Small Grant for Graduate Internships 2015

The AAU is happy to announce the 2015 Call for Applications for Graduate Internship from its member institutions in good standing.

Applicants should note that the grants are for training purposes only and not meant for the completion of theses or dissertations. 

The application package should be received by Monday 25th May, 2015.

For more information, cclick here.

Taarifa ya habari Channel TEN Mei 19, 2015Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Mei 20, 2015

Msingi wa biarshara: Usilenge kufanikiwa 100% mara ya kwanza


Kitu kikubwa ambacho kimekuingiza kwenye changamoto ni kujiwekea kwa asilimia 100 kwamba lazima utafanikiwa kwenye kile unachokwenda kufanya. Biashara mpya ina nafasi ndogo sana ya kuweza kufanikiwa. Kwenye nchi za wenzetu ambapo tafiti nyingi zimefanywa, asilimia 85 ya biashara zinazoanzishwa hufa ndani ya mwaka mmoja baada ya kuanzishwa. Hapa kwetu inaweza kuwa kubwa zaidi. Katika jambo lolote unalofanya, weka nafasi ya mambo kutokwenda kama ambavyo ulipanga yaende. Na kwa kujua hilo unakuwa na mpango mbadala wa kama mambo hayatakwenda vizuri utafanya nini. 

Tumia fedha kwa lengo la fedha hiyo tu.

Kukosa mpango mbadala ni hatari sana kwa sababu kutakuingiza kwenye matatizo makubwa. Ni muhimu ungejua kwamba kwa kutumia fedha za wateja kwenye matumizi ya ofisi ni kitu gani ungefanya pale mambo yanapokwenda vibaya. Kuanzia sasa (na sio kwenye biashara tu), katika maisha yako ya kawaida, tumia fedha kwa majukumu yaliyokusudiwa. Kama umechukua mkopo wa biashara kwa ajili ya kuongeza bidhaa au huduma fulani, hakikisha unatumia fedha hiyo kwa dhumuni hilo tu. Watu wengi huwa na mipango kizuri ya matumizi ya fedha kabla hawajawa nazo, ila wanapozishika mipango yote inafutika na vinakuja vitu vingine vinavyoonekana ni vizuri kufanya kwa kutumia fedha hizo. Kwa kuwa kwenye hali hii maana yake umekosa nidhamu ya fedha na hii itakuwa changamoto kubwa kwako kama hutachukua hatua mapema. Tumia fedha kwa matumizi yaliyokusudiwa tu, hata kama umepata mahitaji ambayo ni ya muhimu sana, usikimbilie kutumia fedha ulizokuwa nazo kwa matumizi mengine. Fikiria kama usingekuwa na fedha hizo ungechukua hatua gani. Akili ya binadamu haipendi kufikiria mbali, hivyo mtu anapokuwa na mahitaji ya fedha anachofanya ni kutumia fedha iliyopo karibu naye, na hii ndiyo inaleta matatizo makubwa kwenye fedha.

Soma ushauri mzima wa Amani Makirita kwenye blogu ya AMKA MTANZANIA kuhusu: Changamoto Ya Matumizi Mazuri Ya Fedha Za Biashara

NDC acquires land for Tanzania's $111m oil palm project


Land acquisition for a $111 million (Tsh.199.8 billion) to cater for the Integrated Oil Palm Project in Ruvu Basin Coast region near Dar es Salaam Tanzania is being processed.

According to the National Development Corporation (NDC) Public Relations Manager Abel Ngapemba as of now only 6,000 hectare of land has been acquired.

“Even if we have acquired 6,000 hectare of land, there must be a process to transfer its ownership to the investor,” he said last week. The project needs at least 10,000 hectare of land.

The integrated oil palm project in Ruvu river basin in Coast Region is being developed by NDC.

The project would comprise of oil palm farming on a 10,000 hectare of land and production of palm oil at Kimala Misale and Dutumi villages in Kisarawe and Kibaha districts (40km from Dar es Salaam) in the Coast region.

According to NDC the project is expected to produce 7,250 litres/ha/year of palm oil and about 10MW of electricity from biomass of oil palm which will be used in operating the project and the remaining will be sold to the National Grid.

NDC will implement this project in partnership with the private sector and incorporate the out growers in a form of contract farming.

In 2013 NDC of Tanzania inked a deal with Nava Bharat Pte Ltd of Singapore (NBS) to put up an oil palm farm and processing plant. The joint venture agreement was valued at $111 million.

The plant would be located in the Kisarawe District in the Coast Region of Tanzania.

Oil palm from the village of Kimala Misale in the Kisarawe District would also be processed by the facility.

The terms of the agreement state NBS would hold an 80% share in the joint venture while NDC would hold a 20% stake.

The contract was a result of a MoU by the two firms in 2011. The MoU stipulated that they would work together to establish large-scale projects in the agricultural industry in Tanzania.

via EA Business Week

Hofu Ngorongoro katika maeneo ya Loliondo na Sale

Wakazi wa Ngorongoro wana hofu kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama na baadhi ya wananchi kulaumu kukamatwa kwa baadhi ya wanavijiji wa eneo hilo huku wengine wakidai kupigwa na kuonesha vifaa wanavyosema vilitumika kuwajeruhi.

Kocha na mchezaji tenisi maarufu ahukumiwa miaka 8 jela kwa ubakaji Afrika Kusini

Robert Anthony John "Bob" Hewitt
Robert Anthony John "Bob" Hewitt

Nyota wa mchezo wa tenisi, Bob Hewitt amehukumiwa kifungo cha miaka 8 jela kwa kosa la ubakaji nchini Afrika Kusini

Hewitt ambaye alizaliwa nchini Australia miaka 75 iliyopita alikutwa na hatia ya kuwabaka wasichana watatu walio chini ya umri, katika kipindi ambacho alikua akifundisha mchezo wa tenisi kati ya miaka ya 1980 hadi 1990.

Kabla ya kutolewa hukum hiyo, Hewitt alijitetea kwa kuiomba mahakama iifikirie hali yake kiafya na kwamba amepata vitisho vingi endapo tu atafungwa jela. Aidha Hewitt aliiambia mahakama kuwa amewahi kupata matatizo ya moyo mwaka 2010 na mwili kupooza mnamo mwaka 2011.

Mahakama imesogeza mbele dhamana ya Hewitt mpaka pale atakapokata rufaa ya kesi yake.

Akiwa kocha wa timu mbalimbali za tenisi, Hewitt amewahi kutwaa makombe tisa ya "Grand slam doubles" na makombe 6 ya "Grand slam mixed doubles" kati ya mwaka 1960 na 1970.

Aidha amewahi kushinda kombe la Davis Cup nchini Afrika Kusini mnamo mwaka 1974 baada ya kuweka makazi nchini humo.
 • Taarifa ya Reuters via TRT Kiswahili na Google

Wanafunzi wagoma Vyuo Vikuu Dar es Salaam: Mlimani na St. Joseph


Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) sehemu ya Mlimani wameanza mgomo wa kluingia madarasani kuendelea na masomo na kukufanya mkutano chuoni hapo kwa lengo la kuishinikiza serikali kuwalipa fedha zao za kujikimu ambazo kwa mujibu wa mkataba zinatakiwa kulipwa wiki ya 8 baada ya kusainiwa kwa mkataba baina yao na serikali lakini mpaka sasa wameingia wiki 11 bila kuwapo malipo hayo.

Wakizungumza na vyombo vya habari katika viwanja vya Chuo hicho, wanafunzi hao wamesema tatizo hilo limekuwa likijirudia mara kwa mara na kuwasababishia usumbufu mkubwa wa kulipa madeni yao, ilhali serikali ikiwa inatambua wazi kuwa mtu yeyote hawezi kuishi bila kuwa na pesa ya kujikimu hususani kwa mkoa wa Dar es Salaam ambao maisha yake yametajwa kuwa juu maradufu.

Wamesema hawana nia ya kufanya fujo za aina yoyote, bali wanachohitaji ni kupata suluhu ya tatizo hilo ambalo limewaathiri kimasomo na kisaokolojia hasa kwa kuzingatia kuwa wengi wao wazazi wanategemea fedha kujikimu za watoto wao kutoka serikalini hatua ambayo imewafanya kutokuwa na bajeti kwa ajili yao hivyo inapofika wakati kama huo wazazi pia huathirika kwa namna moja ama nyingine.


Waziri wa mikopo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, Shitindi Venance ameeleza kuwa kimsingi matatizo hayo yanatokana na mfumo mbaya wa mamlaka yenye dhamana ya kukusanya fedha za mikopo kwa walioajiriwa, lakini pia serikali yenyewe haijatengeneza mazingira mazuri ya ajira ikiwemo kuwabana wanafunzi hao pindi wanapomaliza masomo yao na kuajiriwa serikalini na hata kwenye sekta binafsi.

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandara pamoja na kukiri madai ya wanafunzi elfu saba kati ya zaidi ya elfu kumi wanaofadhiliwa na serikali kupitia bodi ya mikopo kucheleweshewa fedha zao kuwa ya msingi, amesema tayari amezungumza na bodi ya mikopo ambao wamemwahidi kuleta fedha hizo haraka iwezekanavyo na kuwaomba wanafunzi kurejea madarasani kuendelea na masomo.


Wakati huo huo takribani wanafunzi 400 wa chuo kikuu cha Mt. Joseph cha Mbezi jijini Dar es Salaam mwaka wa kwanza wamesimamishwa masomo kwa muda usiojulikana baada ya kugoma kuingia madarasani wakidai fedha za kujikimu kutoka bodi ya mikopo tangu mwezi Desemba mwaka jana hadi sasa wakieleza kuishindwa kuendesha maisha yao ya shule na kuhimili mazingira ya kupanga nyumba mitaani.

Katika taarifa ya kusimamisha wanafunzi hao iliyotolewa na makamu mkuu wa chuo cha Mt. Joseph Bw. Loyola Proteep aliyeambatana na Mkuu wa Wanafunzi, "Dean of Students" anakiri madai ya wanafunzi hao kuwa ya msingi na kuongeza kuwa waliwaomba utulivu na kuingia madarasani wakati wakifuatilia madai yao kwenye Bodi ya Mikopo bila ya mafanikio na uongozi kuchukua uamuzi wa kuwasimamisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza hadi vikao vya bodi vitakapoamua vinginevyo. • Taarifa via Channel TEN na ITV

UPDATE/TAARIFA MPYA:

Imeoneshwa cheki kuwa fedha zimeingizwa benki...


 • Nakala imepatikana via WhatsAppRamadhan anaomba zilipendwa, "Dereva kalewa pombe"

Ametuma ujumbe ufuatao:
Naomba wimbo wa zamani wa kwaya za Mzee Makongoro wimbo: "Dereva kalewa pombe. Ha! Sawa hiyo? Hata. Hiyo si sawa dereva wacha vituko."

Wakudata: Hata sijaaga wanazoza...


BitPesa now in Tanzania - Send money to Africa, to their mobilephone


Excerpts from Jeff Maxim's article
 • African Bitcoin startup BitPesa launched its remittance service in Tanzania on May 18, 2015. 
 • The service previously was available only in Kenya, where the company is headquartered. It launched its international money transfer there last year.
 • The company operates an exchange in Kenya and Ghana.
 • Tanzania is the first country the startup has expanded its international money transfer service.
 • BitPesa’s service allows anyone to send money to any Tanzanian phone number and charges a flat 3 percent on all its transfers. It also promises the money will arrive instantly. It hopes to undercut the fees charged by incumbents’ remittance services. A 2013 World Bank press release said that Tanzania, alongside South Africa and Ghana, were the most expensive African countries to remit money to. Fees reportedly could get as high as 20 percent.
 • M-Pesa, have partnered with Western Union, to offer international mobile remittances.

From BitPesa's website:

 1. Great for business: Pay staff and suppliers in Kenya and Tanzania in one easy transaction. You can send funds to any mobile money or bank account at a great exchange rate!
 2. Just as great for individuals: Use BitPesa to send money to Africa from anywhere in the world. You can pay friends, relatives, or businesses in Kenya and Tanzania. It goes straight to their mobilephone!

Wedding of the millennium: A 17 y/o forced to marry a married man 30 years older

Luiza Goilabiyeva

A 17-year-old girl was forced to marry an already married man at least 30 years older than her in "the wedding of the millennium."

The incident has raised legal and ethical issues in Russia and its republic Chechnya.

Luiza Goilabiyeva, called Kheda, 17, was married on Saturday to Chechen policeman Nazhud Guchigov, who was originally reported to be 57 (although he claims to be 46), is already married, and has children older than his new bride.

Russian investigative paper Novaya Gazeta reported that Goilabiyeva was being forced to marry a local official. He reportedly threatened her parents, demanding that he marry her on the day of her 17th birthday, May 1, and even warned that he would kidnap Goilabiyeva.

"He is married and has children. She's younger than his children. The Chechen woman is powerless; she can expect help from nowhere," one of Goilabiyeva's girlfriend's posted, according to The Daily Beast. "Kheda told him that she has a boyfriend, but it was disregarded. They say that her boyfriend was beaten half to death."

Ramzan Kadyrov with Guchigov at ceremony after civil registry


Read more, see photos at: Yahoo.com

Taarifa ya habari ya Channel TEN Mei 18, 2015From 0 to 1.6 million followers in 16 hrs! That was fast Mr President

President of the United States of America, Barack Obama https://twitter.com/POTUS/
President of the United States of America, Barack Obama

A Twitter account, @POTUS was officially launched on Monday, May 18th, 2015 by the 44th US President's.

And, ah, yes, it is already verified. Super fast huh? Now you feel unpopular, right? You're not alone.

It took President Barack Obama just 24 minutes to break the 100,000 follower mark. By the end of the day, it had already gathered more than a million and a half.

Here are two of the three Tweets posted so far (by the time of publishing this post) The White House introduced it  saying that it will be handed to the next president when President Obama leaves office after the 2016 election cycle.

Here comes a new phone for $100: Thin, Light, Charge lasts 20 DAYS


It is called the Light Phone.

What does it do? 

Call.

No messaging, no chatting, no browsing, no all that fun stuff. Nothing. Just insert in a SIM card and call - make or receive one. 

Battery charge will lasts for 20 days. 
The goal, ultimately, is to use the phone as little as possible. They include 500 minutes of pre-paid talk time and it charges via USB, but they really want you to pull it out, make a call, and put it back. They plan on shipping in May 2016. [via TechCrunch]
TheLightPhone.com at KickStarter, click to read more.

R' U up to the challenge? Microsoft is hosting a solitaire tournament


In honoring the 25 years that Microsoft Solitaire debuted on Windows, the company just announced that it is celebrating with two big competitions. 

First, an internal competition among Microsoft employees kicks off today to determine who leads the leaderboards here. 
Then, in early June, the same challenges used in the tournament will be released in the game for the world to play.

You can download the Microsoft Solitaire Collection for Windows and Windows Phone for free today!