Taarifa nzima ya Habari Channel TEN, Juni 18, 2015

Three Fellowship Opportunities for African Doctoral Candidates


The Social Science Research Council offers fellowships to support the completion of doctoral degrees and to promote next generation social science research in Ghana, Kenya, Nigeria, South Africa, Tanzania, and Uganda. The fellowships support dissertation research on peace, security, and development topics.

All applications must be submitted using the online application portal.

The next application deadline is November 13, 2015.

Doctoral Dissertation Research and Completion Fellowships

The doctoral dissertation completion fellowship supports a one-year leave from teaching responsibilities and a stipend of up to US$15,000 to permit the completion of a dissertation that advances research on peace, security, and development topics.

The doctoral dissertation research fellowship supports 6–12 months of dissertation research costs of up to US$15,000 on a topic related to peace, security, and development.

All applicants must:
 • be citizens of and reside in a sub-Saharan African country
 • hold a master’s degree
 • be enrolled in a PhD program at an accredited university in Ghana, Kenya, Nigeria, South Africa, Tanzania, or Uganda

Additionally for the completion fellowship, applicants must:
 • be in the final year of writing and have completed at least one dissertation chapter

For the research fellowship, applicants must:
 • have an approved dissertation research proposal

As of May 2015, the program prioritizes applicants holding a faculty position or demonstrating a durable commitment to higher education but it does not restrict eligibility to such individuals.

Doctoral Dissertation Proposal Fellowships

Proposal development fellowships are intended to support doctoral students working on developing a doctoral dissertation research proposal as well as students who recently completed a master’s degree and seek to enroll in a PhD program.

The doctoral dissertation proposal fellowship supports short-term research costs of up to US$3,000 to develop a doctoral dissertation proposal.

All applicants must:
 • be citizens of a sub-Saharan African country
 • residents of Ghana, Kenya, Nigeria, South Africa, Tanzania, or Uganda
 • hold a master’s degree
 • either be enrolled in a PhD program or intend to enroll in a PhD program

As of May 2015, the program prioritizes applicants holding a faculty position or demonstrating a durable commitment to higher education but it does not restrict eligibility to such individuals.


Kansiime with sleep talking husband, oh poor Philip


Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 19, 2015

Wanaume Nyeri wataka chupi za chuma / Men in Nyeri welcome metallic genital protector

On Tuesday K24 brought the story of a rather unique innovation following the upsurge of incidents of women chopping off the genitals of their men in Nyeri county in Kenya, and now a section of men in the embattled county have welcomed the metallic anti- chop gear, saying that it will go a long way in protecting their manhood and that aside, they are even calling on the government to subsidize the cost of the gadget to salvage a dire situation.

Franklin Macharia of K24 reports in the following video...


Baada ya taarifa za chupi za chuma kupeperushwa hewani hapa katika runinga ya K24, baadhi ya wanaume kutoka maeneo ya Nyeri nchini Kenya wamejitokeza hadharani kukiri kuwa ni vyema ubunifu huo umechipuka na kuwaomba wauzaji kuongeza idadi ya chupi hizo za chuma.

Mwanahabari wa K24, Gordon Odhiambo anaripoti taarifa hiyo kwenye video ifuatayo...Habari iliyosababisha chupi za chuma zitengenezwe ni hii...

Mwanamume mwingine amekatwa nyeti zake na mkewe katika eneo la Nyeri mjini Jumanne asubuhi kufuatia mzozo wa kinyumbani . Muathiriwa Paul Mwangi anasemekana kuzozana na mkewe kuhusu fedha , pale mkewe Valentine Mugure, alipomkata nyeti zake. Mwathiriwa anapata matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya Nyeri huku mshukiwa akiendelea kuzuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Central cha Nyeri. Frankline Macharia anasimulia masaibu ya wanaume wa Nyeri.

The story behind the idea to manufacture the metallic underwear..

Barely a week after a woman chopped off her husband's genitals in Kiawara village, Nyeri County, yet another man in the same county has fallen victim to the barbaric acts of his "loving" wife. Paul Mwangi was early Tuesday allegedly attacked and seriously injured after he accused her of stealing 5,000 shillings from his jacket while he took a bath. Violet Otindo reports on a trend that is now sending shockwaves to men in Nyeri county.


Mnada wa mali za British Council na balozi za Canada, Sweden, Finland


UBALOZI WA CANADA, FINLAND, SWEDEN

&

BRITISH COUNCIL

MNADA WA HADHARA:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Canada, Finland, Sweden & British Council watauza kwa mnada wa hadhara Magari, & Fanicha za Ofisi na nyumbani tarehe 20 June, 2015 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.

MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Dining Table & chairs, Coffee table, Book Shelves, Meza za ofisi/viti, File cabinets, Fridges, Cookers, Washer, Dryer, Computer set, UPS 20KVA, Heavy duty Saver unit, Photocopy m/c, Daikin water chiller 113kw, Ceiling Air condition, A/c split units, Electric controller panel Etc.

MAGARI YATAKAYOUZWA:

Idadi
Aina
Model
Mwaka
Ushuru
1
Toyota L/Cruiser  Hard top
HZ180
2003
Tayari
1
Toyota L/Cruiser Prodo
KZJ95
1999
Bado
2
Toyota Rav4 S/Wagon
ACA21 &  3S-FE
2000/ 1995
Tayari
1
Nissan Patrol S/wagon
TK-520521-5G752
1992
Bado
1
Nissan X-Trail
TANT30
2002
Tayari
1
Subaru Forester
JFISF63
2000
Tayari
2
Isuzu DP/Up double cabin
4JB1 4 wheel Drive
2006
Bado

Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 18 na 19 June, 2015 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MASHARTI YA MNADA:
 1. Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa Gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huu gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
 2. Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
 3. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
 4. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru
Kwa maelezo zaidi waone:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE
NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS
SIMU NA: 0754-284 926, 0757 284 926 Email : [email protected]

DAR ES SALAAM.
Akina Mama Sumbawanga wakiimbia kuisifu CCM na 'kuikandya' upinzani


Statement by Kofi Annan on Pope Francis' call on climate changePRESS RELEASE

Statement by Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel and Kofi Annan Foundation, in support of the encyclical on climate change by His Holiness Pope Francis

GENEVA, Switzerland, June 18, 2015/ Statement by Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel and Kofi Annan Foundation, in support of the encyclical on climate change by His Holiness Pope Francis:
“As Pope Francis reaffirms, climate change is an all-encompassing threat: it is a threat to our security, our health, and our sources of fresh water and food. Such conditions could displace tens of millions of people, dwarfing current migration and fuelling further conflicts. I applaud the Pope for his strong moral and ethical leadership. We need more of such inspired leadership. Will we see it at the climate summit in Paris?”

For further information, please contact:

Max Bankole Jarrett, Deputy Director of the Africa Progress Panel

Office: 0041 22 919 75 31
Mobile: 0041 79 137 1536

[email protected]

[audio] Makongoro amtaja Lowasa asema 'kaka zake' 4 watukutu, hawasikii, wenye vurugu

Prof. Mwandosya ataja vipaumbele 4 vya lazima vinavyompa mwananchi majibuWAZIRI asiye kuwa na wizara maalum Prof Mark Mwandosya ambae ni mmoja kati ya wana chama wa chama cha mapinduzi zaidi ya 35 walijitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwa wagombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM amesema kuwa baada ya mwaka 2005 kushika nafasi ya tatu katika kinyang'anyiro cha Urais ni matumaini yake mwaka huu atafanya vizuri zaidi kwa kushika nafasi ya kwanza kati ya wote waliojitokeza sasa.
"Wewe una mtoto anasoma darasa la tatu mfano na darasa kati ya watoto 90 yeye amekuwa wa tatu ukiwa kama mzazi lazima utampongeza na kumweleza kuwa uongeza jitihada na mtihani ujao baada ya kuongeza jitihada kuwa mwanangu nataka mtihani ujao uwe wa kwanza sawa anakujibu sawa ... sasa mimi mwaka 2005 nilikuwa wa tatu sasa unataka kuniambia nini tena?"
alihoji Prof Mwandosya huku wote wote pamoja na wanahabari wakiangua kicheko .

Akizungumza na wanahabari leo katika ofisi ya CCM wilaya ya Iringa vijijini mara baada ya kudhaminiwa na wanachama 28 wa CCM ,Prof Mwandosya alisema kuwa safari yake ni safari ya uhakika na hivyo iwapo chama chake kitamteua kuwa mgombea watanzania wategemee kuwa na nchi yenye uchumi bora.

Prof Mwandosya ambae aliulizwa na wanahabari hao kuwa anajambo gani jipya la kulifanya ambalo Rais anayemaliza muda wake Dr Jakaya Kikwete hakufanya alisema kuwa si kweli kama serikali ya Dr Kikwete haikufanya lolote japo alisema kiwa awamu ina changamoto zake na kila awamu imefanya mambo makubwa.
"Kusema unalinganisha na serikali iliyopo ni kama vile unataka kusema serikali zilizotangulia hazikufanya lolote ama hazikufikia malengo yaliyotarajiwa ukweli ni vipindi katika uongozi wa nchi ambavyo vinatofautiana mfano miaka iliyopita mimi nikiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi simu hizi za mikononi ambazo matumizi yake ni makubwa hazikuwepo ila sasa kuna simu ambayo ni kamera ,Voice recoda na pia ni kopyuta hiyo hiyo sasa huwezi linganisha miaka hiyo na sasa na huwezi sema serikali iliyopita haikufanya ukweli kila serikali imefanya kulingana na wakati wake."

Alisema kuwa atafanya zaidi ya serikali iliyopita ama chini ya serikali iliyopita bado si jibu la kumsaidia mtanzania kwani alisema katika ilani ya uchaguzi ya mwaka 2005 -2010 ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma haukuwepo na wala haikuwa ni ahadi ya Rais Dr Kikwete ila kutokana na kuna kuna haja ya kuanzisha chuo hicho serikali iliweza kuadhimia na kufanikiwa kuanzisha chuo hicho ambacho ndicho chuo bora nchini na Afrika Mashariki.

Hata hivyo alisema kuwa kwa kuwa kipaumbele chake kikubwa ni kujenga uchumi bora pia ana amini kupitia uchumi bora hakuna jambo litakaloshindikana kwani katika uchumi bora itakuwa ni vigumu kuzungumzia uchumi bora kama miundo mbinu haitaboreshwa wala bila kuwepo kwa kilimo na masoko ama kuwa na masoko bila viwanda au kuzungumzia kukuza uchumi bila kuwa na elimu bora.

Prof Mwandosya alisema kuwa mbali ya kuwa ni waziri ila bado anaishi na jamii na pia anatambua mazuri mengi yaliyofanywa na Rais Dr Kikwete na changamoto zake hivyo akiingia Ikulu lazima yale mazuri yote yaliyofanywa na serikali iliyopita atayaendeleza zaidi ya hapo yalipoachiwa na zile changamoto kuweza kuzitafutia majibu sahihi kwa faida ya jamii ya Kitanzania.

Pia alisema mambo mengi anayatambua vema kwa kuwa yupo jikoni na mengine anayatambua vizuri kutoka kwa jamii ambayo imemlalamikia hivyo jukumu la kuyatekeleza lipo mikononi mwake na kuwataka wananchi hasa wana CCM kuendelea kujenga imani zaidi kwake.
"Lazima kuwa na vipaumbele ambavyo ni majibu ya mwananchi katika kukuza uchumi kwani huwezi chukua elimu ukaacha miundo mbinu kwani miundo mbinu ndio itakuza uchumi na huwezi zungumzia afya bila kuboresha elimu ....ukifanya haya makubwa manne hapo ndipo unageukia upande wa pili.....niseme tu kuwa uchumi unapokuwa lazima unazungumzia takwimu na kuona kipato cha Taifa kinaongezeka."

Waziri Prof Mwandosya alisema kuwa katika utawala wake kama Rais ni kuona anakuza uchumi zaidi kupitia kilimo huku akiamini kuwa asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea zaidi kilimo katika kuendesha maisha yao na kilimo pia kinaweza kukuza uchumi haraka zaidi .

Katika hatua nyingine Prof Mwandosya amewataka wagombea wenzake kuheshimu taratibu za CCM katika mchakato wa kutafuta wadhamini badala ya kugeuza mbio hizo kama sehemu ya kuonyesha umarufu usio na tija na kuwa utaratibu wa CCM ni kupata wadhamini 450 pekee pasipo mbwembwe za aina yoyote pia vigezo vya mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania vipo wazi kuanzia kiwango chake cha elimu na awe na miaka kuanzia 40 kuwataka wote watia nia kujitathimini badala ya kuingiza mchezo katika suala hilo nyeti.

Prof. Mwandosya aliwataka wagombea wenzake ndani ya CCM wasilalamike kwa kukumbushwa ukweli na madudu waliyoyafanya wakati wakiwa serikalini kwani ni vigumu watanzania kusahau maovu ya mgombea yeyote na kuwa anachojivunia yeye katika uongozi wake toka kipindi cha hayati baba wa Taifa hadi sasa hajapata kuwa na sifa mbaya kama baadhi ya wagombea wengine ambao wamechukua fomu ya kuomba kuaminiwa na CCM mbali ya kuwa na sifa mbaya kwa Taifa .

Pia alieleza kusikitishwa na matumizi makubwa ya pesa katika mchakato huu na kuwa anashangazwa kuona wana CCM wakiendelea kuchezea pesa kwa kuandaa mbwembwe nyingi mikoani kwa ajili ya mapokezi yao wakati kila mgombea alipewa taratibu na chama juu ya nini afanye wakati wa kuzunguka kutafuta wadhamini na kuwa pesa zinazotumia zingeweza kusaidia miradi ya kijamii kuliko kuzimwaga kama njugu kwani ni hatari kwa uhai wa chama.


Waziri Prof Mwandosya akitafakari jamboWadhamini wa Prof Mwandosya wakiagana na waziri huyoWaziri Prof Mwandosya na mkewe akishuka katika gari la kukodi leo ofisi za CCM wilaya ya Iringa vijijiniMke wa waziri Prof Mwandosya ,katibu msaidizi wa CCM Iringa vijijini Bw Jackson na waziri Prof Mark Mwandosya wakisikiliza maswali ya wadhamini


Baadhi ya wadhamini wa waziri Prof Mwandosya
Katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Iringa vijijini Bw Hakim Jackson (kushoto) akimkabidhi Prof Mark Mwandosya fomu yenye majina ya wadhamini wake mkoani Iringa


Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Iringa vijijini Shakra Kiwanga akimpongeza Prof Mwandosya
Prof Mwandosya akiwaaga wadhamini wakeProf Mwandosya na mkewe wakiingia katika ndege tayari kwa safari ya kwenda mkoa wa Tabora na KigomaProf Mwadosya akifurahia kupata fomu ya wadhamini wakeWaziri asiye na wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi

 • Tumeshirikishwa picha-taarifa hii na Francis Godwin/Na Matukiodaima Blog 

Kinana afika Nyang'hwale, GeitaKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM Kata ya Bukwimba, wilayani Nyang'hwale, kuanza ziara katika wilaya hiyo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Geita, leo

Rais Dk Shein achukua fomu CCM ya kuomba kuteuliwa kuwania Urais Zanzibar 2015


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa Fomu hizo katiuka Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama wa CCM waliofika Viwanja vya Jengo la Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo wakati alipofika kuchukua fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar akifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein


Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakisherehekea wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokwenda kuchukua fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwanndui Mjini Unguja leo


Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwanndui Mjini Unguja leo


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo alipokuwa akizungumza nao baada ya kuchukua fomi hizo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza naViongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar.

Picha-taarifa: Ikulu, Zanzibar

Buriani Florence Dyauli, Mwanahabari TBC

Mwandishi wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini TBC, Bi. FLORENCE DYAULI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada kwa kuugua.

Florence amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa akitibiwa.

Dyauli alizaliwa tarehe 27.07.1961 na amefariki dunia tarehe 18/06/2015.

Marehemu Dyauli alisoma shule ya msingi Chang'ombe mwaka 1968 hadi 1975. Alipata elimu ya sekondari mwa 1976 hadi 1979 katika shule ya wasichana ya Kisutu jijijini Dar es Salaam. Baadaye alijiunga na Chuo cha Uhazili TABORA na kupata cheti katika fani ya katibu muhtasi mwaka 1980 hadi 1981. Alipata stashahada ya uandishi wa habari mwaka 1988 katika chuo cha Uandishi wa habari cha TSJ cha jijini Dar es Salaam.

Taratibu za mipango ya mazishi zitaendelea kutolewa katika taarifa zijazo.

21 youths to attend 2015 Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders Program in USChief Secretary Ambassador Ombeni Sefue and Charge D'Affaires at the US Embassy in Dar es salaam Ms Virginia Blaser pose with 21 Tanzanian youngsters who fly to the US tonight for a six-week 2015 Mandela Washington Fellowship for Young African leaders Program when they paid him courtesy call the State House in Dar es salaam today June 18, 2015


Chief Secretary Ambassador Ombeni Sefue talks to 21 Tanzanian youngsters who fly to the US tonight for a six-week 2015 Mandela Washington Fellowship for Young African leaders Program when they paid him courtesy call the State House in Dar es salaam today June 18, 2015

Maduka 3 yateketea kwa moto Msasani kwa Mwinyi

Maduka matatu yameteketea kwa moto katika eneo la Msasani kwa Mwinyi jijini Dar es Salaam na kusababisha mshutuko mkubwa na taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo baada ya kusikika kwa milipuko ya gesi hali iliyowalazimu wasamaria wema kuamsha majirani na wenye nyumba kwa kurusha mawe makubwa juu ya mabati ili kuokoa maisha yao.Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 18, 2015

Taarifa ya Habari ya asubuhi Channel TEN Juni 18, 2015


Taarifa nzima ya Habari Channel TEN ya Juni 17, 2015