Beware! US lawmakers seeks FDA review ingredients in cosmetics

[...] The Environmental Working Group said that the current regulatory system allows companies to put potentially dangerous chemicals in personal-care products without having to prove they are safe. The group, maintains a database of 68,000 products to help consumers.

The first five chemicals the FDA would be required to review, includes a form of formaldehyde used in hair-smoothing treatments and a chemical that mimics estrogen.

Twitter now allows DM to and from any user


Twitter Senior Software Engineer Nhu Vuong in a blog post has announced a change t Twitter's direct messaging system, now allowing any twitter user to send a direct message (DM) to any other user, whether they follow the sender or not. 

However, users will have to opt in to the new functionality.

Twitter says the changes also tweaks messaging rules "so you can reply to anyone who sends you a Direct Message, regardless of whether or not that person follows you," and makes a new Direct Message button on profile pages for Android and iPhone.

Changes include:

 1. A setting that allows you to receive Direct Messages from anyone, even if you don’t follow them. To change your settings follow these instructions.
 2. Updated messaging rules so you can reply to anyone who sends you a Direct Message, regardless of whether or not that person follows you.
 3. A new Direct Message button on profile pages on Android and iPhone. You’ll see it on the profiles of people you can send Direct Messages to.

Several Twitter users are saying that the new change will lead to more online harassment.

Now you can "hand-write" in your Android device instead of typing


The "Google Handwriting Input" app which replaces the regular keyboard and lets you write in your device instead of typing, is now available and functional.

It features:

 1. Handwrite text on your phone or tablet in 82 languages.
 2. Supports printed and cursive writing, with or without a stylus. 
 3. Supports hundreds of emojis.
 4. Works across Android phones and tablets running Android 4.0.3 and up

Try it out: Google Handwriting Input - Google Play 

New audio: Nafunga Zipu - Soggy Doggy feat Baghdad na Nako


Baada ya miaka sita bila kurekodi hatimaye Soggy Doggy amekuja na kibao kipya kiitwacho NAFUNGA ZIPU. Katika kazi yake hii ameshirikiana na Baghdad na Nako.


Now you can buy OnePlus One and bamboo cover without invites


OnePlus announced the following today "Open Sales for the OnePlus One, Forever" and here is a scoop of what's in the post:

 1. In our first big celebration of the One’s successful year, we are opening up sales globally for everyone, every day of the week. ...we have matured enough to handle the increased complexity that comes along with opening up sales completely.

 2. ...the OnePlus 2. Yes, the 2 will initially launch with invites. 

 3. For just 24 hours, we’re offering a 75% discount on OnePlus Flip Covers and Premium Screen Protectors. 

 4. Bamboo StyleSwap covers will now be available without an invite (while supplies last).

To place orders, visit: oneplus.net

There are people who believe ideas associated with my name are now dead; I disagree! - Julius K. NyerereJe mawazo yaliyotokana na Mwalimu Nyerere yamekufa na kuzikwa? Kama yanaendelea kuishi ni mawazo yake yapi tunayoyakuta ktk jamii yetu leo?What ideas of Nyerere are still alive in today's Tanzania?
Posted by Maria Sarungi-Tsehai on Sunday, April 19, 2015Wellcome Trust: Public health and tropical medicine fellowships

These fellowships are a series of career awards aimed at building sustainable capacity in areas of research that have the potential for increasing health benefits for people and their livestock in low-middle-income countries. Support is provided for researchers in low- and middle-income countries in public health and tropical medicine at all stages of their careers;
 • Intermediate Fellowships: This scheme enables high-calibre, mid-career researchers from low- and middle-income countries to establish independent research programme. Eligible candidates must be a national or legal resident of a low- and middle-income country and should be either: a graduate in a subject relevant to public health or tropical medicine with a PhD and three to six years' postdoctoral experience, or a medical graduate with a higher qualification equivalent to membership of the UK Royal Colleges of Physicians (i.e. qualified to enter higher specialist training) or recognized as a specialist within a relevant research area, with three to six years' research experience.
 • Training Fellowships in Public Health and Tropical Medicine Provide support for researchers from low- and middle-income countries who are at an early stage in their research careers, to gain research

Preliminary application deadlines: April 29, 2015

More info., at wellcome.ac.uk

Kauli ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania Afrika Kusini

Tweets kutoka kwenye ukurasa wa Waziri Membe 

Waziri Membe (wa kwanza kulia) akiendelea kuzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Balozi wa Tanzania nchini South Africa Mhe. Radhia Msuya (Wa kwanza kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Mambo ya Nje Bi. Mindi Kasiga Simu: 255-22-2114615, 211906-12
Barua pepe: [email protected]
Barua pepe: [email protected]
Tovuti : www.foreign.go.tz
Nukushi: 255-22-2116600

20 KIVUKONI FRONT,
P.O. BOX 9000,
11466 DAR ES SALAAM, 
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amesema leo kuwa hakuna Mtanzania kati ya watu wanane waliouwawa katika mashambulizi dhidi ya wageni huko Durban na Johannesburg nchini Afrika ya Kusini.

Mhe. Membe amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa taarifa zilizosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba Watanzania watatu wameuwawa katika mashambulizii hayo siyo za kweli.

"Nimehakikishiwa na Waziri wa Usalama wa Afrika kusini, David Mahlobo, asubuhi hii kuwa hakuna Mtanzania kati ya watu wanane waliouwawa, ambao ni raia wa Ethiopia, Zimbabwe, Malawi na Swaziland," ametaarifu Mhe. Waziri.

Amesema serikali ina taarifa kuwa kuna Watanzania watatu waliofariki dunia nchini Afrika Kusini, lakini hawakuuwawa katika mashambulizi ya wenyeji dhidi ya wageni.

"Watanzania hao ni Rashidi Jumanne, ambaye imetaarifiwa alipigwa risasi katika tukio la ujambazi, kilometa 90 nje ya mji wa Durban; mfungwa Athumani China Mapepe, aliyeripotiwa kuchomwa kisu gerezani wakati wa vurugu za wafungwa, na Ali Heshima Mohamed, ambaye alifariki hospitalini kutokana na ugonjwa wa TB," alieleza Mhe. Membe.

Mwili wa marehemu Mohamed ulirejeshwa nchini jana kwa mazishi. Mhe. Waziri alitaarifu kuwa kuna Watanzania 23 katika kambi iliyotayarishwa na serikali ya Afrika Kusini huko Durban kuhudumia wageni wanaokimbia mashambulizi hayo ya wenyeji, na kuwa utaratibu unafanywa kuwarejesha nyumbani raia 21 walioomba. "Wawili wamesema hawako tayari kurudi."

Mhe. Membe amesema taarifa ya serikali ya Afrika Kusini inaonyesha kuwa hali ya utulivu imerejea Durban na Johannesburg katika saa 48 zilizopita kutokana na juhudi za Rais Jacob Zuma na kamati maalum ya mawaziri aliyoiteua kushughulikia mashambulizi hayo.

Mapema jana, Mhe. Membe alimwita Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Mhe. Thamsanqa Dennis Mseleku, na kuelezea kukerwa kwa serikali na mauaji ya wageni na akataka hatua madhubuti zichukuliwe kuhakikisha usalama wa Watanzania nchini Afrika Kusini.

Alisema Tanzania inaunga mkono taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, ambayo imelaani vikali mashambulizi ya Waafrika kutoka nje ya Afrika Kusini. Hata hivyo, Rais Mugabe, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), amesifia hatua zinazochukuliwa na serikali ya Afrika Kusini kukomesha mashambulizi hayo na kurejesha utulivu.

Mhe. Membe aliwataka Watanzania waishio Afrika Kusini na kwingineko nje ya nchi, kujitambulisha kwenye balozi zetu ili iwe rahisi kufuatilia usalama wao na kuwasaidia pale yatokeapo majanga.

"Hatuna takwimu sahihi za idadi ya Watanzania waishio Afrika kusini kwa sababu wengi wao wamekwenda huko kwa njia za panya," alisema. Inakadiriwa kuna Watanzania 10,000 waishio Johannesburg na Durban.

Akijibu swali la mwandishi wa habari, Mhe. Membe alisema Tanzania inapaswa kutumia utajiri mkubwa wa gesi asilia ilionao ili kuendeleza viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vitakavyotengeneza ajira za kuvutia kwa vijana ili wasikimbilie nchi za nje na kuhatarisha maisha yao.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam
20 Aprili 2015.

Linavyoonekana sasa jengo la Mwanza City Shopping Mall • Picha kutoka kwenye blogu ya GSengo

Job opportunities at KNCV in Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Pwani, Dar es Salaam, Zanzibar

usaid.jpg

KNCV Tuberculosis Foundation

Background 
KNCV Tuberculosis Foundation is an international non-profit organization dedicated to the fight against tuberculosis (TB). KNCV is the lead partner in Challenge TB (CTB), the new USAID- funded 5-year global program. We lead an international consortium comprising eight other partner organizations besides KNCV: ATS, FHI 360, IRD, JATA, MSH, PATH, The Union, and WHO. The strategic objectives of Challenge TB are to improve access to patient care, to prevent transmission and disease progression, and to strengthen TB platforms. In Tanzania, KNCV will operate from a central office (starting up phase) in Dar es Salaam and has positions stationed in the districts and regions. The head office is based in The Netherlands.

KNCV Tuberculosis Foundation is recruiting the following positions for the Challenge TB program in Tanzania. For a full description of the vacancies described below see our website www.kncvtbc.org/vacancies

Reference number CTB 52015 
Vacancy: Field Coordinators 
Duty stations: Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Pwani, Dar es Salaam and Zanzibar 
The Field Coordinator (DTHC) leads the Challenge TB team in the respective districts and acts as the regional representative for KNCV/Challenge TB project. He/she provides high level technical support to all aspect of TB control in the region. The Field Coordinator works in very close collaboration with the Regional TB and Leprosy Coordinator (RTLC), the Regional Health Management Team (RHMT) and with other implementing partners to support CTB activities.

Who are we looking for? 
Assistant medical officer, a minimum of two years of experience in public health, TB/HIV and/or tuberculosis control or an equivalent combination of education and experience. Proven experience in conducting trainings and capacity building. Excellent verbal and written skills in English and Kiswahili, computer skills in MS Office.

Reference number CTB 52016 
Vacancy: Laboratory Quality Officer 
Duty Station: CTRL, Dar es Salaam 
The laboratory Quality Officer is responsible for designing, implementing and maintaining a comprehensive quality assurance system at the Central TB Reference Laboratory (CTRL) in close collaboration with the laboratory management to ensure clients’ needs are met. He/she facilitates routine quality assurance practices, quality data management, promotes compliance to the system by all stakeholders and responding to customer concerns in liaison with the Head of Central TB Reference Laboratory (CTRL).

Who are we looking for? 
Bachelor’s degree, preferably in a laboratory sciences or quality management specialty with minimum of two years’ experience in quality management protocol. A quality management certification is an added advantage. Has demonstrated managerial skills. Registered with the Tanzania Medical Health Laboratory Practitioners Council.

Reference number CTB 52017 
Vacancy: Laboratory Safety Officer 
Duty station: CTRL, Dar es Salaam
Laboratory Safety officer is responsible for ensuring that the laboratory has a safe environment
for all the staff, visitors and patients at the Central TB Reference Laboratory. In consultation
with management, the Safety Officer will develop, maintain, and implement an effective laboratory safety program. The role of the Safety Officer is key to the overall safety of patients and staff within the laboratory.

Who are we looking for? Degree in Medical Laboratory Science plus two years post qualifying experience. Registered with Tanzania Health Laboratory Practitioners Council. Has training in Medical Laboratory Safety. Basic First Aid training will be an added advantage. Excellent verbal and written skills in English and Kiswahili, computer skills in MS Office.

Reference number CTB 52018 
Vacancy: Administrative Assistant 
Duty station: Dar es Salaam 
The administrative assistant ensures the efficient day to day operation of the office and supports the work of management and others. Key position elements include: secretarial support to the office; monitoring of individual activities; coordination of logistics for the project team, their activities, and management and processing of all associated forms and information.

Who are we looking for? 
Degree or Advanced Diploma in Public administration, or related degree. Has excellent computer skills (incl MS word, Excel and Power Point). Demonstrated ability to work in an efficient and prompt manner in areas of correspondence, logistics for local travel, filing, and record-keeping. Demonstrated organizational skills and excellent interpersonal skills. Excellent verbal and written communication skills in English and Kiswahili

Your application (with curriculum vitae, motivation letter, 3 professional references) should be sent before 4th of May 2015 to:

KNCV Tuberculosis Foundation, PO Box 146, 2501 CC The Hague, the Netherlands to the attention of: Mr. Albert Masambaji. E-mail: [email protected] under name of reference number and position. For further information on KNCV Tuberculosis Foundation, please see www.kncvtbc.org +31 (070) 416 72 22.

KNCV Tuberculosis Foundation is an equal opportunity employer offering employment without regard to race, color, religion, sex, sexual orientation, age, national origin, citizenship, physical or mental handicap, or status as a disabled.

Mahojiano na Linda 'LB' Bezuidenhout - Pt IKaribu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout Ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo Nani alimfanya ashawishike na fani hii? Maisha yake kimahusiano je? Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake?

KARIBU
Mbio za "Ngorongoro Marathon 2015", Mgeni rasmi Sumaye ashiriki

Waziri Mkuu Mstaafu, Ndugu Fredrick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro

WANARIADHA wa Tanzania Joseph Theofily wa klabu ya riadha ya Holili ya mkoani Kilimanjaro na Failuna Abdi wa klabu ya riadha ya Winning Spirit ya jijini Arusha wamefanikiwa kupeperusha vyema Bendera ya taifa baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika mbio za kimataifa za
Ngorongoro Marathoni kwa upande wa wanaume na wanawake.

Mwanariadha Theofily alifanikiwa kumaliza mbio za kilometa 21 akitumia muda wa saa 1:03:09 na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni 1 mbele ya wakongwe wengine kutoka nchi za Kenya, Uganda na Malawi huku Gabriely Gerald wa klabu ya Winning Spirit ya jijini Arusha akishika nafasi ya pili akimaliza mbio akitumia saa 1:03:36 na kujinyakulia kitita cha sh laki 5.

Emanuel Giniki alifanikiwa kushika nafasi ya tatu na kujinyakulia zawadi ya sh 250,000, nafasi ya nne ikichukuliwa na Ezekiel Therop huku mwanariadha Mohamed Msenduki wa klabu ya Wining Spirit ya jijini Arusha akimaliza nafasi ya tano.

Mwanariadha wa kike Failuna aliyerejea hivi karibuni kutoka nchini Brazil kushiriki mashindano ya mbio za Km 15 ambazo alifanikiwa kumaliza mbio hizo katika nafasi ya saba, aliwaongoza wakongwe kama Banuelia Bryton, Mary Naali Jackline sakilu na Catherine Range akimaliza mbio katika nafasi ya kwanza kwa kutumia muda wa saa 1:10:25.

Failuna aliyejinyakulia zawadi ya kitita cha kiasi cha shilingi milioni 1 alifuatiwa kwa karibu na mpinzani wake Nathalia Elisante aliyetumia muda wa 1:14:40 na kuzawadiwa kitita cha sh 500,000 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Magdalena Crispine aliyetumia muda wa 1:15:56, nafasi ya nne na tano ikienda kwa Anjelina Tsere na Mary Naali.

Mbio za kimataifa Ngorongoro Marathoni zinafanyika zikiwa na lengo la kuwawezesha watoto wa jamii ya kimasai kupata elimu ikiwemo kumalizia shule ya Endulen iliyoko Ngorongoro na kutangaza urithi wa utalii kupitia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro huku ikishirikisha pia mbio za Kilomita tano kwa wafanyakazi wa taasisi mbalimbali pamoja na km 2.5 kwa wanafunzi.Waziri mkuu Msaatfu Fredirick Sumaye akikimbia sambamba na rais wa shirikisho la riadha Tanzania, RT, Athony Mtaka (kushoto kwake) mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Ntibenda, pamoja na mkuu wa wilaya ya Karatau Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za Ngorongoro Marathoni.Maratibu wa mbio, Meta Paul akiwa na mmoja wa wasiamamizi ,Leila wakati wakiwaandaa wanariadha kuanza mbio za Km 21 katika lango la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.Mbio zikianza rasmi.


Baaadhi ya washiriki katika mbio hizo,walikuwemo pia wadhamini kama Maremga Investment,hapa Marenga mwenye track-suit nyeusi akijaribu kukimbiza upepo.Awali mbio zikiwa bado ndio zimeanza kundi la wakimbiaji lilionekana wote wanakimbia kwa karibu.Muda ulivyosonga na hatua ndivyo zilivyo ongezeka.Hatimaye wakaanza kuachana mmoja baada ya mmoja,


Wengine wakaamua kwenda pamoja ili kupeana moja.


wengine wakafunguka zaidi.


Hatimaye wakapatikana wakimbiaji watatu wakaongoza hadi mwisho wa mbio na hawa ni Joseph Theofily (katikati),George Gerald (kulia) na Emanuel Giniki.Mkimbiaji raia wa Kenya ambaye jina lake halikufahamika mara moja akijaribu kuonesha umahiri wake katika mbio hizo.Msichana pekee aliyekuwa akiongoza ni Failuna Abdi .Nyuma ya Failuna alikuwepo Nathalia Elisante.

Mshindi wa kwanza katika Mbio za Ngorongoro Maratahoni 2015 ,Joseph Theofily akimaliza mbio hizo katika uwanja wa Mazingira Bora akitumia muda wa 1:03:09.

Mshindi wa Pili katika mbio hizo, George Gerald akihitimisha mbio hizo akitumia muda wa 1:03:36


Mshindi wa tatu, Emanuel Giniki akikalimilisha mbio kwa muda wa 1:03:42.Giniki akijaribu kupoza koo mara baada ya kumaliza mbio.Mkimbiaji wa klabu ya riadha ya Holili, Osward Moris akihitimisha mbio.Mshindi wa kwanza kwa kina dada Failuna Abdi akihitimisha mbio katika nafasi ya kwanza baada ya kutumia muda wa 1 :10:25Mgeni rasmi katika mbio hizo ,Waziri mkuu Mstaafu ,Fredirck Sumaye akiingia uwanjani huku akihitimisha mbio za km 21 .

Kwa picha zaidi tembelea: dixonbusagaga.blogspot.com

 • Tumeshirikishwa taarifa hii na Na Dixon Busagaga

Call for fund applications - Saving Lives at Birth: A Grand Challenge for Development

Saving Lives at Birth: A Grand Challenge for development

USAID, the Government of Norway, the Bill & Melinda Gates Foundation, Grand Challenges Canada, and DFID have joined together to launch Saving Lives at Birth: A Grand Challenge for Development, to find the tools and approaches to help the mothers and newborns during their most vulnerable hours.

Types of Awards: We will invest in a portfolio of projects. Through this portfolio, we will seek ground breaking innovations by providing:
 • Seed Funds to support the development and validation of ideas capable of impacting health outcomes for pregnant women and their babies in low-resource settings,
 • Validation Funds to introduce and validate the effectiveness of innovations to reach proof-of-concept, and
 • Transition to Scale Funds to develop, refine, and rigorously test the impact of integrated solutions that have previously measured promising health outcomes in a controlled or limited setting and have the potential to credibly scale to improve the lives of millions of pregnant women and newborns in multiple countries. Transition funding is limited to integrated solutions that unite technology, service delivery, and demand.

More info., available at: savinglivesatbirth.net/apply

Mapitio ya magazeti katika Tv, Aprili 20, 2015