[video] Africa can be next center of global economic growth - Pres. Obama


The US President Barack Obama says Africa has the potential to be the next center of global economic growth.

Obama is speaking at a White House celebration marking the signing of the African Growth and Opportunity Act. The law lets sub-Saharan African countries sell products like textiles in U.S. markets duty-free.

Obama says despite its challenges, Africa is incredibly dynamic and resilient, with extraordinary opportunities for the U.S. He says the trade law will continue to encourage good governance, labor rights and human rights in Africa.

Congress first passed the act in 2000 and reauthorized it this year as part of a package of trade bills. The act was set to expire in September.

Obama travels later this week to Ethiopia and Kenya.

White House dismisses Kenya release of Obama schedule

WASHINGTON (AP) -- The White House says President Barack Obama's travel plans won't change after Kenyan aviation authorities released specifics about his arrival there later this week.

Air Force One is due to land in the capital of Nairobi on Friday so Obama can attend a business summit and meet with President Uhuru Kenyatta before he continues on to Ethiopia.

Susan Rice, Obama's national security adviser, says the U.S. Secret Service is aware that specific details of the president's travel schedule were shared with airport staff in Nairobi and published on social media. Rice says the release of the information has not affected plans for the trip.

The White House had announced earlier this year that Obama would travel to Kenya to attend a Global Entrepreneurship Summit.

Obama's late father was Kenyan.

Google make some changes in: Google+ to +Google Photos

On their Google+ page yesterday, Google announced the following:
on August 1st we’ll start to shut down Google+ Photos -- initially on Android, and soon thereafter on the Web and iOS.

If you’re still using Google+ Photos, now is a great time to make the switch. You may have seen a prompt in Google+ Photos on Android with a link to download the new Google Photos. Don’t worry, all your photos and videos will still be saved and available after you switch to the new, stand-alone Google Photos app. With the new app you’ll still be able to backup, edit, and share your photos and videos, with unlimited storage, automatic organization, and more.

Download the new Google Photos today for uninterrupted access to all your photos, videos and albums. If you don’t update to the new Google Photos, Google+ Photos on Android will soon stop working, but your photos and videos will still remain safely stored and available via photos.google.com or for export using Google Takeout.

Get the Google Photos app for Android https://goo.gl/BajWpo Learn more about these changes: support.google.com/plus/answer/6262471
Today, Anil Sabharwal published a clarification as follows:
  1. The great photo and video sharing service that’s part of Google+ is unaffected. You can continue to post photos and videos, and your followers will be able to comment and +1 as before. No change.

  2. All of the photos, videos, and albums you have already shared on Google+, including their posts, comments, and +1s are also unaffected. An easy way to find these is to visit the Photos tab of your Profile page.

  3. The private photo management component of Google+, which includes backup, editing, creations, private album management (album management for shared content is still available on Google+), and sharing to other apps, is being replaced by Google Photos.
I sincerely appreciate for many of you #3 is still a hard pill to swallow. And I promise we don’t take decisions like this one lightly. The reality is that maintaining both Google+ Photos (the private photo management component of Google+) and Google Photos poses several challenges. Most notably, it is confusing to users why we have two offerings that virtually do the same thing, and it means our team needs to divide its focus rather than working on building a single, great user experience.

We are working very hard to bring all the best features of Google+ Photos to Google Photos, and this focus will allow us to deliver even more features at a much faster pace.

Dk Slaa asema: "Agosti 4 tutatoa taarifa ya nani rais"

Dk Slaa jijini Mwanza, Julai 22, 2015

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimebuni mbinu mpya ya kudhibiti mamluki wanaochukua fomu za kugombea kupitia chama hicho kisha kutokomea nazo mitini.

Sasa watakaopitishwa na kupewa fomu za chama hicho kugombea ubunge au udiwani, watatakiwa kusaini fomu maalumu mbele ya mahakama ili wakitokomea bila kurejesha fomu Tume ya Uchaguzi (NEC), wapandishwe mahakamani.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Magomeni, Jijini Mwanza.

“Mwaka huu hakuna kupita bila kupingwa, wagombea wetu wote tutawasainisha mahakamani na wakishindwa kurudisha fomu, tutawashughulikia mahakamani,” amesema Dk. Slaa na kuongeza;

“Waliochukua fomu hatutaki kesho mmoja amejitoa, kama unataka kujitoa ondoka leo, ruksa.”

Mkutano huo umehudhuriwa na wabunge na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika, Makamu Mwenyekiti Bara, Prof. Abdallah Safari; Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee.

Katika mkutano huo, wanachama wapya kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) walitambulishwa, wanachama hao ni James Lembeli aliyekuwa Mbunge wa Kahama Mjini na Ester Bulaya ambaye alikuwa Mbunge Viti Maalum kutoka Mkoa wa Mara.

Kwenye mkutano huo Dk. Slaa amesema, sasa hivi CHADEMA ipo sehemu yote ya nchi hivyo hakuna mahali ambapo chama hicho kitashindwa kusimamisha mgombea na kwamba, Ijumaa wiki hii watamaliza uteuzi kwenye majimbo yote Tanzania.

“Leo tumeingia kila kona ya nchi, uchaguzi uliofanyika wiki hii ni wa Tanzania nzima, hakuna mahali ambapo CHADEMA haipo tena, hatuzungumzi kabila, hatuzungumzi Magufuli ni mkabila, sehemu zote tunazungumza Utanzania,” anasema Dk. Slaa.

Akizungumzia mahudhurio ya wananchi kwenye mkutano huo Dk. Slaa amesema, miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo hakuna aliyelipwa fedha wala kubebwa na magari kutolewa kule alikokuwa.

“Hakuna aliyebebwa, hakuna aliyelipwa pesa, mmekuja hapa kwa miguu yenu tangu asububi, asanteni sana na Mungu awabariki,” amesema Dk. Slaa.

Hata hivyo amesema, ukiumwa na nyoka hata utapoguswa na jani utalikimbia. Aliwafikirisha wananchi kwa kujiuliza, katika miaka 10 iliyopita, Watanzania walikuwa wanakunywa chai huku sukari ikiuzwa Sh. 500, je leo nani anaweza kunywa chai kwa sukari bei hiyo?

Pia aliwakumbusha kuwa, miaka 10 iliyopita ikiwemo wafugaji waliweza kula nyama, leo bado wanaweza kula kula kilo ya nyama?

Dk. Slaa amesema, mwaka 2005 wakati Rais Jakaya Kikwete akiwa mgombea urais kupitia CCM, aliwaahidi Watanzania Maisha Bora kwa Kila Mtanzania lakini sasa maisha yamekuwa magumu kwa kila Mtanzania.

Hata hivyo amesemea, mgomea wa CCM ni mzaliwa wa ukoo ule ule na kabila la CCM hivyo kuna kila sababu ya kuwaonda.

Pia amesema, “tumekuja leo ili tuwaeleze kwamba CHADEMA tupo makini, kazi za chama hazisimami, tupo kwenye utekelezaji wa kazi za chama.

Hata hivyo, amewaahidi wananchi kuwa, wakati utakapofika “tutadondosha nondo zetu.”

Dk. Slaa amewahahakikishia wananchi kuwa, chama hicho hakiwezi kumeguka wala kusambaratika licha ya kuwepo kwa taarifa kwamba, yeye na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama hicho hawasalimiani,

Kwa kujiamini kiongozi huyo amesema, wamejihakikishai kushika dola, “haya sio maneno wala utani.”

Msukumo mkubwa wa maisha Dk. Slaa amesema unatokana na mabadiliko ya uchumi ulio mbovu kwa miaka zaidi ya 50 baadaya Uhuru uliopatikana mwaka 1961.

Amefafanua kuwa, wakati wa Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere, uamuzi ulianza matawini kwenda juu lakini sasa CCM imebadilisha na kuwa uamuzi wa kundi la watu wachache dhidi ya wananchi walio wengi.

“La kwanza tunalolisimamia ni nchi irudi kwa wananchi, ukifanya hivyo yote yanaondoka; ufusadi, wizi rasilimali vyote vitakoma.

“Mkikabidhi nchi kwa wachache hiki ndicho kinatokea, mwaka 2015 ndio mwisho. Katiba inasema serikali itapata madaraka yake kutoka kwa wananchi, CCM imepoka,” amesema.

Akizungumzia ukombozi Dk. Slaa amesema, nchi inahitaji ukombozi na wananchi wapo tayari katika ukombozi na kuwa, Polisi, Wanajeshi na wengine ni watiifu na ndio maana wanawapenda na wanaungana nao katika safari ya ukombozi ambapo vyombo hivyo vitaendelea kuwepo, hofu kuwa upinzani unaleta vurugu haipo tena.

Katika mkutano huo, Mbowe amewatoa hofu wananchi kwamba, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) uko imara, hadi atakapopatikana rais.

Aidha, Mbowe alianza hotuba yake fupi baada ya kuwakabidhi kadi za uanachana Bulaya na Lembeli.

“Hamtakiwi kuendelea kusikiliza maneno ya uzushi ambayo yanasemwa UKAWA umevunjika au kusambaratika, hayo sio kweli na kuhakikishieni hilo, hadi leo asubuhi nimewasiliana na viongozi wezetu wa UKAWA.”

Amesisitiza kuwa, wananchi hawatakiwi kusikiliza maneno ya nje bali wawasikilize viongozi wao, kwani umoja wao bado unalengo lile lile la kuiondoa CCM madaraka.

Amesema, UKAWA bado wanaendelea na mazungumzo ya amani na kwamba, bado wanamalizia mambao madogo ili wote waende sawa na kutoka na mgombea mmoja “Agosti 4 mwaka huu tutatoa taarifa ya nani rais.”

Hata hivyo amesema, jambo la kwanza ambalo UKAWA italishughulikia ni kurudisha viwanja vyote ambavyo ni mali ya wananchi na sasa vipo chini ya CCM.

Lakini pia amepiga marufuku mausula ya ukabila na kushangazwa katika Karne hii ya 21 kuwepo wapo kwa watu wanaozungumzia ukabila.

Akizungumzia ukabila, alijaribu kuiga sauti ya Mwl. Nyerere ambaye katika hotuba zake alizokuwa akizungumzia ubaya wa kuubeba ukabila katika nchi hii.

TANESCO: Katizo la kununua LUKU kuanzia Julai 31


Hoteli zinapobadilishwa majina Tanzania ni kukwepa kodi?

Ni mchango wa Mwanazuoni akimjibu mwingine, nimeunukuu hapa kwa ajili ya wengi kusoma na kutafakari kisha kujadili kutokana na suala hili kuwa moja ya dukuduku miongoni mwa wananchi:
Dr. Njau,

Sheria mpya ya Public Procurement ni nzuri na kusema kweli walioandika hii sheria wamejitahidi. Mimi ni mdau na kukomesha uhuni kwenye haya mashirika yetu ya umma I am playing my part kwa kuwapeleka Public Procurement Appeals Authority (PPAA). PPAA siku hizi ni mwenyeji na nitakuwa huko tena mwezi ujao.

Sasa kwenye hili suala la mahoteli kubadilishwa majina, nafikiri hii ni the most popular conspiracy baada ya ile ya "Kawawa funika kikombe".... Tunaambiwa kuwa hizi hoteli zinauzwa kila baada ya miaka mitano pindi pale "tax holiday" inapoisha na kila mwekezaji mpya anayenunua hiyo hoteli anapata miaka mitano ya tax holiday. Na mimi nilidanganyika na haya masimulizi yasiyokuwa na chembe ya ukweli.

Mmoja wa jamaa zangu ni mmiliki wa hizi hoteli (jina kapuni) na katika mazungumzo ya faraja nikamchomekea hii habari. Akacheka na akaniuliza "do you believe in this bs"? Akanieleza kuwa in the case of Sheraton to Royal Palm to Serena Inn na Kempinsky Kilimanjaro to Hyatt Kilimanjaro kinachofanyika siyo kuwa hoteli inauzwa kwa mwekezaji mwengine bali kinachofanyika ni kampuni inayo manage hotel ndiyo inabadilika hasa kwa sababu aidha hiyo kampuni inayo manage hoteli haitaki ku-renew mkataba ama mmiliki wa hoteli kakataa kuwaongezea mkataba hiyo kampuni. Dar es salaam Serena Hotel haimilikiwa na Serena Hotels, hivyo hivyo Kilimanjaro haimilikiwi na Hyatt. Same with Sheraton Double Tree, Dar Holiday Inn, Oysterbay Courtyard ama Dar es salaam Southern Sun hazimilikiwi na hizo hotel chains zinazo manage hizo hoteli. Owners wa hizo hoteli wenye wanajuana.

Niliona kuna umuhimu wa kuliweka hili sawa ili hili suala lisiendelee kupotoshwa zaidi.

Salim.
Imenukuliwa kutoka kwenye mjadala unaoendelea kwa kichwa cha habari: [Wanazuoni] Next Tanzanian president has a big job of rousing a sleeping giant! (ambayo ni makala ya Murithi Mutiga kwenye The NATION)

Salim,

Tuna sera nyingi sana zimeandikwa vizuri huko tanzania lakini kama nilivyosema utekelezaji wake ni mbovu kupindukia. Mfumo wetu hauzipi meno taasisi zinazosimamia hizo sera ili mambo yakae sawa. Saa nyingine tunakuwa wavivu wa kusimamia tunachoandika pia.

Kuhusu hilo la mahoteli kubadili majina kila baada ya miaka michache, nachelea kukubaliana na wewe moja kwa moja. Ni kweli kwamba kuna baadhi ya mabadiliko yanakuwa ni conspiracy theories lakini pia mengine yana ukweli mwingi tuu. Kwani serena, royal palm au kempinsk zipo Tanzania tuu? Mbona hata huku marekani na ulaya baadhi zipo lakini hazibadilishi majina kila baada ya miaka mitano? Haiingii akilini kwamba mwekezaji atafanya investment worth 10 yrs to recoup his money halafu anakuwa na mkataba shaky ambao hana uhakika kama utaendelea baada ya miaka 5. Kuna mawili, ama wanaotumia hayo majina ya hoteli kubwa kubwa ni wababaishaji na matapeli wakubwa wakibiashara au wanajua wanachofaidi kwa kufanya wanachokifanya every 5yrs....

Joseph D. Njau
Mchango zaidi/Majibu...
Dr. Njau,

Hoteli ya Movenpick imeuzwa kwa kampuni ya Aga Khan Serena Hotel. Soma hapa http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=41719

The posh hotel was previously owned by a Saudi Arabia-based company, Kingdom Hotel Investment (KHI), and managed by Movenpick, before it was sold to the Serena chain of hotels last year.

Speaking to The Guardian this week, the Nairobi-based Managing Director of Serena Hotels, Mahmud Jan Mohamed, confirmed that what transpired was total acquisition and not just a change of management as earlier reported.

Utagundua kuwa Movenpick walikuwa wana operate/manage hiyo hoteli na owners ni Kingdom Hotel Investment ya Saudi Arabia.

Uki Google zaidi kuhusu Movenpick utawala hii Mövenpick_Hotels_Resorts inayosema hivi:
"Mövenpick Hotels & Resorts were among the first companies to operate hotels under management contracts, which helped allow rapid growth. Expansion continued through the 1980s into Egypt, with the chain’s first cruise ship - HS Radamis beginning operations in 1991."

Uki Google Sheraton na Kempinsky utaona kuwa wana own property na vile vile wanafanya management contracts. Hivyo siyo necessary hoteli zote za Sheraton zinakuwa managed tu na hazimilikiwi na Sheraton.

Owners wa Sheraton Doubletree ya Dar, Oysterbay Courtyard, na ile Holiday Inn ya pale Posta siyo Sheraton, Courtyard wala Holiday Inn bali ni individual Tanzanians. Kuna hoteli inajengwa usoni na Exim Towers owner wake namfahamu na huenda ikawa managed na Ramada Hotels.

Hivi vitu viko wazi kama unafanya research kidogo unaweza kupata mwanga na kuweza kuelewa kinachoendelea.

Salim.
Njau akasema:
Salim,

Kwanza napenda niitwe tuu joseph au njau, hizo title za udaktari tuwaachie wanazipenda au kuziona ni za maana sana. Nashukuru sana.

Tukirudi kwenye mada yetu, inaeleweka kabisa kwamba chain hotels kuwa owned na watu mbali mbali wasiohusiana siyo kitu kigeni... ni mambo ya kawaida kabisa katika biashara za leo ambazo branding na goodwill navyo vimekuwa ni sehemu ya mtaji! Hata Macdonald fast foods ni brand name tuu na hizo restaurants zinamilikiwa na watu mbali mbali ambao hawana uhusiano wowote na original Mcdonald zaidi ya ule wa kibiashara. Kawaida kunakuwa na SOPs ambazo wamiliki wote wanakubali kufuata. Ugomvi wangu ni kwamba, inakuwaje hiyo stability ya ownership inakosekana Tanzania tuu wakati hali haiko hivyo kwenye mataifa mengine yalioendelea ambako wafanya biashara hizi hizi wapo? Ni tatizo la ubovu wa sheria zetu za kufanya hizi biashara, au ni utapeli unafanywa na wafanyabiashara wetu wa ndani na nje? Kuna faida gani zinawavutia kubadilisha majina au kuuziana ownership na brand names kila kukicha?
Sioni ugumu wowote kuelewa tofautu katu ya mabadiliko ya menejiment na yale ya umiliki. Ugumu wangu ni kuelewa ni sababu ipi inapelekea haya mabadiliko ya mara kwa mara hasa kwenye hoteli zetu za tanzania? Hivi Embassy hotel ilishapata mmiliki mpya? Kuna tatuzo gani hapo? Ni hayo tuu ndugu yangu. Haya matumizi ya lugha na maneno sahihi tuwaachie wanasheria ndiyo fani yao. Mtanzania wa kawaida anataka kujua ni kwa nini? Kampuni la mafuta la Agip lilifanya kazi Tanzania kwa miaka mingi tuun mwishowe waliuzwa na kubadili jina... sina shaka nao, hata BP walifanya mchanganuo wao miaka ya karibuni wakaamua kudown size huko Afrika... naelewa yaliyowasukuma.. ila haya mahoteli bado yananitatiza.

Ni hayo tuu mzee.

Joseph
Kwa kweli kujua mengi mengineyo yatokanayo na mjadala huu, inabidi uufuatilie huko Wanazuoni Yahoo! Groups kwa linki iliyo kwenye maneno yaliyokolezewa wino hapo juu.

Bulaya atambulishwa kujiunga rasmi CHADEMA

Bulaya, Lembeli
L-R: Bulaya, Lembeli
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama, Mhe. James Daudi Lembeli (CCM) na aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya (CCM) kwenye Mkutano wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza.


Bulaya, Mdee
L-R: Bulaya, Mdee

PayPal shares rise after parting eBay and hints working with Amazon


eBay and PayPal have now officially parted ways. PayPal has moved on and is already worth more than its former parent. It started trading independently on Nasdaq yesterday with an opening price of $41.46.

The separation was cheered by investors as shares of both the companies soared. While, shares of PayPal rallied 5.4% in its first day of trading to close at $40.47, eBay jumped 2.4% to close at $28.57. This took PayPal's market value to nearly $49 billion and that of eBay's to $35 billion.

What now?
  • eBay will now completely focus on online commerce while PayPal will concentrate on digital payments. This has opened an opportunity for both companies to increase focus on their core capabilities and operate with greater flexibility for success in their respective markets.
  • PayPal on the other hand will focus on positioning itself as a "full-service" payments associate for consumers and merchants, managing mobile transactions, credit purchases and customer loyalty rewards programs. [excerpts from Zacks]
Forbes: So does that mean you’ll be able to work with eBay’s competitors like Amazon.com
DS: We have the flexibility to work with any potential merchant partner across the globe.

Forbes: Have you met with Amazon?
DS: I don’t really like to comment specifically [on potential partners.] We’ve had a wide array of discussions with various partners across the globe. [quotes from Forbes]

Microsoft records largest loss ever


Microsoft Corp. turned in an upside-down financial report for its fiscal fourth quarter, showing weakness in its usually robust corporate-software division.

It also reported a $3.2 billion quarterly loss, a departure for a company that typically generates reliable profit. The loss resulted from $8.4 billion in previously announced charges and layoffs in the company’s struggling mobile-phone operation, which Microsoft acquired last year from Nokia Corp.

“I am proud of the results we delivered,” Microsoft Chief Executive Satya Nadella said on a conference call with analysts.

More of this at The WSJ

Nukuu za Msekwa akijibu tuhuma za KingungeZifuatazo ni nukuu zilizochapishwa katika gazeti la MWANANCHI alizozisoma Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa kwa kada mkongwe wa chama hicho, Kingunge Ngombale-Mwiru kujibu tuhuma na madai yake kuwa CCM haikutenda haki katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa Tanzania 2015:
“Mzee Ngombale amezua madai kwamba eti mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM ulikuwa ni batili, kwa sababu eti ulikiuka kanuni za chama. Madai hayo yamepotosha kabisa ukweli wa jambo hilo. Kwani ukweli wenyewe ni kwamba kanuni za CCM zinazohusika zilifuatwa kwa ukamilifu. Kanuni hizo zilizotumika zinaitwa Kanuni za Usalama na Maadili, toleo la mwaka 2012. Pengine tatizo la mzee huyo ni kwamba hajazipata vizuri.”
“Kwa mujibu wa Kanuni namba 3(3)(vii); Kamati ya Usalama na Maadili itachambua kwa makini ubora wa wanachama wanaoomba uongozi, kabla vikao vinavyohusika havijatoa idhini ya kuwaruhusu wateuliwe kugombea uongozi wanaouomba.”
“Kanuni hii ndiyo inaipatia uwezo Kamati ya Usalama na Maadili kufanya uchambuzi wa maadili ya wagombea wote kabla majina yao hayajapelekwa kwenye vikao ninavyofuata vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa.”
Alisema utaratibu uliowekwa na kanuni hiyo ulifuatwa kwa ukamilifu, kusisitiza kuwa haukuwa batili kama inavyodaiwa.

Akizungumzia lengo la kutoa kipaumbele cha kwanza kwa suala la maadili ya viongozi alisema: 
“Ni vyema ieleweke kwamba kanuni hii ilikusudiwa kupambana na ukosefu wa maadili ya viongozi ambao ni wanachama wa CCM na hususan kupambana na tatizo kubwa la ujio wa money-driven politics (siasa zinazoendeshwa kwa nguvu ya fedha).”
Alisema tatizo la siasa zinazoendeshwa kwa fedha lilijitokeza kwa nguvu wakati wa mchakato wa kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka huu.

Aliyekuwa Mbunge wa Karatu, Mchungaji Naste ang'atuka

Mchungaji Israel Natse
Mchungaji Israel Natse

Mbunge wa Karatu kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Israel Natse, amejitoa rasmi katika siasa na kurudia kazi yake ya uchungaji katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.

Akizungumza na mwandishi wa NIPASHE kwa njia ya simu ya kiganjani jana, alisema kwa mujibu wa makubaliano yake na chama, walimwomba agombee kipindi kimoja tu, kwa hivyo sasa anampisha mwingine.
“Mimi ninarudi kwenye kazi yangu ya uchungaji naachana na siasa, huu ndiyo wito wangu nilioitiwa na mungu wa uchungaji”  
Akinukuliwa na gazeti la MWANANCHI alisema,
“Jumatano nitawaaga rasmi wananchi wangu, binafsi niliombwa na Dk Slaa kugombea jimbo hili kwa miaka mitano” 

Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Calist Lazaro, alisema kwa Jimbo la Karatu waliochukua fomu za kugombea ubunge ni Lazaro Masai, Fransisca Duwe, William Kumbalo, Kwamala Aloyce na Pascal Gutt.

Membe kama Pinda

Mizengo Kayanza Peter Pinda, Bernard Kamilius Membe
L-R: Pinda, Membe

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa, Bernard Membe, amesema hatogombea wadhifa wowote kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuwa atajishughulisha na masuala binafsi.

Membe ambaye alikuwa akitafuta tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania urais mwezi Oktoba lakini akashindwa kufikia lengo hilo, amesema kuwa, hatatafuta nafasi ya ubunge katika jimbo lake la Mtama.

Hata hivyo amesema ataendelea kukiunga mkono chama chake cha CCM na atampigia debe mgombea urais aliyeteuliwa na chama hicho, Bw. John Magufuli.

Awali kulikuwa na tetesi kwamba Membe angegombea ubunge baada ya kukosa nafasi ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM.


PINDA AKATAA KUGOMBEA UBUNGE

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza mipango mbalimbali ya maendeleo aliyoianzisha.

Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango cha Kanisa Katoliki cha Kibaoni wilayani Mlele (Jumapili, Julai 19, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati umefika wa yeye kuwaachia wengine nafasi ya ubunge wa jimbo la Katavi.

Amesema yeye ataendelea kuwa karibu na wananchi wa Katavi wakati wote na kwa vile atakuwa na muda wa kutosha atashiriki kikamilifu katika mikakati mbalimbali ya kuwaletea maendeleo wananchi ili waweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini.

Mheshimiwa Pinda aliwaasa wananchi wa jimbo la Katavi wawe makini katika kuchagua mbunge na madiwani na kamwe watoa rushwa na wabadhirifu wasipewe nafasi katika uchaguzi ujao.

Akimshukuru Mheshimiwa Waziri Mkuu, Paroko wa Parokia ya Usevya wilayani Mlele, Padri Aloyce Nchimbi aliwaasa wananchi wa Wilaya ya Mlele kumuenzi Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hata atakapokuwa amestaafu kwani bado watahitaji busara na uzoefu wake katika kujiletea maendeleo.

Waziri Mkuu yuko kijijini kwake Kibaoni, wilayani Mlele kwa ajili ya mapumziko mafupi.

Leo saa 10 jioni ndiyo mwisho wa kurejesha fomu za ubunge ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

(mwisho)

IMETOLEWA NA
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMAPILI, JULAI 19, 2015.


Youngsevier Msuya arejesha fomu ya Ubunge Mwanga


Msafara wa Magari na Pikipiki wa mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi Wakili wa kujitegemea, Youngsevier Msuya ukitoka eneo la Njia Panda kuelekea wilaya ya Mwanga kwa ajili ya zoezi la Urejeshaji wa fomu.
Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa kujitegemea,Msuya ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga wakati mtia nia huyo akirejesha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga.


Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngsevier Msuya akisalimia wakati msafara wake ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga.
Mtia nia wa Ubunge,Wakili wa kujitegemea,Msuya akisalimiana na wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi waliofika kumpokea wakati akirejesha fomu za kuwania nafasi hiyo katika jimbo hilo.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,Marry Msuya akifanya utamburisho wa wageni waliofika katika kushuhudia urejeshwaji wa fomu hizo.


Baadhi ya wananchma wa chama cha NCCR -Mageuzi wakiwa ndani ya ukumbi wa ofisi za chama hicho wilayani Mwanga.


Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa,Hemed Msabaha akitoa salmau kwa wananchama waliofika katika zoezi hilo.


Baadhi ya wanachama wa chama hicho.


Mtia nia Msuya akizungumza na wanachma walikokuwa ndabi ya ukumbi wa ofisi za chama hicho.


Mke wa mtia nia Msuya, akisalimia ndani ya ukumbi huo mara baada ya kutamburishwa.
Kutokana na idadi kubwa ya wananchi waliofika katika ofisi hizo kushuhudia zoezi la urejeshwaji wa fomu uliofanywa na mtia nia Msuya ,iliwalazimu wananchi wengine kubaki nje ya ukumbi ambapo mtia nia huyo pia alitoka nje kuwahutubia.


Baadhi ya wananchi waliofika katika kushuhudia zoezi hilo.


Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngseier Msuya akikabihi fomu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho jimbo la Mwanga, Mary Msuya.
Mtia nia Msuya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wananchi waliofika katika kumsindikiza kurejesha fomu.

Tumeshirikishwa taarifa hii na Dixon Busagag

Kumbuka yafuatayo unapokwenda kujiandikisha (BVR)

Ujumbe wa Mwanazuoni akiwaandikia kuwakumbusha...

HIMA WANAZUONI TULIOPO DAR ES SALAAM, TWENDE TUKAJIANDIKISHE KUANZIA LEO ILI TUPIGE KURA. tusisubiri siku ya mwisho!
Muhimu kukumbuka
  1. Kama unacho kitambulisho chako cha mpiga kura cha zamani, kibebe.
  1. Namba ya nyumba unapoishi
  1. Tarehe yako ya kuzaliwa
  1. Mahali/mkoa ulipozaliwa
  1. Sahihi yako
KUPIGA KURA NI HAKI NA WAJIBU WETU!
__._,_.___
Posted by: Atuwene Mbelle

Wakazi wa Dar wazungumzia changamoto za BVR


Job: Short Term Technical Advisor for the Challenge TB Tanzania Project

Mapping public and private TB diagnostic laboratories in Tanzania

Duty Station: Dar Es Salaam, Tanzania

Purpose: As a part of Challenge TB Year 1 Tanzania work plan under the various intervention areas for Laboratory strengthening, the consultant will support National TB and Leprosy Programme/Central Tuberculosis Reference Laboratory (CTRL) to map (as a snapshot) a nationally representative sample of public and private TB diagnostic laboratories countrywide in order to inform gaps, coverage and status of the AFB lab network.

You can download the full description here.