Tz vs Ke: Kulipokucha asubuhi, ilipofika mchana na jioni ilipowadia


Marais Kikwete, Nkurunziza wazindua treni ya mizigo ya Tz, Burundi, Uganda

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza wamezindua rasmi treni za kusafirisha mizigo zitakazofanya safari kati ya Tanzania na nchi za Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Uganda jijini Dar es Salaam.

Akiongea katika uzinduzi huo Mhe. Kikwete amesema: “Jambo hili ni jema kwa nchi za ukanda wa kati kuweza kusafirisha mizigo na bidhaa mbalimbali kupitia reli na hivyo kuleta maendeleo kwa nchi hizi,” alisema Rais Kikwete

Naye Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samweli Sitta amefafanua kwamba: “Usafiri huu utarahisisha usafirishaji wa mizigo ya nchi husika inaenda moja kwa moja bila ya kuwepo vituo vya mara kwa mara na hivyo kuokoa muda kwa kuwezesha mizigo kufika kwa wakati tofauti na awali,” alisema Mhe. Sitta

Aidha Waziri Sitta aliongeza kuwa uboreshwaji wa injini za treni hizo za mizigo zimefanywa kwa ufanisi mkubwa na watu wa Malaysia ambao wamekuwa wakishirikiana nao kupitia karakana iliyopo mjini Morogoro.

Naye Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema: “Naishukuru sana nchi ya Tanzania kwa mpango huu mzuri wenye kuleta maendeleo baina ya nchi za ukanda wa kati na hivyo kufanya maisha yetu kuwa mazuri,” alisema Rais Nkurunzinza

Mkurungenzi wa Kampuni ya Reli (TRL) Bw. Amani Kisamfu amesema kuwa dira ya kampuni hiyo ni kuhakikisha kuwa usafiri unakuwa wa haraka na kwa bei nafuu kwa wananchi pamoja na nchi wahisani.

 • Lorietha Laurence via blogu ya Serikali
 • Habari kama hii kwa kina inapatikana katika gazeti la HabariLeo

Wale Wabunge waliofukuzwa CUF na NCCR...


Tukio la pili mwezi huu: Mali za mwekezaji zachomwa

Askari Magereza na wa FFU wakamatwa na noti bandia na sare za JWTZ

ASKARI MAGEREZA NA ASKARI WA FFU WAKAMATWA NA NOTI BANDIA NA SARE ZA JWTZ HUKO SIMIYU

Naibu kamishna wa jeshi la polisi Mkoani Simiyu, Charles Mkumbo akiwaonesha waandishi wa habari baadhi ya sare za JWTZ ambazo zilikamatwa askari wa jeshi la polisi Mkoani Simiyu pamoja na Askari Magereza wilayani Bariadi

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa jeshi la magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ).

Akitoa taarifa za kukamatwa kwa askari hao Kamanda wa polisi mkoani hapa Naibu Kamishina, Charles Mkumbo alisema kuwa askari hao walikamatwa juzi majira ya saa 9 mchana katika mtaa wa Old Maswa kata ya Nyakabindi Wilayani Bariadi.

Mkumbo Aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni askari mwenye namba H 2420 PC Seleman Juma (25) ambaye ni askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Mkoani Simiyu, na askari namba B.6499 WDR Edmund Masaga (28) ambaye ni askari Magereza wilayani Bariadi.

Kamanda MkmMbo alieleza kuwa baada ya askari hao kukamatwa mmoja wao PC Selemani Juma alipopekuliwa katika mfuko wa suruali yake alikutwa na noti zingine za Bandia za elfu kumi kumi na jumla yake kama zingelikuwa halali zingelikuwa na thamani ya Shilingi 1,920,000.

Alisema kuwa askari hao walifika kwenye kibanda cha M-pesa kinachomilikiwa na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Old Maswa, Kassian Luhende (29) wakiwa na pikipiki yenye namba za usajili T 403 CXW aina ya Sunlg kwa lengo la kuweka fedha hizo kwenye simu.Baadhi ya noti bandia walizokutwa nazoNaibu kamishna wa jeshi la polisi Mkoani Simiyu Charles Mkumbo akiwaonyesha waandishi wa habari baadhi ya pesa bandia ambazo zilikamatwa askari wa jeshi la polisi
Sare zilizokamatwa.

UNSG Statement on International Day remembering Victims of Slavery

U N I T E D   N A T I O N S                                  N A T I O N S   U N I E S


THE SECRETARY- GENERAL
--
MESSAGE ON THE INTERNATIONAL DAY OF REMEMBRANCE OF THE VICTIMS OF SLAVERY AND THE TRANS-ATLANTIC SLAVE TRADE
New York, 25th March 2015

To mark this International Day, I will unveil a permanent and fitting Memorial to honour the victims of slavery and the Trans-Atlantic slave trade at the United Nations in New York.

The “Ark of the Return” Memorial will bring home to visitors from around the world, the terrible legacy of the slave trade. It will enable them to reflect on a core goal of the United Nations: the promotion and preservation of the dignity, freedom and equality of all human beings

This year we pay a particular tribute to the many women who suffered and died during the slave trade. They experienced appalling violence, including sexual and reproductive enslavement, prostitution, repeated sexual assault, as well as forced childbearing and the sale of their own children. They were deprived of the right to choose whether, and with whom, to have sexual relationships; and whether, when, and with whom, to have children.

Yet women slaves played a key role in maintaining the dignity of their communities. Too often their leadership and brave resistance has been under-estimated, or forgotten

In all, some 12 million Africans were shipped across the Atlantic over four centuries, although the number purchased by slave traders was far higher.

The Transatlantic slave trade remains a monstrous crime and a stain on human history.

Tragically, slavery has still not ended. In the past year, thousands of women, men and children in Syria and Iraq have been abducted. Many women have been sold to fighters in public slave-markets. Slavery stubbornly persists in other parts of the world.

This despicable trade could not exist without deep-seated racism. It is absolutely vital that the dangers inherent in racism are made crystal clear to all.

On this important day we must re-double our efforts to end modern slavery, once and for all.

Oil and Gas Mission at Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam

From left: Richard Boulter (DFID), Ms Dianna Melrose-British High Commissioner, Mr.Bikash Dawahoo-Prosperity Officer and Representative from TCCIA
 
                                  

PRESS STATEMENT

Wednesday 25th March, 2015

British High Commission, Tanzania, Welcomes Oil and Gas Mission from Scotland

Education and training opportunities in Mozambique and Tanzania

With some of the largest offshore gas fields in the world, no local supply chain and an immediate and significant demand for skilled workers, East Africa can benefit from the expertise of the UK’s oil and gas sector.  

Twelve UK organisations – from business and academia – with an interest in the oil and gas sector, headed to Mozambique on 18 March and arrive in Tanzania on 24th March to explore opportunities and partnerships in these exciting new pioneering markets.

Led by Scottish Development International (SDI) and supported by UK Trade and Investment (UKTI) and Aberdeen City Council, the mission follows a visit last year to Aberdeen by President Kikwete who saw UK expertise in the oil and gas sector at first hand.

Participating in the mission will be the University of Aberdeen, who in partnership with the University of Dar es Salaam have been awarded €2 million by the European Union to help develop higher education in Tanzania and create a sustainable oil and gas sector in the East African country.

The money will be used to fund a three-year project that will promote learning, research and knowledge-sharing between the Universities in conjunction with the Aberdeen Institute of Energy (AIE), and academics and students at UDSM.  Stakeholders from the public and private sector will also benefit from this arrangement.

Operators in Tanzania are expected to invest billions in an onshore Liquified Natural Gas plant that will provide jobs and export earnings.  This means that as well as capacity building, operators will substantially invest in education and training - around 25,000 people will require training at a technical and vocational level as well as higher education in the East African region.

The global reputation of the UK’s Oil & Gas education and training providers means the UK is well placed to support Tanzania to develop its local capacity and skills to manage its own resources.  As such, five of the 12 organisations on the mission are education and training companies from the university, college and private sector.

The mission also complements the newly announced UK investment of  £25 million into the joint UK and German government ‘Skills for Oil and Gas Africa’ (SOGA) initiative, which is also supported by BG Group, and aims to upskill local workers to give them an opportunity to benefit from jobs in and around the industry in Tanzania and the region.  

The British High Commissioner to Tanzania, HE Dianna Melrose, said: “"The UK has a global reputation for Oil & Gas skills development. UK training providers can help ensure Tanzanians benefit from new work opportunities created by gas development."

Notes to editors:
Companies attending the mission are:

Education and Training:

 • University of Aberdeen  
 • Bradley International
 • University of Dundee  
 • IASeminars
 • Stirling Group

O&G Supply Chain:

 • Calderberg Group
 • Intervention Rentals
 • Lionrock Energy Services Ltd
 • Rignet UK
 • Universal Pegasus International
 • Wood Group PSN
 • X Subsea

Tutangaze ajali barabarani janga la Taifa tuwajibike kuzipunguza - Mnyika

Kumbukizi maalum ya tarehe 20 Machi 2015 ya wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani imetukumbusha msiba mkubwa wa watu 50 katika ajali moja ya basi na lori ya tarehe 11 Machi 2015.

Wakati tukiendelea kuwaombea marehemu na majeruhi na kutoa pole kwa wafiwa na wahanga wakati umefika sasa tutangaze #AjaliBarabaraniJangalaTaifa tuwajibike kuzipunguza.

Kumbukizi katika ukumbi wa Nkurumah ilihusisha ibada, nyimbo maalum na kusomwa kwa wasifu wa wanafunzi walioaga dunia wakiwa wadogo familia zao na taifa likiwahitaji na hatimaye salamu kutoka makundi mbalimbali.

Niliguswa na salamu za Chuo cha Fani za Jamii zilizosomwa na Mkuu wa Chuo cha Fani za Jamii aliyeeleza kwamba mabasi sasa yanaua kuliko magonjwa mengi.

Alipendekeza utafiti ufanyike UDSM kuchangia kupunguza hali hiyo kwa kuzingatia kwamba Chuo Kikuu hicho kina fani mbalimbali (multi disciplinary).

Alieleza kwamba kwa upande wa uhandisi waangalie iwapo teknolojia ya mabasi yenye spidi inawiana na barabara zetu kuu ambazo nyingi ni za njia moja. Huku fani ya jamii iangalie masuala ya maadili kufanya madereva wa mabasi kujifunza kwamba wanabeba binadamu sio wanyama.

Nakubali kwamba kuna umuhimu wa kuendelea na utafiti lakini tujiulize ni wananchi wangapi wataendelea kupoteza maisha wakati tukisubiri matokeo ya utafiti mpya.

Hivyo, kuna haja ya UDSM kuitisha Kongamano Maalum kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) ili matokeo ya tafiti zilizofanyika tayari yajadiliwe na mapendekezo ya hatua za dharura yatolewe.

Pamoja na tafiti zilizofanywa na wasomi, Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta awasilishe matokeo ya Ripoti ya kamati iliyoundwa kutathmini na kutoa mapendekezo ya hatua ya kuchukua ili kupunguza ajali za barabarani ambayo ripoti yake ilikabidhiwa kwa aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe Novemba 2014.

UDSM iende mbele zaidi ya kufanya utafiti kwa kuzingatia dhima iwezeshe msukumo wa kisomi na kimkakati katika huduma kwa umma.

Natambua pia katika salamu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar Es Salaam (DUCE) zilizosomwa kwa niaba ya Mkuu wa Kitivo cha Sayansi Fani na Sayansi Jamii (DUCE) Serikali iliombwa kuongeza juhudi za kupunguza ajali.

Lakini maombi pekee hayatoshi kuna haja ya kutaka utekelezaji na uwajibikaji na Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salam isibaki nyuma katika kukabiliana na #AjaliBarabaraniJangalaTaifa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi amenukuliwa kwenye vyombo vya habari kwamba chanzo cha ajali ya basi la Majinja Express na lori ni ubovu wa barabara katika eneo la ajali na mwendo kasi.

Picha kutoka eneo la tukio zinaonyesha kulikuwepo na shimo kubwa la muda mrefu katika barabara kuu. Lakini pamoja na hali hiyo hakuna kiongozi yoyote wa Wakala wa Barabara (TANROADS) au mamlaka zingine zinazohusika aliyewajibika au kuwajibishwa mpaka hivi sasa.

Baada ya Ikulu kusambaza taarifa ya salamu za rambirambi za Rais ni vyema sasa ikasambaza tena taarifa nyingine ya kueleza umma hatua ambazo Rais ameelekeza kuchukuliwa kwa waliosababisha hali hiyo.

Aidha, Waziri wa Uchukuzi atakiwe kuwasilisha kupitia Mkutano wa 19 wa Bunge unaoendelea hivi sasa kauli ya Serikali kuhusu mkakati wa kushughulikia kukithiri kwa ajali za barabarani nchini.

John Mnyika (Mb)
25 Machi 2015

Marais Museveni na Nkurunziza wawasili Tanzania kuhudhuria mkutano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akimpokea Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Museveni yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuanzia tarehe 25 hadi 26 Machi, 2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akimpokea Rais wa Burundi Mhe.Pierre Nkurunziza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimatafa wa Mwalimu Julius Njerere.

Raia wa Italia wapigwa risasi wakituhumiwa kupora fedha

Gari lililotumika katika tukio hilo hapo jana

Watuhumiwa wakiwa kwenye apartment yao walikokimbilia

Polisi wakiwaamuru wapande kwenye gari baada ya kuwakamata

 Mtuhumiwa majeruhi akionesha alikopigwa risasiPicha na taarifa via JijiLetu blog

Commonwealth Scholarship for Master's in International Human Rights Law

Each year we apply to the Commonwealth Scholarship Commission of the United Kingdom for funding to enable up to ten human rights advocates from selected developing African and South Asian Commonwealth countries to undertake the Master’s in International Human Rights Law. Since 2012, Commission has generously provided this funding and we are pleased to report that our latest application has also been successful.

We had anticipated that the latest funding would be for the course starting September 2016 but it will, in fact, be for the course starting September 2015.

The scholarships will be open to candidates from Bangladesh, India, Pakistan, Sri Lanka, Botswana, Cameroon, Ghana, Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Nigeria, Rwanda, Seychelles, Sierra Leone, South Africa, Swaziland, Tanzania, Uganda and Zambia. Candidates usually need to be Commonwealth citizens of one of the eligible countries AND be permanent residents and currently resident in a developing Commonwealth country at the time of application and throughout the program. They will also need to meet the eligibility criteria for the course itself which are set out on our Admissions pages. The scholarships will not be open to students who have deferred entry from a previous year.

The Commonwealth Scholarships are funded by the Commonwealth Scholarship Commission and a secondary donor. They provide course and college fees at Oxford University over two years plus return air travel from the scholar’s home country for each residential session.

If you are interested in applying, please read this guidance note about the scheme to check you meet the eligibility criteria (for both the course and the scholarship) and then follow the instructions to submit an application to the University’s online application system remembering to use the scholarship code given in the guidance note (this is very important) . The closing date for applications is noon on Friday 17 April. Late or incomplete applications will not be considered.

Evening of symphonic music mastery in Tanzania feat. works by Tchaikovsky and Beethoven


Join Music Director and Conductor, Hekima Raymond and members of the Dar Choral Society Orchestra at Classical Symphonic Music Night on Saturday, March 28 and Sunday, March 29 at the Serena Hotel. This promises to be an evening of symphonic music mastery for the first time in Tanzania, featuring works by Tchaikovsky and Beethoven.

Limited number of seats is available for both nights. Tickets can be purchased at Epi d'or Café, Black Tomato, A Novel Idea in Slipway, Best BiteNamanga and the Serena Hotel.

Dar Choral Society and Orchestra, Conducted by Hekima Raymond Presents:

 • Tchaikovsky Symphony No. 5 in E Minor
 • Beethoven Egmont Overture

Saturday, March 28, 2015 at 6:30pm
Sunday, March 29, 2015 at 6:30pm

Venue: Dar es Salaam Serena Hotel | Tickets: 100,000 TSH

Hapo mwanzo paliumbwa Ulaya, Marekani, Afrika halafu...

Hapo mwanzo dunia ilipokuwa inaumbwa, kukatengenezwa Ulaya na milima na barafu kali kila mwaka, kisha kukatengenezwa Marikani nako kukawatupia hali hiyo ya hewa ya kila mwaka kuwa katika msimu wa barafu.

Halafu ikatengenezwa Afrika, milima na mabonde yenye rutuba, mito yenye samaki tele, hali ya hewa safi, madini kibao Tanzanite, dhahabu, almasi, shaba, chuma, wanyama wa kila aina na mali asili kibao, pakalingana sana na paradizo. 

Wazungu wakaja juu,"Jamani umetuonea, mbona haoWaafrika umewapendelea?" 

Mungu akawambia, "Acheni kiherehere ngojeni muone viongozi n'takaowapa."

Ofisi za CUF zachomwa moto
Ofisi za chama cha siasa, CUF zimechomwa moto huko Zanzibar.

Anauliza: Walipofanya haya, Lowasa alilalamika?


January Makamba amechapisha vitabu vyake na kugawa kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu, mbona Lowassa hakulalamika?

January Makamba alinunua Simu za Gallaxy Sumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbe
wa baraza UVCCM ZANZIBAR.

January 2013 alipokusanya marais wa vyuo vikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel na
kuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoe tamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassa
hakulalamika?

Membe amekuwa akipendelea wafuasi wake kwenda kusimamia chaguzi kama waangalizi wa SADC, mbona Lowassa hajalalamika?

Membe kanunua mabasi kwa baadhi ya makanisa, mbona Lowassa hakulalamika...?

Membe amekuwa na kawaida ya kuplant wagombea kama strategy yake na kuingilia chaguzi nyingi kanda ya ziwa mbona Lowassa hajalalamika...?

Membe alipohudhuria tamasha la wasanii Mwanza na tamasha la extravaganza (la Wasabato) na kujipigia upatu mbona Lowassa hakulalamika?

Mwigulu alikuwa akitembea na mabango ya kuonyesha watu wakimuomba agombee mbona
Lowassa hakulalamika...?

Mwigulu pia kaandika mawe karibu yote kila barabara Tz nzima mbona Lowassa hajalalamika...?

Mwandosya pia amekuwa akitumia Wanafunzi wa Vyuo vya Mbeya na juzi wamemuomba agombee Mbona Lowassa hajalalamika...?

Mbona Pia Prof. Muhongo anaombwa na umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Kilimanjaro,
Arusha na Kanda ya Kaskazini mbona Lowassa hajalalamika.?

Sumaye mwezi December alipozunguka makanisa yote, Mbeya, Dar, na Mwanza kwa ajili ya kujitangaza mbona Lowassa hakulalamika?

 • wavuti.com imeipokea kutoka kwenye kundi moja via WhatsApp

TBS tender for Supply, Installation and Commissioning of ICT equipment
Tender No.PA/044/2014/2015/G/12

Source: TBS

Watuhumiwa 10 wa uhalifu katika mapango Amboni wafikishwa kizimbaniWatuhumiwa 10 wa kesi ya unyanganyi wa silaha na mauaji ya askari wa Jeshi kwenye mapango ya Amboni mkoani Tanga wamepandishwa kizimbani kwa mara ya pili kisha kurejeshwa rumande.

Video ya wale "Mamajusi" waliokwenda kumshawishi masih.. I mean, Lowasa