Taarifa ya Habari ya Channel TEN Juni 13, 2015Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 14, 2015
Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kwenye mkutano wa 25 wa AU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umoja wa Afrika.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umoja wa Afrika.Picha: Ikulu

Lowasa afika Kigoma kuchukua saini za waliomdhamini

Wananchi wa Mji wa Kigoma wakiwa wamejipanga kando ya Barabara kuu ya Kutoka Ujiji, kumpokea Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa.Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkoani wana CCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma waliofika kumlaki kwenye Ofisi Kuu za CCM mkoani hapo.Mh. Lowassa akisani kitabu cha wageni kwenye Ofisi Kuu za CCM Mkoani Kigoma. Kulia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu (NEC), Daniel Nsanzugwanko.Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dkt. Aman Kaborou, muda mfupi kabla ya kupokea idadi ya majina ya wanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amedhaminiwa na wanaCCM 11,250 Mkoani Kigoma, leo Juni 13, 2015.Wazee kwa vijana wakimshangilia Mh. Edward Lowassa.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinganga, Hamis Mngeja akizungumza machache mbele ya hadhara ya wanaCCM wa Mkoa wa Kigoma.Katibu wa CCM Wilaya ya Kigoma Mjini, Noverty Kibaji akizungumza wakati akimuelezea Mh. Lowassa, idadi ya wanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.Katibu wa CCM Wilaya ya Kigoma Mjini, Noverty Kibaji (kushoto) akimkabidhi, Mh. Edward Lowassa, majina ya wanaCCM wa Kigoma Mjini waliomdhani ili apate ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.Mh. Lowasaa akionyesha majina ya WanaCCM wa Mkoa wa Kigoma waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwania Urais wa Tanzania.Mjumbe wa Mkutano Mkuu (NEC), Daniel Nsanzugwanko (kulia) amkabidhi mtangaza nia, Majina ya wanaCCM wengine waliomdhamini.

Umati wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward Lowassa (anaeonekana kule mbele) wakati alipofika kuomba udhamini wa wanachama wa CCM, ili aweze kupata ridhaa ya Chama kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhaminiwa na wanaCCM 11,250 wa Mkoa wa Kigoma,  Juni 13, 2015.Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kigoma.  • Picha zote tumeshirikishwa na Othman Michuzi.

Ziara ya Kinana mkoani Kagera yamfikisha Rulenge, NgaraKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto

Fuatilia "Live" Usiku wa tuzo za KTMA hapa


Taarifa ya NEC ya kualika asasi zitakazotoa elimu ya Mpiga KuraWorst times of day for your health, and Times recommended to take your meds
Standard Chartered Bank Hong Kong to use English Court to outflank Tanzanian Courts in VIP-Standard Chartered Dispute

Reportedly, Australia paid off smugglers to return migrants...we are determined to ensure that illegal boats don't get to Australia. And, we will do whatever is reasonably necessary to protect our country from people smuggling and from the effect of this evil and damaging trade that costs lives." 
The Australian Prime Minister Tony Abbott is quoted as saying.


Interviewer Neil Mitchell pressed the prime minister: "But surely we wouldn't pay people smugglers? They're criminals."

Abbott replied:
"Well, what we do is we stop the boats by hook or by crook because that's what we've got to do and that's what we've successfully done. I just don't want to go into the details of how it's done."

The original claim of a payment to smugglers was made by the police chief on Rote, who says he saw the money exchange hands.

Hidayat, who like many Indonesians uses only one name, told Agence France-Presse that Australian officials told the traffickers "to take two smaller boats and turn back into Indonesia after the money changed hands."

via The NPR

Taarifa ya Habari ya asubuhi Channel TEN Juni 13, 2015


Uganda nako wapinzani waungana ili kumng'oa Museveni

Vyama vya upinzani vimeunda muungano kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2016 ili kumuondoa Rais Yoweri Museveni aliyekaa madarakani kwa miaka 30 nchini Uganda.

Muungano huo uliotambulishwa kwa jina la Democratic Alliance, unajumuisha vyama vyaupinzani, makundi mbalimbali ya kisiasa pamoja na viongozi wa kijamii na kidini nchini Uganda.

Wawakilishi wa muungano huo walitia saini mkataba wa makubaliano tarehe 10 mwezi Juni, utakaotoa mwongozo katika uteuzi wa mgombea urais.

Waziri Mkuu wa zamani wa Uganda Amama Mbabazi, ambaye hakuhudhuria mkutano wa kutia saini mkataba wa makubaliano, anaonekana kuwa mgombea atakayeleta upinzani mkubwa kwa Museveni katika uchaguzi.

Makamu wa rais wa zamani Gilbert Bukenya pia amabaye amejitenga na rais Museveni, pia ni mmoja wa viongozi wakuu wa muungano huo.

Hata hivyo, hii sio mara ya kwanza kwa upinzani kuunda muungano dhidi ya chama tawala cha Museveni. Hapo awali, vyama vya upinzani viliwahi kuunda muungano katika uchaguzi wa mwaka 1996 na 2011 na kushindwa kumpiku Museveni huku wakidai kwamba uchaguzi haukufanyika kwa haki. [via TRT Swahili]

Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 13, 2015Carry baby powder or cornstarch when going to the beach, here is why...


...there is one item other than sunscreen that is a must take whenever we hit the beach, baby powder.

It’s perfect for removing sand of your feet, hair, legs and hands. Bring out your little bottle of baby powder, shake a generous amount on hands and then be ready to easily shake the sand off.

Basically what happens is that the baby powder removes moisture from your skin and allows for the sand to easily come off. It works on hair, feet, and legs. 

If you don’t like using baby powder or prefer using something more natural, you can also use cornstarch.