Waziri Membe azungumza na Waziri Kavakure wa Burundi

Ujumbe wa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakifuatilia mazungumzo hayo kabla ya kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Membe kwa heshima ya mgeni wake.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Laurent Kavakure jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro. Mhe. Kavakure aliwasili nchini tarehe 03 Mei 2015.

Wakati huo huo, Mhe. Membe ataongoza ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenda Burundi siku ya Jumatano tarehe 06 Mei 2015 kufanya mazungumzo na Serikali ya Burundi kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo.

-Mwisho-

Imetolewa na:
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Dar es Salaam04 Mei 2015

Taarifa ya Serikali kuhusu wakimbizi kutoka Burundi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kutoa taarifa kuwa hadi jana tarehe 03 Mei, 2015 raia wa Burundi waliongia nchini kuomba hifadhi walikuwa 1,852. Raia hawa wa Burundi waliingia nchini kupitia vijiji mbalimbali vya mkoa wa Kigoma. Vijiji hivyo ni pamoja na kijiji cha Kigaye, Sekeoya na Kakonko. Vingine ni Kosovo, Kagunga na Kibuye, huku wengine wakiwa wamepitia katika Kituo cha Uhamiaji cha Manyovu kilichopo mkoani Kigoma.

Baada ya kufanyiwa mahojiano ya kina katika kituo maalumu kilichopo mjini Kigoma, 1,252 kati yao wamehamishiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu Mkoani Kigoma na mahojiano yanaendelea kwa waliobaki na wanaoendelea kuwasili.

Shughuli ya kuwahoji na kuwahamishia katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu inafanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR), pamoja na wadau wengine.

Aidha Serikali za vijiji zinasaidia kuwapokea na baada ya kufanyiwa ukaguzi, hatimaye wanasafirishwa hadi mjini Kigoma.

Pamoja na ujio wa raia hawa wa Burundi, hali ya ulinzi na usalama katika maeneo wanapoingilia ni shwari na hadi sasa hakuna matukio yoyote ya uhalifu yalitolewa taarifa. Vyombo vya ulinzi na usalama vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi vilivyopo katika maeneo hayo vinaendelea na kazi zake kama kawaida.

Hata hivyo raia wanaoishi katika maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi mkoani Kigoma wametakiwa kutoa taarifa kwa Serikali za Vijiji vyao kuhusu wageni wanaofika katika maeneo yao, badala ya kuwahifadhi kiholela majumbani mwao, na kuwa watakaobainika kukiuka maagizo hayo watachukuliwa hatua za kisheria.

Raia hawa wa Burundi ambao wamekuwa wakiingia nchini wakiwa katika vikundi vidogovidogo wataendelea kupokelewa kufuatana na taratibu na sheria zinazotawala upokeaji wa waomba hifadhi.

Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

04 MEI, 2015

Adha ya usafiri waliyopata raia Moshi na Dar es Salaam


Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari na kugeuka kitulizo kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi nzima.Ouch! Those muscle injections - Almost took his arm

Rais Kikwete amteua Balozi Mulamula kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Balozi Liberata Rutageruka Mulamula kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.

Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya kuwa naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani hapo.

Uteuzi huu umeanza tarehe 2 Mei, 2015

Mwisho

Imetolewa ;

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu - Dar es Salaam.
4 Mei, 2015

Job opportunity for a Communication, Partnerships, and Resource Mobilization Specialist

UNCDF Tanzania is recruiting a Communication, Partnerships, and Resource Mobilization Specialist (CPRS) who will be responsible for the development and implementation of effective communication, partnership, and resource mobilization strategies in Tanzania and select countries. Successful candidate will provide professional support to relevant programme activities and approved outputs within the Global Local Finance Initiative (LFI) programme in close collaboration with relevant programme staff.

The primary role of the CPRS is to lead programme development and implementation in the cross-cutting areas of:
 • Communications;
 • Partnerships,and
 • Resource mobilization.

The cross-cutting support will focus on the main objectives of the Global LFI programme of promoting sustainable, inclusive and equitable growth in Least Developed Countries (LDCs) by developing local investment opportunities for financing by the private sector (preferably domestic capital markets)that can deliver transformative impact.

More info. at jobs.undp.org

Job opportunity for a Danish to work in Tanzania: JPO - LFI Finance Analyst

The following position is open only to Danish and other European Union nationals, as well as permanent residents of Denmark. The applicant must be fluent in both Danish and English. According to the UNDP JPO programme framework, the age limit for JPO applicants is 32 years of age at the time of application. Only applicants with a Master’s degree diploma in hand will be taken into consideration.

Applicants selected for interviews will be expected to:
 • Partake in face-to-face Interviews planned to take place in Copenhagen in June 2015
 • Shoulder travel cost should he/she be travelling to Denmark for the interviews
 • Participate in an induction course conducted by DANIDA at Danish MFA premises planned for the last week in July15
 • Travel to location and assume duties in Fall 2015 at the latest
More info at: jobs.undp.org

[doc] Maelezo ya Gavana kuhusu kushuka kwa thamani ya Shilingi

Job ad for Distribution Special Projects Coordinator (Tanzania)


Are you ambitious, bright, enthusiastic & hardworking? Are you looking to work in an award winning, cutting-edge team? If so today could be your lucky day!

Well Told Story is an innovative, socially-oriented media research and production company based in Tanzanian & Kenya and is focused on the positive transformation of young people in Africa.

Well Told Story is the company behind the award winning ‘Shujaaz’, a multi-media communications program designed to empower youth. It launched in Kenya in 2010 and in Tanzania in 2015 and is changing the lives of millions of young people. And you can too!

We are looking to recruit a distribution & special projects coordinator who will be responsible for developing, expanding and monitoring Shujaaz activities and research within the distribution network, in Tanzania.

Key Responsibilities

Distribution Monitoring and Expansion

 • Manage all channels of distribution of all Shujaaz media, except radio 
 • Make sure that our media get to the target audience in good quality and time. 
 • Continually maintain and strengthen relationships with existing comic book distribution channels and other channels through partners that may emerge. 
 • Obtain and channel back to WTS timely feedback from Shujaaz distributors to input into the production process and content. 
 • Monitor and provide continuous feedback that proves that the distributors actually distribute the media as required, ensuring that the ‘last mile’ is successfully reached. 
 • Explore alternative additional distribution networks for the Shujaaz media. 
 • Keep records of all distributed merchandise. 
 • Be available at all times to represent Well Told Story and deal with any distribution-related issues. 
 • Be available to support the Country Manager and senior teams in the fulfilment of duties in Dar es Salaam and elsewhere in Tz. 

Research Network

 • Maintain strong and active network of researchers within the Shujaaz distribution network and among other networks. 
 • Engage with any new special projects involving research within the distribution network. 
 • Provide management and logistical support to on-the-ground research activities undertaken in Tz by the K&L team 
 • Ensure strong communication and links with the K&L team in Tz and in Ke. 

Financial Responsibilities

 • Controlling and monitoring the distribution process and 100% adherence to the set distribution budget. 
 • Cost vs value for money analysis in the distribution process and advise finance accordingly. 
 • Will be accountable, defend and support relationship building budget, amounts to be agreed with the finance manager 

Minimum Knowledge, Skills, Qualifications and Experience required for this Role

 • Communication: The ability to effectively present ideas—both verbally and visually. The ability to engage with a wide range of partners – from senior company management to kiosk operators. 
 • Proactive attitude and ability to take initiative and work independently and deliver results without supervision. 
 • Proficiency in Microsoft office specifically Excel 
 • Good negotiation skills, Strong relationship building and communication skills. 
 • Excellent organisational skills and the ability to oversee projects from conception to delivery. 
 • Detail focused, with good documentation, finance and record keeping skills 
 • Flexibility in working hours: happy to work evenings/weekends/travel in Tanzania and the region. 
 • Fluency in both Kiswahili and English 
 • A team player. 

Interested candidates are invited to email their cv and a letter of interest before the 5th May 2015 to [email protected]

Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Mei 4, 2015