EWURA Moshi inaalika wananchi kutoa maoni kuhusu ombi la MUWSA kubadili bei ya maji

Na Dixon Busagaga. Moshi.

MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake, lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.

Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka MUWSA kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.

Mabadiliko ya bei hiyo inayopendekezwa itawahusu makundi mbalimbali ya watumiaji wa huduma hiyo hususani wale wa majumbani, taasisi, biashara, viwanda na wale wa kwenye kiosks.

Mapendekezo mapya ya bei ya utolewaji wa huduma hiyo kutoka kiasi cha sh 495 kwa uniti moja ya ujazo wa maji ilivyo sasa hadi kufikia 710 katika kipindi cha mwaka 2015/2016 na kiasi cha sh 746 kipindi cha mwa 2016/2017 kwa wateja wa majumbani na taasisi.

Kwa upande wa biashara, MUWSA imependekeza bei ya huduma hiyo kuwa ni kiasi cha sh 839 kwa uniti moja kipindi cha 2015/2016, na sh 881 kipindi cha mwaka 2016/2017 kutoka kiasi cha sh 585 katika, kipindi cha mwaka 2014/2015.

Eneo jingine ni kwa watumiaji wa viwandani ,ambao Muwsa imepndekeza bei ya huduma kuwa ni kiasi cha sh 947 katika kipindi cha mwaka 2015/2016 hadi kufikia kiasi cha sh 994 mwaka 2016/2017 kutoka 660 za sasa.

Nao wamiliki wa vioski bei iliyopendekezwa ni kiasi cha sh 696 katika kipindi cha mwa 2015/2016 hadi kufikia sh 731 katika kipindi cha mwaka 2016/2017 kutoka kiasi cha sh 485 bei ya sasa.

Kutokana na hali hiyo mamlaka ya udhibiti wa wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeandaa mkutano na wananchi wa manispaa ya Moshi ili kutoa maoni yao juu ya ongezeko la bei za huduma za maji .

Mkutano huo unatarajia kufanyika Juni 4 mwaka huu ,kuanzia majira ya saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hindu Mandal uliopo jirani kabisa na kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani cha mjini Moshi.

Mgeni rasmi katika mkutano huo anatazamiwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama.

Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais Kikwete aanza ziara ya nchi tatu Ulaya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Juni Mosi, 2015 ameanza ziara rasmi ya wiki moja katika nchi tatu za Ulaya kwa mwaliko wa viongozi wa nchi hizo.

Rais Kikwete ambaye aliondoka nchini usiku wa jana, Jumapili, Mei 31, 2013 baada ya kumaliza kuendesha Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) kuhusu Burundi ameanzia ziara yake katika Finland ambako atakaa kwa siku tatu.
 
Baadaye, Rais Kikwete atatembelea nchi za Sweden na Uholanzi kabla ya kurejea nyumbani.

Katika Finland, Rais Kikwete miongoni mwa mambo mengine kesho Jumanne, Juni 2, 2015, atafanya mazungumzo rasmi ya Kiserikali na Rais wa nchi hiyo na baadaye atatembelea Bunge la nchi hiyo ambako atafanya mazungumzo na Wabunge.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

1 Juni, 2015

[picha] Viongozi waliokutana Arusha kujadili suala la BurundiMwenyekiti wa Marais wa EAC, Mhe. Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kulia), akiahirisha kikao. Kushoto ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni


Rais wa Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma naye alikuwa mmoja wa viongozi waliohudhuria mkutano huo


Waziri wa Afrika Mashariki kutoka Burundi, Leontine Nzeyimana akiwasili Ikulu


Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta (kulia) akizungumza na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni baada ya kumalizika kikao cha viongozi wa Nchi za EAC


Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umajo wa Afrika (AU) Dkt. Nkosazana Zuma baada ya picha ya pamoja


Viongozi wa EAC wakiimba wimbo ya Jumuiya hiyo kabla ya kuwasilisha maazimio ya mkutano huo


Jaji Mstaafu Mhe. Joseph Warioba (katikati) ambaye alikuwa mmoja wa wasuluhishi wa mgogoro wa Burundi akiwa na baadhi ya viongozi kutoka Afrika Mashariki


Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Mhe. Valentine Rugwabiza baada ya kikao


Mwenyekiti wa Marais wa EAC, Mhe. Rais Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akiwaongoza viongozi wa nchi za jumuiya hiyo katika picha ya pamoja. Kushoto kwake ni Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, Waziri wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Mhe. Valentine Rugwabiza, Mwenyekiti wa Umajo wa Afrika (AU) Dkt. Nkosazana Zuma, Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ambaye ni Wazir wa EAC kutoka Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe na Katibu Mkuu Mtendaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu (ICGLR), Profesa Ntuba Luaba.Kulia kwake ni Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, Rais wa Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mshauri Mkuu wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza, Mhe. Alain Nyamwite, Katibu Mkuu wa Jumuiya Dkt. Richard Sezibera na Mwakilishi Maalum kutoka Umoja wa Mataifa


Now you can see all your passwords saved in Google ChromeGoogle slipped in a new password management site passwords.google.com which is a new portal to all of the passwords you currently have saved if you're using Google Chrome to sync web passwords. 

You can see all of the sites you've authenticated with in a new and easy to navigate list, and you can also simply click a button on each to view the actual password.

With the latest version of Google Play Services on your phone or tablet, you'll now have a new "Smart Lock for Passwords" option in your Google Settings that will let you sync those passwords to your phone for installed apps to make use of as well. [via Android Central]

CCM Moshi Vijijini wampongeza Hussein Jamal, M/Kiti Mpya HimoMwenyekiti Mpya wa mji mdogo wa Himo mkoani Kilimanjaro, Hussein Jamal akiwasili katika ukumbi wa King Size katika mji wa Himo kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kushinda kiti hicho.Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.


Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Himo wakiwa katika sherehe hizo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo, Hussein Jamal.Kamanda wa Uhamasishaji wilaya ya Moshi Vijijini Hassan Hussein akizungumza wakati wa sherehe hizo.Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Kinondoni, Calist Lyimo akizungumza katika sherehe hizo.Mzee Shayo maarufu kama King size akimpongeza Naibu Kamanda wa Jumuiya ya Vijana wilaya ya Moshi vijijini, Innocent Melecky kwa uamuzi wake wa kutangaza nia ya kutaka kugombea jimbo la Vunjo.Viongozi wakiimba nyimbo za pongezi. Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo, Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo.

  • Tumeshirikishwa taarifa hii na Dixon Busagaga


WhatsApp group Admin stabbed for removing members


Sikika's call to the Gov: Increase budget allocation for essential meds, med supplies

Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar atunuku vyeti katika mahafali KilimanjaroNaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu akizungumza wakati wa mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo.Baadhi ya wanachama wa CHASO kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Taifa, upande wa Zanzibar Salum Mwalimu wakati wa sherehe za umoja huo.Wakili wa kujitegemea Elikunda Kipoko (katikati) akisikiliza kwa makini hotuba ya Naibu katibu mkuu Zanzibar, Salum aliyoitoa wakati wa mahafali ya kuhitimu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, wanachgama wa CHASO.Mbunge wa Viti maalum Lucy Owenya (CHADEMA) katikati akiwa na Diwani wa kata ya Longuo, Raymond Mboya (kushoto) na kulia kwake ni aliyekuwa katibu wa CHADEMA wilaya ya Moshi vijijini. Aquiline Chuwa .Aliyekuwa katibu wa CHADEMA wilaya ya Moshi vijijini, Aquiline Chuwa akizungumza katika mahafali hayo.

Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akitunuku yeti kwa wanafunzi wana tarajia kumaliza elimu ya chuo kikuu ambao ni wanachama wa CHASO mkoa wa Kilimanjaro.
Mratibu wa CHASO aliyemaliza muda wake, Ibrahim Chotola akizungumza wakati akiaga nafasi hiyo rasmi na kukabidhi kwa mratibu mpya wa CHASO mkoa wa Kilimanjaro.

Chotola akifanya utambulisho wa mratibu mpya wa CHASO mkoa wa Kilimanjaro Malijoel Mali.Mratibu mpya wa CHASO mkoa wa Kilimanjaro, Malijoel Mali akitoa salamu ya chama chake mara baada ya kukabidhiwa rasmi mikoba ya kufanya shughuli za Umoja huo.

  • Tumeshirikishwa taarifa hii na Dixon Busagaga 

Wreck of a 221 y/o trans-Atlantic slave ship confirmed off of South Africa

Copper fastenings (right) recovered from the São José slave ship wreck held the structure of the ship together. Copper sheathing (left) provided exterior protection.(photo: Courtesy of Iziko Museums)

For some time, researchers suspected that the São José-Paquete de Africa, a Portuguese slave ship, had crashed in 1794 off the coast of Cape Town, South Africa. But only now, after years of painstaking work, have they finally confirmed it.

Drawing on archival records from Portugal, diagnostic tests from material gathered during dives at the wreck site and even the captain's account of the ship, a team of researchers from a group called the Slave Wrecks Project has verified the São José's deadly end. Remnants from that ship, which picked up slaves in Mozambique and transported them to Brazil, will be loaned to the Smithsonian's National Museum of African American History and Culture, or NMAAHC, for an exhibition called "Slavery and Freedom," set to open next year.

In a statement, Lonnie Bunch, founding director of NMAAHC, said, 
"Perhaps the single greatest symbol of the trans-Atlantic slave trade is the ships that carried millions of captive Africans across the Atlantic never to return."

The discovery is significant, he said, 
"because there has never been archaeological documentation of a vessel that foundered and was lost while carrying a cargo of enslaved persons. The São José is all the more significant because it represents one of the earliest attempts to bring East Africans into the trans-Atlantic slave trade — a shift that played a major role in prolonging that tragic trade for decades."

Read more: The NPR

[video] Mahojiano: Balozi Khamis Kagasheki @JamiiForums


JamiiForums ilifanya 'Exclusive Interview' na Mhe. Balozi Khamisi Kagasheki, akiulizwa maswali kutoka kwa washiriki, yakihusisha maisha, nafasi alizowahi kushika na anazoshika katika jamii, utendaji na uwajibikaji na mengine mengi.

Video zilizopachikwa hapo zimebeba mahojiano hayo.
 


Kansiime cheats on husband... watch how it ended


Photo Competition to reflect Modern Africa


PRESS RELEASE

Agility Launches Photo Competition to Reflect Modern Africa

Three Categories: Cities, Industry and Technology

CAPE-TOWN, South-Africa, June 1, 2015/ -- Agility.com, one of the world’s leading providers of integrated logistics, today launches a global photo competition to highlight the success of emerging Africa and reflect its increasing progress (www.africa2015.com).

The competition seeks to highlight the often unreported side of a continent of many contrasts. It calls for photographers to capture an Africa booming with tech-savvy, youthful consumers, fast-paced urbanization, and enormous long-term economic prospects.

“Much of the world’s perception of Africa is outdated,” said Geoffrey White, CEO of Agility Africa. “Today, seven out of 10 of the world’s fastest growing economies are in Africa. This photo competition is intended to highlight a dynamic market with opportunity. Too frequently, the world reports only the bad news from the Continent, when there is so much that is impressive that Africa can be proud of. We hope this photo competition will demonstrate some of the positives revealing the real progress and development that Africa is making.”

Agility is investing in Africa and is committed to building new logistics capacity, infrastructure and access for businesses and consumers across the Continent. The company’s strategy also includes a strong social and environmental program, focused on education, training and health.

“The photo competition is an engaging way to encourage amateur and professional photographers to present modern, fast-changing Africa through images that show its successes,” White said.

“We want to capture images reflecting the robust modernization happening every day, from sustainable farming to manufacturing to oil and gas production. We hope, as a result, perceptions of Africa will become more balanced, and they will come to see Africa as a significant contributor to the world economy.”

The competition, open to amateur and professional photographers, will take place from June 1 – September 1, 2015. Agility will award a $2,000 cash prize to the winner of each category, as well as a $4,000 grand cash prize to the photographer who shoots the overall winning image that best captures the development and growth across Africa. The winning photographs will be shown on a CNBC Africa telecast and published in Forbes Africa.

For more information about the competition or to learn about Africa’s growth opportunity, visit www.africa2015.com

Distributed by APO (African Press Organization) on behalf of Agility.

About Agility

This photo competition is being organized by Agility, one of the world’s leading providers of integrated logistics, with close to $5 billion in annual revenue and more than 20,000 employees in over 500 offices across 100 countries. Agility is investing heavily on the African Continent: building a series of distribution parks with world-class warehousing facilities and guaranteed power, security and connectivity, in order to help companies get their goods to market and trade internationally and regionally. Agility supports the oil and gas industry, through project logistics of heavy and out-of-gauge equipment, bulk fuel transport and storage, and remote camp services that create a “home away from home.” Agility also supports governments in airport services and ground handling, driving efficiency in the country’s flow of passengers and cargo. For more information, visit:www.agility.com/africa

Tanzania awards $9 billion rail projects to Chinese companies

May 31 — Tanzania has awarded contracts to build new railway lines worth about $9 billion to Chinese firms, its transport minister said, expanding Beijing's presence in East Africa's second-biggest economy.

Transport Minister Samuel Sitta told parliament on Saturday a Chinese consortium had been awarded a contract to build a 2,561 km (1,536 miles) standard gauge railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbours at a cost of $7.6 billion.

"A consortium of Chinese railway companies led by China Railway Materials (CRM) has been picked to help us build the railway line," he said.

The consortium will provide 10 percent of the funding for the project while financial adviser Rothschild is finalising procedures for financing of the project through banks, Sitta said.

The minister said construction of the railway line was expected to start in June.

He said Tanzania had signed a framework agreement with another Chinese company, China Railway No.2 Engineering Group Co. Ltd., to build a railway line linking coal and iron ore mine projects, also under development by a Chinese group, to the southern port of Mtwara near big offshore natural gas discoveries.

The 1,000 km standard gauge railway line is expected to cost at least $1.4 billion, according to the Tanzanian government estimates.

Tanzania said in March it planned to spend $14.2 billion to construct a new rail network in the next five years financed with commercial loans, as the country aims to become a regional transport hub.

Tanzania, like its neighbour Kenya, wants to profit from its long coastline and upgrade existing railways and roads to serve growing economies in the land-locked heart of Africa.

Oil discoveries in Kenya and Uganda and gas finds in Tanzania have turned East Africa into an exploration hotspot for oil firms but transport infrastructure in those countries has suffered from decades of under-investment.

Tanzania last year signed an agreement with China Merchant Holding International (CMHI) to build a new mega port and economic zone at Bagamoyo expected to cost at least $10 billion.

China is also financing a $1.2 billion, 532 km (330 mile) natural gas pipeline in Tanzania. 

  • Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala. @REUTERS

Taarifa ya maendeleo ya harambee ya ujenzi wa Msikiti Kimbangulile


Kwa Jina la M/Mungu ninaanza kuandika Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA, KENYA na wasiokuwa hao kwa upamoja wao wa michango yao ya hali na mali katika kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA PICHA.

Nakushukuru BLOGS ZOTE ZA TANZANIA shukran za pekee kwa Brother Mroki Mroki wa Father Kidevu Blog kwa kuwa Balozi mzuri wa kulitangaza jambo hili kwa jamii pamoja na blogs nyingi marafiki wa Father Kidevu Blog. Leo tarehe 30/5/2015 NAOMBA NIULETE MREJESHO HUU KWENU WA MAKUSANYO TOKA TAREHE 19/5 mpaka Tarehe 29/5/2015.

Na niwaombe wadau kurudi tena kuleta mrejesho kama huu M/Mungu akipenda tarehe 15/6/2015 .

UFUATAO NI MREJESHO WA MICHANGO YA UJENZI WA MSIKITI ULIOPO MKOA WA PWANI , WILAYA YA MKURANGA , KIJIJI CHA MLAMLENI , KITONGOJI CHA KIMBANGULILE.


Naomba nianze Ijumaa, tarehe 29/5/2015 TUMEPATA KIASI CHA TSHS 238,700/=
CASH :- Tshs 96,700/= Nimezipokea Western Union.
Tigo -Pesa Tshs 142,000/= Jumla ya pesa zote unapata Tshs 238,700.
TULIZOKUSANYA TSHS 1,373,500/= tukijumlisha na siku ya Ijumaa tarehe 29/5 tunapata TSHS 1,612,200/=
Katika hizo pesa taslimu ni Tshs 1,470,200/= na Tigo -Pesa 142,200/=

JUMLA YA MAKUSANYO YOTE Tshs 1,612,200/=

Balozi wetu wa KENYA Ali Bajiy Nasor update zake zitawajia atakapo kusanya ahadi alizopewa mpaka sasa amekusanya KSHS 4300/= ambae anakusanya kupitia M-PESA NAMBA +254725113783. (Usajili ALI HAMIS) .

Balozi wetu kwa waliopo Uingereza tafadhali wawasiliane kwa namba hii muwasilishe michango yenu +447460340624.

Tanzania CHANGIA KUPITIA TIGO PESA 0715800772 (Brother ALI )

Mawasiliano zaidi Tuwasiliane Whatsapp : +255689604780 au Tembelea Facebook ID yetu:- Kijana Wa Kiislam Dsm

NAWASHUKURU WOTE MLIOCHANGIA NA MTAKAO ENDELEA KUCHANGIA KWA HALI NA MALI, kwa Pamoja TUIJENGE NYUMBA YA IBADA MALIPO YAKE AKHERA NI MAKUBWA ZAIDI NA DUNIANI PIA UNAPATA.

Daima jamii ya watu huwa nzuri zaidi na ikishikamana na IBADA na KUMTAMBUA MUUMBA kama ni hivyo basi kwa PAMOJA TUUJENGE MSIKITI HUU tupate kuwa na jamii njema.

Wabillahi Taufiqh.

Wako katika usimamizi wa hili,
GHALIB NASSOR MONERO.