Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Mei 6, 2015

[video] How Burundi slipped into dictatorship

Google partners with 8 newspapers in Europe for digital journalism

Google will spend $163 million to set up the Digital News Initiative, a partnership with eight leading European publishers including The Financial Times, The Guardian, Germany's Die Zeitand Spain's El Pais.
The Digital News Initiative (DNI) is a partnership between Google and news publishers in Europe to support high quality journalism through technology and innovation.
The goal is to encourage a more sustainable news ecosystem -- and promote innovation in digital journalism -- through ongoing collaboration and dialogue between the tech and news sectors.
Anyone involved in Europe’s digital news industry will be able to take part in any or all of the programs of the DNI.
In a blog post, Google says the fund will be used for product development, training and research and stimulating innovation in digital journalism. Google staff will work directly with newsrooms, set up training partnerships with journalism organizations and give grants to academic institutions.

Uharibifu wa mafuriko ya mvua Moshi VijijiniMafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji.

Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya (Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini ,Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo.Mbunge Lucy Owenya akitembelea maeneo yaliyo athirika na mafuriko hayo.Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda cha TPC ili kuruhusu maji kupita.

Eneo lililobomolewa ili kuruhusu maji ya mafuriko kupita.Baadhi ya nyumba zilijaa maji hali iliyowalazimu wahusika kutoa itu vya ndani nje.

Wengine walilazimika kuweka vyakula juu ya mabanda ya kuku.

Baada ya maji kujaa wengine walilazimika kuhamishia magodoro yao juu ya paa la choo.Hata vyakula ambavyo vingi vyao vililowa na maji vilianikwa juu ya paa.

Mbunge Lucy Owenya akitizama namna ambavyo baadhi ya wananchi walivyoamua kuokoa vitu ya kwa kuianika juu ya paa.Mifugo pia liathirika na mafuriko hayo.

Kutokana na hali hiyo Mbunge Lucy Owenya alilazimika kutoa msaada wa chakula kwa waathirika wa mafuriko hayoMbunge Lucy Owenya akimfariji mmoja ya waathirika wa mafuriko hayo aliyekuwa akilia kwa uchungu baada ya kupoteza vitu vyake mbali,mbali ikiwemo vyeti vya taaluma ya utabibu.Mbunge Lucy Owenya akikabidhi msaada wa chakula kwa wananchi walioathirika na mafuriko hayo.Mbunge Lucy Owenya akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo.Diwani wa kata ya Arusha Chini Rojas Mmari akizungumza jambo mara baada ya wananchi wake kukabidhiwa msaada huo.Afisa mtendaji Utawala wa kiwanda cha sukari cha TPC, Jafary Ally akizungumza kuhusu namna mafuriko hayo yalivyo athiri kiwanda hicho.


  • Tumeshirikishwa taariaf hii na Dixon Busagaga

Mathilde Krim Fellowships in Basic Biomedical Research

AVAILABLE FUNDING

Maximum funding: $150,000; 10% indirect cost rate maximum.

Performance period: two years starting October 1, 2015

Please click here to view the full RFP

DEADLINE: Letter of Intent due no later than 3:00 PM EDT on Thursday, May 14, 2015

FORMS & INSTRUCTIONS: Letter of Intent submission is an online process.

CLICK HERE to download the form to request log in credentials, forms and instructions

or

E-mail all of the following information to [email protected]:
  • Fellow’s Name, doctoral degree(s) and e-mail address (see qualifications below)
  • Mentor’s Name, doctoral degree(s) and e-mail address (see qualifications below)
  • Name and location of nonprofit institution where fellow and mentor will be located during the performance period (see qualifications below)
  • Title of research you would propose if invited to submit an application

Applicants are encouraged to request log-in and forms no later than 3:00 PM EDT on May 13, 2015.

Log-in credentials are not interchangeable. Each potential applicant must send a separate request for forms.

QUALIFICATIONS

Krim Fellowship applicants must:

  • Hold a research or clinical doctorate completed between three and six years prior to April 17, 2015*
  • Be positioned to secure an independent research position no later than March 2018
  • Be mentored by an experienced investigator at the same U.S. or international nonprofit research institution who: (a) is qualified to oversee the proposed research; (b) has successfully supervised postdoctoral fellows; and (c) is at the associate professor level or higher
  • Be the main author on significant publications in leading international peer-reviewed journals
  • Have made oral and poster presentations at major scientific conferences and meetings

*The three to six year period for applicants who have earned only an M.D. begins with the date they finished their internship.

Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani mjini MusomaBaadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.

Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe maandamano hayo.Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo.

Shangwe zikiendelea kuelekea viwanja vya Mkendo.Kinababa nao hawakubaki nyuma waliwaunga mkono Wakunga kwenye maandamano hayo.Mkazi wa mjini Musoma mwenye ulemavu aliyejumuika kwenye maandamano hayo akisukumwa na mmoja wa Wakunga kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo zinakofanyika sherehe za maadhimisho hayo.

Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige naye alishiriki maandamano hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma mkoani Mara.Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) Tanzania, Sawiche Wamunza (wa kwanza kulia) akishiriki kwenye maandamano hayo.

Mpiga picha wa Clouds TV Ntibashima Edward akiwa amepanda juu ya gari aina ya canter kwa ajili ya kuchukia matukio ya maandanamano hayo.Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia) wakipokea maandamano kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mjini Musoma, Mkoani Mara. Kutoka kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali, Dk. Ama Kasangala, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magese Mulongo, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Musoma, Stephen Zelote pamoja na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Bi. Feddy Mwanga.Maandamano kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yakiwasili kwenye viwanja vya Mkendo na kupokea na mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) yakitokea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma.


Moshi: Wanafunzi wajadili kukuza na kudumisha Kiswahili


Mjadala mkubwa wa kukuza na kudumisha lugha ya Kiswahili ulitawala katika debate iliyofanyika mjini Moshi. Mdahalo huo uliudhuriwa na walimu pamoja na wanafunzi kutoka shule za sekondari kama vile Korongoni, Reginald Mengi, Bendel, Mother Theresa Secondary na nyinginezo.

Katika mdahalo huo mgeni rasmi alikuwa kijana Daudi Babu Mrindoko, Mwenyekiti wa taasisi ya Wazalendo Tanzania pia mjumbe wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro.

Wanafunzi wa shule hizo wamedhamiria kukikuza, kukidumisha na kukitumia Kiswahili kwani ni lugha ya kujivunia kwani Kiswahili kinatambulika katika lugha kumi bora za Kimataifa. 

Mwishoni mwa mdahalo huo, mgeni rasmi alitoa nasaha zake kwa wanafunzi hao kuwa Kiswahili ni lugha ya kujivunia na niwajibu wa wanafunzi na wananchi wote kuhakikisha kuwa kinadumishwa.

Bw. Daudi Mrindoko alisema Kiswahili ni zawadi tuliyopewa na Mungu na lazima tuidumishe na kujivunia. Aliongeza kusema kuwa kuna nchi nyingi duniani hazina lugha ya Taifa. 

Pia aliwataka wanafunzi kuzidisha juhudi katika masomo yao kwa faida yao na taifa kwa ujumla.