wa NMB Vicent Mnyanyika. Hafla hiyo ilifanyika tawi la NMB House jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha St.Joseph cha jijini Dar es Salaam ,Ibrahim.M.Ibrahim anayesomea fani ya uhandisi wa kusindika vyakula katika kampasi ya Songea leo amekabidhiwa kitita cha shilingi milioni 10/-alizojishindia kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania katika hafla iliyofanyika katika tawi la NMB benki house Jijini Dar es Salaam.

Ibrahim Ibrahim alikabidhiwa fedha zake na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu pamoja na Meneja Uhusiano wa NMB Bw. Vicent Mnyanyika mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea muda mfupi baada ya kupokea fedha zake za ushindi Ibrahim alisema kuwa siku ya leo itabaki kwenye kumbumbukumbu za historia kwa kuwa ndoto yake ya kusoma shahada ya pili muda mfupi baada ya kuhitimu masomo ya shahada ya kwanza imetimia .“Vodacom kupitia promosheni hii wamefanya ndoto yangu ya kuwa mhandisi msomi kutimia kwa kutumia shilingi mia tatu tu na kuandika neno JAY kwenda namba15544”.Alisema Ibrahim kwa furaha.

"Promosheni ya Jaymillions imelenga kuwakomboa kimaisha watanzania hususani wenye kipato cha chini na washindi wengi waliopatikana hadi sasa wametoka kwenye makundi ya watu katika jamii wanaohitaji kuwezeshwa kimaisha ili wajikwamue na kuinua hali zao kama vile wajasiriamali wadogo wadogo , wamachinga, mama ntilie,wanafunzi na wazee wastaafu.

Promosheni ya Jaymillions iliyoanza katikati ya mwezi Januari ambayo itadumu kwa muda wa siku 100 imeleta faraja na itaendelea kuleta faraja na mafanikio kwa wateja wa Vodacom kwa kuweza kujinasua katika hali duni ya maisha na maisha kuwa murua na hadi kufikia sasa ameishapatikana mshindi mmoja wa milioni 100/-,Washindi wanne wa Milioni 10 na washindi 38 wa Milioni 1/-

Mshindi wa milioni 100/- ni Uwezo Madengenya kutoka Wilayani Kilolo mkoani Iringa. Washindi wa milioni 10/- ni – Hyness Petro Kanumba kutoka Rukwa , James Mangu (Mwanza),Zuena Rajabu (22) anayefanya kazi ya ususi mkazi wa Tabata Segerea na Deborah Stanley (23) ambaye naye pia ni msusi na mkazi Kimara kwa Komba jijini Dar es Salaam.

Meneja Uhisiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, akiongea katika hafla hiyo alimpongeza mshindi huyo na kusema kwamba fedha hizo zimeenda kwa mshindi sahihi kwani mshindi huyo ana malengo mazuri ya matumizi ya fedha zake kwa kujiendeleza kielimu.

Pia aliwahimiza wateja wote kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ili wajishindie mamilioni ya fedha kwa kuhakikisha wanatuma neno JAY kwenda namba 15544 ili kutopoteza bahati zao za kushinda.Aliitaja njia nyingine ya kushinda kuwa ni kutuma neno AUTO kwenda namba 15544 iwapo simu haina fedha ambapo mteja akiweka fedha anakatwa shilingi 300/-tu.

Kwa upande wake Meneja wa Uhusiano wa benki ya NMB, Vicent Mnyanyika alimpongeza mshindi na kumshauri kuweka akiba ya fedha hizo benki ili kuhakikisha zinakuwa salama hadi utakapofikia muda wa kutaka kuzitumia kutimiza ndoto yake pia alimwakikishia mshindi huyo kuwa benki yao ipo tayari kwa kumpatia mafunzo yaliyo bora ya jinsi ya kuwekeza ili fedha zake ziweze kuongezeka zaidi ya hizo alizojishindia.Pia aliipongeza Vodacom kwa kubuni promosheni za aina hii zenye mwelekeo chanya wa kuinua maisha ya wateja wake na wananchi kwa ujumla.


Meneja wa NMB tawi la Benki House jijini Dar es Salaam, Leon Ngowi(kushoto) akipanga kitita cha shilingi Milioni 10/- wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita hicho Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim(kulia) aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.


Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 10/- kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Ibrahim M. Ibrahim ambaye ni Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph tawi la Songea(kulia)akiowaonesha kitita chake waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya kukabidhiwa kitita hicho na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(kushoto)Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, anayeshuhudia katikati ni Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB Vicent Mnyanyika.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.


Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(kushoto)akisisitiza jambo kwa waandshindi wa habari(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kumkabidhi cha shilingi Milioni 10/- Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim(katikati)aliyejishindia kupitia Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB,Vicent Mnyanyika. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi la NMB benki house jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.


Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Jay Millions”(kushoto) akimpongeza kwa ushindi wa shilingi Milioni 10/- Mwanafunzi wa chuo Kikuu cha ST. Joseph, Ibrahim M. Ibrahim(kulia)alizojishindia kupitia promosheni hiyo na kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu(hayupo pichani)wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la NMB benki house jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Sikika: Government should end safe blood shortage
Press Release, 22 March 2015

Government should end the Shortage of Safe Blood in the Country


Sikika is dismayed with the current shortage of the safe blood in the country. Safe blood is one of the essential medicines as it satisfies priority health care needs of the population as categorized by World Health Organization. It is one of its kinds, as once needed, it neither has a natural substitute nor can it be factory-made. Therefore the availability of safe blood in the hospitals is of critical importance.

In Tanzania, the National Blood Transfusion Services (NBTS) is the centralized program under MOHSW, which is responsible for mobilizing and recruiting eligible, voluntary non-remunerated blood donors. In addition, NBTS is responsible to ensure adequate safe blood and blood products are available to all qualified health facilities.

Although NBTS has managed to increase blood from 12,500 (2005) to 160,000 (2013), the collection is still well below even half of the country’s demand, which stands at 400,000-450,000 units as per WHO guidelines. The 160,000 units the NBTS has been managing to collect is only about 38% of the country’s annual demand hence the continued persistent shortage of safe blood in the qualified health facilities.

Over the past few weeks there have been reports on the media about a severe shortage of safe blood for transfusion in many if not most of the qualified health facilities in the country. The demand for blood transfusion is high in the country due to high prevalence of anemia especially due to malaria and pregnancy-related complications among others. Tanzania is among the countries in sub Saharan Africa with high proportion of maternal and child mortality. It is estimated that 28-30% of maternal deaths in sub-Saharan Africa are directly related to a lack of availability of safe blood. This can be seen in the country as about 80% of all collected blood by NBTS is used in the treatment of maternal, newborn and child health related complications and the remaining 20% is used for other cases such as surgeries, sickle cell anemia and chemotherapies. So, timely access to safe blood and blood products prevents progression of diseases and deaths. Due to this, Sikika decided to critically analyze the situation to find out the intensity of the shortage, causes and ways of improving the situation.

Our analysis shows that, the situation is worse in most of the health facilities. For instance in Simanjiro district, the annual requirement of safe blood is about 145 units per year however they have been receiving less than a half of what they need. In the year 2013 for example, the amount received was only 74 units and during the time of the study (February – March 2015) there was zero stock as the last supply from NBTS was in September 2014.

In Mpwapwa district, the situation was the same; they had zero stock of the safe blood in February – March 2015. Their annual blood requirement is 1400 units, however they have been receiving safe blood average of 20 units per month, which is 240 units per year about 6 times less than what they need.

In Dar es Salaam region the situation was the same; in all qualified health facilities visited during the study, they also reported shortage of the safe blood due to inadequacy supply by NBTS. For instance, Temeke district hospital usually receives about 20% of their annual requirement while Amana hospital receives about 40% of the requirement. Even at Muhimbili National hospital despite that they cater for acute and chronic conditions (being a national hospital) receives about 50-65% of what they require. The shortage has become chronic throughout the country as all qualified health facilities depend highly on NBTS for the supply of safe blood.

Sikika is aware, and so is the government, that the main cause of the shortage is the underfunding of NBTS leaving the agency unable to implement critical activities such as, campaigns to mobilize the public to voluntarily donate blood, purchasing of sufficient reagents for processing the blood to ensure that it is safe and other important activities. For the past 10 years, about 80% of the NBTS budget, has been funded by US government through the President Emergency Plan For AIDS Relief (PEPFAR). The funding has not been constant throughout and unfortunately it will be ending in this year financial year. The government of Tanzania has been covering the remaining 20% and was required to be increasing its commitment gradually and take over once the funding ends. However, the government of Tanzania has not been able to cover the budget gap. This has led to under collection and supply of safe blood by NBTS. For instance, the country’s quarter demand is about 100,000 - 112,000 units however, the NBTS have not been able to collect and supply that amount. In the past two quarters for example, that is October-December and January – March, NBTS collected units 34,000 which is about 17% of the demand.

Failure of NBTS in supplying adequate safe blood has made some of the health facilities to retain the blood collected from the family, relatives or friends of the patients at the facilities for use instead of sending it to National or Zonal Blood Transfusion Centers for quality checks and other blood products processing. This is risky and contributes to misuses of the blood, as some of these health facilities do not have the capacity and technology for the quality check and process of the whole blood for multiple uses. In addition, the shortage of safe blood, as with other supplies shortages, creates a perverse incentive for unethical health workers to engage in petty corruption – “sell blood to patients”.

Sikika is happy to see the immediate actions and plans taken by different stakeholders, both private and public institutions, such as religious groups and National Health Insurance Fund (NHIF) for the voluntary non-remuneration blood donation campaign. However these campaigns provide short-term solutions and there is a need for the sustainable solution, which is to adequately, capacitate the NBTS to perform its functions.

We therefore demand for the government to take a lead in funding the NBTS instead depending on donors and well-wishers for sustainability of the program in the country. The government should allocate and disburse adequate funds to NBTS so that it can be able to ensure adequate supply of safe blood and blood products to all qualified health facilities. We believe once NBTS is adequately funded there will be no more shortage of this essential medicine.
Mr. Irenei Kiria, Executive Director of Sikika, P. O. Box 12183 Dar es Salaam,
Tel: +255 222 666355/57, Fax: 2668015, Email: [email protected],
Twitter: @sikika1, Facebook: Sikika Tanzania, Website: www.sikika.or.tz