Kipanya: Sifa za mgombea nafasi ya Urais


Watangaza nia: Kuna masikini anayemudu kukodi hapo...?


Ziara ya Dk Slaa huko Mbozi na TundumaKatibu wa CHADEMA (T) Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma katika ziara yake ya kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha kura.
Katibu Mwenezi wa CHADEMA mjini Tunduma Ayubu Sikagonamo akizungumza kabla ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa hajaanza kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara wa kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura.


Baadhi ya walinzi wa CHADEMA Red Briged wakiwa wameweka ulinzi kwenye mkutano wa chama hicho mjini Tunduma wilayani Momba

Kwa picha zaidi, tembelea blogu ya Mkwinda

Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 4, 2015
Taarifa ya NEC: Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura kwa wakazi wa Arusha, Kilimanjaro, Mara na Manyara

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI 

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 

MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO, MARA NA MANYARA.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote wa Mikoa mine (4) ya Arusha, Kilimanjaro, Mara na Manyara kuwa itaendesha zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kvra kutumia Teknolojia ya liometric Voters Registration'.

Zoezi hilo la Uboreshaji litanzia tarehe 09/06/2015 hadi 09/07/2015.

Vituo vya Uandikishaji vitakuwa kwenye Vitongoji, Mitaa na Vijiji katika Kata zote za Mikoa hiyo mine iliyotajwa. Vituo vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.

Watakaohusika katika zoezi hili ni wananchi wote:-. 
 • Waliotimiza umri wa Miaka 18 na watakaotimiza Miaka 18 ifikapo mwezi Oktoba 2015. 
 • Waliojiandikisha awali kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura iii kuhuisha taarifa zao na kupata kadi mpya za kupigia kura. 
 • Wote ambao wanazo sifa lakini hawajawahi kujiandikisha 
 • Wananchi wanatakiwa kwenda kujiandikisha kwenye vituo vya kujiandikisha vilivyoko ndani ya Kata zao. 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuwasisitiza wananchi wote katika Mikoa hiyo minne kujitokeza kwa wingi ill waweze kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwani ndiyo hatua muhimu ya kuwawezesha kupiga Kura ya Maoni na Uchaguzi Mkuu na kuchagua viongozi wao. Uandikishaji utafanyika kwa muds vra siku saba (7) kwa kila kituo. 

JITOKEZE SASA NENDA KAJIANDIKISHE 

Tangazo hili limetolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
+255 772 55 55 53
S.L.P. 10923, Dar es Salaam

Blogu ya kuwahoji watangaza nia ya Urais Tanzania


Imeanzishwa blogu ya "Tuwahoji Wagombea" ikiwa na malengo ya kuwapa Watanzania nafasi ya kuuliza maswali kupata majibu kutoka kwa watu walioonesha nia ya kugombea uongozi katika nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. 
Kama ambavyo wao wana haki ya kutafuta uongozi kwa idhini yetu, na sisi tuna haki ya kuwahoji na kuwauliza maswali yanayowahusu wao na nia yao. Pia kwa kuwa wanataka kutuongoza sisi tuna haki ya kupata majibu sahihi, ya ukweli na yasiyo ya mkato na ya kubabaisha.

Tanzania Mortgage Market Update

Job opportunity at MSI for Assistant Medical Officer and Outreach Nurses


Marie Stopes Tanzania (MST) is a marketing-focused, results-oriented social enterprise, which uses modern management and marketing techniques to provide family planning, reproductive and sexual healthcare and allied services. MST is a member of the Marie Stopes International (MSI) Global Partnership, which operates in over 45 countries worldwide. MST’s goal is to improve quality of life in Tanzania by dramatically improving access to and use of family planning and other reproductive health services.

We are looking for dynamic individuals to join our highly motivated team in the following roles;

ASSISTANT MEDICAL OFFICER

Job purpose


The Assistant Medical Officer is responsible for provision of high quality integrated Reproductive Child Health Services and supervision of community demand creation in the outreach set up across Tanzania. The main focus of the post is to work independently in FP and VCT service delivery, ensuring the best clinical quality, and perform procedures in outreach set up in line with MSI Protocols. The Assistant Medical Officer reports directly to the Zonal Coordinator

Minimum requirements
 • Advanced Diploma in Clinical medicine
 • Registered with Medical Council of Tanganyika.
 • 4 years’ experience in clinical work internship inclusive
 • Desirable: Experience of outreach service delivers

OUTREACH NURSES

Job purpose


The Outreach Nurse in collaboration with the Assistant Medical Officer is responsible for provision of high quality integrated Reproductive Child Health Services and community demand creation in the outreach set up across Tanzania. The main focus of the post is to work independently in FP and VCT service delivery, ensuring the best clinical quality, and perform procedures in outreach set up in line with MSI Protocols. The Outreach Nurse reports directly to the Zonal Coordinator

Key Responsibilities
 • Work with the team to develop local plans with particular focus on maximizing access to family planning and Sexual and Reproductive Health and services and ensuring project target are met.
 • Participate in evaluating, reporting and monitoring of the outreach performance.
 • Work with outreach team to increase efficient client flow from information talk, through counselling, procedure and post procedure care;
 • Practice good customer care by prioritizing the rights and the needs of clients;
 • Comply diligently with MSI protocols for all procedures and for vocal local and infection prevention;
 • Work with outreach teams to update knowledge of Family Planning methods for effective client counselling and drug dispensing practices;
 • Provide clinical support to AMO/MO during medical procedures in the communities

Minimum requirements
 • A Nursing Certificate must be registered with relevant board and have a current nurses license
 • At least 3 years working experience in a similar post
 • Proven experience with outreach services in remote areas is desirable
 • Knowledge of and appropriate application of the nursing process in family planning and sexual and reproductive health is required
 • Working knowledge of computers and basic programs
 • Desire to meet and exceed expectations is highly required
 • Putting clients at the center of everything
 • Building and maintaining effective long term working relationship with all stakeholders;
 • Desire to become a true Marie Stopes Ambassador.

Mode of Application

If you feel that you are able to meet the requirements and you are motivated enough to be part of the team, please send your applications including a cover letter detailing your suitability and why you are interested in this post to the address below. Please indicate the work station of your interest.

Director of Human Resources and Administration

Marie Stopes Tanzania
P. O. Box 7072, Dar Es Salaam.
Telephone: +255 22 277 4991

E-mail: [email protected]

Only short listed candidates will be contacted.

Closing date: All applications should reach the addressee before Friday June 12, 2015

Dk Nchimbi asimulia kisa cha 'mpambe' wa Kikwete na Komba na kuasa...


Tanzanian, Hilonga's water filter wins innovation prize worth £25,000 from UK Royal Academy of Engineering

Judge Malcolm Brinded (R) said Askwar Hilonga's water filter could change lives all over the world

A water filter which absorbs anything from copper and fluoride to bacteria, viruses and pesticides has won a prestigious African innovation prize.
Its inventor, Tanzanian chemical engineer Askwar Hilonga, uses nanotechnology and sand to clean water.

He told the BBC his invention should help the 70% of households in Tanzania that do not have clean drinking water.

The prize, worth £25,000 ($38,348), was the first of its kind from the UK's Royal Academy of Engineering.

Head Judge Malcolm Brinded said, "His innovation could change the lives of many Africans, and people all over the world."

The sand-based water filter that cleans contaminated drinking water using nanotechnology has already been trademarked.

"I put water through sand to trap debris and bacteria," Mr Hilonga told the BBC's Newsday programme about the filter.

"But sand cannot remove contaminants like fluoride and other heavy metals so I put them through nano materials to remove chemical contaminants."

He said that before one filter costs $130 but, after winning the £25,000, he will buy materials in bulk and the cost will reduce.

"For people who cannot afford water filters, we have established water stations where people come and buy water at a very very low, affordable price," he added.

Mr Hilonga explains on his YouTube video from 2014 that other resins can remove up to 97% of micro-organisms but his target was to produce nano-filter "that can 99.999% of micro organisms, bacteria and viruses".

His family regularly suffered from water-borne diseases growing up in rural Tanzania, so when he graduated from his PhD in nanotechnology in South Korea he started looking at nano materials that would be suitable for water purification, he told Technology4Change.

The Royal Academy of Engineering aims to help sub-Saharan African engineers to develop solutions to African challenges into businesses.

Mr Hilonga and the three runners-up, who received £10,000 each, have already spent six months developing a business plan.


Taarifa ya habari Channel TEN, Juni 2, 2015
Mpinga atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 2015

Luhaga Mpina na Mizengo Pinda
Luhaga Mpina na Mizengo Pinda

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, atangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili agombea urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, huku akitamba kwamba anataka kusimamia mapato ya Serikali.

Mpina ambaye ameingia katika mbio hizo kwa kushtukiza, anaongeza orodha ya makada wa CCM waliotangaza rasmi. Hadi sasa waliojitangaza ni Edward Lowassa, Mwigullu Nchemba, Stephen Wassira, Lazaro Nyalandu, Dk. Khamis Kigwangallah na leo wataongezeka Prof. Mark Mwandosya na Makongoro Nyerere.

Mpina ametangaza uamuzi huo jana jioni katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Mwandoya jimboni Kisesa, akisema kutokana na kujipima na kutafakari, ameona anayo nafasi na uwezo wa kuingia katika kinyang’ang’aro hicho.

Amesema wengi waliotangaza nia ya kugombea urais, hawana uwezo na wameshindwa kuainisha mambo mhimu yatakayoingizia taifa kipato na kukuza uchumi.

Kwa mujibu wa Mpina, kipaumbele chake kikubwa ni kuhakikisha anasimamia ukusanyaji wa kodi ambao umeshindwa kufanywa na marais waliopita, pia kusimamia ulipaji wa kodi bandarini.

“Watangaza nia wote waliotangaza sijaona hata mmoja ambaye amezumgumzia kusimamia ukusanyaji wa kodi, kwani huwezi kujenga barabara na vituo vya afya bila kukusanya kodi.

“Ukusanyaji wa mapato serikalini upo chini sana na hiyo yote ni kwa sababu ya usimamizi mbovu iliopo kwa watumishi wa umma, lakini nitahakikisha tunakusanya mara tatu ya hapa,” amesema Mpina.

Ameongeza kuwa, atahakikisha anasimamia ubadhilifu wa fedha za umma serikalini, watumishi kuidhinisha fedha za umma katika matumizi hewa pamoja na utoroshaji wa fedha kwenda nje ya nchi.

Hata hivyo, amesema kuwa serikali imeshindwa kufuatilia na kuwakamata watu waliikopa zaidi ya Sh. 2 billioni, ambazo zimekopwa na kusababisha watanzania kukosa maendeleo kwa muda mrefu.

Mpina amesema kuwa, kushindwa kuwepo kwa usimamizi mzuri wa rasilimali hizo kumesababisha kuwepo kwa wimbi la vijana mtaani wasiokuwa na ajira.

“Kama nikipewa nafasi ya kuwa Rais, nitahakikisha vijana wote wanapata ajira na kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja ili kupunguza utegemezi uliopo hivi sasa,” alisema Mpina.

Pia amegusia suala la afya nchini, akisema viongozi wanaoshindwa kuwapeleka watoto wao katika hospitali za serikali ndio wamekuwa wakisababisha kurudusha nyuma sekta ya afya.

Amedai kuwa watumishi wengi hususani wabunge, waopeleka watoto wao kutubiwa nje ya nchi wanasababisha watoto wa maskini kuishi katika mazingira hatarishi ya afya zao.

“Kwenye serikali yangu sitakubali kuona mambo ya aina hiyo yanaendelea kuwepo na nitasimamia watumishi wote wanaotumia vibaya fedha za umma wanachukuliwa hatua na wale wote wanaodaiwa kuiba wakusanye virago vyao mapema,” ameainisha Mpina.

TANAPA kupitia Ujirani mwema yakabidhi mradi wa maji AshiraMkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gama akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni TANAPA.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika tanki la maji la mradi wa ujirani mwema uliotolewa na TANAPA kwa wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisoma kilichoandikwa katika vibao mara baada ya uzinduzi wa mradi huo.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo.RC, Gama akinywa maji kwa kutumia mkono mara baada ya kufungua bomba la maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ashira katika wilaya ya Moshi ikiwa ni ishara ya kukabidhi mradi huo wa maji ulifadhiliwa na TANAPA kupitia mradi wa ujirani mwema.Tanki la Maji la mradi wa ujirani mwema uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA).

Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Erastus Rufungulo akiwasalimia wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi wakati wa kukabidhi mradi wa maji wa ujirani mwema uliofadhiliwa na TANAPA.Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi Vijijini.Meneja Ujirani mwema wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Ahmed Mbugi akizungumza kuhusu miradi ya ujirani mwema ambayo TANAPA imekuwa ikiitoa kwa jamii katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini.

Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ashira katika wilaya ya Moshi.Kaimu Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Ibrahim Musa akitoa taarifa mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama kuhusu ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi.,

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji uliofadhiliwa na TANAPA kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akiwahutubia wananchi waliofika katika makabidhiano ya mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi, uliofadhiliwa na hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA) .
 • Tumeshirikishwa taarifa hii na Dixon Busagaga