Tanzanian among two suspects in Garissa university attack


Four more people have been found alive on  Garissa university campus where 148 people were killed -- most of them were students but also three police officers and three soldiers -- in Thursday's al-Shabab attack.

Two of those found alive are suspects and have been arrested. One is said to be a Tanzanian national with no known links to the university.

Mapitio ya magazeti kwenye Tv Aprili 4, 2015

Israel to deport African 'infiltrators' to East Africa

(image: Al Akhbar)


Israel is to deport Eritrean and Sudanese asylum seekers, even against their own will, to the third countries of Uganda and Rwanda, after the Israeli attorney general ruled in favour of the initiative today.

Yehuda Weinstein’s verdict came after the Israeli foreign ministry and Israeli prime minister’s special envoy on refugee issues Hagai Hadas, asserted that the African migrant’s lives would not be in danger in these countries.

The Interior Ministry announced on Tuesday that the African migrants, held at the controversial Holot detention centre in the Negev Desert, would be offered the chance to “willingly” leave Israel to one of the countries but would face a hearing and be transferred to prison if they did not leave Israel within 30 days.

"This move will encourage infiltrators to leave the borders of Israel in a safe and dignified manner, and will serve as an effective tool to fulfill our duty to the citizens of Israel - and south Tel Aviv in particular - to restore the fabric of life they were accustomed to," said interior minister Gilad Erdan.

Israel’s immigration authority, the Administration of Border Crossings, Population and Immigration (PIBA), has started sending letters to migrants informing them of their departure to a third country. While the Israeli government has not officially confirmed Rwanda and Uganda as the third countries in question, Israeli media outlets have already confirmed their identities.

A letter, published in Israeli daily Haaretz and translated by an Eritrean refugee, does not inform the migrants which country they will be residing in but lauds life in the unnamed country and offers a “good grant” - a $3,500 payment upon their departure from Israel.

“After working hard in the last several months, we have found a country that will accept you,” the letter reads. “The state will approve work and residency permits for you. Over the last 10 years, this country [that the asylum seekers will be sent to] has been in a situation of positive development. Ten thousand citizens who had been migrants have returned.”

“The country has created job opportunities for other citizens of Africa,” the letter adds. “The country’s economy has improved substantially over the past decade. It is considered one of the largest countries in Africa, and it depends on exports to the United States and Europe. Because of political improvements, the country has a strong government, good education, health and transportation systems, and other developments.”

“The Sudanese and Eritreans who left with the help of the Israeli government to the third country said they are living a good life, studying English and have a good work,” the letter continues. “According to them, some have opened businesses and are living well.”

Avraham Diskin, professor of political science at the Hebrew University of Jerusalem, says that even though Israel is free to choose its immigration policy like any other country, it is an issue which polarises opinion within Israeli society.

“I think it is very problematic and very controversial but. like any other country, Israel is entitled to decide whether to accept or not accept people who want to come,” says Diskin. “Most say well these are illegal immigrants, they are not refugees, they got across the border in order to find work. The others say well some of them at least are refugees and they are human beings.”

Since the start of 2014, approximately 1,500 African asylum seekers departed Israel to a third country while 7,000 were deported to the country they had travelled from, according to Israeli immigration figures. Some 42,000 Eritreans and Sudanese live in Israel, with around 2,000 being held in the Holot detention centre.

A PIBA representative was not immediately available for comment.

Ni safari ya kwanza tu ya treni, tayari mtu amekwanyua kitasa


HATIMAYE Treni mpya ya Delux, yenye kufanya safari zake kati ya Dar es Salaam, Mwanza na Kigoma, imewasili mkoani Kigoma majira ya saa tano usiku, ikiwa inafanya safari yake ya kwanza baada ya kuzinduliwa rasmi kwa safari zake juzi.

Wakati baadhi ya wananchi wakifurahia ujio wa treni hiyo mpya yenye mabehewa 22, iliyogharimu kiasi cha shilingi bilioni 28.6, imefahamika kuwa tayari baadhi ya abiria wameanza kufanya uharibifu ndani ya treni hiyo.

Menaja wa treni ya Delux, Jonas Afumwishe, alisema uharibifu huo umebainika wakati wakifanya ukaguzi wa mwisho baada ya treni kuwasili Kigoma ambapo iligundulika kuwa gear ya kitanda kimoja ambayo ni maalum kwa ajili ya kushusha kitanda na kutumia kama kiti na wakati huo huo kupandisha na kutumia kama kitanda imeng’olewa na mtu asiyejulikana.

Alisema kuwa wamekuwa wakifanya suala la uelimishaji kwa abiria wa mabehewa yote tangu mwanzo wa safari lakini bado wakati wanafanya ukaguzi wamegundua kuwa kuna uharibifu umejitokeza kwenye behewa namba 2231 daraja la pili kulala.

“Hiki chombo ni chombo cha umma ambacho kina manufaa kwa mwananchi wa Tanzania hususani mkazi wa Kigoma na maeneo yote ambayo reli inapita; kwa hiyo wito wangu kwao ni kwamba wakitunze hiki chombo kwa sababu kitatusaidia sisi sote watanzania katika kuinua uchumi wetu,”alisema.Mara baada ya kuwasili stesheni ya Reli Kigoma, Meneja Mahusiano wa TRL, Midladjy Maez, aliwataka wakazi wa mkoa huo kupokea huduma hiyo ya usafiri wa treni mpya na kuwataka kufuata masharti ya matumizi ya mabehewa ikiwemo kusafiri na mizigo kiasi na inayokwenda sambamba na hadhi ya treni.

“La kuomba hapa ni kwamba watu wafuate masharti ya matumizi ya mabehewa na pili kuchungana wenyewe kwa wenyewe wasifanye uharibifu kwa sababu yatakapodumu kwa muda mrefu tija inapatikana na uwezo wa kampuni kuagiza mabehewa mengine utakuwepo,”alisema Maez.

Alisema mbali na ujio wa treni hiyo mpya, treni ya zamani pia itaendelea kutoa huduma zake kama kawaida na kwa bei ya nauli ambazo zimekuwa zikitozwa tofauti na nauli za treni mpya ambazo ni maalum.

Aidha alisema kwa safari ya kutoka Dar es Salaam mpaka Kigoma, nauli za treni mpya zitakuwa Shilingi 35,700 kwa behewa la kawaida, Shilingi 47,600 kwa daraja la pili kukaa na kulala Shilingi 79,400 ambapo treni hiyo itakuwa inasafiri kwa saa 30 kutoka Dar es Salaam mpaka Kigoma.

Kwa mujibu wa Maez, safari za treni ya Delux zitakuwa kwa wiki mara moja kwa siku za Jumapili ambapo itaondoka Stesheni ya Dar es Salaam saa mbili usiku ikiwa na mabehewa 15, daraja la kawaida mabehewa 10 yenye kubeba abiria 80 kila moja.

Daraja la pili la kukaa mabehewa 3 kila moja abiria 60 na daraja la pili kulala mabehewa 2 kila moja watu 36, ambapo treni hiyo itasimama katika vituo 17 na kwa sababu maalum ambavyo ni pamoja na Morogoro, Kilosa, Dodoma, Makutopora, Saranda, Manyoni na Aghondi.

Vituo vingine ni Itigi, Tabora, Urambo, Kaliua, Uvinza, Kigoma, Isaka, Shinyanga, Malampaka na Mwanza, ambapo ratiba ya treni hiyo imeelezwa kuwa wiki moja itakuwa ikienda Kigoma na wiki inayofuatia itaenda Mwanza lakini kwa siku za usoni kutakuwa treni ya kwenda Kigoma na Mwanza kila wiki.

Treni hiyo ambayo pia huduma za ziada kama ya internet, sehemu za kuchaji simu na hoteli ya kisasa zinapatikana, imepokelewa kwa furaha na wakazi wa mkoa wa Kigoma akiwemo Musa Samweli Maduwa, mkazi wa mjini Kigoma, ambaye aliipongeza serikali kwa kuboresha huduma ya usafiri wa treni.

Akizungumzia suala la nauli, alisema kuwa ni za kawaida kutokana na uendeshaji wa kisasa na kutoa angalizo kuwa kuwe na utaratibu mzuri wa upatikanaji wa tiketi tofauti na ilivyo kwenye treni ya zamani ambayo watu wamekuwa wakilangua tiketi na kisha kuziuza kwa wasafiri kwa bei ya juu.


Picha za misa ya ibada ya Ijumaa Kuu RC Minara Miwili Zanzibar


Wanakwaya wa Kanisa la Katoliki Minara miwili Zanzibar wakiimba kwaya wakati wa Ibaada ya Ijumaa Kuu iliofanyika katika Kanisa hilo.

Picha: ZanziNews blog

Picha za misa ya ibada ya Ijumaa Kuu KKKT Azania FrontIbada ikiendelea.Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mhe. Edward Lowassa akiwa ameungana na waumini wengine katika Ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka iliyofanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front la Dar es Salaam leo.

Sehemu ya Waumini wa Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ibada ya Ijumaa Kuu leo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka.


Igizo la Yesu likiongozwa na Bw. Moses Kombe alivyokuwa na wanafunzi wake kabla ya kuteswa hadi kutungikwa msalabani, wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka kwenye Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam leo.Mh. Edward Lowassa akifatilia igizo la mateso ya Yesu, lililoigizwa na Umoja wa Kwaya zote za Usharika wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.Igizo likiendelea.Mmoja wa watoto waliokuwepo Kanisani hapo akiangalia Igizo hilo.Mmoja wa waigizaji hao.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akipitia vifungu vya Biblia wakati igizo la mateso ya Yesu likiendelea.Yesu akipelekwa kwa Pilato.Vijana hao wakiigiza pale Yesu alipofikiswa kwa Pilato kuhukumiwa, wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka kwenye Kanisa la KKKT Azania Front Dar es SalaamHuzuni ilitawala wakati wa Igizo hilo.

Yesu akiwa amebebeshwa Msalaba katika igizo hilo.Muumini wa Kikristo, Moses Kombe akitungikwa msalabani kama Yesu katika igizo lililofanywa na Vijana wa Umoja wa Kwaya zote za Usharika wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front, Jijini Dar es salaam, wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu leo.Kuna waliomlilia na Wengine kufurahia.Pres. Kikwete visits Boeing plant in Seattle
President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are shown around the offices of the Bill and Melinda Gates Foundation in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation visit the Boeing planes manufacturing plant in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation visit the Boeing planes manufacturing plant in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation visit the Boeing planes manufacturing plant in Seattle on April 2, 2015


  • Photos issued by the State House staff.

Pres. Kikwete visits the Bill Gates Foundation


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquarters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquarters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquarters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquarters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquarters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquaters in Seattle on April 2, 2015


President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are received and later holds talks with the Chairman of the Bill and Melinda Gates Foundation, Mr Bill Gates, at the foundation's headquaters in Seattle on April 2, 2015


  • Photo issued by The State House staff.