Chuck Blazer atumiwa kufichua kashfa za rushwa FIFA

Chuck Blazer
Chuck Blazer (photo: SI)

Kashfa za rushwa zinazoelezwa kwa kiasi kikubwa katika Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA, ziliyotolewa Jumatano asubuhi wiki hii baada ya kukamatwa kwa maofisa saba wa Shirikisho hilo, ni za muda mrefu.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, yote yalianza mwaka 2011, wakati Idara ya uchunguzi ya Marekani (FBI) ilipofaulu kumshawishi Chuck Blazer kuwa afisa wake wa ujasusi. Chuck Blazer alikuwa mwanachama wa kamati tendaji ya FIFA tangu mwaka 1998 hadi mwaka 2013. Chuck Blazer alilitumikia Shirikisho la Concacaf, ambalo ni sawa ni Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Chuck Blazer alikuwa akifanya udukuzi kwa niaba ya FBI katika Shirikisho la Soka Dunia kwa kipindi cha miaka miwili. Alikubali kuwafanyia kazi viongozi wa Marekani baada ya kugunduliwa na mamlaka ya kodi kwa kushindwa kulipa kodi kwa mamilioni ya fedha aliyopitisha mlango wa uani kwa kipindi cha miaka ishirini na moja akiwa kama Katibu mkuu mtendaji wa Concacaf, ambalo ni Shirikisho la Soka la Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kati na Caribbean.

Kati ya mwaka 2011 na 2013, wakati alikua bado mjumbe wa kamati tendaji ya FIFA, Chuck Blazer alikua akibebelea chombo kidogo cha kurekodi sauti ambaco alikua akikificha kwenye funguo zake gari. Chuck Blazer alirekodi mazungumzo zaidi ya mia moja, ambayo yote yaliwekwa kwenye faili iliyofunguliwa na Mwendesha mashtaka wa wilaya ya Mashariki ya New York, Loretta Lynch, ambaye ni waziri wa sheria wa Marekani tangu Aprili 27.

Kwa sasa, maofisa tisa wa FIFA waliochaguliwa pamoja na wadau watano wa uongozi wa soka wameshtakiwa rasmi kwa tuhuma za kashfa ya rushwa, hasa kuhusiana na utoaji wa Kombe za Dunia, haki za masoko na televisheni. Jambo ambalo limezua hali ya sintofahamu, kwani Ijumaa wiki hii kutafanyika uchaguzi wa rais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA. Uchaguzi utafanyika wakati ambapo rais wa sasa wa FIFA, Sepp Blatter, raia wa Uswisi anayemaliza muda wake, ambaye amekua akikosolewa mno, anatazamiwa kuwania muhula wa tano. Shirikisho la Soka barani Ulaya UEFA limeomba uchaguzi huu uahirishwe.

Mila, utamadui na desturi ya jando na ndoa kwa Watatooga, Wamang'ati


Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Mei 28, 2015

Kampeni: Namba ya simu ya kutuma ujumbe ikiwa dereva anaendesha kasiKutokana na wimbi la ajali za barabarani linalosababisha vifo vya mamia ya watu na maelfu kujeruhiwa, wananchi wametakiwa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama pindi wanapoona kanuni na sheria za barabarani zinakiukwa na madereva wazembe.

Namba iliyotajwa ni 0800 75 75 75 ambayo itapeleka ujumbe utakaofikishwa katika Makao Makuu ya Polisi kisha mawasiliano kufanywa na askari waliopo katika kituo kinachofuata katika barabara linakopita basi hilo ili lisimamishwe. Taarifa za kukamatwa kwa basi husika zitatangazwa moja kwa moja na Radio One na kuoneshwa ITV.

Taarifa ya habari Channel TEN, Mei 27, 2015Dar es Salaam named ‘6th Most Youthful City’ in Africa Region

Misa ya marehemu Luangisa kufanyinywa Jumamosi

MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISA

Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015

kuanzia Saa: 1pm - 5pm

Address: LEE'S Funeral Home L.L.C
160 Fisher Avenue

White Plains, NY 10606

Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence:

374 Hawthorne Terrace,
Mt. Vernon, NY 10552

Mpe taarifa mwenzako wote karibuni.

Kwa taarifa zaidi wasikiana na:

1. Prof. K. Lwiza 631-273-3859

2. Dr. Abas Byabusha 914-584-7502

3. Shabani Mseba 347-712-8539

4. Hajj Khamis 347-623-8965

Ukitaka kutoa rambirambi yako unaweza kutumia number hizi hapa chini.

Luangisa na Kwame Luangisa. Bank ni Bank of America. Account# 9504210977. Routing# 021000322. Swift code ni BOFAUS3N.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake la Bwana litukuzwe. Amen!

E. Africa Diaspora Business Council LIVE Homestrings Webinar - Investor Series: Choosing the Right Investment for YouOn May 28th at 17:30 BST, as part of the Homestrings Webinars Investor Series, we’re pleased to invite you to the webinar on “Homestrings Product: Innovare Agriculture Leasing Bond”.

The Innovare Agriculture Leasing Bond is designed to increase the availability of capital for African agriculture value chain companies to grow their businesses and increase food and feed production. It has been created to provide attractive, risk-mitigated market-rate returns which include a 50% credit guarantee by the African Guarantee Fund, who will be featured in the webinar.

During this LIVE webinar, you will be able to find out more about the promoter behind this investment product - Innovare Advisors, who works with innovative companies that utilize “best practices” in the global alternative agribusiness sector. Topics will include:
 1. How innovation and capital can address food security by improving agriculture 
 2. value chain efficiency 
 3. How interests in the agriculture value chain can be aligned so all parties benefit; 
 4. Investors, SMEs, Small holders, consumers, equipment manufacturers and 
 5. leasing companies 
 6. Innovative risk-mitigation strategies to protect investors while providing attractive 
 7. financial and social returns 
 8. African Guarantee Fund tools, strategies and partners to facilitate capital flows 
 9. How Diaspora can get involved 
Webinar Panelists: 
 1. Innovare Advisors: John Riggan, CEO; Mary Jane Potter, CIO; Roger Frank, CMO 
 2. African Guarantee Fund, John Kimathi, Senior Business Development Officer, Eastern & Southern Africa 
Moderated by: Ruby Alcantara, Chief Marketing Officer, Homestrings

Webinar Details:

During the webinar, attendees will be able to ask questions to the panellists enabling a highly engaging and interactive webinar. African Guarantee Fund was officially launched on June 2nd, 2012, in Arusha, Tanzania, by Dr. Donald Kaberuka, the President of the African Development Bank (AfDB), which together with the governments of Denmark (through Danida) and Spain (through aecid), are the founding shareholders.

Innovare is an alternative investment management company focused on food and agriculture. We facilitate the capital flow to small and medium enterprises (SMEs) involved in all aspects of food and fiber production and processing in emerging and frontier markets.

To Register:

The webinar is limited to Homestrings members only, but don’t worry if you’re not a member. Membership is FREE and will give you access to the catalogue of investments, advance and exclusive invites for upcoming events, as well as a community of like-minded professionals and investors interested in these dynamic markets. If you’re not a member you’ll be directed to the Homestrings.com registration page then will receive confirmation with access to attend the webinar.

For more info, click HERE

Combined Task Force -150 fosters cooperation with Tanzanian Navy

French officer from FS Var describing French fire alarm security processes to Tanzanian seamen during a security training (SECUREX), onboard the ship

Combined Task Force 150’s (CTF-150) flagship, French Ship (FS) Var, and Her Majesty’s Ship Richmond recently stopped in Dar es Saalam for a port visit in May. Captain (Capt) Crignola, Commanding Officer of the Task Force, took this opportunity to meet with Brigadier General (BG) Hi Majumba, Deputy Commander of the Tanzanian Navy at the Tanzanian Navy headquarters.

This warm meeting was the occasion for both officers to talk about the possibility to increase operational cooperation between CTF-150 and Tanzania and to develop capacity building. The Tanzanian Brigadier General expressed his determination to contribute to stability in the region and also highlighted efforts made to stop the flow of illegal trafficking through Tanzania. He also credited the decrease of piracy to the coordinated actions led by Combined Maritime Forces (CMF) and European Union Task Forces (EUNAVFOR) and thanked CMF for its action in favor of maritime security.

“Through cooperation, Tanzanian Navy contributes to regional maritime security. We are sharing the same goal and that is why it is interesting for all of us to keep working together”, Capt. Crignola said. He also acknowledged Tanzania for their participation in Cutlass Express exercise, a Combined training that focuses on addressing maritime threats through information sharing and coordinated operations among allied navies.


The presence of FS Var in Dar es Salaam provided a good opportunity to lead capacity building exercises. Welcomed by the French crew onboard FS Var, Tanzanian seamen came to visit the ship on May 15. They also attended several trainings including a boarding exercise (visit of a suspicious ship), and a fire security exercise, consisting in a simulated fire start in a critical local. These common trainings, conducted on a regular basis, were a good exercise opportunity for the crew and the occasion for seamen of both countries to share their knowledge and experience.

The same day, a CTF-150 delegation was also received at the Tanzanian Maritime Rescue Coordination Center by Commanding officer Capt. Ken Chimwejo. The center mainly deals with rescue missions, counter-piracy and maritime pollution issues.

Meeting between Capt Crignola, Commander CTF-150 and Brigadier General (BG) Hi Majumba, Deputy Commander of the Tanzanian Navy, on May 11, during CTF-150 flagship FS Var port visit in Dar es Saalam, Tanzania.

Tafadhali changia jitihada za wanakijiji wakamilishe ujenzi wa msikiti


MAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI

Katika maisha yetu Wanadamu Ibada ni jambo muhimu sana.

Uzuri, usafi wa sehemu ya kuabudu ni moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila nafsi ya binadamu.

Katika nyumba (Msikiti) pichani juu , ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku. Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, Kijiji cha Mlamleni katika Kitongoji cha Kimbangulile.

Wenzetu wameanza kwa nguvu zao ujenzi wa Msikiti kama mnavyouona. Jitihada nyingine wameweza kuwa na matofali yasiyo pungua 300 kwa ajili ya kuanza ujenzi mpya.

Ukiwa umeguswa na hili tunaomba kutoka kwako mchango wako wa vifaa vya ujenzi.

Tunahitaji
 1. Cement 
 2. Tofali
 3. Mchanga
 4. Vifaa vya kuchimbia, majembe, panga, chepe n.k

Maazimio yetu ni kuanza ujenzi pale tu tutakapopata uwezo wa kulifanya hili.

Tunawakaribisha mtembelee eneo la tukio kwa wale ambao mtakuwa na muda wa kufanya hivyo.

Michango yenu tunaomba muwasilishe kwa namba ya simu o715800772 (Tigo Pesa) GHALIB MONERO.

Kwa wale waliopo nje ya Tanzania : WESTERN UNION : GHALIB NASSOR MONERO

Waliopo Kenya tafadhali wasiliana ALI BAJIY NASOR no. 0725113783 M-PESA.

Taarifa kuhusu michango ya Msikiti huu tafadhali tutembelee Facebook : Kijana wa Kiislam DSM au WhatsApp namba : +255689604780 au piga simu : +255715800772

Tunawashukuru kwa michango yenu na ubalozi wenu mzuri wa kuitangaza kheri hii.

WABILLAHI TAUFIQ WENU KATIKA UTUMISHI WA DINI KATIKA JAMII.

GHALIB N MONERO

Central Bank of Tanzania changes Bank rules to halt ‘speculative’ currency trade


Tanzania’s central bank changed rules on how much foreign currency lenders in the East African nation can hold in a bid to end trading in the shilling it called “speculative.”

Commercial banks’ net open position was cut to 5.5 percent from 7.5 percent of liabilities to reduce the amount of foreign currency banks can hold and “limit their activities in the interbank market,” Joseph Masawe, director of economic research and policy, said by phone Tuesday from Dar es Salaam, the commercial capital. The statutory reserve requirement will be raised to 10 percent of total deposits from 8 percent on May 29, he said.

“It’s the speculative tendencies we want to eradicate,” Masawe said. “We will continue to take other measures if it becomes necessary, and depending on the source of pressure.”

The currency of East Africa’s second-biggest economy fell 16 percent against the dollar this year, the worst among 24 of the continent’s currencies tracked by Bloomberg after Ghana’s cedi. Tanzania’s central bank sold $339 million to lenders from January to April to support the shilling, it said on May 4. Shipments of gold, a key source of foreign exchange, dropped 13 percent to $1.4 billion in the year through March, according to the regulator.

“Speculative tendencies started building up in the last two weeks of April,” Masawe said. “With supply-side shocks it is also contributing to further depreciation.”

Foreign-currency reserves fell to $4 billion in March from $4.2 billion the previous partly due to sale of foreign exchange in the domestic market to manage liquidity, the central bank said on May 19. The shilling traded unchanged at 2,045 per dollar by 3:17 p.m. in Dar es Salaam after gaining 0.3 percent on Monday.


Tanzania agrees to buy back Bharti Airtel's stake in TTCL


Tanzania's government has agreed a deal to buy back a 35 per cent stake in a state-run telecoms company from the local subsidiary of India's top mobile carrier Bharti Airtel for 14.6 billion shillings ($7.07 million), a senior official said.

The east African nation says it wants to regain 100 per cent ownership of the Tanzania Telecommunications Corp (TTCL) to recapitalise the cash-strapped firm, which provides mobile voice, data and fixed-line services.

"Legal procedures are now being finalised for the government to buy back Airtel's shares in TTCL and regain sole ownership of the company," January Makamba, deputy minister for communication, science and technology, told parliament late on Tuesday.

"The Tanzanian government has decided to regain 100 per cent ownership of TTCL in order to rescue the company."

Q&A Bungeni kuhusu kubadili siku ya kupiga kura isiwe Jumapili


7 top FIFA officials arrested in Switzerland at U.S. request for corruption charges

The Home of FIFA is the headquarters of the world’s governing body of football. This exceptional building by Swiss architect Tilla Theus is also symbolically the home of the international football community, of the 209 member associations and the 270 million players, coaches, referees and other participants around the world (Image: FIFA)

Seven soccer officials with FIFA, the sport's international governing body, were arrested early this morning by Zurich police in the Baur au Lac, the luxury hotel on Lake Zurich where they were staying.

The Swiss Department of Justice and Police said in a statement that the arrests were made at the request of the U.S. Attorney's Office for the Eastern District of New York. According to the statement, the U.S. alleges the officials accepted bribes and kickbacks from the mid-1990s to the present day.

The U.S. Attorney's charges were first reported by The New York Times.

The officials are in Zurich for the FIFA Congress which is scheduled to elect FIFA's president on Friday. Longtime incumbent Sepp Blatter of Switzerland is being challenged by Jordan's Prince Ali Bin Al Hussein.

The U.S. is requesting the extradition of the seven officials to face trial in the United States. Swiss authorities said the detainees will be questioned today and have the right to contest their extradition.

According to the Swiss Federal Department of Justice and Police, the U.S. says others are accused of bribing the officials:
"The bribery suspects – representatives of sports media and sports promotion firms – are alleged to have been involved in schemes to make payments to the soccer functionaries – delegates of FIFA (Fédération Internationale de Football Association) and other functionaries of FIFA sub-organizations – totaling more than USD 100 million. In return, it is believed that they received media, marketing, and sponsorship rights in connection with soccer tournaments in Latin America. According to the US request, these crimes were agreed and prepared in the US, and payments were carried out via US banks."

FIFA governs the world's most popular sport. The multi-billion dollar organization has been accused of bribery and corruption for decades.


New CEO to revamp Malaysia Airlines; 6,000 employees to lose jobs


Malaysia Airlines is set to undergo a complete overhaul as it is restructured into a new company, with a rebranding that will be unveiled next week and changes planned to its fleet and network strategies.

Christoph Mueller, who joined from Irish national carrier Aer Lingus, said in his first ever interview. A new name and livery are on the cards for Malaysia Airlines (MAS), sources told Reuters.

MAS has announced plans to lay off about a third of its 20,000 work-force, expected in the coming week, and will also shrink its capacity this year.

Mueller confirmed that the carrier has been trying to sell two of its A380s and will likely have fewer planes overall, but added that the new company will keep all of its current types of aircraft including the Airbus A330s, Boeing 777-200s and 737-800s.

WHO representatives approve strategy to fight antibiotic resistance

When drug resistance develops in one part of the world, it tends to quickly spread, says Keiji Fukuda, assistant director-general for health security at the World Health Organization.

At the WHO's annual meeting in Geneva this week, representatives from 194 countries approved a new global plan to counter antimicrobial resistance.

The plan:
 1. Calls for every country to have a system in place by 2017 to monitor for drug resistance. 
 2. Tries to reduce the use and misuse of antibiotics in health care settings and agriculture. 
 3. Calls for more investment in new drugs. 
 4. Emphasizes the need to cut the incidence of new infections with simple measures, such as increased hand-washing in hospitals and clinics.

Anne Kansiime's booming toilet business...


Takwimu muhimu kuhusu wazee nchini Tanzania

Eliasenya Nnko

Takwimu hizi zimetolewa juzi na mratibu wa Chama Cha Wataalam Viongozi Wanawake wa Kilimo na Mazingira (TAWLAE) Eliasenya Nnko wakati wa kikao cha Waandishi wa Habari klichofanyika mjini Shinyanga kuhusu kuongeza na uhamasishaji juu ya sera ya mikakati ya kuboresha maisha ya wazee nchini.

TAKWIMU MUHIMU ZA WAZEE

1.Mzee kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Wazee ni wenye umri wa Miaka 60+

2.Kwa Mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi - 2012, Wazee Miaka 60 na kuendelea ni asilimia 5.6 (2,507,568 Kati yao 1,307,358 ni Wanawake na 1,200,210 Wanaume.

3.Mikoa ya Kilimanjaro, Pwani, Lindi na Mtwara, inaonyesha idadi kubwa ya wazee ikiwa na asilimia 7, 6.7, 6.3 na 6.2 kama inavyo fuatana.

4.80% ya wazee wanaishi Vijijini.

5.50% ya yatima wote Tanzania wanatunzwa na wazee, Mara nyingi ni wazee Wanawake.

6.Wazee 2,866 waliuawa kwa imani za ushirikina katika Mikoa 10 kwa kipindi cha Miaka 5, - wastani wa mauaji 573 kila Mwaka.

7. Karibu asilimia 60% ya Vifo vyote miongoni mwa wazee wa umri wa Miaka 60 na kuendelea katika baadhi ya Wilaya Nchini vinasababishwa na Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa (NCDs).

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAZEE WA TANZANIA

Changamoto zinazohusiana na huduma za afya.

a)Watumishi wa Afya kutoelewa vizuri mahitaji ya Kiafya ya wazee – (Geriatric Care).

b)Upungufu wa Madawa na huduma nyinginezo katika Vituo vya Afya/Hospitali za Serikali.

c)Tatizo la upatikananji wa Dawa/Matibabu ya Magonjwa yanayowasibu wazee (NCDs), Kisukari, Moyo, Miguu, Macho n.k.

d)Lugha zisizo rafiki kwa wazee.

e)Wazee wanakataliwa huduma bila malipo.

f)Ukosefu wa pato kulipia gharama za usafiri kwenda Hospitali/kununua Dawa.

g)Matibabu bila malipo kuwa kwenye Hospitali za Serikali tu (Zaidi ya 40% ya Tiba nchini zinatolewa na watu binafsi).

h)Maagizo ya Serikali kwa kila Halmashauri kuwa na Kitengo na Mratibu wa Afya wa wazee kutotekelezwa.

Changamoto kuhusiana na Ukiukwaji wa Haki za wazee.
a)Mauaji na manyanyaso yatokanayo na tuhuma za kishirikina.

-Mwaka 2011- 517
-Mwaka 2012 - 642
-2013- Mpaka June - 302

b)Kupoteza mali zao na haki za kurithi.

c)Kupigwa, kupuuzwa na kutolewa maneno ya kashifa.

d)Kufukuzwa kwenye maeneo yao.

e)Lugha na matendo ya kibaguzi kwa wazee.

Changamoto za Kipato

a)96% hawako kwenye mfuko wowote wa hifadhi jamii. (wakulima, wavuvi Wafugaji n.k hawapati Pension akizeeka anaangaika sana).

b)Ubaguzi katika taasisi za fedha – vigumu kupata mkopo/ mtaji.

c)Wazee ambao ni 5.6% wanatunza zaidi ya nusu ya yatima wote (2 milion).

d)Kaya zenye wazee na watoto umaskini wao huko juu kwa 22.4% ya umaskini Kitaifa (HBS 2007).

Kikwazo ni nini katika kutatua Changamoto za Wazee Nchini

a)Mtizamo hasi wa Jamii Kwa wazee.

b)Sera na matamko kuhusu wazee kutotungiwa Sheria.

c)Upungufu wa takwimu zinazohusu wazee.

d)Kukosa uwakilishi katika vyombo vya maamuzi (WDC, Full Council, Bunge).

e)Baadhi ya wenye mamlaka kutopenda kuwapatia wazee hata yale yaliyo kwenye Sera na miongozo ya taifa mfano-Mikopo Kina mama.

f)Kutoanzishwa/kuimarishwa kwa mabaraza huru ya wazee kuwapa sauti.

Job opportunities at TPDC

TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION 


Tanzania Petroleum Development Corporation is the National Oil Corporation dealing with oil and gas exploration, development and production established by the TPDC Establishment Order of 1969. The Corporation is based in Dar es Salaam. The Corporation has open vacancies for professional Tanzanians in the following disciplines:-

Waziri Nyalandu asaini mkataba wa Msumbiji kuilinda Selous

Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza Waziri wa Ardhi na Maendeleo Vijijini wa Msumbiji, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la Selous nchini Tanzania lililoungana na Hifadhi ya Niasa nchini Msumbiji ambapo mbali na uhifadhi watashirikiana kupambana na ujangili, utaalamu na vifaa.Waziri Nyalandu akibadilishana hati za makubaliano n Waziri Celso Coreia mjini Maputo Msumbiji.Nyalandu na Coreia wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.

Tangazo la mnada wa mauzo ya viwanja Mabwepande


Taarifa ya habari Channel TEN, Mei 26, 2015Kwa wanahabari hivi, na ukiwa Rais utawabagua wananchi pia?