Ufafanuzi wa BASATA kuhusu shindano la Miss Tanzania

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi ya shindano hilo.

Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano hayo kwa mwaka huu.

Baraza linapenda kutoa ufafanuzi kama ifuatavyo:

1. Wananchi wapuuze taarifa hizo kwani kusimamishwa kwa shindano la Miss Tanzania bado kuko palepale kama ilivyoelezwa katika barua ya BASATA ya tarehe 22/12/2014 waliyoandikiwa Lino International Agency LTD ambayo pamoja na mambo mengine iliwataka warekebishe kasoro kadhaa zilizojitokeza. Walisimamishwa kwa misimu miwili ya mwaka 2015 na 2016 ili kujipanga upya na kurekebisha kasoro husika.

2. BASATA kama msimamizi na mratibu mkuu wa sekta ya Sanaa nchini ndilo lililolisimamisha shindano hilo baada ya kubaini mapungufu mengi. Kusimamishwa kwa shindano hili ilikuwa ni kwa njia ya kuufahamisha umma na kwa maana hiyo kama shindano litafunguliwa njia hiyo-hiyo ya kutoa taarifa kwa umma itatumika na si vinginevyo.

3. BASATA linatoa wito kwa Lino International Agency LTD kutumia muda wake mwingi kufanyia marekebisho mapungufu yaliyojitokeza ili mashindano haya yatakaporejea yawe na mikakati na hadhi kuliko ilivyo sasa.

4. Aidha, Baraza linawataka wasanii na wadau wote kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo katika kuendesha shughuli za Sanaa sambamba na kufuata mifumo sahihi ya mawasiliano.

Sanaa ni kazi, tuipende na kuithamini.

Godfrey Mngereza
KATIBU MTENDAJI.

Rais Mwinyi apendezesha sherehe ya CHAUKIDU MarekaniMeza kuu toka kushoto ni Rais wa CHAUKIDU Prof.Lioba Moshi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi wakuhudhuria sherehe ya Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani. Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwa mgeni rasmi sherehe iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku ya Alhamisi April 23, 2015 na kuhudhuriwa na wadau wa Kiswahili kutoka mataifa mbalimbali wakiwemo Wamarekani wanaozungumuza lugha ya Kiswahili.Dk. Hamza Mwamoyo mkuu wa idhaa ya Kiswahili Voice of Amerika (VOA) akimsabahi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi huku wakipata picha ya kumbukumbu wenginine kwenye picha ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi.Farida (kulia) wa Farida Catering akiwaelekeza Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula aina ya vyakula alivyopika katika kuhitimisha sherehe ya CHAUKIDU siku ya Alhamisi April 23, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Hii ni mara ya pili kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuonja mapishi ya Farida Catering mara ya kwanza ilikua katika shere ya miaka 3 ya Vijimambo iliyofanyika mwaka 2013 Capitol Heights.Farida akiwaonyesha ustadi wa ukutaji matunda Rais mstaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi.Prof. Lioba Moshi akiongea machache ya kumshukuru Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuhudhuria sherehe ya CHAUKIDU tangia mchana na usiku bila kuchoka pia alimshukuru Balozi wa Tanzania nchini Marekani kwa kuwezesha kuja nchini kwa Rais Msataafu aliyependezesha na kunogesha sherehe ya chama chao na baadae alimkaribisha Balozi Liberata Mulamula kuongea machache.Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitoa shukurani zake kwa CHAUKIDU kwa kufanikisha sherehe yao na baadae aliwatambulisha maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani akiwemo Balozi wa heshima Ahmed Issa na wadau mbalimbali wakiwembo waandishi wa vitabu Kapuya kutoka California na Mzee Safari kutoka Maryland na baadae kumkaribisha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kuongea na wadau wa Kiswahili nchini Marekani.Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongea na wadau wa Kiswahili katika kuhitimisha sherehe ya CHAUKIDU iliyofanyika siku ya Alhamisi April 23, 2015 Silver Spring, Maryland. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi mbali na kuwashukuru CHAUKIDU pia alitumia fulsa hiyo kuweka sawa baadhi ya maneno la lugha ya Kiswahili ambayo hukosewa kutamkwa ipasavyo kwa kutoa mfano alisema katika kiswahili kahuta tarehe 1 au tarehe 2 usahihi ni tarehe mosi na tarehe pili huku akitolea mfano kwa lugha ya kiingereza kwamba hata nao hutamka 1st na 2nd mfano mwingine alisema unaposema nawaahidini ni ahadi unayotoa kwa watu wasiokuwepo mbele yako lakini unaposema ninakuahidini ndio sahihi kwa ahadi unayotoa kwa watu waliopo mbele yako na mengine mengi.Kamati nzima ya CHAUKIDU ikipata picha ya kumbukumbu.

Obama’s grandmother, uncle performs Umrah in Mecca

(photo: onislam.net)

U.S President’s grandmother Sarah Obama is in the Kingdom of Saudi Arabia in order to perform the religious ceremony of Umrah.

The old woman is in the Kingdom to perform Umrah with her son Saeed Obama, President Obama’s uncle, and her grandson Mousa Obama. Sarah is 94 years old and wheelchair-bound.

Obama’s grandmother visited Makkah in and paid a visit to the Holy Prophet Muhammad’s (PBUH) exhibition. She was also delighted and welcomed the $21 billion expansion of the Grand Mosque. Charmed by the exhibition, she was pleased to see Islam being represented in the moderate and right way.

“I am very happy to visit this exhibition, which is a good example for the propagation of Islam in a modern way, supported by scientific and authentic documents,” she was quoted as saying.

Sarah was hopeful the exhibition would travel to other countries of the world in a bid to dispel misperceptions related to Islam. Obama’s grandmother and several family members are Muslims yet he himself has chosen Christianity as his religion.

Israel denies a visa to South African Minister

Johannesburg - The South African Government is outraged that Israel has denied a visa to South African Minister of Higher Education Blade Nzimande to visit Palestine with an official delegation.

“The Israeli Government is trying by all means to hide their atrocities against the Palestinian people, and minimize the number of people who can actually see what is happening on the ground,” Nzimande told Independent Media on Thursday.

Nzimande was invited to Palestine by his Palestinian counterpart from 25-29 April 2015 in order to discuss the implementation of an agreement on academic collaboration that they signed when Palestinian President Mahmoud Abbas visited South Africa in November 2014.

Birzeit University and the University of Johannesburg have been identified as possible academic partners, and Minister Nzimande was scheduled to participate in the launch of the Centre for African Studies at Birzeit University, for which South Africa would be the anchor. A Centre for Middle East Studies was also due to be launched at the University of Johannesburg, for which the University of Birzeit would have been the anchor.

Nzimande and his delegation of three officials had followed normal procedures to apply for a visa through the Embassy of Israel, but the application was returned with no explanation. The Israeli Embassy has now confirmed that they declined to issue the visa, and are adamant they will not be issuing the visas.

Nzimande is convinced that the Israelis want to punish him and the South African Communist Party for being so vocal in the past on their support for the Palestinian struggle for self-determination and a viable independent state.

Minister Nzimande is incensed at this blatant discrimination, and plans to request that all South African universities and colleges that have academic relations with Israeli institutions sever their ties. This academic boycott will only be called off once Israel fulfils its obligations under international law recognising Palestine along the 1967 borders, with East Jerusalem as its capital.

Nzimande is also calling on the Palestinian Solidarity Forum to call for a general academic boycott of all Israeli academic institutions. “What Israel is also doing is trying to subvert academic freedom, which cannot be tolerated,” Nzimande said. The Israeli Ambassador Arthur Lenk was unavailable for comment.

Girls from Kenya taken to Tanzania for FGM

KENYANS are now taking their children to Tanzania to undergo female genital mutilation (FGM) because of the strict and punitive laws against the offenders in Kenya.

Anti-FGM prosecutor in the office of the Director of Public Prosecutions Christine Nanjala said mothers and aunts are leading in transporting young girls to Tanzania.

"This is the new challenge in the fight against FGM. There are no anti-FGM laws in Tanzania. And even if there are, they are weak and are rarely enforced. This has made it easier for Kenyans," Nanjala said.

She was speaking at a consultative forum on the rights of women and the Prohibition of FGM Act 2011 at a Nairobi hotel yesterday.

Nanjala said FGM is also secretly carried out in clinics and other medical centres in Kenya, especially in areas where the vice is perceived a custom.

She said parents who still believe in FGM spend a lot of money in the clinics for their children to be cut.

Mary Wandia, a programme manager of an NGO, Equality Now, said the clinics are in Eastleigh in Nairobi and in North Eastern region.

She said the worst form of FGM is conducted in the health centres with high number of deaths reported last year. Kenya Anti-FGM Board chair Linah Kilimo said the board will today meet Tanzania officials in Oloitokitok to address the issue.

She urged the county governments to establish sanctuary camps for the rescued girls.

Yale majira ya mtu mzima kumwamkia mtoto yamewadia...


Kama alivyotaja mali zake ataje vyanzo vya mapato ya ACT-Wazalendo

Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama


Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo awaeleze wafuasi wake vyanzo vya mapato ya chama chake. Huwezi kufanya mikutono ya gharama 250ml bila wafadhiri maalumu.

Gharama ya mkutano mmoja wa ACT-Wazalendo ni 25milioni, hii ikiwa nikuanzia misafara, mafuta, chakula, malazi, posho, wabahabari, matangazo nk, tayari wamefanya mikutano mikoa 8 na kila mkoa wamefanya wastani wa mikutano mitatu. Wawaeleze Watz vyanzo vya mapato yao (wafadhiri).

Hii itasaidia kuondoa maneno ya mitaani (yenye ukweli) kuwa chama hiki kinafadhiriwa na chama twawala.

Aliwahi kunukuliwa kiongozi huyu mkuu wa wakuu kuwa kuna wabunge ndio wafadhiri, sasa kwa dhana ile ile ya uwazi na uzalendo, awataje hadharani wafadhiri hao.

Ama sivyo umefika wakati sasa tumtaka CAG afanye ukaguzi pia tumtake msajiri wa vyama vya siasa atuekeze yeye.

Kuna madai yenye ushahidi usio na shaka kuwa, mkutano wa ACT-Wazalendo Mwanza, uliratibiwa na mwenyekiti wa ccm mkoa bwana Antony Diallo, pia mkutano wa ACT-Wazalendo Musoma uliandaliwa na Vedastus Mathayo aliyewahi kuwa mbunge wa ccm, na Gharama zote za ziara mkoa wa Mara anazigharamikia yeye na Lowasa kwa gharama ya 25/- mil. Ushahidi upo.

Watanzania watambue kuwa ACT-Wazalendo ni CCM. Kikundi hiki kikiongozwa na Zitto, kinagharamiwa kila kitu na CCM. Unayeshabikia ACT-Wazalendo hasa wale fuata mkumbo, ni sawa upo bila kujijua na unaunga mkono CMM iendelee kuangamiza taifa hili.

Sasa kwa heshima na taadhima Kiongozi Mkuu wa Wakuu wote wa ACT-Wazalendo, kama ulivyojipambanua kutaja mali zako, ni wakati sasa wakuwaeleza watanzania vyanzo vya mapato ya chama chako.


  • Yericko Nyerere 

Mapitio ya magazeti leo Aprili 24, 2015 kwenye StarTv