Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Juni 20, 2015
Job opportunities for Data Clerk (4 Posts) at Muhimbili Wellcome Programme

New Born Screening

Overall Purpose of the Job: The Data clerk is responsible for accurate input of gathered data into the set database

Minimum requirements of the job
 • A prospective candidate for the post should possess a minimum Diploma of Secretarial Work OR Proven 5 Years’ experience as a Data Entry Clerk in a research environment 
 • A Diploma in Information Technology, Computer Science, or equivalent from a recognized institution OR Bachelors of Sociology would be an added advantage.
 • Minimum typing speed of 35wppm.
Deadline: 29th June 2015.

Invitation for admission into MPH evening course at CUHAS, Bugando


Job opportunity at CUHAS, Bugando for an Estate Officer

Source: www.bugando.ac.tz

Job opportunity at TPB for Credit Officer (Group Lending)

Tanzania Postal Bank is an established Bank by the Act No. 11 of 1991 as amended by Act No. 11 of 1992. TPB is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products.

TPB is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient financial services”. As part of effective organizational development and management of its human capital in an effective way, TPB commits itself towards attaining, retaining and developing the highly capable and qualified workforce for TPB betterment and the Nation at large.

CREDIT OFFICER (GROUP LENDING) – SONGEA (1 POSITION)

Tanzania Postal Bank (TPB) seeks to appoint dedicated, self-motivated and highly organized Credit Officers – Group Lending (1 position) to join the Retail and Business Banking team. The work station is Songea.

Reporting Line: Branch Manager (BM) or Branch Operations Manager (BOM)
Locations: Songea 
Work Schedule: As per TPB Staff regulations
Division: Branches
Salary: Commensurate to the Job Advertised

1.0 Essential Duties and R esponsibilities: 

i. Achieve and maintain the following monthly performance targets:
At least 340 active clients;
A portfolio outstanding of at least TZS. 100 million.
A portfolio at Risk (PAR) above one day rate not exceeding 2% at all times.

ii Participate in the recovery of written off loans in accordance with TPB’s loan recovery guidelines.

iii Active mobilization, sensitization, formation and recruitment of economically active members into the groups as well as promoting a saving culture and savings mobilization in the groups.

iv Ensure timely loan repayments and security deposit collections in all groups.

v Ensure that all clients’ loan repayments are accurately posted in the loan tracking system.

vi Ensure weekly/biweekly/monthly attendance of meetings by all group members through training and maintenance of attendance registers.

vii Ensure accurate and timely filing of all Group Loan documentation.

viii Ensure effective monitoring of loans through regular visits to clients and manage delinquency alarm signals by following up on problem clients.

ix Generate and instill solidarity group pressure in each group as the basis of Co-guarantor ship. 

x. Liaise with the Credit Supervisor to ensure speedy payment of claims in event of death calamities.

xi. Ensure that all the loan repayment collections are deposited to TPB’s bank account by the group officials within 12 hours.

xii. Ensure that all groups are constantly full through continuous mobilization and timely replacement of exited clients.

xiii. Cross sell other TPB’s products and services.

xiv. Attend any other duties as may be assigned by the Credit Supervisor.

2.0 KEY DUTIES:

To serve customer effectively
Posting transactions
Coordinate all counter activities while ensuring that quality service is provided to customers

3.0 CONTRIBUTES TO

Customer – Service Delivery/Inquiries

Efficient and Quality Service to Customers

4.0 KEY PERFORMANCE INDICATORS

Customer Satisfaction
Individual Productivity and Turnaround time
Minimum Cash Differences
Accuracy of Transactions Postings

5.0 EXPERIENCE AND KNOWLEDGE REQUIRED:

Education:

Bachelor’s degree/Advanced Diploma in Banking, Economics, Commerce, Business Administration, Finance, Accounting from any recognized University or equivalent qualification.

Experience:

- At least 1 - 3 years of relevant Banking Experience
- Working knowledge of Equinox Functionality
- Computer literate is desirable.

Performance Measures

(i) Ensure quality services to customers

(ii) Collection of all commissions, fees and charges at 100%

(iii) Increase of transactions and Deposit values as per strategic plan

(iv) Daily Days work balanced, verified and signed

(v) Ensure adherence to TPB core values

(vi) Reconcile all accounts and prepare required reports

(vii) Compliance with service delivery standards

The position will attract a competitive salary package, which include benefits. Applicants are invited to submit their resume (indicating the position title in the subject heading) via e-mail to:
[email protected] Applications via other methods will not be considered.

Applicants need to submit only the Curriculum Vitae (CV) and the letter of applications starting the job advertised and the location. Other credentials will have to be submitted during the interview for authentic check and other administrative measures and should not in any way be attached during application.

Tanzania Postal Bank is an Equal Opportunity Employer and is very committed to environmental, health and safety Management.

Tanzania Postal Bank has a strong commitment to environmental, health and safety management.

Late applications will not be considered. Short listed candidates may be subjected to any of the following: a security clearance; a competency assessment; physical capability assessment and reference checking.

Please forward your applications before 2nd July, 2015

[video] Lissu mwezi Machi alionya Bungeni kuhusu Jaji Ramadhani kuwania Urais

Jaji Augustino Ramadhani baada ya kupokea mkoba tarehe 17 Juni 2015

Inaelezwa kuwa ile kauli kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga katiba ya nchi kwa kuteua makada wake kutumikia serikali kinyume na Katiba ya nchi imetimia.

Katika Bunge la 10, Mkutano wa 19 kikao cha nane kilichofanyika Machi mwaka huu, Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu alililalamikia bunge kuwa, serikali imekuwa ikishindwa kutenganisha utumishi wa umma na utumishi wa chama kwa kuteua makada wake kutumikia serikali na CCM kwa wakati mmoja.

Tayari baadhi ya watumishi wa umma walikuwa wakibanwa na Katiba kutokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa, wamejitokeza na kudai ni wanachama halali wa chama cha siasa akiwemo aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani.

Ifuatayo ni video na chini yani ni ni maneno ya Lissu aliyoyatamka katika Bunge la 10, Mkutano wa 19 kikao cha nane kilichofanyika Machi mwaka huu;-
Mheshimiwa Mwenyekiti; Serikali hii ya CCM inaweza ikawa inaandaa mazingira ya kisheria ya kuwa na au kuingiza au kuhalalisha uwepo wa makada wa CCM katika taasisi ya Dola, zinazokataza uanachama wa vyama vya siasa, sio hofu au dhana njama (conspiracy theory) isiyokuwa na msingi wowote.

Itakumbukwa kwamba, mwaka 2012 Kambi Rasmi ya Upinzani ya Bunge (KRUB) lako tukufu ilihoji uhalali wa wanajeshi kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.

Kambi rasmi ya upinzani ilisema yafuatayo, naomba kunukuu:-

“Wakuu wa Wilaya na Mkoa wote ni wanachama wa CCM, hii ni kwasababu tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 wakuu wa wilaya wamekuwa wajumbe wa vikao vyote vikuu vya CCM katika ngazi ya wilaya.

Kwa mfano kwa mujibu wa Katiba ya CCM toleo la 1982, Mkuu wa Wilaya ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya, ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya na ni Mjumbe wa Halmashauri ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya.

Hata baada ya miaka 30 tangia toleo hilo la kikatiba, kutolewa na licha ya miaka 20 ya vyama vingi vya siasa nchini hali ipo vilevile kuhusiana na nafasi ya wakuu wa wilaya kwenye vikao vya CCM.

Ndio maana kwa mujibu wa toleo la Katiba ya CCM la mwaka 2010, Mkuu wa Wilaya ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya, ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya na ni Mjumbe wa Halmashauri ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya.

Naomba nirudie mheshimiwa mwenyekiti, kuwa Wakuu wa Wilaya ni mawakala wa utumishi wa umma kwa mujibu wa mkataba tunaoombwa kuuridhia leo.

Mheshimiwa mwenyekiti, licha ya utata wa kikatiba unaoruhusu wanajeshi kuwa wakuu wa wilaya na mikoa na hivyo kulazimika kuwa wanachama wa CCM na washiriki wa vikao vyake mbalimbali vya maamuzi serikali hii ya CCM imeendelea kuwachagua wanajeshi kwenye nafasi hizo kama uteuzi wa hivi karibuni wa Zelote Stephen ambaye miaka michache iliyopita alikuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa, kuwa Mkuu wa Wilaya.

Aidha sasa kuna hofu ya msingi kwamba, hata majaji wetu wakuu wanaweza wasiwe salama sana. Kama taarifa za hivi karibuni za vyombo vya habari vilivyomuhusisha aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani na mbio za kuwania urais kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu baadae mwaka huu zitakuwa za kweli.

Kwa niaba ya kambi ya upinzani ya Bunge la lako tukufu kwa masharti ya ibara ya 3 sura ya 4 ya mkataba huu. Itakuwa ni halali sasa kwa mawakala hawa wa utumishi wa umma kuwa wanachama wa CCM, licha ya marufuku zilizoko kwenye ibara za 74, 14, 113a na 147 (3) za katiba.

Kwa sababu hiyo kambi rasmi ya upinzani ya Bunge lako tukufu , inamuomba mtoa hoja kutoa ufafanuzi juu ya mgongano huu wa wazi kati ya matakwa ya mkataba tunaoombwa kuuridhia na masharti tajwa ya Katiba yetu.

Canon Collins or Graça Machel Scholarships for PG Study in South Africa

Canon Collins Trust seeks to support exceptional individuals who are committed to social justice in Southern Africa and for whom a postgraduate qualification is an essential tool in working to create an open and just society.

In early 2015 the Trust revised its South African scholarship awards policy. For the next 3 years we will be offering scholarships only to those studying in three areas:

 1. Justice, which includes Law, Economics, Politics and the Environment
 2. Education policy and practice
 3. Humanities, which includes Literature, History, Anthropology and the Arts

Applications for courses that are not within these areas (for example MBAs, medical sciences, sports sciences, applied sciences) will be rejected.

Are you eligible?
 • In addition, to be considered for a scholarship under this programme you must:
 • be a national of, or have refugee status in, one of the following countries:Angola, Botswana, Lesotho, Malawi, Mozambique, Namibia, South Africa, Swaziland, Zambia, Zimbabwe
 • be normally resident in one of the above countries
 • be in possession of a good first degree (minimum second class, upper division or equivalent) or about to graduate in the year of application
 • be studying or applying to study at a South African university

Please read the guidelines carefully for further information.

The eligibility criteria for Graça Machel Scholarships are slightly different.Please click here for details. The subject limitations are the same.

Click here to apply for the Canon Collins or Graça Machel Scholarships for Postgraduate Study in South Africa. Deadline at 15:00 GMT on Mon, 27 July 2015

Taarifa ya mkutano wa wananchi na wadau wa maendeleo Kigamboni


Taarifa: Ardhi ya uwekezaji kwa ajili ya Watanzania waishio Marekani


The parent I aspire to be - Leo Babauta


It’s nearly Father’s Day, and that always causes me to reflect on what kind of father I am. I think I’m pretty decent, though I’m not where I’d like to be.

The good things I do: I try to inspire my kids, I do projects with them like programming and chess and website building, I read to the younger ones, I do outdoor things with them, I teach them about responsibility and compassion, I try to set a good example for them.

But there’s always more I can do, always. Actually, it’s not that I can do more, it’s that I can be with them in a different way.

This is the father I aspire to be:

I want to drop my expectations of them, and be more accepting of who they already are.

I want to be less controlling, and let them be.

I want to be less strict, and just be with them.

I want my actions around them to be less driven by fears, and to let them make more mistakes and have more freedom.

I want to be less focused on their future selves, and more grateful for their present selves.

I want to be the example for them: to be happy, inspired, mindful, peaceful, loving, accepting, grateful.

In the end, I will never be the perfect parent. I aspire to be better, but I will never reach that ideal state. I still think the aspiration is a worthy activity, if only because it causes me to reflect on my actions and see if they’re aligned with my best values.

In the end, it won’t matter if I’m perfect as a dad. It will only matter if I am there for them, and if I love them, which I do with all of the depths of my heart.

By Leo Babauta

Hi, we’re the Babauta family (with some Cruzes as well): Leo, Eva, Chloe, Justin, Rain,Maia, Seth, and Noelle.

Unguja yafunga kamera za kiusalama za kurekodi matukio ya kila siku

Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla akionyesha picha mbali mbali zinazonaswa na kurikodiwa katika maeneo mbali mbali ya Mji Mkongwe

Picha na – OMPR – ZNZ

Zanzibar inatarajia kuimarika zaidi kiulinzi na kiusalama sambamba na kuongeza mapato yake kupitia sekta ya utalii baada ya kukamilika kwa mradi muhimu wa Kamera za kurikodi matukio mbali mbali ya kila siku {CCTV CAMERA} zinazofungwa katika eneo la Mji Mkongwe wa Zanzibar.

Mradi huo muhimu wa Camera uliofadhiliwa na Kampuni ya Kimataifa ya Mtandao wa Mawasiliano ya Kisasa ya ZTE yenye Makao Makuu yake Nchini Jamuhuri ya Watu wa China umekuja Zanzibar kufuatia ziara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyoifanya Nchini China mwisho mwa mwaka uliopita.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipata fursa ya kukagua Kituo cha mradi huo {Commanding Post} kiliopo Malindi Mjini Zanzibar na kujionea Teknolojia mpya itakayotumika katika kuziongoza Kamera hizo.

Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla alimueleza Balozi Seif kwamba mradi huo unatarajiwa kuwa na Carema 300 lakini zitakazofungwa kwa sasa ni Kamera 150 ambapo hadi sasa Kumi tayari zimeshafungwa.

Nd. Jabir alisema Kituo hicho kitakachokuwa chini ya uangalizi wa Idara zote za ulinzi Nchini likiwemo Jeshi la Polisi, usalama wa Taifa, KMKM hivi sasa tayari kina uwezo kamili wa kurikodi matukio mbali mbali yanayotokea katika eneo la Mji Mkongwe.

Katibu huyo wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa mradi huo alieleza kwamba Kamera za mradi huo zenye uwezo wa kuvuta tukio kwa zaidi ya mita 150 zitasaidia kurikodi matukio mbali mbali kama ujambazi, makosa ya bara barani yanayofanywa na madereva wazembe pamoja na kuongoza misafara ya viongozi wakuu.

Alifahamisha kwamba katika kuimarisha hali ya usalama ndani ya Mji wa Zanzibar upo mradi mwengine unaotarajiwa kusimamiwa na Kampuni ya Zest utakaohusisha maeneo ya Bakhresa, Mlandege pamoja na Majengo ya Nyumba za Maendeleo Michenzani.

“Kamera hizi zenye uwezo wa kuzunguuka pembe zote {360%} zina uwezo wa kuvuta tukio lolote kwa zaidi ya Mita 150 na kuwa na vigezo vya kuufanya mji salama“. Alifafanua Katibu huyo wa Kamati ya Wataalamu ya Usimamizi wa CCTV.

Akitoa shukrani zake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliipongeza Kampuni ya ZTE kwa jitihada ilizochukuwa za kutekeleza kwa vitendo ahadi iliyompa kuanzisha mradi huo wakati wa ziara yake Nchini China.

Balozi Seif alisema Serikali ilipaswa kuwa na mradi huu muhimu kwa muda mrefu uliopita hasa ikilinganishwa na matukio mbali mbali yaliyowahi kutokea hapa nchini likiwemo la hujuma dhidi ya wageni wanaotembelea katika maeneo ya Utalii.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alielezea matumaini yake kwamba mradi huo kwa kiasi kikubwa utakapokamilika utasaidia kupunguza matukio tofauti ya uhalifu, ujambazi pamoja na ajali za kizembe zinazotokea bada barani.

Mradi wa Kamera za kurikodi matukio mbali mbali ya kila siku {CCTV CAMERA} ndani ya Mji wa Zanzibar umeripotiwa kuwa wa mwanzo kuwekwa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Wataalamu ya usimamizi wa Mradi wa CCTV Camera Nd. Jabir Haji Abdulla juu ya mfumo wa utendaji kazi wa mradi wa Camera za kurikodi matukio mbali mbali ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar. Kulia ya Balozi Sei ni Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Bwana Xie Yun Liang.

Mounekano wa Picha tofauti zinazochukuliwa na kunaswa katika kituo cha kuongozea Camera za CCTV Malindi Mjini Zanzibar

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti CCM Kigamboni aenda zake CHADEMA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la Kigamboni Wilaya ya Mafia, Mohamed Makungu ambaye amekiama chama chake na kujiunga na CHADEMA. Hafla hiyo ilifanyika katika Ofisi za Kanda ya Pwani jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti Bodi ya Wadhamini wa chama hicho, Arcado Ntagazwa. (picha: Francis Dande)

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mafia, Mohammed Makungu Suleiman amekihama chama hicho. Amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Suleiman, kada wa CCM tangu mwaka 1989 na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM ngazi ya tawi, leo ameikabithi rasmi Chadema kadi yake ya uanachama wa CCM na kukabidhiwa kadi mpya ya Chadema na Mabere Marando, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho.

Tukio la kumkabidhi Suleiman kadi ya uanachama wa Chadema, limefanyika ndani ya ofisi za Chadema jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari na baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho.

Suleiman alishika nafasi ya uwenyekiti huo kwa miaka 10 tangu mwaka 2004 katika tawi la Kilindoni Mjini, kata ya Kilindoni Mjini, wilaya ya Mafia, mkoa wa Pwani.

Akieleza sababu ya kuondoka CCM Suleiman amesema, “Kuondoka kwangu ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema, kumetokana na kuvutiwa na msimamo wa chama hiki katika kutetea wanyonge, kusimamia rasimali za taifa na kupigania ujio wa Katiba Mpya.”

Aidha, amesema amevutiwa na ziara za viongozi wakuu wa Chadema katika Kisiwa cha Mafia, akiwamo Mabere Marando, Tundu Lissu, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu na Halima Mdee.
“Katika ziara hizo ambazo zilikwenda pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara, viongozi hawa walibainisha mapungufu kadhaa yaliyopo ndani ya serikali na kuonyesha jinsi gani chama kilichoko madarakani hakiwezi kutatua matatizo hayo kwa kuwa ni sehemu ya kile kilichoelezwa,” 
Suleiman amefafanua.

Akitoa mfano wa mapungufu hayo amesema, “Viongozi hawa wameeleza jinsi mabilioni ya shilingi yalivyotumika kwa ujenzi wa gati, ambalo halitumiki kutokana na kukosa ubora. Badala ya kujenga gati, serikali imejenga daraja na kuliita gati.”

Pia, amesema viongozi hao walieleza jinsi serikali ilivyotoa fedha kwa ajili ya kulipa fidia kwa watu wanaokatiwa minazi yao kupitisha umeme, lakini fedha hizo zimetafanwa na wajanja wachache serikalini na kuacha wananchi wa Mafia kuwa masikini.
“Baada ya kutathimini hayo, dhamira yangu imenisuta kuendelea kuwa sehemu ya udhalimu huu dhidi ya wananchi wa Mafia….
“Hivyo basi, sasa nimedhamiria kwa dhati, kutumia nguvu zilezile, kukiondoa CCM madarakani kupitia Chadema na washirika wake katika UKAWA,” 
amesisitiza Suleiman. 

 • Taarifa ya maandishi via MwanaHALISI Online

[video] Hassanali arudisha fomu CHADEMA na kutaja sababu za kutaka Ubunge Ilala

Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Muslim Hassanali akirudisha fomu kwa Mratibu wa Kanda ya Pwani, Casimir Juma Mabina za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mabere Marando. (Picha: Francis Dande)

Video ifuatayo kutoka MCL anazungumzia sababu za kumpa upinzani mbunge wa sasa wa Ilala, Azzan Zungu (CCM)...


MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Haiderally Hassanali (32), amerejesha fomu na kutangaza nia yake ya kumng’oa Mbunge wa Ilala, Azani Zungu, katika Jimbo la Ilala.

Muslim amekabidhi fomu hiyo kwa Casimir Juma Mabina, mratibu wa chama hicho, Kanda ya Pwani.

Akizungumza baada ya kukabidhi fomu zake, Muslim amesema, “Nimeamua kugombea jimbo la Ilala kwa sababu, kwa zaidi ya miaka 10 sasa, limeshindwa kupata mwakilishi sahihi.”

Amesema, “Kama kupigika watu ni Dar es Salaam jimbo la Ilala. Kama ni kuwakimbiza watu ni Dar es Salaam jimbo la Ilala. Kama ni shida za foleni zinaanzia jimbo la Ilala, kama ni shida za afya ni Ilala. Nimekulia Ilala, nimesomea Ilala na naifahamu vizuri Ilala ndio maana nagombea Ilala,” ameeleza Muslim.

Aidha, Muslim amesema anafahamu kuna utaratibu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Lakini ameona atangaze nia kupitia chama chake cha Chadema na indapo maamuzi ya Ukawa hayatampitisha kuwania jimbo hilo atakuwa tayari kuheshimu maamuzi hayo na kumuunga mkono mgombe atakayeteuliwa.
“Enzi za kuibudu, kuigopa CCM imeisha, Nitafarijika UKAWA ikinipitisha. Watu wangu wa Ilala waniunge mkono. Zungu ameiongoza Ilala kwa miaka 10, kwa jinsi alivyoongoza watu wanajua, kama ameshidwa kuwatetea wanajua. Hivyo watupishe sisi chadema ili tulete maendeleo….
“Hatuwezi kutegemea CCM kuwa na wapiganaji bora kuliko chadema na Ukawa . CCM ni taasisi ambayo imejaa vituko ndani yake. Kuna kila uozo kama ni rushwa wanaongoza ni wao. Wamejitokeza zaidi ya watu 35 kugombea nafasi ya urasi. Ni watu wa kambi fulani wanafanya maigizo,” 
amesisitiza Muslim.

Naye Mwenyekiti wa kanda hiyo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema Mabere Marando amesema 
“Sisi tunaamini katika jimbo la Ilala tuna mgombea bora. ndio maana mimi kama Mwenyekiti wa kanda hii nimemuomba na kumhimiza ndugu yangu Muslim ajitokeze kugombea. Tunaamini kabisa wenzetu wa ukawa watatuunga mkono tutapata ushindi.”

Muslim alizaliwa 29 Septemba 1983. Alijiunga rasmi na Chadema mwaka 2002. Ameo mke mmoja. Aliwahi kugombea jimbo la Kigoma Kusini na kuweka rekodi ya kuwa mgombea mdogo katika Uchaguzi mkuu mwaka 2005.

Mbali na Muslim, Wanachama wengine wa chama hicho Raphael Machinda (kata ya Mchikichini) na Mashiku Chokola (kata ya Kivukoni) wamerejesha fomu wakiwania udiwani katika kata hizo.

 • Taarifa ya maandishi via MwanaHALISI Online

Woman from Dar es Salaam arrested in Mumbai with 74 kgs of drugs

Officials intercepted the passenger Chambo Fatma Basil, who travelled from Dar es Salaam to Mumbai via Doha using Qatar Airways.

In the biggest drug bust at the Mumbai airport, Customs officials seize 74 kgs of drug Methaqualone from a woman passenger on Wednesday morning. The drugs worth Rs 7.4 crores were retrieved from three checked-in bags. Officials from the Air Intelligence Unit intercepted passenger Chambo Fatma Basil, who travelled from Dar es Salaam to Mumbai via Doha using Qatar Airways.
“This is one of the biggest seizures we have had till date. The bags were so heavy because of the drugs that the woman paid Rs 1 lakh for excess luggage. She claimed it was her first time as a drug mule as she was not aware of the contents as the bag was given to her by her cousin,” 
said Milind Lanjewar, additional commission of Customs, Mumbai airport. 

The passenger has been arrested under the Narcotic Drugs And Psychotropic Substances Act, 1985, Act and will be produced before the court by evening, said officials. Major drug busts at the airport this year involved women, said Customs officials.

News source/Read more: indianexpress.com

Here are the most a Travel destinations in the US


SmartAsset looked at data on airfare, hotel rates, car rentals and dining in 36 of the country's largest and most exciting cities to find the most affordable travel destinations in the U.S. (read more about our methodology below). 

Key Findings
 • Go West. Five of the ten cheapest places to travel to in our analysis are located in the west. Las Vegas ranked first overall and the top ten also included Albuquerque, Salt Lake City, Denver and Phoenix.
 • The Sunshine State also rated well. Four of the top ten cities were located in Florida, led by Orlando.
 • Avoid the Northeast. New York, Boston, Philadelphia and Washington, D.C. are alive with history, offer great dining and have rich culture--but they aren't cheap travel destinations. They each rated in the bottom 11 of our study, with NYC coming in dead last.


Rekebisho katika matumizi mabaya ya neno "kufuatia"

Kwa mfano imeandikwa: “Watu wawili walikufa mkoani katika matukio mawili tofauti kufuatia kunywa pombe haramu ya gongo.” 

Kosa ambalo linajitokeza sana na limeshaingia katika fikra za waandishi wengi ni ‘kufuatia’. 

Neno ‘kufuatia’ ni utohozi wa neno kufuata. Maana ya kufuata ni kwenda nyuma, kuandamana, ambatana, n.k. Tunasema kufuata nyayo, kuifuata sheria. Kwa hiyo kufuatia ni kwenda nyuma ya mtu au kitu. Kwa hyo siyo sahihi kusema matukio yalifuatia kunywa pombe. Badala yake tunasema ‘kutokana na kunywa pombe.’

Soma makala nzima ya Stephen Maina"Jifunze kiswahili uwafunze na wengine" katika gazeti la MWANANCHI

Some 'blacks' are fatigued after barrage of racial incidents

WASHINGTON (AP) -- The weariness, the rage, the depressing conviction that black life is stuck in a murderous loop fueled by racism - these emotions resounded in black America after the deadly shootings at the Emanuel African Methodist Episcopal Church in Charleston, South Carolina.

Nine people who had gathered to pray in one of the main sanctuaries of black life - the church - were slain.

This, following a string of black men killed after coming into contact with police officers in cities across America and racist actions on campuses. Even though African-Americans are long accustomed to dealing with difficulty where their race is concerned, the confluence of events appeared to be taking a toll.

"We really are a people who are suffering from racial battle fatigue," political essayist and commentator Chauncey DeVega said Thursday.

Authorities say Dylann Storm Roof sat with members of Emanuel for an hour during Bible study Wednesday night before gunning them down. The Charleston police chief wouldn't discuss a motive, but a friend of the 21-year-old white man told The Associated Press that Roof had complained about black people "taking over the world."

Attorney General Loretta Lynch, the first black woman to serve as the nation's top prosecutor, opened a hate crimes investigation.

The Rev. Anthony Evans of the National Black Church Initiative said he planned to travel to Charleston to help churches learn to defend themselves. He said the attack evoked "a point of deep moral frustration that cannot be explained."

"At the same time, they want individuals such as myself as clergy to preach peace and coming together," he said. "They only want us to not let the people get out of hand, and I'm not willing to stand in front of that angry crowd anymore and tell them that their anger is the wrong emotion to feel."

President Barack Obama, too, sounded weary.

"I've had to make statements like this too many times," the nation's first black president said Thursday. "Communities like this have had to endure tragedies like this too many times."

The Charleston slayings followed nearly a year of heightened racial tensions that began with the death of Michael Brown, 18, who was killed by a white police officer in Ferguson, Missouri. It flared up in Baltimore after the death of Freddie Gray, in Cleveland after the death of Tamir Rice, in Staten Island, New York, after the death of Eric Garner.

Threats came, too, on U.S. campuses. At Duke University, a noose was found hanging from a tree. Spray-painted swastikas and nooses were found at dorms on the State University of New York's Purchase campus. Just Thursday, a man pleaded guilty in federal court to threatening African-American students and employees at the University of Mississippi by helping place a rope around the neck of the statue of James Meredith, the school's first African-American student.

Those events unfolded against a backdrop of above-average black unemployment, crime-stricken communities, criticism of the state of the black family, black culture and education, and even debate over the meaning of blackness itself. In the days before the Charleston shooting, the nation had been riveted by the saga of Rachel Dolezal, who resigned as head of the NAACP's Spokane, Washington, chapter after her parents outed her as a white woman pretending to be black.

To Marc Morial, the president of the National Urban League, the Charleston attack serves as yet another reminder that there's "racial tension, racial conflict and, in some places, racial hatred in this nation."

"It just underscores the fact that we have a lot of work to do," Morial said.

---

Jesse J. Holland covers race, ethnicity and demographics for The Associated Press. Follow him on Twitter at http://www.twitter.com/jessejholland .

© 2015 The Associated Press.

Zidane aomba arejeshewe jezi yake ya ushindi ya mwaka 1998

Zinedine Zidane akiwa ametiliza vazi lenye nembo ya Adidas Accelerator wakati Ufaransa iliposhinda kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia la Soka mwaka 1998. (Getty Images)

Nyota na shujaa wa kombe la dunia la FIFA mwaka 1998, Zinedine Zidane huenda anataraji kurejeshewa jezi yake la mwaka 1998.

Julai 12 mwaka 1998 Ufaransa, timu ya kabumbu ya Ufaransa iliwafurahisha mashabiki wake kwa kuichabanga mabao matatu kwa nunge timu ya Brazil na kuchukuwa kombe la dunia mwaka huo.

Mabao mawili yaliosawazishwa na Zinedine Zidane katika kipindi cha kwanzo, na bao la 3yalipelekea ushindi wa timu hiyo jambo ambalo lilisababisha nyota huyo kukumbwa na furaha isiokuwa na kifani na kuwarushia mashabiki wake jezi yake maarufu namba 10 mgongoni.

Miaka 17 baada ya tukio hilo, Zinedine Zidane alifahamisha katika kituo cha habari cha RTLJumapili kuwa anasikitika kuwarushia mashabiki wake jezi hilo.

Ikiwa shabiki wa Ufaransa aliebahatika kupokea jezi hilo atasikia wito huo, je? Atarejesha jezi hilo kwa Zidane?

Rais Kikwete atalihutubia Bunge Julai 9, 2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa India Mheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya Rais kikwete kuwasili katika Ikulu ya India kwa mapokezi rasmi, Ijumaa 19, 2015. (picha: Freddy Maro).

Rais Jakaya Kikwete atalihutubia Bunge la 10 mjini Dodoma kati ya Julai 9 au 10 kulingana na ratiba yake.

Bunge hili litakuwa la mwisho kwa Awamu ya Nne ya uongozi wake kabla ya kuvunjwa rasmi katika tarehe itakayopangwa.

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma na Ushirikiano wa Kimataifa ya Bunge, Jossey Mwakasyuka alisema hayo mjini hapa jana alipozungumza na Mwananchi.

Mwakasyuka alisema sasa Bunge linaendelea na maandalizi ya ujio wa Rais Kikwete. 
“Rais atalihutubia Bunge kulingana na ratiba yake, lakini sisi tumeanza maandalizi ya shughuli hiyo,” 
alisema Mwakasyuka.

Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge Ibara ya 30 (i), Rais anaweza kuhutubia siku yoyote wakati Bunge linapokutana. Hata hivyo, alisema Rais hatavunja Bunge kwa sababu litavunjwa kwa Tangazo la Serikali (GN). 
“Imekuwa ni utamaduni Rais anapomaliza kipindi chake cha uongozi anakuja kulihutubia Bunge, pengine safari hii anakuja kueleza mambo yaliyofanywa na Serikali yake,”
alisema.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama alisema: 
“Suala hilo liko ofisi ya Spika na kamati yake ya uongozi ndiyo watakuwa na ratiba yote.”

Alipotafutwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila kuzungumzia zaidi suala hilo hakupatikana.

Pia kama ilivyokuwa kwa Bunge la tisa, wabunge watatunukiwa vyeti kutambua utumishi wao walioutumikia katika Bunge la 10.

Rais alilihutubia Bunge hilo la 10 kwa mara ya kwanza Novemba 18, 2010 ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kuapishwa kushika madaraka hayo kwa kipindi cha pili.

Tangazo la ajira Zimamoto kwa nafasi 200 za Sajini na 803 za Konstebo

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

TANGAZO LA AJIRA

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania linatangaza nafasi za Ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa vijana waliosomea ujuzi/fani, cheti na stashahada toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014 waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Waombaji wa kazi watume barua za maombi kabla ya tarehe 30 Juni, 2015 kwa anuani ifuatayo:

Kamishna Jenerali,
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
S.L.P 5821,
DAR ES SALAAM.

1. SAJINI WA ZIMAMOTO NA UOKOAJI (SERGEANT OF FIRE AND RESCUE) – Nafasi 200.

Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha sita kati ya mwaka 2013 hadi 2014.
Mwenye Stashahada ya Habari na Mawasiliano, Utunzaji wa Kumbukumbu, Ugavi na Ununuzi, Katibu Muhtasi,Uhasibu na Uuguzi; au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I katika moja ya fani ya Umakenika, Ufundi Bomba, Ufundi Umeme wa Majengo,Ufundi Umeme wa Magari, Wachora Ramani, Fundi Rangi wa Magari, Uchomeleaji, Ufundi Uashi, Gym, Ufundi Mitambo, Kada za Afyana Ufundi Seremala.

2. KONSTEBO WA ZIMAMOTO NA UOKOAJI (FIRE CONSTABLE) – Nafasi 803.

Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014. Mwenye cheti katika fani yaHabari na Mawasiliano, Utunzaji wa Kumbukumbu, Zimamoto na Uokoaji, Ugavi na Ununuzi, Katibu Muhtasi, Uhasibu na Uuguzi; au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I katika moja ya fani ya Umakenika, Ufundi Bomba, Ufundi Umeme wa Majengo, Ufundi Umeme wa Magari, Wachora Ramani, Uchomeleaji, Ufundi Uashi, Gym, Ufundi Mitambo, Kada za Afya, na Ufundi Seremala.

MASHARTI MUHIMU KWA MWOMBAJI:

 • Mwombaji ni lazima awe amepitia na kuhitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kati ya mwaka 2012 – 2015.
 • Waombaji wote wawe wamehitimu kidato cha sita na nne kati ya mwaka 2013 hadi 2014.
 • Mwombaji ambatanishe vivuli vya vyeti vyote yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya sekondari, cheti/vyeti vya taaluma na cheti cha kumaliza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), (CV) ikiwa na majina ya wadhamini watatu na anwani zao na picha mbili ndogoza (passpot size), hati ya kiapo haitakubaliwa.
 • Mwombaji aandike kazi aliyoomba juu ya bahasha.

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Mwombaji awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25, mwenye afya njema na ambaye hajaoa au kuolewa.
 • Mwombaji asiwe na kumbukumbu za kutenda uhalifu.
 • Mwombaji awe na urefu usiopungua sentimenta 155.
 • Mwombaji awe hajawahi kuajiriwa na Idara nyingine Serikalini.
 • Barua zote za maombi zitumwe kwa njia ya Posta.
 • Mwombaji awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
 • Mwombaji awe tayari kufanya kazi mahali popote atakapopangiwa ndani ya Nchi.

Imetolewa na
Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji (T)
DAR ES SALAAM.

Mbowe athibitisha kugombea Ubunge Hai 2015; Awapa gari la kuzolea takaSiku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza kuwania tena ubunge katika jimbo hilo.

Mbowe aliyeepuka kwenda jela kwa kulipa faini hiyo juzi, alitangaza uamuzi huo jana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika eneo la stendi ya zamani mji mdogo wa Bomang’ombe, Kilimanjaro.

Mwenyekiti huyo alifikia hatua hiyo baada ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo kumshinikiza agombee ubunge na kumchangia Sh800,000 za kuchukua fomu ambayo ndani ya Chadema hugharimu Sh250,000.

“Nashukuru kwa walioanzisha wazo hili lakini zaidi ninawashukuru waliojitolea kunichangia fedha. Nimekubali nitagombea ubunge katika uchaguzi ujao,” alitangaza Mbowe na kufanya uwanja kulipuka kwa shangwe.

Mbowe aliyeambata na wabunge kadhaa akiwamo Philemon Ndesamburo wa Moshi Mjini, alijinasibu kuibuka na ushindi wa kishindo yeye na chama chake katika uchaguzi ujao kuanzia jimbo la Hai na katika majimbo yote ya Mkoa wa Kilimanjaro.

“Kama sheria ingekuwa inaruhusu ningefurahi iwapo CCM ingesimamisha wagombea zaidi ya 10 katika Jimbo la Hai ili wapambane na mimi kwa sababu mgombea mmoja pekee siyo saizi yangu,” alijinasibu Mbowe.

Hukumu dhidi yake

Akizungumzia hukumu iliyomtia hatiani na kuhukumiwa faini au kifungo, Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni alisema alikusudia kwenda jela kuwakilisha mamilioni ya Watanzania wanaosota huko “kwa kesi na hukumu za kipuuzi”.
“Kama kesi ya mtu mwenye dhamana ya uwakilishi wa wananchi kwa nafasi ya ubunge inaweza kuendeshwa kwa zaidi ya miaka minne na hukumu kutolewa katika mazingira tatanishi kama ilivyokuwa kwangu, Watanzania wa kawaida wanateseka kiasi gani?” 
alihoji Mbowe.

Alidai kuwa baada ya kumhukumu kifungo cha mwaka mmoja au faini ya Sh1,000,000, Hakimu Denis Mpelembwa amepandishwa cheo kuwa hakimu mkazi na kuhamishiwa mkoani Kagera, siku moja tu baada ya hukumu.
“Kilichokuwa kinatafutwa ni namna ya kumzuia Mbowe asigombee ubunge Hai kwa sababu CCM wanajua nguvu yangu. Wamekosea sana kwa sababu hukumu ile hainizuii kugombea. Nitaombea na nitashinda kwa kishindo,”
“Ninao wanasheria mahiri ambao baada ya kupitia hukumu yangu kwa harakaharaka, wamenihakikishia kwamba adhabu ile hainizuii kugombea na wanaendelea na taratibu nyingine za kisheria kuiomba Mahakama Kuu kuitangaza kuwa batili,” alisema.


Atoa gari la taka

Katika tukio jingine, mbunge huyo alikabidhi gari na mtambo wa kukusanya na kusindika taka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wenye thamani ya zaidi ya Sh200 milioni.
“Gari hili nimelinunua kwa fedha zangu na kulipa gharama zote na ushuru baada ya Serikali kuniwekea mizengwe. Nalikabidhi kwa halmashauri kusaidia kuzoa taka ili kuweka jimbo letu katika hali ya usafi kama ilivyo kwa Manispaa ya Moshi,”
alisema Mbowe.

Wabunge wanena

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wabunge waliohudhuria mkutano huo, Pauline Gekul, Grace Kiwelu, Rose Kamili na Joseph Selasini waliwaomba wakazi wa Hai kuhakikisha Mbowe anarejea tena bungeni kutokana na uwezo wake wa kiuongozi.
“Ili tufanikishe lengo la kumrejesha Mbowe bungeni na wagombea wengine wa Chadema, mnatakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kujitokeza kupiga na kulinda kura Oktoba 25, mwaka huu,” 
alisema Gekul.

Indian High commission alarms over cashew import frauds from Tanzania


Financial frauds originating from African countries and duping Indian exporters and importers, has surfaced as the newest threat in cyber space.

Last month, the Indian High Commission took up the matter of increasing number of financial frauds affecting Indian cashewnut importers with the Tanzanian government. In an advisory dated 5 June, the Indian High Commission in Tanzania cautioned Indian businessmen against fake cahshew nut exporters from Tanzania.

In addition, it also held meetings with the representatives of the Cashewnut Board of Tanzania to avert such frauds ahead of the cashew nut procurement season, which is set to begin in September. In an earlier advisory in May, the Indian High Commission, in particular had blacklisted one such company, M/S Acclimatise International Group, which had been duping Indian importers.

A letter posted on the website of Apeda, by the Indian High Commission on May 18, 2015, it said, 
"We have come across cheating of Indians by a Tanzanian company, M/S Acclimatise International Group. The modus operendi is to operate on the internet and lure Indian businessmen who are in the business of import of cashew nuts...The High Commission has also taken up (the matter) at the higher levels of the Tanzanian government,"

According to Rakshit Tandon, advisor, cybercrime redress cell of Uttar Pradesh Police, in the last three months, his firm received close to 110 complaints by importers and exporters from states like Uttar Pradesh, Madhya Pradesh, Haryana and Delhi. The mode of operation involves sending promotional emails with attachments to importers. Once the attachments are opened, a malware stealthily compromises the e-mail of the user. Subsequently, the emails of the counterpart exporting firm are filtered out to spam mails, while an email from a domain name almost similar to the original exporter asks the Indian importer for payment in a bank account that belongs to the fraudsters.

"Instances of import-export fraud have risen substantially in the last few months. In most of the instances, the payment diversion has been taking place in countries such as UK, Malaysia and China," said Tandon.

Online financial frauds come in varied forms like auction, credit-debit card , check and lottery frauds, which are together known as 419 AFF (advance-fee fraud) crimes. In India, there are 49 AFF scam rings with 1,610 active members, the fifth highest in the world, according to a report by Ultrascan Advanced Global Investigations released in July 2014.
"In the last six months, we have seen almost a 150% rise in email scams involving exporters and importers. Most of these frauds are seen originating from African countries, with payments made in the UK," 
said Mukesh Choudhary, a cybercrime expert.

Last month, the cyber crime branch of Delhi Police arrested two Nigerians for defrauding Indian herbal medicine exporters.

Meli kuanza tena kupitisha mafuta TPA Tanga

(image: dlca.logcluster.org)

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta Tanzania (EWURA), imeutaarifu umma kuwa, Bandari ya Tanga inatarajiwa kuanza kutumika kupitishia meli za mafuta tena mwazoni mwa Julai mwaka huu. 

Aidha, lengo la huduma hiyo kuanza mkoani humo ni kuondoa msongamano wa meli za mafuta ziingiazo katika Bandari ya Dar es Salaam.

Taarifa hiyo imetolewa juzi katika kikao kilishoshirikisha wadau mbalimbali nchini ambapo mamlaka hiyo ilikusanya maoni juu ya mradi wa bandari ya Tanga pamoja na kutatua changamoto ya uingiaji wa mafuta nchini.

Hayo yalisemwa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu EWURA, Felix Ngamlagosi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambamo amesema lengo la kuanza tena kuitumia bandari ya Tanga ni kuweza kuepusha gharama za usafirishaji.

Amesema, kitu kingine kilichowapelekea kushusha mafuta bandari ya Tanga ni kuweza kurahisisha gharama za usafirishaji wakati wa kusambaza mafuta mikoa mingine.

Ngamlagosi amesema, pia wanampango wa kuinua uchumi wa Tanga kwa kuboresha miundo mbinu mbalimbali zikiwemo barabara za kusafirishia mafuta hayo.

“Tunategemea kuwa na bei sawa za mafuta kwa upande wa Dar na Tanga, ili kuwasaidia walaji kununua kwa bei nafuu. pesa itakayopungua katika usafirishaji itatumika kuboresha miundo mbinu ya barabara.” amesema Ngamlagosi.

Swali kuhusu utaratibu wa kununua nyumba za Morocco

Habari,
Naomba kujua taratibu za ununuzi wa nyumba za Morocco ukoje na kama bado zipo.
Thanks,
Regards,
D. C.

 1. Mdau uliyeuliza swali hapo, tafadhali peruzi tovuti ya NHC, www.nhctz.com nimeuliza na kufahamishwa kuwa yapo maelezo katika tovuti hiyo.

 2. Pia unaweza kuperuzi taarifa yao ya awali: kwa kubofya hapa.