Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania yazungumza
SIKU chache kupita baada ya Mkutano wa 19 wa Bunge kumalizika na serikali kutokuwasilisha mswada wa sheria ambao unaruhusu kuwepo Makakama ya Kadhi nchini kujadiliwa, Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini wametoa tamko kwa kuwataka Waislam wote nchini kutoshiriki kwenye kura ya maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa, kwa madai kwamba serikali haina nia nzuri na Waislam nchini kwa kuikataa Mahakama hiyo.

MAHAKAMA YA KADHI

Akisoma tamko hilo lenye kurasa sita jana jioni kwenye msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam nchini Sheikh Mussa Kundesha (kwa niaba ya asasi za Kiislam 11 zinazounda umoja huo) na kushuhudiwa na mamia ya waumini wa dini hiyo pamoja waandishi wa habari alisema Waislam wote nchini wamechoka na uonevu wanaofanyiwa na Serikali iliyoko madarakani kwa kitendo cha kuondoa Mswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni na kudai ni kuendelea kuchochea vita ya kidini nchini.

“Kuna kila sababu ya kuamini kuwa Serikali ya CCM imeshindwa kulishughulikia suala la mahakama ya Kadhi katika uhalisia wake kama ilivyoahidi kupitia ilani yake kwenye uchaguzi ibara ya 108 (b) mwaka 2005 na sasa inafanya hadaa za kisiasa kuwadanganya waislam ili waonekane inalishughulikia suala la mahakama ya Kadhi kama walivyoahidi”
“Kwa ubabe huu wanaotufanyia waislam sasa tunawaomba waumini wote wa kiislam nchini kutoipigia kura katiba pendekezwa kwasababu sio katiba nzuri kwa waislam. Halafu tunawataka kila mmoja aliyetimiza miaka 18 ajiandikishe kwenye daftari wa wapiga kura kujiandaa kufanya uamuzi mgumu ambao utaitikisa nchi,”
alisema Sheikh Kundesha.

Alidai Serikali kuwatambua Makadhi wa BAKWATA ni kuitambua ‘Mahakama Hewa ya Kadhi’ kinyume na Katiba ya nchi Ibara 19(1) na (20) kwa kuwalazimisha waislam wawe chini ya BAKWATA.

TAMKO LA MAASKOFU

Pia katika Tamko la Taasisi hiyo litakalosomwa katika kila msikiti siku ya Ijumaa wiki hii, nchi nzima, wamezungumzia matamko mawili yaliyotolewa Jukwaa la Kikristo nchini. Wameonesha masikitiko yao kwa kusema ni dhahiri hapa nchini kuna serikali dhaifu kwa kuwaacha Maaskofu kutoa matamko ya kichochezi.

“Ushahidi kwamba ni chuki tu husda ni pale ambapo hata waislam tuliopendekeza Mahakama ya Kadhi iwekwe kwenye Katiba pendekezwa, lakini tunashangaa hawa Maaskofu wamekuwa wakiipinga Mahakama hii wakati hii dini tofauti na ya kwao. Sisi waislam tumewavumilia, tunahoji hawa maaskofu wanataka nini?”

KESI ZA MASHEIKH NA KUNYIMWA DHAMANA

Pia Taasisi hiyo imeonyesha kuchukizwa kwa kitendo cha Masheikh mbalimbali akiwemo Shehe Ponda, ambao wapo mahabusu kwa kunyimwa dhamana na Serikali ila wanashangaa Serikali kuwamwachia Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Wamedai hilo linaonesha kuwa Serikali kuwapendelea Wakristo.

“Masheikh mbalimbali wako mahabusu wakinyimwa dhamana bila sababu za msingi kwa kesi za uchochezi au kwa kisingizio cha ugaidi, wakati huo huo tumeshuhudia Maaskofu wakitoa kauli za uchochezi pasina kuchukuliwa hatua yoyote, ikiwemo sakata la Askofu Gwajima.”

KAMPENI KUUA MADRASA

Pia Taasisi hiyo wamezungumia kitendo cha Serikali kuwakamata wa Mashehe mbalimbali wanaowafundisha watoto majumbani kwa madai ya serikali kutofuata taratibu za mafunzo likiwemo kmatukioa tofauti yaliyotokea mkoani Arusha kwa kusema ni wazi serikali imejitosa kuua madrasa nchini.

“Lakini Takriban mwezi mmoja sasa, njama hizi za kuua madrasa zetu zimeibuka kwa kasi kubwa na nguvu kwa kuendesha kamatakamata ya waalimu wa madrasa zao katika hali duni majumbani mwao wakifundisha Quran na mafunzo mengine ya Uislam kama tulivyoshudia huko mkoan Moshi na Arusha.”
“Tunataka Serikali itusaidie kufundisha Elimu ya dini ya Kiislam kwa mujibu wa sheria ndiyo ipi,sheria hiyo ilipitishwa lini na Bunge lipi? kwa mujibu wa Katiba ya nchi ibara 20 (1) kazi ya kutangaza dini ni suala binafsi, iweje sasa Serikali inakuja na madai haya ya kufundisha dini kinyume na Sheria kwa walimu wetu wa madrasa.”

Taarifa ya KAROLI VINCENT via FullHabari blog.

Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Aprili 8, 2015
[photo] Garissa University attack suspects in court


(R-L) Mohamed Adan Surow, Osman Abdi Dakane, Mohamed Abdi Abikar, Hassan Aden Hassan and Sahal Diriye Hussein, stand in the Milimani Law Courts in Nairobi, on April 7, 2015, where they face charges of involvement in a deadly gun attack claimed by Somalia's Al-Qaeda-linked Shebab insurgents on a university campus in Kenya's nothern town of Garissa, in which 142 students were massacred along with 6 police and military personnel.

A Nairobi court on April 7, 2015 ordered five Kenyans and a Tanzanian to be detained for 30 days while police investigate possible connections to last week's university massacre.

Photo by STRINGER/AFP/Getty Images

Askari awatishia bastola waliokuwa wanawazomea

Mmoja wa askari aliyekuwa katika gari wanalotumia mgambo wa jini kwa kushirikia na askari Polisi akiwa ameshika bastola aliyoitumia kuwatishia waandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima ambao walikuwa wakishuhudia unyanyasanji uliokuwa ukifanywa na askari hao kwa wauza nguo za mtumba katika mtaa wa Mkwepu.

VITENDO vya kikatili vya kupigwa na kunyang’anya mali za wafanyabiashara mbalimbali kwa kisingizio cha kusafisha jiji na kugawana badala ya kupeleka kunakoruhusiwa vimezidi kujitokeza jijini Dar es Salaam.

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda aliwahi kuagiza kuwa wakuu wa mikoa na wilaya kukaa na wafanyabiashara na kuangalia njia nzuri ya kufanya biashara ili kuondoa vurugu baina yao na vijana.

Pinda aliyasema hayo Januari mwaka huu, katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu alipojibu swali la Mbunge wa Ilala, Iddi Zungu (CCM) aliyetaka kujua kauli ya Serikali kuhusu polisi na wanamgambo wanaotumia nafasi ya kusafisha jiji kuwanyanyasa wafanyabiashara na kugawana mali zao.

Amesema yeye binafsi alitumiwa picha ya watendaji hao wakigawana mali walizowanyang’anya wafanyabiashara wakiwamo mam alishe, jambo ambalo ni kuwanyanyasa na kuwarudisha nyuma kimaendeleo.

Waziri Mkuu alikemea kitendo cha watendaji wa jiji na mikoa kutumia kusafisha jiji kunyanyasa wananchi. Hivyo aliagiza wakuu wa wilaya na mikoa kukaa na wafanyabiashara ndogo na kupanga jinsi ya kuendesha biashara kistaarabu ikiwa ni pamoja na kupanga masoko ya jioni na Jumapili ili wafanye biashara muda mfupi na kuondoka.

Wakati Pinda akiagiza hayo, Jeshi la Polisi wakishirikiana na mgambo katika mtaa wa Mkwepu na Makunganya jijini jana walitembeza kipigo kwa wamachinga kwa madai kuwa walikuwa wakifanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi.

Baadhi ya watu walioshuhudia askari hao wakiwapiga wamachinga hao walilaani kitendo hicho cha kikatii kutokana na wamachinga hao kutii sheria kila walipoelekezwa.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisema askari hao waliyokuwa wameshika bastola na bunduki waliwavamia wafanyabiashara hao na kuanza kukusanya bidhaa zao na kuzipakiza katika gari bila ya kuziorodhesha kama inavyotakiwa.

Mashuhuda hao walisema baada ya kuona vitendo hivyo vya kikatili walianza kuwazomea askari hao ndipo ikasikika kauli ya mmoja wa askari akimuelekeza kuwa apige risasi ili kuwanyamazisha wasizomee.

Hata hivyo, askari aliyekuwa akielekezwa alibaki kuhangaika akiwatafuta watu waliokuwa wakizomea kwani hakuweza kuwaona kwa vile walikuwa wakishuhudia tukio hilo wakiwa gorofani.

“Sisi tukio lile lilikuwa halituhusu lakini kilichotukera ni kuona askari ambaye anategemewa kuwa mlinzi wa amani leo yeye ndio anakuwa wakwanza kuvunja amani kwa kuwapora wananchi mali zao tena kwa kutumia vitisho vya silaha na kipigo bila huruma,”
alisema mmoja wa mashuhuda hao.

Mashuhuda hao wametoa rai kwa serikali kuwa makini na vitendo vinavyofanywa na askari pindi wanapokuwa kazini kwa baadhi yao siyo waaminifu, vitendo hivyo vikiachwa viendelee uhusiano kati ya raia wao utakuwa mbaya.

Askari wa jiji wakishirikiana na Polisi Jamii kumpandisha kwa nguvu katika gari mfanyabiashara wa kuuza nguo katika Mtaa wa Mkwepu - Posta Mpya, jijini Dar es Salaam leo, kitendo ambacho kimelaaniwa na watu walioshuhudia tukio hilo kutokana na mmoja wa askari hao kuwatishia kwa bastola waandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima.
-- Loveness Bernard.
via Habari Mseto blog

Wachezaji 30 walioitwa kambini U-15 kwa fainali za U-17 ya 2017

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) imeingia kambini leo katika hoteli ya Itumbi iliyopo magomeni chini ya kocha mkuu Adolf Rishard kujiandaa na progamu ya vijana kuwania kufuzu kwa fainali za U-17 mwaka 2017 nchini Madagascar.

Akiongea na waadishi wa habari leo kwenye ukumbi wa habari wa TFF Karume, mwenyekiti wa kamati ya soka la vijana Bw. Ayoub Nyenzi amesema kamati yake imeandaa programu maalumu ya kuwaanda vijana kwa ajili ya kuichezea timu ya Taifa U-17 mwaka 2017.

TFF imeandaa program hiyo ya vijana U-15 ambao watakua kambini kwa muda siku 10, wakifanya mazoezi uwanja wa Karume na kucheza michezo kadhaa ya kirafiki na timu za Azam U17 na shule ya Sekondari Makongo.

Kocha mkuu na timu yake ya U-15 atazunguka mikoa saba nchini kwa ajili ya kucheza michezo kadhaa ya kirafiki na kungamua vipaji vingine kwa ajili ya kuboresha timu yake. Mikoa itayotembelewa ni Mbeya, Mwanza, Morogoro, Arusha, Tanga, na Dar es alaam (Ilala, Kinondoni, Temeke).

Aidha katika kuhakikisha timu hiyo inakua tayari kwa michuano ya kuwania kufuzu kwa fainali za U-17 mwaka 2017 nchini Madagascar, timu hiyo ya vijana itafanya ziara ya mafunzo mwezi Disemba mwaka huu katika nchi za Malawi, Zambia, Zimbambwe, Botswana na Afrika Kusini kwa kucheza michezo ya kirafiki.

Mwezi Februari 2016 timu hiyo itacheza michezo miwili ya kirafiki na timu za mikoa ya Dodoma na Mwanza, kabla ya kuelekea tena katika ziara kwenye nchi za Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya mwezi Aprili 2016.

Ratiba ya CAF kuwania kufuzu kwa fainalizaAfrika 2017 inatarajiwa kuanza mwezi Juni 2016, ambapo kikosi cha Tanzania kitakua kimeshapata muda mzuri wa maandalizi kwa lengo la kuhakikisha timu inashiriki fainali hizo nchini Madagascar 2017.

Fainali za U-17 mwaka 2017 zinatarajiwa kufanyika nchini Madagascar, huku Tanzania ikitarajia kwa kuwa mwenyeji wa fainali hizo za vijana U-17 kwa mwaka 2019.

Jumla ya wachezaji 30 wameitwa kuingia kambini, wachezaji hao ni Kelvin Deogratius, Magazi Dotto, Anthon Shilole (Geita), Sadik Sud Ramadhani , Mwinchumu Yahya(Tanga),Faraji John, David Mbakazi , Juma Juma, Pius Raphael, Davison Meddy, Maulid Lembe (Dodoma), Ibrahim Koba (Morogoro).

Wengine ni Abubakar Badru Nassoro, Yusuf B.A. Khalfani, All Hafidh Mohamed (Kusini Pemba), Joachim Mwenda, Charles Cassiano, Luqman Shauri (Tanga), Juma Zuberi (Kigoma), Ismail Abdallah (Kusini Pemba), Robert Philipo (Arusha), Alex Peter, Mohamed Ally, Rashid Kilongola (Kinondoni), Saad Juma (Mkoa Magharibi), Ibrahim Shamba (Kusini Unguja), Ally Msengi, Klevin S.Kijili (Mwanza), Frank Abel (Simiyu) na Bryan Jamal.

VPL KUENDELEA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea Jumatano katika viwanja viwili jijini Dar es Salaam, kwa vinara wa ligi hiyo Young Africans kuwakaribisha Coastal Union kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.

Uwanja wa Chamazi Complex, wenyeji timu ya Azam FC wanaokamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, watawakaribsiha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya, timu ya Mbeya City F

[update] Mvua yaharibu Monduli, Babati na Busega

Simiyu

Zaidi ya wakazi 300 wa kijiji cha Lamadi Wilayani Busega mkoani Simiyu hawana sehemu za kuishi kutokana na nyumba zao kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha jana majira ya usiku.

Mvua hiyo ilisababisha mafuriko makubwa ambayo yaliyosababisha nyumba zao kuingiliwa na maji na nyingine kuezuliwa na upepo mkali baadhi yao wamehifadhiwa na ndugu na jamaa huku wengine wakikimbilia katika taasisi za serikali ikiwemo shule ya msingi Nyamajeshi iliyopo kijijini hapo.

Akizungumza katika maafa hayo diwani wa kata ya Lamadi Emanuel Desera alisema kuwa tukio hilo limetokea jana majira ya usiku baada ya mvua hiyo kunyesha kwa muda mrefu hali ambayo maji yalizidi kujaa katika maeneo ya wakazi ya watu na kusababisha nyumba nyingi kubomoka.

Desera alisema baada ya mvua hiyo kufanya uharibifu huo wananchi hao walilazimika kukimbiliakatika maeneo yaliyo salama ambapo ni shule ya msingi Nyamajashi ili kuweza kunusuru maisha yao kutokana na nyumba zao kujaa maji.

Alibainisha kuwa hali ya wananchi hao kwa hivi sasa siyo nzuri na kwani wahanga wengine wamekimbilia kwa ndugu zao kujihifadhi, huku akibainisha kuwa mafuriko bado yanaongezeka na kuiomba serikali kupeleka msaada wa chakula madawa na mahema kwa wahanga hao.

“Vitongoji vilivyokubwa na mafuriko hayo ni Kisesa, Sokoni Mwalukonge, Lukungu, Iseni B na Mwabayanda ambapo nyumba 200 zimesombwa na maji na watu zaidi ya 300 wapo katika shule ya msingi Nyamajashi ili kuweza kujinusuruna mvua,”
alisema Desera.

Mmoja wa wakazi wa jiji cha Lamadi joseph chenga ameiomba serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu kupeleka misaada ya Mahema na Chakula ili kuawezesha wananchi hao kupata chakula kwani mpaka sasa chakula walichokuwa wakikitegemea kimesombwa na maji katika makazi yao.

Baadhi ya wananchi hao wakiongea na waandishi wa habari waliofika katika tukio hilo walisema kuwa maji hayo yamejaa kutokana na vijiji hivyo kuwa kwenye bonde hali ambayo mvua zikizidi maji hutwama na kukosa sehemu ya kuelekea hivyo yanarudi katika makazi ya watu.

”Mvua hiyo ilianza kunyesha majira ya saa sita usiku ambapo maji yalijaa katika nyumba na kusomba vitu mbalimbali pamoja na kuku hali iliyotulazimu kukimbilia katika katika shule ya msingi nyamajashi kwa ajili ya kujihifadhi,pamoja na kupata msaada zaidi kutoka serikalini,”
Alisema mmoja wa waathirika wa mafuriko.

Viongozi mbalimbali wakiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo ikiongozwa na mkuu wa polisi wa wilaya walifika eneo la tukio na kujionea uharibufu huo ikiwa pamoja na kuangalia usalama wa wananchi hao waliokumbwa na mafuriko hayo.  --- (via Simiyu News blog)


Maisha ya watoto 3 waliofungiwa ndani kwa miaka 10

Tanzanian arrested in Garissa attack hails from Kilimanjaro from well-known Mberesero family

The Tanzanian man arrested in connection with last week’s deadly Al Shabaab attack on a Kenyan university in which at least 148 people were shot dead, has been reported as hailing from Kilimanjaro Region’s Mwanga District.

Mr Rashid Charles Mberesero has been described as hailing from Mwanga’s Usangi Village even contacted members of the well-known Mberesero family distanced themselves from the man and appealed to police to carry out more investigations to verify his “actual identity”.

The news of Mr Mberesero’s arrest soon after the massacre at Garissa University College on Thursday, and his link to Kilimanjaro has come as a shock to most residents in the region, including the Mwanga MP and minister for Water, Prof Jumanne Maghembe.

“News that the suspect is from Mwanga has shocked me. I know the said Mberesero family, but most of them are Christians. The suspect’s full name suggests he be could belong to either of the two religions,” said Prof Maghembe in an interview with The Citizen yesterday.

Media reports in Kenya first reported of the arrest of the Tanzanian suspect who was flushed from the ceiling of one of the buildings that came under attack. The reports quoted the Kenyan police as confirming his nationality.

On Saturday Kenya’s Interior Ministry spokesman Mwenda Njoka said Mr Mberesero, who was neither a student nor a resident of the university, was seized while in possession of several rounds of ammunition at.

“We believe the suspect, who is from Tanzania, was among the attackers. He was found with bullets and hiding in the ceiling and was immediately arrested,” said Mr Njoka.

He added that the said Tanzanian national is now among scores of suspects who are in custody in connection with the raid that was the worst Al Shabaab attack on Kenyan soil.

In Mwanga, a member of the Mberesero family, Mr George Mberesero, told The Citizen yesterday that they have been receiving calls from different people inquiring about the said Rashid.

“We don’t know this Rashid Charles Mberesero. We are an all-Christian family but the said suspect’s first name suggests he’s Muslim. We are appealing to investigating teams from both Kenya and Tanzania to find out the correct position with regard to this matter,” he said.

Separately, other Usangi residents who The Citizen contacted recalled that a suspect whom they didn’t immediately know was arrested in the area last year and was in possession of an Al Shabaab flag.

“We remember the police arrested a young man with the flag but they later released him following intervention some elders, said one resident who requested not to be named since the matter was sensitive at the moment.

The Kilimanjaro Regional Commissioner, Mr Leonidas Gama, said he had only read the news on the arrest of the suspect but did not have any concrete information on his background.

“Personally, I was saddened at the grisly slaughter of innocent students, but I am equally shocked to hear that a Tanzanian may have been among the gunmen,” said Mr Gama.

Kilimanjaro residents now want State security agencies to take keener interest in what has been happening in the area, with reports that some people are involved in youth radicalisation in the name of offering religious education.

They pointed out to the recent arrest of seven people who are being investigated over giving training of youngsters, which include religious teachings and martial arts.

The youths are drawn from several parts of the country and are trained in the confines of the suspects’ homes instead of licensed madrasas that have been certified and recognised by Islamic authorities in the region.

Pres. Kikwete meets the UNSG Ban Ki-moon in New York

President Jakaya Kikwete is received by the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at the UN Headquarters in New York

The Chairman of the United Nations High-level Panel on the Global Response to Health Crisis President Jakaya Kikwete on Monday met and held talks with UN Secretary General Ban Ki-moon in New York.

This was the first time President Kikwete met the UN Chief since he appointed him to chair the panel, whose 0ther members include those from Brazil, Switzerland, Indonesia, Botswana and the United States.

President Kikwete and Mr Ban Ki-moon reviewed the terms of reference of the panel which is mandated to come up with recommendations to strengthen national and international systems to prevent and manage future health crises, taking into account lessons learned from the response to the outbreak of Ebola virus

In carrying out its work, the Panel will undertake a wide range of consultations, including with representatives from the affected countries and communities, the UN system, multilateral and bilateral financial institutions and regional development banks, Non-Governmental Organizations, countries supporting the response effort, other member states, health care providers, academic and research institutions, the private sector, and other experts.

The panel will hold its first meeting in early May and is expected to submit its final report by the end of the year to the UN Secretary General, who will make the report available to the General Assembly, and undertake further action as appropriate.


President Jakaya Kikwete in talks with the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at the UN Headquarters in New York


President Jakaya Kikwete and his entourage leave the UN Headquarters in New York, after holding talks with the UN Secretary General Mr Ban Ki-moon at the UN Headquarters in New York.

Information shared by State House staffPicha za Glorious Worship Team katika sikukuu ya Pasaka

Glorious Worship Team wakizidi kumwabudu Mungu katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station.

KIKUNDI cha kumsifu na kumwabudu Mungu cha Glorious Worship Team (GWT) katika Sikukuu ya Pasaka kilitoa burudani ya nguvu kwenye hafla ya kumsifu na kumwabudu Mungu iliyokwenda kwa jina la 'Mtoko wa Pasaka' na kufanyika Ukumbi wa Victoria Petrol Station, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo, GWT walimsifu na kumwabudu Mungu kwa nyimbo ikiwa ni muendelezo wa programu yao ya Sunday Celebration ambayo hufanyika kila Jumapili kuanzia saa 9 alasiri baada ya ibada.

Akizungumza na mtandao huu, Mkurugenzi wa GWT, Emmanuel Mabisa amesema wiki hii katika Sunday Celebration Season 4 ndani ya Ukumbi wa Victoria Petrol Station, Mjasiriamali na Mtunzi mahiri wa Vitabu, Eric Shigongo ataendelea kutoa somo lake la Siri za kutoka kuwa Mwajiriwa hadi kuwa Mwajiri.

Katika somo hilo, Shigongo atatoa bure vitabu vyake zaidi ya 200 alivyoahidi kuvitoa kwa watu waliowahi kufika ukumbini katika Sikukuu ya Pasaka.

Waimbaji mahiri wakiwemo; Upendo Nkone, Carvary Band, The Jordan Moses Zamangwa (Mosax), na Masanja Mkandamizaji watakuwepo kutoa burudani siku hiyo ya Aprili 12, mwaka huu.

 Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakiwa stejini wakati wa kumsifu Mungu na kumwabudu.

Mpiga gitaa la sauti nzito (base) wa GWT, Emmanuel Materu akicharaza gitaa hilo. Pembeni yake ni waimbaji wenzake.

David Silomba (kulia) pamoja na Paul Clement wakiendelea kutoa burudani.

Kutoka kulia ni mwimbaji David Silomba akiimba sambamba na Editha Salum. Katikati ni Mpiga gitaa la sauti nzito (base), Emmanuel Materu.

Davina Lema (kulia) na Mary Igoti wakimwabudu Mungu wakati wa hafla ya Mtoko wa Pasaka.

Mwimbaji Editha Salum akizidi kumtukuza Mungu.

Dk. Mponzi pamoja na familia yake wakiwa na wadau wengine wa GWT wakati wakifuatilia matukio mbalimbali ukumbini hapo.

Ester Peter (kulia) akiimba pamoja na Salome Shemakulenge.

Mlezi wa GWT, Eric Shigongo akisalimiana na mmoja wa wadau wa GWT.

GWT wakiendelea kumsifu na kumwabudu Mungu kwa nyimbo.

  • Tumeshirikishwa taarifa hii na Global Publishers

Tourism earns Tanzania more revenue than gold; Govt overturns souvenirs fee

By Adam Ihucha, The ARUSHA TIMES

Tourism has overtaken gold as Tanzania's leading foreign exchange earner.

The industry earned Tanzania $2.5 billion in the year ending January 2015, up from $1.89 billion in the year ending January 2014,

Stakeholders estimate that the country had received one million plus holidaymakers in the period under review.

BoT's February Monthly Economic Review indicates that gold exports value plunged from $1.64 billion to $1.31 billion in the period under review, as both export volume and price in the world market dropped.

Tanzania Association of Tour Operators (TATO)'s CEO, Sirili Akko says that Tanzania remains competitive, thanks to the state for holding back new taxes and fees.

"Besides political stability, Tanzania destination remains competitive as the government suspended implementation of new value added taxes and entry fees," says Mr Akko.

Natural Resources and Tourism Minister, Lazaro Nyalandu shelved enforcement of new taxes and fees in a bid to make Tanzania a competitive tourist destination in Africa.

Specifically, he suspended an execution of national park's new entry fees as well as VAT on tourist guiding, game driving, water safaris, animal or bird watching, park fees, tourist charter services and ground transports.

Tanzania hopes the number of tourist arrivals will hit 1.2 million this year, up from one million visitors in 2014.

According to the five-year marketing blueprint rolled out in 2013, Tanzania anticipates to welcome two million tourists by the close of 2017, boosting the revenue from the current $2 billion to nearly $3.8 billion.

The World Bank says Tanzania can earn an average of $16 billion a year in the next decade if the government takes serious measures to reform the sector. That amount is nearly eight times the current tourism earnings.

The latest Tanzania Economic Update published by the World Bank says this strategic industry can grow and create more high-paying jobs, and closer linkages with businesses and local communities.

To realize this opportunity, the government should simplify its system of taxes and fees and make its revenue allocations more transparent.

"There is no doubt Tanzania is in a good place with tourism and yet could do considerably better," says Philippe Dongier, World Bank Country Director for Tanzania, Burundi and Uganda. "Tanzania has abundant natural tourism attractions and is well recognized internationally".

But there is potential for further growth as also emphasized by the government; and some of the needed reforms are quite urgent as the status quo could be costly for the country, Mr Dongier says.

Tourism directly employs close to half a million Tanzanians and contributes to almost 25 percent of total exports earnings.

It represents approximately 17.5 percent of Tanzania's total GDP but the level could be even more when considering its indirect impacts on other areas such as agriculture and transportation.

Tourism is considered to be of high priority under President Jakaya Kikwete's development agenda, as well as that of the National Business Council.

The industry's goal is to multiply by eight the revenues from tourism by 2025 or to double the sector's annual growth rate observed in recent years.

"This target is indeed achievable but only if there is a change in policies and mindsets among all stakeholders," says Jacques Morisset, World Bank Lead Economist who authors the report.

To increase tourism's benefits to the economy and the public, the latest Update proposes, three strategic directions.

The first is to diversify tourism activities from the current emphasis on high-end tourism in the north around Arusha and Zanzibar where up to 90 percent of tourism activities are currently concentrated.

The report recommends realizing other opportunities, especially in the South, and developing attractions and activities that cater to tourists on more modest travel budgets, including more local and regional visitors.

The second direction is to further integrate local communities and small operators into tourism activities, through benefit-sharing processes. While such efforts already exist in Tanzania, they are still at a small scale and have had limited impact on the ground.

The third direction requires revisiting the current complex system of taxes and fees, and the non-transparent use of revenues collected from tourism.

Tour operators are subjected to 23 different taxes, twelve being business registration and regulatory licenses fees as well as eleven duties for each tourist vehicle per annum.

The report done by Tanzania Confederation of Tourism (TCT) and BEST-AC, shows that average annual cost of personnel to complete regulatory paperwork per local tour operator is $1,795 per year.

Tanzania is home to nearly 1,050 tour companies, but official data shows that there are only 300 formal firms complying with tax regime.

Souvenirs fee overturned


Tourists who destined to Tanzania now have a reason to smile, thanks to the government for rescinding its decision of charging fees for holiday souvenirs.

In February this year Tanzania Forestry Services (TFS) announced that it intended to collect fees from all tourists who visit and purchase souvenirs.

For woodcarving purchases that total $300 and below, the inspection fee would have been $16 in addition to the export fee of $21.

For all wood carving purchases above $300, the inspection fee and the export certificate fee would have cost a tourist $70.

In addition, there would have been a $2.50 royalty fee on each kilogram in weight of the carvings.

This tariff would have primarily been applied to woodcarvings that are sold throughout the country.

The document signed by TFS official Edgar Masunga indicated that the fees would have been collected from all tourists at all airports on their departure from the country.

However, recently, Natural Resources and Tourism, Lazaro Nyalandu announced to revoke such a decision for the best interests of tourism industry.

"I'm going to direct Tanzania forestry services to retract its decision immediately to relieve our dear tourists," says Mr Nyalandu when he met sculptors at Mount Meru curios and crafts market in Arusha.

Chairman for sculptors and traders at Mount Meru curios and crafts market in Arusha with over 500 members, Ally Mgaya said that the fees had adverse impact on their business, as majority tourists.

Some tour and safari operators also started to include the "do not buy any wood carvings" warnings in their briefing documents, so that their clients are not harassed or inconvenienced when exiting the country.

Commenting, the chairman for Tanzania Association of tour Operators (TATO), Willy Chambulo commended the minister Nyalandu for the prompt decision.

"This is an encouraging decision by our minister. We are proud of him (Nyalandu) for keeping an eye to this fragile industry" Mr Chambulo notes, adding that his association is looking forward to get a government notice over the decision.