Canadians want Luhala gold property in Mwanza

Mwanza city-1

MWANZA, Tanzania – AfroCan Resources Gold Limited, a Canadian gold producer, wants to acquire a gold property in the South of Mwanza, Northern Tanzania.

AfroCan’s Chief Executive Officer Brian Barret said last week, the company’s aim is to acquire the Luhala Gold Project that is currently under the management of Canadian firm Tanzania Royalty Exploration Corporation (TRX).

According to TRX, the Luhala Gold Project counts with a National Instrument 43-101 (NI 43-101) developed by South African Consultant firm Venmyn Rand Ltd (Venmyn) in 2012.

According to NI 43-101 report, the project consists in lands for 1,860,000 tons of minerals with an average grade of 1.87 grams per ton, lying on the 112,000 oz. gold available to be exploded.

AfroCan made a strategic move to Tanzania in June, 2015, with the establishment of AfroCan Resources Tanzania Limited in Mwanza, Tanzania’s second largest city and Lake Victoria’s economic hub.

Afrocan with its low-cash-cost business model is seeking to capitalize its presence in Tanzania by acquiring all the projects from the starting stage.

In order to fully capitalize on all Tanzanian ventures, both current and future, AfroCan Resources Gold Ltd. registers AfroCan Resources Gold Tanzania Ltd. The offices are in Mwanza.

According to its website this local subsidiary is part of AfroCans methodology on co-operating with indigenous peoples and getting control over all projects from the ground up. AfroCan Resources Gold Ltd is a private gold producer and investments company based in Vancouver B.C. pursuing a quick to production, low cash cost business model focusing on high grade small ore bodies in Sub-Saharan Africa and Papua New Guinea.

AfroCan Resources Gold Ltd is an emerging gold producer pursuing a quick-to-production, low-cash-cost business model focusing on small-operator gold projects.

Recent developments have seen the company attracting interest from a broad spectrum of investors across the globe.

By Andrew Zablon, Saturday, July 11th, 2015

VOA interview with Tundu Lissu on chances of opposition winning Tanzania Election 2015

Tundu Lissu
Tundu Lissu

Peter Clottey, VOA -- A Tanzanian opposition lawmaker says tension within the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party will boost the chances of the opposition coalition to win the presidential vote.

The CCM has ruled the country since the country gained independence in 1961.

Tundu Lissu of the Chadema party says the opposition parties' Ukawa coalition will take advantage of the apparent split among supporters of the ruling party to win.

His comments came after senior officials of the CCM Central Committee excluded former Prime Minister Edward Lowassa, from the list of aspiring candidates to lead the party in the October 25 general election.

Lowassa was seen as a front-runner in the presidential race because of the crowds that welcomed his campaign across the country. His opponents however accuse him of being divisive and tainted with corruption. Lowassa denies the accusations.

The ruling party’s central committee led by outgoing President Jakaya Kikwete excluded Lowassa from a five-member list of candidates ahead of the October vote.

Opposition Hopeful


Analysts say Lowassa’s exclusion could split the ruling party, and give the opposition coalition a chance to win the presidential vote. Lissu agrees with the assessment.

“This is the end game for CCM and it has been this way for quite a while,” said Lissu. “The fact that Edward Lowassa has been taken out of the race will definitely cause even bigger tension and divisions within the CCM. It will surely put us in a much better position to win power in October.

“Our chances are very good,” said Lissu. “They were very good with Lowassa and they are very good with whoever comes… [Lowassa] has not been able to win the people within his party. We know the reasons why he was drawing huge crowds [because] his campaign has been very well financed. He spent billions to get people on the streets to get people to show support to him.”

Some supporters of the former prime minister say Mr. Lowassa should consider joining an opposition party to challenge the ruling party due to what they said is his popularity. Lissu disagreed.

“I don’t see Lowassa crossing over from CCM to join with Ukawa. Firstly, because he is not the type of politician who has the boldness required to cross over. It is also a fact that if he crosses over to the opposition, there is no way he can be our flagbearer in the coming election in October. So, I don’t see any incentive for him to cross over except for the maybe retaliation,” said Lissu.

He said the reaction of supporters from the opposition coalition has been quiet. Lissu however says the group has been focused on intensifying its nationwide campaign ahead of the vote.

“We have been preparing ourselves so whoever comes from CCM... we are being prepared. So the fact that it is not Lowassa does not in any way lower our level of preparation,” said Lissu.

Clottey interview with Tundu Lissu, Tanzania lawmaker from the opposition Chadema party.

Taarifa ya kutwa ChannelTEN Julai 12, 2015Maoni ya Watanzania kwa UKAWA (Umoja wa KAtiba ya WAnanchi / Umoja wa KAmbi ya WApinzani)


Waliochujwa CCM wazungumzia uteuzi wa Magufuli


Swahiba wa Magufuli kutoka Kenya, Raila Odinga ampongeza rafikiyeHii hapa video clip siku Magufuli "alipomtolea uvivu" Chenge
Mabeti ya mchaka mchaka "aliserema" wa Magufuli haya...


Sijafahamu tu sauti... nimeupata kwenye kundi moja huko WhatsApp

(1)Sasa kumekuchaa x2
Mkaa-ndarasii ameingiaaaaaaaaaa,
Kada wa CCM apewe Ikulu yakeeeeeeee

(2) Sasa kumekuuchaa x2
Walioo-jenga Barabaraniiii
Waanze kuomba Munguuuuuuuuuuu.

(3) Sasa kumekuchaa x 2
Wavivu wote kaziiniiiiiiiiiiiii !
Kasema mtaipataaaaaaaaaaa!

(4) Sasa kumekuchaa x 2
Msio-andaaa Maandaliooooooooooo
Shemeji hana Mchezoooooooooooo

(5) Sasa kumekuchaa x2
Wote wapenda Ruushwaaaaaaaaaa 
Majbu yote mnayooooo!

(6) Sasa kumekuchaa x2
Wavuvi woote haramuuuuuuuuuuu,
Jela zitaongezwaaaaaaaaa

Mzee Ojwang wa Vitimbi aaga dunia

[audio] Hotuba zilizotolewa kwenye mkutano mkuu wa CCM Julai 12, 2015

Hotuba ya Dk Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM Zanzibar 2015
Hotuba ya Dk Asha - Rose Migiro kukubali yatokeo ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
Hotuba ya Balozi Amina Salum Ali kukubali matokeo ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015
Hotuba ya Dk John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia CCM
Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Jakaya Kikwete kufunga Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Shukurani: Tumeshirikishwa hotuba hizi na Mubelwa Bandio/Kwanza Production

Alichosema Mkulima aliyechukua fomu CCM kuwania Urais Tanzania 2015

Edelphonce Bilohe ‘Mkulima’
Edelphonce Bilohe ‘Mkulima’

Mmoja wa watia nia aliyechukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang'anyiro cha Urais wa Tanzania 2015, Edelphonce Bilohe maarufu kama ‘Mkulima’ amenukuliwa na gazeti la MWANANCHI akilalamika na kusema kuwa hajaelewa mchakato mzima wa kuteua majina matano ulivyokwenda zaidi ya kushuhudia purukushani mjini Dodoma. 

Pamoja na kutoelewa mchakato wa uteuzi huo, Bilohe alilalamika kuwa tangu amefika Dodoma hajapata mapokezi mazuri kutoka kwa wana CCM wenzake au hata wale watia nia 38 waliobahatika kurudisha fomu. 
“Kila ninapojaribu kuuliza hiki au kile sipewi majibu, nimekaa hapa na wanaCCM wa mkoani, sijaonana na Nape (Nnauye) wala (Abdulrahman) Kinana, wala watia nia wenzangu” 

Alisema anashangaa kuwa hajahojiwa kama utaratibu wa uteuzi huo unavyotakiwa badala yake ameshindwa hata kujua wanaCCM wenzake walipo na wanafanya nini kwa wakati huo.
“Kuna makundi hapa, hali si nzuri, mpaka sasa sijaelezwa utaratibu wa mkutano wa halmashauri unavyokwenda. Nimezunguka nchi nzima, nitawaambia nini Watanzania. Hali ya hapa imeharibika” 
Bilohe alisema hajaridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea na alieleza kufurahishwa kwake na hatua ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa kuyapinga.

Ahadi alizozitoa mteule wa CCM kwa Urais Tanzania 2015 Dk MagufuliProf. Lipumba azungumzia hatua iiyofikiwa na UKAWA na tarehe ya kumtangaza mgombea


Habari za ndani kwa mujibu wa gazeti la MWANANCHI zinasema kuwa katika kikao hicho kilichoanza saa tisa alasiri, mvutano ulikuwa kati ya viongozi wa juu wa CUF dhidi ya wabunge na viongozi wengine wa vyama vyote vinavyounda UKAWA, wakiwamo wa CUF.

Habari hizo zilieleza kuwa viongozi wa CUF wanashinikiza mgombea urais wa Ukawa awe Profesa Lipumba, huku wabunge wa Ukawa wakimtaka Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa maelezo kuwa anakubalika zaidi.
“Unajua Lipumba anataka kugombea urais wakati akitambua wazi kuwa upande wa Zanzibar pia CUF inasimamisha mgombea urais. Wajumbe wa Ukawa wanataka Chadema isimamishe mgombea upande wa Bara na kuiachia CUF Zanzibar,” 
zilieleza taarifa hizo.

Ilielezwa kwamba viongozi wa juu wa CUF, wakiwamo kutoka Zanzibar wametoa baraka zote kwa Dk Slaa kugombea, lakini kikwazo kimebaki kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaomuunga mkono Profesa Lipumba.
“Nakwambia wazi muafaka hautapatikana na kikao hiki kitaahirishwa hadi Julai 14 au 15 maana huko ndani hakuna maelewano, kikubwa ni urais tu huko katika majimbo hakuna shida,” 
zilieleza taarifa hizo.

Baadhi ya viongozi waliohudhuria kikao hicho ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dk Slaa, Mwenyekiti wa NLD, Dk Emmanuel Makaidi, Profesa Lipumba, Katibu Mkuu wa NCCR, Mosena Nyambabe, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Magdalena Sakaya.

Taarifa ya asubuhi ChannelTEN, Julai 12, 2015


Mapitio ya magazeti kwenye Tv, Julai 12, 2015

Picha mbalimbali kutoka Dodoma kwenye Mkutano wa CCM


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jaaya Kikwete akionyesha kuwa mwenye furaha isiyo kifani baada ya Dk. John Magufui (kulia) kutangazwa kuwa mshindi, na hivyo kupata ridhaa ya kupeperisha bendera ya CCM kaika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.

Mgombea Urais Tanzania 2015 Dk Magufuli amteua mgombea mwenza

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza punde mgombea mwenza wake kuwa ni Mhe. Bi Samia Suluhu Hassan. 

Mhe. Magufuli amemtangaza Mhe. Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu.

Bi Samia ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Makunduchi, Zanzibar tangu mwaka 2010. Amewahi kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais, masuala ya Muungano.

Magufuli amesema:
"Nimekaa na kufikiria... nimeamua kumteua mgombea mwenza wangu awe Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Baada ya kusema haya, naomba tushirikiane ili CCM ipate ushindi. Asanteni sana!"


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM john Pombe Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan mara baada ya mkutano Mkuu wa CCM kuwachagua kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais utakaofanyika Oktoba,2015 (picha: Freddy Maro).

Fuatilia siku ya pili ya Mkutano Mkuu wa CCM