Tangazo la JKT: Nyongeza ya majina ya vijana 20,000 na kambi walizopangiwa

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015.

YAFUATAYO YAZINGATIWE
  1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA
  2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).
  3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.
  4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694
DAR ES SALAAM.

Majina ya vijana na kambi walizopangiwa

Nyongeza ya Majina na Kambi Walizopangiwa

TAFADHALI BONYEZA JINA LA KIKOSI KUTAFUTA JINA LAKO

Majina ya vijana kidato cha sita 2015 yaliyoongezwa kuhudhuria mafunzo ya JKT mujbu wa sheria, waripoti kwenye makambi waliyopangiwa mara baada ya kusoma majina yao.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Job opportunities at SUA for Assistant Lecturers and Tutorial Assistants

The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites suitable qualified Tanzanians to apply for positions of Tutorial Assistants (TA’s) (<35 yrs of age) and Assistant Lecturers (<45 years). Applicants are advised to note that the minimum GPA of 3.8 or an average of B for unclassified degrees such as that of Veterinary and Medical graduates at undergraduate level applies for TA’s and 3.5 at BSc/BA level or equivalent (i.e. an average of B for Veterinary and Medical graduates) and a good Master degree is applicable for those with postgraduate qualifications. Only registered Veterinarians will be considered for interviews.

Applicants are advised to note that salary packages and fringe benefits shall be as per Treasury Registrar’s Circular No. 2 of 2014, which is applicable at the moment. 

The deadline for submission of application letters indicating names and addresses of three referees, together with certified copies of certificates and transcripts, curriculum vitae and testimonials shall be two weeks after the date of the first advertisement. Only short listed applicants will be contacted for interview. Those who had applied for similar posts in the past are encouraged to re - apply. Application letters should be sent to the undersigned. 

A. ASSISTANT LECTURERS/ LIBRARIAN (12 POSITIONS) 

1. DEPARTMENT OF AGRICULTURAL ENGINEERING AND LAND PLANNING 
Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Farm Machinery and Mechanization for applicants in possession of a BSc in Electro – Mechanical Engineering/ Mechanical Engineering/ Agricultural Engineering or related field and a MSc in the areas related to Farm Machinery and Mechanization/ Agricultural Engineering/ Mechanical Engineering. Those working in the industry are encouraged to apply.

2. DEPARTMENT OF BIOMETRY AND MATHEMATICS 
Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Complex and/or Functional Analysis for applicants in possession of a BSc and MSc. degree in Mathematics or related fields with a score of at least B+ in the discipline of Complex and/or Functional Analysis. 

3. DEPARTMENT OF WILDLIFE MANAGEMENT 
Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Foreign Languages (English, French and Spanish) for applicants in possession of a BA and a MA specializing in either of the two languages English, French or Spanish languages. Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Food and Beverages Management for applicants in possession of Bachelor and Master degree in Hotel Management or related fields. Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Law for applicants in possession of a LLB and LLM majoring in Tourism, Business or other related disciplines. Assistant Lecturer (1Post) in the discipline of Information and Communication Technology for applicants in possession of a Bachelor and Master degree in Computer Engineering/ Information Technology / Computer Science/ Information Systems/ Informatics or related fields. 

4. DEPARTMENT OF VETERINARY MICROBIOLOGY AND PARASITOLOGY 
Assistant Lecturer (1 Posts) in the discipline of Veterinary Microbiology for applicants in possession of a BVM/BVSc degree and MSc in Veterinary Microbiology from a recognised Institution and who has an overall of “B” grade or above for BVM and should in addition have scored “B” grade or above in Veterinary Microbiology at Undergraduate. Assistant Lecturer (1 Post) in the discipline of Veterinary Immunology for applicants in possession of a BVM degree and MVM/MVSc/MSc in Veterinary Immunology from a recognised Institution and who have an overall “B” grade or higher at Bachelor degree and should in addition have scored “B” grade or above in Immunology. 

5. DEPARTMENT OF PHYSICAL SCIENCES 
Assistant Lecture (1 post) in the discipline of Meteorology. Holders of a MSc. in Meteorology or related degree programs with strong specialisation in Synoptic and Dynamic Meteorology and Meteorological data analysis and display systems from a recognized University. In addition, s/he must have a good Bachelors Degree in Physics and Mathematics/ Environmental Sciences and Management. 

6. DEVELOPMENT STUDIES INSTITUTE
Assistant Lecturer (1 Post)
for applicants in the discipline of Rural Development. The applicant should possess BA Rural Development/ Bachelor in Rural Development and MA Rural Development / Master in Rural Development from recognized University. 

Please Note:- 
• Only shortlisted candidates will be contact through their addresses/ e-mail and/or telephone 
• Those who applied previously are encouraged to apply. 
• Those working in the Public Service are advised to route their applications through their current employers. 
• During application the applicant should state the Department, Position and Discipline one is vying for. 

Issued by 
Office of the Deputy Vice−Chancellor (A & F) 
Sokoine University of Agriculture 
P. Box 3000, Chuo Kikuu, 
MOROGORO - TANZANIA

Source: www.suanet.ac.tz

BOT yazungumzia uvumi kuhusu 'utajiri' katika sarafu ya sh 500/=


Benki ya Tanzania (BOT) imewataadharisha wananchi kwamba sarafu ya shilingi 500 haina madini ya aina yoyote na wala haiuzwi kama inavyodaiwa baadhi ya watu.

Kauli hiyo imetolewa leo na Meneja Uhusiano wa benki hiyo, Zalia Mbeo wakati akitoa ufafanuzi kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, HAB Mkwizu ambaye aliuliza kwamba kuna taarifa kuhusu sarafu hiyo kuuzwa mitaani.

Kaimu Katibu Mkuu huyo ambaye alifungua maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani.

“Watanzania wanatapeliwa sarafu hii haina thamani yoyote ni uzushi,” alisema Zalia.

Aliongeza kusema kuwa wananchi wadanganywa na watu kuwa sarafu hiyo ikiyeyushwa ina madini ambayo yanaweza kuwapatia fedha nyingi wakati si kweli.
Maelezo yapo katika habari ya tatu kwenye video ifuatayo...


Membe aaga AUWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimtaifa, Mhe. Bernard Membe (Mb.) akisoma Hotuba ya kuwaaga Mawaziri wenzake katika mkutano wa Mawaziri wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa (watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Azizi (wa Nne kulia), Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia Balozi Dkt. Mohamed Maundi, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Afrika Bi. Zuhura Bundala pamoja na ujumbe alioambatana nao.

  • Picha: Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Mitindo: Magauni...

Picha kutoka / Tizama zaidi kwenye: blogu ya MumyHery

"Jeb" Bush is not his real name


For a lot of people, Jeb is short for their longer, more formal name Jebediah. Not so for Jeb Bush. His name is actually an acronym, a shorter version of the much more formal John Ellis Bush.

Bush was named after two uncles, as his mother, Barbara Bush, wrote in a 2003 memoir, Reflections: Life After the White House:
"Our son John Ellis Bush, 'Jeb,' the great Governor of Florida, was named after 41's brother Jon and Nan's husband, 'Sandy' Ellis —Alexander Ellis, Jr. — whom we both admired and loved."

Jeb Bush's youngest son is named Jeb Bush Jr. And, no, Jeb isn't his real name either. It's, you guessed it, John Ellis Bush Jr.

Bush himself comes from New England Protestant stock. But while still in high school, he was part of a student-exchange program in Leon, Mexico, where he met and fell in love with a local girl. Her name was Columba Garnica Gallo and upon marriage in 1974, she became Columba Bush.

Early in their marriage, they lived in Caracas, Venezuela, where Jeb Bush worked for a branch of a Texas bank. Jeb Bush is fluent in Spanish and has often appeared in campaign ads throughout his political career speaking the language. Their three children — all now adults — have mixed U.S.-Mexican heritage.

Niambie Live Show: Father's Day SpecialKaribu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE

Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii.

Wiki hii mada ni SIKU YA KINABABA DUNIANI.

Na mgeni mwalikwa ni Mayor Mlima

Ni Niambie Live...

KARIBU

Watch her break World record reaching new low limboing under car

A WORLD record holding limbo queen thinks she has become the first person to shimmy under a car.

Shemika Charles amazed herself and onlookers when she bent over backwards to get underneath the SUV earlier this week. The supple 22-year-old entered the record books in 2010 when she limboed down to an incredible eight and a half inches – the height of a beer bottle. 

She trains for up to six hours a day to keep her body in peak condition and now travels around America performing with her family. 

However, regular performances put an incredible strain on her body and she sees a chiropractor once a week to have her hips realigned. Her mother was also a successful limbo dancer in her home country of Trinidad and Tobago but had to give up due to injury.

Kinana asafiri kwa 'bodaboda' hadi kijiji kisicho na shule, IlyamcheleKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia usafiri wa pikipiki alipokuwa anakwenda Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge ambako aliendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya Ilyamchele akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Msafara wa Komredi Kinana ukivuka katika moja ya mio iliyopo Barabara ya IlyamcheleGari lililombeba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye likivuka katika moja ya mito katika Kijiji cha Ilyamchele, wilayani Bukombe.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiakivuka kwenye daraja la Ilyamchele baada ya kuzindua ujenzi wa daraja hilo, wilayani Bukombe, Geita,akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuziNape akivuka katika daraja bovu la IlyamcheleWatoto wakiwa karibu na chumba cha darasa cha Shulre ya Msingi Ilyamchele, katika Kata ya Namonge, wilayani Bukombe. Komredi baada ya kuona hali hiyo, aliitisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo, isiyokuwa na walimu wataalamu.. picha zote na richard mwaikendak kamanda wa matukio blogWananchi wa Kijiji cha Ilayamchele wakishangilia baada ya Komredi Kinana kufanikisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo ya Ilamchele.Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la CCM Tawi la Busonzo, wilayani Bukombe.Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa chumba cha darasa katika Shule ya Msingi ya Ilamchele, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.Komredi Kinana akihutubia katika mkutano ambao aliitisha u ya ujenzi wa majengo ya Shule ya Msingi Ilamchele, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ilamchele, wilayani Bukombe. Kijiji hicho hakina Zahanati wala shule ya maana.Wananchi wa Kijiji cha Ilamchele wakishangilia kwa furaha baada ya Komredi Kinana kufanikisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo.Wananchi wa Kijiji cha Ilamchele wakisindikiza kwa ngoma msafara wa Komredi Kinana na NapeKomredi Kinana akinunua miwa katika Kijiji cha IlayamcheleKomredi Kinana akizungumza alipowatembelea wajasiliamali wa uuzaji wa samaki na dagaa katika Soko la Uyovu katika Kay Uyovu, wilayani Bukombe.Komredi Kinana akizhutubia wachimbaji wadogo wadogo wa madini katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, Geita.Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe.Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, Geita.

Komredi Kinana akishiriki kutega mzinga wa nyuki katika Kata ya Iyogelo, wilayani Bukombem GeitaKomredi Kinana akishiriki kufitisha fremu ya mlango katika vyumba vya madara ya Shule ya Sekondari ya Busonge, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.Wananchi wakimlaki Komredi Kinana kwenye mkutano wa hadhara mjini Bukombe,Nape akiunguruma katika mkutano wa hadhara mjini BukombeKomredi Kinana akitema chehe katika mkutano wa hadhara mjini, Bukombe wakati wa ziara yakeKwaya ikitumbuiza wakati wa mkutano huo wa hdhara mjini Bukombe.

Taarifa nzima ya Habari Channel TEN ya Juni 16, 2015

Lowasa, Sumaye wakutana katika msiba wa Mufti SimbaVyama vya siasa vyakumbushwa Sheria ya Gharama za Uchaguzi

Msajili wa vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ametoa angalizo kwa vyama vya siasa kuzingata Sheria ya gharama za uchaguzi ili kuepuka kufikishwa mahakamani kwa kukiuka sheria hiyo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam, Jaji Mutungi amevikumbusha vyama vya siasa kutambua umuhimu wa kufuata Sheria hiyo katika uendeshaji na usimamizi wa kura ya maoni, kampeni za uchaguzi na uchaguzi wa vyama vya siasa.

Amesema ameamua kutoa angalizo hilo kwa kuangalia mwenendo wa vyama vya siasa wakati huu wa kampeni za awali za kuwania kuteuliwa na vyama kuwa mgombea, ambapo amesisitiza kwamba yeye kama mlezi wa vyama vya siasa, ana wajibu wa kukemea mambo yote yanayokwenda kinyume na kanuni na sheria zinazotawala vyama vya siasa.

Akitoa ufafanuzi kuhusu gharama na matumizi ya fedha kwa wagombea wa vyama vya siasa kabla na wakati wa uchaguzi, msajili msaidizi wa vyama anayeshughulikia uchaguzi , Pincia Kiure amesema hatua hizi za uchaguzi wa awali vyama vya siasa, zimepewa ruksa kugharamia michakato hiyo kwa kuweka gharama ya Shilingi bilioni 2 kwa kila mgombea.

Sheria ya gharama za uchaguzi inaweka utaratibu wa kudhibiti gharama za uchaguzi kwa kuweka viwango vya juu vya gharama hizo ambapo viwango hivyo vitazingatia tofauti ya majimbo, idadi ya watu na miundombinu ya eneo husika.

2nd Presidential aspirants debate June 18, #TanzaniaElection2015

Taarifa nzima ya Habari Channel TEN ya Juni 15, 2015Rais Kikwete aongoza mazishi ya Mufti Simba

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Mashehe kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Picha: IkuluJeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Mazishi ya Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Mbaraka Simba wakati kwenye Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.

KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Mfanyakai wa GPL aliyefariki ajalini aagwa

Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Lydia Bukumbi akiaga mwili wa Robert Tillya.

MWILI wa aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Robert Tillya hatimaye leo umeagwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kuelekea mkoani Kilimanjaro kwa maziko.

Marehemu Tillya alikuwa dereva wa Global na alifikwa na mauti Jumamosi iliyopita alfajiri baada ya kupata ajali maeneo ya River Side, Ubungo jijini Dar.

Mamia ya waombolezaji wakiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo, wafanyakazi wa Global, ndugu, jamaa na marafiki waliungana katika Hospitali ya Mwananyamala kumuaga mpendwa wao majira ya saa tano asubuhi.

Marehemu Tillya alizaliwa Novemba 18, 1981 na ameacha watoto wawili wa kiume na wa kike.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Tillya mahali pema peponi. AMEN.Mwandishi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata akiuaga mwili wa mfanyakazi mwenzake kwa simanzi.Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza kulia), Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global, Oscar Ndauka (wa tatu kulia) na Ofisa Utawala wa Global, Soud Kivea (wa pili kushoto) wakiwa na simanzi wakati wa zoezi la kuaga mwili wa Robert Tillya.Elvan Stambuli akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Global Publishers Ltd.Wafanyakazi wa Global wakiongozwa na Imelda Mtema (wa kwanza kushoto) kuaga mwili wa Robert.Wafanyakazi wa Global, ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa Robert kwa simanzi nzito.Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akiaga mwili wa Robert kwa huzuni.Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli akiaga mwili wa marehemu.Mhariri wa Championi Jumatano, Phillip Nkini akiaga mwili wa Robert.Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota akiuweka vizuri mwili wa Robert tayari kwa zoezi la kuaga.Mwili wa Robert Tillya ukipelekwa kwenye gari.Waombolezaji wakijiandaa kuingia kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Kilimanjaro.
  • Tumeshirikishwa taarifa hii na MUSA MATEJA / GPL