Magoli ya Simba iliyowararua 4:0 Mgambo JKT

Nitachukua fomu kuomba kugombea Ubunge Moshi Mjini - Daudi

Daudi Mwidadi Mrindoko
Daudi Mwidadi Mrindoko

Kwa nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu anawezesha yote na kutujalia uhai

Waheshimiwa Mabibi na mabwana, vijana na wazee, watoto na wakubwa, Baba zangu na Mama zangu na wanadau wote wanaoishi Moshi na wenyeji wa Moshi walio ndani na nje ya Moshi.

Mimi mtoto wenu, mdogo wenu na kijana wenu DAUDI BABU MRINDOKO, nina heshima kubwa na unyeyekevu kwenu. Pia nawashukuruni sana kwa kunishawishi niweze kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la Moshi Mjini katika uchaguzi mkuu 2015, kwa tafsiri ya Ubunge yaani utumishi, mtetezi,msemaji, mwakilishi n.k 

Katika baraza la kutunga sheria na Katiba yaani Bunge, na katika tafsiri hii ya majina ya kazi hii lazima mtumishi awe mkweli, muwazi na aliyeweka mbele kwanza maslahi ya waliomchagua.

Waheshimiwa mabibi na mabwana,vijana na wazee, watoto na wakubwa ,Baba zangu na mama zangu, kunishawishi kwenu kulinifanya niwe kimya kiasi na nikiwa najiuliza maswali mengi kichwani! Lakini maswali makubwa yalikuwa matatu: 

(a) Nashawishiwa na jamii nichukue fomu kwa kuwa mimi ni kijana mwenywe uwezo wa kuifanya kazi hii?

(b) Nashawishiwa kwa kuwa kijana niliyezaliwa na kuelimishwa na wanaonishawishi? Yaani wananchi wa Moshi Mjini na ndiyo wananitambua tabia na uwezo wangu wa kikazi.

(c) Swali lingine nililojiuliza ni: Hivi mtoto au kijana mwenye adabu, nidhamu na heshima kwa wazee na wakubwa zake walikuwa katika jamii wakimteua au kumtuma kufanya kitu au jambo tena kwa faida na maslahi ya jamii, itakuwa vyema kijana huyo akatae? au asikubali kutumwa huko?

Baada ya kujiuliza mashwali hayo na mengineyo nimepata jibu ambalo:

NAKUBALI WITO WENU NA USHAWISHI WENU

Kuwa nitachukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge 2015 jimbo la Moshi Mjini.

Mmenishawishi nami nashawishika na kuthubutu kuchukua fomu ya kugombea Ubunge, kwa kuwa siwezi kuwa mvunjifu au mtovu wa adabu kukataa wito na ushawishi wenu ambao wazee wangu, vijana wenzangu, mama na baba zangu wa Moshi Mjini mmeniteua kwa kunishawishi niweze kuja kuwa mtumishi wenu Mbunge.

Kwa kuwa mmenizaa, mmenilea, mmenisomesha mpaka elimu ya juu na mmenishawishi kwa kuwa mnaniamini mimi ni mmoja wenu katika maisha ya kila siku katika jamii yetu Moshi, nayafahamu wazi mahitaji yetu, kero zetu na kipi jamii yetu haitaki na kipi. Jamii yetu inataka hapa jimboni Moshi Mjini, marekebisho gani yanatakiwa hapa Moshi Mjini ili palete tumaini jema na maana kamili wa wakazi wote jimboni hapa. Nayafahamu yote.

Nanyi mmemshawishi kijana Daudi Babu Mrindoko, mtoto wenu kwa hakika mmetuma mtumishi anayeguswa na yanayowagusa, anayekerwa na yale mnayokelwa, anafurahishwa na yale mnayofurahia. Kwani mwenzenu katika jamii jimboni Moshi mjini. Nawashukuruni sana na Asante sana kwa kunishawishi, Nimeshawishika. Nangojea wakati ukifika nami nifuate taratibu zote za kuchukua fomu kupitia Chama tawala"

"NAKUBALI NITACHUKUA FOMU 2015, KWA NIA YA USHIRIKIANO WETU TULETE MABADILIKO MOSHI MJINI YENYE MASLAHI KWA WOTE."

Mungu Ibariki Tanzania!

Daudi Babu Mwidadi Mrindoko: facebook.com/mrindoko.mwidadi

Mapitio ya magazeti katika Tv, Aprili 23, 2015

Mwanafunzi afia darasani baada ya kuchapwa na Mwalimu

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili.

Polisi wilayani na mkoani Manyara wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio hilo.

Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).

Kanali Nzoka alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi wakiwa darasani wakati mwalimu huyo anayeshikiliwa na polisi alipokuwa akiwafundisha. Inadaiwa mwanafunzi huyo alichapwa viboko vinane. Haikuelezwa kama alichapwa kiganjani ama sehemu nyingine.

Nzoka alidai kuwa mwalimu huyo alimchapa marehemu baada ya kupata alama 40 katika mtihani wa somo la Kiswahili kwani walipeana mkakati wa kutofeli na kwamba mwanafunzi atakayepata chini ya alama 40 atachapwa fimbo 12.

“Mwanafunzi huyo alifariki dunia papo hapo darasani baada ya kuanguka chini alipochapwa viboko na walimu hao na mwili wake umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kiteto ukisubiri uchunguzi,” “Natoa wito kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, kuangalia namna ya kutoa adhabu kwa wanafunzi wanapokosea, baadhi ya watoto afya zao siyo nzuri,” 
alisema Kanali Nzoka.

Diwani wa Kata ya Matui, Athumani Kidawa alisema baadhi ya wazazi wa eneo hilo waliopatwa na hasira baada ya kutokea tukio hilo, waliandamana hadi Kituo cha Polisi Matui kulalamikia kitendo hicho.

Aliyepona katika ajali ya basi la Unique amlaumu dereva

Kifaa cha kunyanyua vitu vizito kikilinyanyua mabaki ya gari baada ya ajali ya basi la Unique kugongana na lori huko Tinde mkoani Shinyanga.

Leo majira ya saa tisa kasorobo alasiri watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi a Kampuni ya Unique Express lenye namba za usajili T148 BKK kugongana na lori aina ya Scania lenye namba za usajili T207 BSA na tela lenye namba za usajili T635 AJT mali ya kampuni ya Coca Cola katika barabara ya Tinde Shinyanga eneo la kijiji cha Ibingo kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

Walionusurika ajalini wamesema kuwa dereva wa lori alikuwa anaendesha gari katikati ya barabara huku dereva wa basi akiwa katika mwendo kasi na katika kukwepa, basi hilo aligonga tela la lori kisha kupinduka.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha aliyeko eneo la tukio alisema watu 10 wamepoteza maisha katika ajali hiyo kati yao 9 walifariki dunia papo hapo huku majeruhi 50 wakiwemo wanawake 13, wanaume 36 na mtoto mmoja wa kiume wakiwa wanaendelea na matibabu katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Tela la lori la kampuni ya Coca cola lililogongana na basi, wakati linaelekea Shinyanga

Kulia ni Kelvin Moshi mkazi wa Tanga aliyenusurika kifo katika ajali hiyo, aliyekuwa anasafiri kutoka Mwanza kwenda Tabora ambaye amesema dereva wa basi alikuwa katika mwendo kasi na hivyo kushindwa kulimudu basi.

Job opportunity at Geita Gold Mining for a Social and Economic Development Superintendent


Kagera waterfalls in Kyamunene / Maporomoko ya majiTanzania ina mali asili nyingi vikiwemo vyanzo vya maji ambavyo pia ni vivutio vya utalii kama inavyoonekana kwenye video ya eneo la Kyamunene huko mkoani Kagera.

Zanzibar International Film Festival 2015 NominationsDescription: Zanzibar International Film FestivalDescription: C:\Users\susan.gikera\AppData\Local\Microsoft\Windows\Temporary Internet Files\Content.Outlook\293F19GN\Zuku_Logo_White.png
ZIFF 2015 ANNOUNCES OFFICIAL SELECTION
__________________________________________________________________________


The Zanzibar International Film Festival is the longest running film-festival in East Africa, with global credibility and instant Pan-African recognition. ZIFF 2015 will take place from the 18th – 26th of July 2015 in Stonetown.


ZIFF is proud to announce the films in the Official Selection based on a record 419 submissions. The list contains 25 feature films, 44 shorts and 27 documentaries from over 30 countries across the globe.
Festival Director Dr. Martin Mhando had this to say of the submissions and selections for ZIFF 2015, “We would like to congratulate and thank all those who submitted their films. With so many films to choose from the selection process was especially difficult.  This has been the largest number of films received to date. We are also pleased to say that the online submission process was a success, with 90% of all the films were submitted online through the FESTHOME platform.”
The entries came from 38 countries with the largest number of entrants coming from Germany and with The Dominican Republic having its first entry in ZIFF 2015.
Speaking on ZIFF 2015, Mandy Roger TV Director ZUKU noted, “We have in the past 2 years of our sponsorship witnessed significant growth in content development rising from the festival. As a broadcaster, ZUKU is deeply invested in the growth and success of East Africa's creative and content industries. It is therefore with pride we continue to partner the Zanzibar International Film Festival, which has for the last 15 been instrumental in celebrating and enabling film making from the region and around the world." 
The selection committee also noted a clear growth in the quality of short films from Africa revealing a refreshing creative input and experimentation with film language.
East Africa is well represented at ZIFF 2015 with 7 films from Tanzania to compete in the general competition. Within the Official Selection Kenya leads in the region with 9 films selected, while Uganda has 3, Burundi 2 and Rwanda 1. South Africa has 7 films in competition this year.
Selected films for the Bongo Movies competition, which is backed by the Satelite TV Channel ZUKU will be announced at a later date. ZUKU is also the event sponsor of the festival.
It has also been announced that the Academy Award and Golden Globe Award winning film Selma will officially open ZIFF 2015 on the evening of July18th.
As in previous years ZIFF will welcome dozens of professional and aspiring film directors, producers from across Africa and the world for 8 days of film, music and cultural celebration.
OFFICIAL SELECTION ZIFF 2015
FEATURE FILMS
Director/length in minutes
COUNTRY
Algun lugar/On the Road Somewhere
Guillermo Zouain (70)
Dominican Republic
Beautiful Tree , Severed Roots
Kenny Mann (70)
Kenya
Diamond Tongues
Brian Robertson and Pavan Moondi
Canada
El mal trato/Maltreatment
Daniel E.V. Yudin (68)
Chile
Fievres/Fevers
Hicham Ayouch (90)
France
Habibie and Ainun
Faozan Rizal (121)
Indonesia
Jongo Love
Emma Roger (98)
Kenya
Kutakapokucha
 Simon Mwakifwamba
Tanzania
Munnariyippu/ The deadline
Venu N (114)
India
Mr Kadamanja
Adam Kuambiana (164)
Tanzania
Nightrunners
Rowan Nielsen (89)
Kenya
Pishu
Leah Mwendamseke (83)
Tanzania
Pride
Matthew Warchus (119)
UK
Selma
Ava DuVernay (128)
USA
Single Zero
Timoth Conrad (62)
Tanzania
Strength of a Woman
Gilbert Lukalia (91)
Kenya
Sugarcane Shadows
David Constantin (84)
Mauritius
Superstition
Paresh Gondaliya & Zziwa A. Alone
Uganda
The Gods of Water
Pablo Caesar (115)
Argentina/Ethiopia/France
The Last Drive-in Theater
Iberê Carvalho (98)
Brazil
Wazi?FM
Faras Cavallo (62)
kenya
Timbuktu
Abdrehmanne Sissako
Mali
Morbayssa
Cheick F. Camara
Guinea Konakry
City of Violence
Jerome Salle
South Africa
Price of Love
Hermon Hailay (99)
Ethiopia


DOCUMENTARIES
Director/length in minutes
COUNTRY
21 Icons - A Journey to Democracy
Adrian Steirn (45)
South Africa
Abasezi (The Nightdancers)
Aemile Dinneen (78)
Ireland/Uganda
Bintou
Simone Catharina Gaul (68)
Germany
Croc in a Museum

Rwanda
Daddy's Wedding

Dubai
Dancing With Maria
Ivan Gergolet (75)
Italy/Argentina/Slovenia
Grandma Knows Best?
Tamara Dawit (16)
Ethiopia
Life In Progress
Irene Loebell (99)
Switzerland
Life is Waiting: Referendum and Resistance in Western Sahara
Lara Lee (60)
Western Sahara
Low Season
Madeleine Dallmeyer (41)
Germany
Maramaso
Ashley Beckett (53)
Kenya
Mbwa Mwitu
Farid Uwezo (20)
Tanzania
Moussa Diallo: The Man and the Music
Helle Toft (72)
Denmark
NAPPS- Memoire Of An Invisible Man
Tami Liberman (31)
Germany
Obohozi
 Caroline Odongo & Gitura Kamau(98)
Kenya
Papa Machete
Jonathan David Kane (11)
U.S.A.
Prisoner 467/64: The Untold Legacy of Andrew Mlangeni
Lebogang Rasethaba (53)
South Africa
Red Over the Rainbow
Baumont Vincent (27)
Vietnam
Shadeism: Digging Deeper
Nayani Thitagarajah (
Canada
Shadow Fighters
Josefine Heimburger
Denmark/Tz
The Beauty That I Saw
Benjamin Abrams (51)
U.S.A
The Broken Heart
Fabian Püschel
Germany
The Hustle
 Ashraf Said  Mswaki (25)
Turkey
The Rwandan Genocide: Reunited Through Polaroids
Colin Crowley (5)
Rwanda
The Springboard
Joseph Ndayisenga (63)
Burundi
Twende! Let's go!
Silvana Zancolo (52)
Italy
Ady Gasy
Nantenaina Lova (81)
Madagascar


SHORTS
Director / length in minutes
COUNTRY
92 Dreamin' (Animation)
EscarlaAbreu (4)
United States
A Coeur Ouvert
Ayekoro Kossou (16)
France
A Promised Rose Garden
Lisa Violetta Gaß (Gass)(33)
Germany
Agi / Elegy
Yousef Kargar
Iran
Amor a Primera vista/ Love at first sight
Mark Playne (14)
Spain
Angles of my Face
Manu Maina (22)
Kenya
Artificio Conceal
Ayoub Qanir (16)
U.S.A.
As I Am
Sihle Hlope(14)
South Africa
Bahar in Wonderland
Behrooz Karamizade (16)
Germany
Camouflage
Andreas Kessler (8)
Germany
Castillo y el Armado (animation )
Pedro Harres (13)
Brazil
Detour
Michael Leong-Huat Kam Kam
Singapore
Ella
Kim Münster
Germany
Every Day is a Small Life
Lou-Brice Léonard (27)
France
Faraja
Nasir Al Qassim
Tanzania
Green Gold/ Gruen Gold (animation)
Barbara Marheineke (13)
Iran/USA
Harsh
Danilo Baracho (8)
Brazil
Intellectual Scum
Njue Kevin (14)
Kenya
Islands
Tajinder Hayer (16)
United Kingdom
Italian Standoff
Marcel Becker-Neu (12)
Germany
Jaya
Puja Maewal (18)
India
Kilimo 2 (animation)
Neema Reed(6)
USA
King of Guangzhou
Quester Hannah (14)
China
Lahza
El Waleed Gamal
Egypt
Lami (Animation)
Christophe and Olivier Defaye (2)
Japan
Mousse
John Helberg (41)
Sweden
Prelude to a Torn House
Carlos Esteban Godoy Acosta (29)
colombia
Ram
Miransha Naik (25)
india
Red Card
John Rabaud (3)
Mauritius
Routine
P. Sam Kessie (14)
South Africa
Samaki Mchangani/Fish of the Land
Amil Shivji (30)
Tanzania
September
Mark Wambui (54min)
Kenya
Shehnai
Haroon Habib (16)
pakistan
Soko Sonko  /The Market King
Ekwa Msangi (22)
Tanzania
Taweez- The Talisman Writer
Ali Hakin (20)
Germany
The Dinner
Aylin Basaran (15)
Germany
The Girl
Shashwati Talukdar (8)
India
The Last Will
Dustin Loose (21)
Germany
The Legacy of Rubies (Animation)
Ebele Okoye (28)
Germany
The Road we Travel
Aidan Belizaire (37)
Uganda
Tjitji the Himba Girl
Oshosheni Hiveluah (22)
Namibia
Oritsha’sJourney
Abdul Ndadi
USA
Uthando
Tulanana Bohela
South Africa
With Best Regards
Bernhard Wenger (5)
Austria


For Editors


About ZIFF
The Zanzibar International Film Festival is the longest running film-festival in East Africa, with global credibility and instant Pan-African recognition. ZIFF is sponsored by ZUKU through a 10 year contract that runs through 2021. The ZIFF Festival of the Dhow Countries mission is to promote and showcase the culture of the Dhow Countries. Every cent raised from sponsors and donors ensures the widest possible accessibility of high-quality international screenings and cultural events to all sections of the Tanzanian population.
About MLB Communications
MLB communications is an independent Public Relations & communications agency with excellent reputation in the industry. We have an honest and challenging approach to public relations and create awareness of, and interest in your business by engaging and communicating with your key audiences.
Contacts
MLB Communications: Bonolo Modisakwane at [email protected]
ZUKU: Susan Gikera at [email protected]