Magazetini Agosti 6, 2015

Why does milk in other countries last a day, not 3 weeks?

maziwa

Milk is highly perishable — a few hours out of the cow at room temperature, and bacteria, some of which cause disease, start to flourish.

In places like Uganda, milk typically lasts just one day. The cow gets milked, and farmers, most of whom have just a few cows, rush to get the milk directly to the consumer. If it doesn't arrive in time, it will probably go to waste.

Why? Because three-quarters of Ugandan dairy producers don't have a way to pasteurize the milk or keep it cool. The same goes for other African countries, such as Ethiopia and Zambia.

So what does the U.S. (and other developed nations) have that these countries don't? A complex system to keep milk cold, says William Kisaalita, an engineer at the University of Georgia. It's called the cold chain, and it's a series of refrigerated tanks, trucks and storage units that milk — and other foods — travel through from farmer to distributor to consumer.

[...] the Food and Agriculture Organization of the United Nations found that 27 percent of all milk produced in Uganda is poured down the drain each year. That's equivalent to $23 million worth of profits.

Continue reading the NPR

Pope: divorced and remarried are still part of the Church

Pope Francis
Pope Francis

Pope Francis resumed his General Audiences on Wednesday, following the summer holiday. In his catechesis, the Holy Father continued his teaching on the family, reflecting on the situation of those who have divorced and entered into a second union.

“The Church knows well,” he said, “that such a situation contradicts the Christian Sacrament.” However, he continued, the Church, as a Mother, always seeks the good and salvation of all her children. The Pope said it is important for the Church to foster a true welcome for these families in our communities. The Church must always show her pastoral care for those in such situations, especially the children.

Pope Francis noted that the Church in recent decades has developed a greater awareness of the need to be welcoming toward the divorced and re-married. He emphasized that they are still part of the Church – they are not excommunicated, and should not be treated as such, but rather must be encouraged, with their families, to participate in the Church’s life: through prayer, listening to the Word of God, the Christian education of their children, and service to the poor. He pointed to the words of Pope Benedict XVI, who called for careful discernment and wise pastoral accompaniment, while recognizing that there are no “simple solutions” to the difficulties wounded families face.

The Church, Pope Francis said, should imitate the Good Shepherd, welcoming all her children as a mother who is willing to give her life for them. “Each one of us can do our part by having the attitude of the Good Shepherd, Who knows every one of His sheep, and excludes no one from His infinite love."

Listen to Christopher Wells' report at (the source) radiovaticana.va

Delta, American Airilines also ban shipments of lion, leopard, elephant, rhino and buffalo trophies


Delta says it will no longer allow freight shipments of big game trophies. The decision follows the killing of a popular lion in Zimbabwe.

The airline said in a statement on Monday that, effective immediately, it "will officially ban shipment of all lion, leopard, elephant, rhinoceros, and buffalo trophies."

Hours later, American Airlines announced the same policy in a statement on Twitter.

NPR's Jackie Northam reports that Delta is one of the few major American carriers with direct flights between the U.S. and Africa. "From now on, big game hunters are going to have to find another way to get their so-called trophies home," she says.

Jackie says that other major airlines such as Lufthansa, Qantas and Emirates have already put similar bans in place. She reports: "Delta was under pressure from activists to change its policies and stop transporting the animals. Nearly 400,000 people signed an online petition at Change.org."

TIB Development Bank appoints new Deputy MD, Machano

Taarifa ya NEC ya kukamiliska kwa zoezi la BVR nchi nzima
Summer Institute in Economic Geography at University of Kentucky, July 10-15, 2016

The next meeting of the Summer Institute in Economic Geography will be hosted by the Department of Geography at the University of Kentucky, July 10-15, 2016. The meeting will be organized by Susan Roberts, Michael Samers, Andrew Wood, Matthew Zook, and Jamie Peck.

As with previous meetings, it is expected that the costs of accommodation and other local expenses will be covered for all participants, though it is possible that a modest registration fee will be charged. Stipends will be available to cover the costs of travel to the meeting for those participants without other sources of funding.

Application forms will be posted here in October 2015. The deadline for applications is January 8, 2016. Selected candidates will be notified in February, 2016.

The Summer Institute provides an opportunity to investigate leading-edge theoretical and methodological questions, along with a range of associated career development issues, in the field of economic geography, broadly defined. The meeting features contributions from internationally renowned figures in economic geography. 

Katuni za siasa leo 5/8/2015Pastor asks, "If you know your wife is controlling you..."


A pastor announced, "If you know your wife is controlling you, move to the left". 
All the men in the church moved to left except one man . 

The pastor was amused and asked,"How come ur wife can't control you?
The man quietly replied, "it's my wife who told me not to move"

Moja ya kipaumbele ni kuigeuza TTB kuwa mamlaka - Dk Meru

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi devota Mdachi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (Mwenye miwani) kuzungumza na wafanyakazi alipotembelea bodi hiyo jana.

Geofrey Tengeneza -- Wizara ya Maliasili na Utalii imeahidi kuupa kipaumbele mchakato wa kuifanya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuwa Mamlaka ya Utalii Tanzania (TTA) kwa lengo la kuiwezesha Bodi hiyo kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha Wizara hiyo imeitaka TTB kuangalia ni maeneo gani yanaweza kuwa ni vyanzo vya mapato vitakavyoiwezesha Bodi kujiingizia fedha.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru alipotembelea makao makuu ya Bodi ya Utalii yaliyoko katika jengo la IPS jijini Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi wa bodi hiyo.

Dkt Meru ameipongeza Bodi ya Utalii kwa kuendelea kufanya kazi vizuri katika mazingira yenye changamoto nyingi hasa za kifedha zinazoikabili. Amesema TTB ndiyo chombo chenye dhamana ya kutangaza vivutio vya utalii kwa ujumla wake, hivyo kinapaswa kuwezeshwa kutimiza jukumu hilo kwa niaba ya nchi.
“Tunawajibu wa kuwawezesha TTB mtekeleze majukumu yenu vizuri kwa kuwa ninyi ndio hasa mliokabidhiwa jukumu la kutangaza vivutio vyetu vyote vya utalii kama vile vya kihistoria, fukwe, wanyama, milima na kadhalika” 

Hii ni ziara ya kwanza ya Dk Meru kutembelea Makao Makuu ya ofisi za Bodi tangu kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo. Bodi ya Utalii Tanzania ni moja ya taasisi zilizo chini ya Wizara yake yenye jukumu la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.

Baadhi ya wanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Dk Meru alipokuwa akizungumza nao.
Mmoja wa wafanyakazi wa TTB Bw. Geofrey Tengeneza ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano akielezea jambo kwa Katibu Mkuu alipotembelea ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania na kuzungumza na wafanyakazi.


Ajali yaua ndugu 5 papo wakitoka kuzika 2


Ajali iliyotokea jana katika kijiji cha Mavuji wilayani Kilwa imesababisha vifo vya watu watano wa familia moja ambapo walikuwa wanatoka kuwazika ndugu zao wawili juzi mjini Lindi baada ya marehamu hao kupata ajali.

Waliofariki katika ajali hiyo ni pamoja na Bi Saida ambaye ni mama Mzazi wa Marehemu, Shiraz Jack Magongo aliezikwa Juzi, Shirin Jack Magongo ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Samia (MRS Lupanda) pamoja na Marehemu Shiraz.

Marehemu wa awali walipata ajali ambayo ilitokea majuzi katika Kijiji Cha Chipite.

Marehemu Mwingine ni Ajira Shiraz Jack Magongo Nargis ambaye ni dada yao wa mama mkubwa na Mdogo ambaye kwa waliokuwa Lindi ndiye mmiliki wa nyumba ya Gift Guest na walio Dar yupo Livingstone Str maarufu kwa uuzaji wa chumvi, pamoja na Meja Hussein Bhatia ambae ndie alikuwa dereva wa gari hilo ambaye alifariki baadaye.

Maiti ya marehemu Bi Saida, Shirin na Nargis zinatarajia kuzikwa Dar huku maiti ya Marehemu Meja Hussein Bhatia na Ajira Shiraz ikiwatarajiwa nayo kuzikwa mkoani Lindi.

Katika ajali hiyo dada mkubwa wa marehemu Shiraz na Shirin, Yasmin Jack Magongo walikimbizwa katika hospitali jijini Dar es Salaam kwa matibabu.

Mwingine ambaye ni Salma Mohamed Zaid, mtoto wa Mama Malaika Hotel (mama mzazi wa marehemu Ajira Shiraz aliyefariki katika ajali hiyo) ametoka salama katika ajali hiyo.

Chanzo cha ajali hiyo kimeelezwa kuwa ni kutanda kwa moshi barabarani na gari aina ya Noah T594 DDH lililosababisha watu hao kufariki dunia kuligonga basi la SB lililokuwa limesimama kando ya barabara.

Nyama choma Monduli...

Mbunge wa Arusha mjini akipata kitoweo aina ya nyama ya mbuzi karibu na
soko la Monduli katika matembezi yake ya kuhamasiha shughuli za chama hivi
karibuni (Picha: Ferdinand Shayo via Jamii Blog)

Mbunge wa Arusha mjini akipata kitoweo aina ya nyama ya mbuzi karibu na
soko la Monduli katika matembezi yake ya kuhamasiha shughuli za chama hivi
karibuni.

Mbunge wa Arusha mjini akipata kitoweo aina ya nyama ya mbuzi karibu na soko la Monduli katika matembezi yake ya kuhamasiha shughuli za chama hivi karibuni.

Ndesamburo na makada wa CHADEMA wateta na Dk Slaa kwake


Mbunge mstaafu wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo, maarufu kama "Ndesa Pesa", amekutana jijini Dar es Salaam leo na Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ilielezwa hapo awali na chama chake kuwa kwa sasa yuko mapumzikoni, Dkt. Wilbrod Slaa, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.

Ndesamburo alifuatana na makada wenzake wa chama hicho, baadhi yao ni Meya wa Manispaa ya Moshi ambaye pia ni mgombea ubunge (mtarajiwa), wa jimbo hilo, Japhary Michael.

Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya nini wamezungumza, ingawa makada hao wa CHADEMA walikuwa jijini kuhudhuria mkutano mkuu maalum wa chama hicho uliomteua Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa, kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya mwavuli wa muungano wa vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA. Mgombea mwenza aliyeteuliwa ni Mhe. Juma Duni Haji. [via Jiachie blog]