Mkurugenzi aeleza TCRA inavyohusika kumbaini mtuhumiwa


Wakamatwa kwa kuvunja kioo cha gari la Katibu lililowagonga wakitokea mkutanoni

Jeshi la polisi mkoani Lindi, linawashikilia watu sita kwa kosa la kuvunja gari la Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Lindi Mjini, Hassan Mandanje na kisha kufanya jaribio la kuchoma moto nyumba yake.


Tamko la UKAWA kuhusu Twaweza na mwaliko wa mdahalo watetee utafiti wao
Magufuli aeleza maana ya vidole vya CHADEMA na kuomba "People's Power"


Akamatwa kwa kupigisha kura za 'chap chap' Lowassa vs Magufuli


Jamaa mmoja huko Kariakoo anaripotiwa kukamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala kufuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi, na kuzua gumzo miongoni mwa wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini Tanzania.

Taarifa hii na picha zifuatazo zimepokelewa kupitia WhatsApp.


[update] Tanzia! Waziri, Mbunge aliyekuwa akiwania mhula mwingine 2015

Leo Jumamosi, Septemba 26, 2015 mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani umewasili muda huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Familia ya marehemu, viongozi mbalimbali na wananchi wakisubili mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ulipowasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Aliyeshikwa bega wa tatu kushoto ni Mume wa Marehemu Mzee Kombani.

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukitelemshwa baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celina Kombani umewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali . 

Msafara wa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukipelekwa kwenye ambulance baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.


Msafara wa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukipakiwa kwenye ambulance baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.


Spika wa Bunge Mhe Anne Abdallah na viongozi wengine wakiwa Uwanja wa ndege kupokea mwili wa marehemu Kombani.


Mwili wa aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Kombani umerejeshwa nchini hii leo na kupokelewa na watu mbalimbali wakiwepo Viongozi wa Serikali, Ndugu jamaa na marafiki.

************************************
Celina Kombani
Celina Kombani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani (56) amefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa zinasema kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye alipita katika kura za maoni bila kupingwa, mwili wake unatarajiwa kusafirishwa hadi nchini siku chache zijazo tayari kwa shughuli za maziko.

Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge zimenukuu kuwa Bunge na Serikali zitasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa marehemu huko Mahenge.

Mbali na kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais (Utumishi), marehemu aliwahi kutumikia wizara mbalimbali ikiwemo ya Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na pia Waziri wa Katiba na Sheria.

Kombani aliyezaliwa Juni 19, 1959 amekuwa mbunge wa Ulanga Mashariki kupitia chama cha CCM toka mwaka 2005.

Alisoma shule ya msingi Kwiro kuanzia mwaka 1968 hadi 1975 ambapo alibahatika kuingia sekondari ya Kilakala na kumaliza mwaka 1978. Aidha, aliingia Tabora Girls 1979 na kumaliza A Level mwaka1981.

Aliingia chuo cha Maendeleo Mzumbe mwaka 1982 na kupata shahada yake ya kwanza mwaka 1985 na kufanikiwa kupata shahada ya Uzamili mwaka 1995 kupitia Chuo Kikuu cha Mzumbe.

Kombani alianza kujihusisha na siasa za waziwazi mwaka 1987 alipokuwa mjumbe katika kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Wanawake (UWT) mpaka mwaka 1992. Mwaka 2002 alikuwa mwenyekiti wa UWT wilaya ya Morogoro hadi 2005.

Alifanyakazi katika halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuanzia mwaka 1985 hadi 1992 kabla hajaajiriwa na Morogoro Canvas Mill kama Meneja mwaka 1994 na 1995.


[update] Msaada: Mtoto Loveness apotea na 'house-girl'

Taarifa mpya imepatikana, bofya hapa kusoma.

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.

Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.

Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwao tafadhali zitoe kupitia namba hizi: 0715797920 na 0786977615.

Asante.

Binti msaidizi wa kazi za nyumbani (house-girl)

Picha ya awali ya mtoto

Ali Kiba irked by Tanzanian media ‘tuning him out’

(image: inyarwanda.com)

Top Bongo singer, Ali Kiba, on Tuesday took a jab at Tanzanian media for giving him a total blackout at an event where he was featured as a Peace Ambassador.

The Peace One Day campaign, which took place at Amahoro in Rwanda, attracted performances from Africa’s renowned artistes such South Africa’s Mafikizolo, Nigeria’s Ice Prince among other top acts.

Despite the fact that one of their own was representing them at the star studded function, it seems no Tanzanian media bothered to cover the fete.

The media blackout made Ali Kiba furious prompting him to take to his official social media pages to vent his anger.

“I direct this message to media stations which did not show support for the Peace One Day campaign. Next time, please provide coverage on behalf of Tanzania, if you wouldn’t want to do so for Ali Kiba or any other personality who will be representing Tanzania,” posted Kiba.

“I am only human and I know in one way or another I could have crossed your lines consciously or subconsciously,” he added.

Citing peace in Tanzania as the main reason for the media houses’ decision not to cover the event, Ali Kiba urged members of the country’s fourth estate to rethink their stand.

“It should not matter whether Tanzania is experiencing peace or political and social turmoil: we should show support at all times. Currently we are at a very critical moment with the forthcoming elections. God should guide us through the exercise,” the Mwana singer further told.

Ali Kiba expressed his worries saying that Tanzanian media painted bad image of the country.

The singer concluded: “It’s not good at all! I have many fans across the world who were not happy with the blackout Tanzanian media gave the event and me at the Peace One Day campaign. It has really hurt me!”

This is the first time the award-winning star has put his country’s media under the spotlight for ‘ignoring’ him at a very critical event.

Tanzanian media however could possibly defend itself from the singer’s jabs by arguing they are covering the ongoing election campaigns.

The country on October 25 will be electing her new president.

(photo: IGIHE)

ACT-Wazalendo inaomba mchango maana imebakiwa na milioni 2/= tu


Wakati zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi mkuu, kampeni za mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira zinakabiliwa na uhaba wa fedha ambazo sasa zimebaki Sh. milioni mbili tu.

Tangu mgombea huyo alipozindua kampeni zake Agosti 30, mwaka huu hadi sasa, chama hicho kimeshatumia Sh. milioni 363 ambazo ni wastani wa takribani Sh. milioni 15 kwa siku.

Lakini kutokana na ukata unaokikabili, kwa sasa kinalazimika kutumia Sh. 66,667 kwa siku.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa ACT-Wazalendo, Nixon Tugara, jana aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa, kutokana na changamoto wanayokabiliana nayo ya uhaba wa fedha anatoa wito kwa Watanzania popote walipo kuchangia kampeni za chama hicho.
“Mtu anaweza kutoa kiasi chochote na tutashukuru sana kwa ushirikiano wa kuijenga Tanzania yenye misingi ya haki...chama chetu kinakabiliwa na wakati mgumu kifedha, tumekuwa tukijitahidi kuzunguka sana kutafuta fedha kwa marafiki zetu na kuchangishana miongoni mwa wanachama lakini hatujafikia lengo letu la kiwango tunachohitaji cha fedha za kufanya kampeni bora” 
via NIPASHE

Kenyan albinos moved away from Tanzania border


Albinos living in Kenya have been evacuated from areas bordering Tanzania for fear they will be targeted by witch doctors as the country approaches elections next month.

So far, 35 people have been moved from their homes into protected areas away from the border because of the belief that their skin and body parts can bring luck and fortune when ground up and put into charms. A national toll-free hotline has also been set up for those fearful of attack.

It comes after Enock Jamenya, a 56-year-old albino man, succumbed to injuries sustained during an attack on September 10 in Vihiga County near Tanzania’s northern border.

Mr Jamenya told from his hospital bed how three attackers slashed at his neck, arm and head with machetes, cutting off his ear and several fingers before fleeing, leaving him in a pool of blood to be discovered by his young son.

“All I can remember is that three people stormed my house and demanded money,” Mr Jamenya told Kenya's Nation newspaper. “When I told them I had no money, they asked for my ear or hand to sell in Tanzania.”

Mr Jamenya died on September 20 after complaining of a severe headache.

Read more: telegraph.co.uk

[video] Kenya's Citizen Tv interview with UKAWA's LowassaNi kanuni ya mapenzi: Ukiumiza hufi mpaka nawe uumizwe!

Mada yangu leo inaweza kuwa kali kwa maana ya ujumbe; Ukiumiza Katika Mapenzi, Hufi Mpaka na Wewe Uumizwe!

Nimeamua kuandika mada hii kutokana na vilio vingi vya watu walioumizwa na mapenzi. Kusema kweli wengi wanaumizwa sana, hasa siku hizi. Hali ya uaminifu katika mapenzi haiko kama enzi za wazee wetu. Si kama enzi za mzee Anjelus (baba yangu).

NINI MAANA YA KUUMIZWA?

Kuumizwa katika mapenzi si kupigana au kujeruhiana, bali ni kile kitendo cha kuuvuruga uhusiano. Na kitendo hiki kwa kawaida hufanywa na upande mmoja bila ridhaa ya upande wa pili.Mfano, una mtu wako. Awe mchumba, mke au mpenzi. Mnapendana sana. Na kila siku, kila mmoja anamhakikishia mwenzake kuhusu kudumisha uhusiano wenu.
Sasa ghafla inatokea mmoja anakata uhusiano huku penzi bado motomoto. Hapo si ina maana aliyekatiwa uhusiano lazima ataumia sana?

Au, wawili wanapendana, wanapanga mipango mingi ya mbele kuhusu mapenzi yao kiasi kwamba kila mmoja anaamua kuacha vyote ili kuimarisha penzi. Lakini siku inafika ghafla mmoja anaua uhusiano. Anakuwa hapokei simu, hatumi meseji tofauti na zamani mpaka mwenzake anajua hapa nimeshapigwa chini.

Lakini kuna suala la usaliti. Unaweza kukuta wawili wanapendana sana. Kila mmoja anajitoa kwa mwenzake. Inatokea siku moja mmoja anabaini mwenza wake anachepuka. Tena huenda anachepuka na mtu wa karibu au na rafiki wa mpenzi wake, inajulikana. Ina maana yule aliyejua ataumia sana na uhusiano utakufa.

Ndiyo maana utakuta mtu aliyesalitiwa akabaini na uhusiano ukafa anasema; ‘yaani nilimpa moyo wangu wote lakini leo kanitenda hivi, wala sikutegemea. Anatembea na rafiki yangu!!’

WAPO WANAOCHUKIA JINSIA

Mama Neema, mkazi wa Kimara, Dar yeye anasema kuwa, mwaka 2013 alikutana na mwanaume, wakapendana sana mpaka wakafikia kuweka mikakati ya kufunga ndoa.“Lakini siku moja nikaja kugundua kuwa, kumbe Arusha ana mke na watoto wawili. Tena ni mke wa ndoa na wala ndoa yenyewe haijavunjika.
“Kwa kweli niliumia sana maana nilijiachia naye mpaka kwa wazazi wangu, ndugu na marafiki. Wote walimjua kama mchumba wangu.“Kuanzia hapo, uhusiano ukafa na nikawa nawachukia sana wanaume. Kila mwanaume anayenitokea kunitongoza namuwazia yule jamaa wa mwanzo.”

HISTORIA INAVYOSEMA

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mikasa inayoanikwa kupitia filamu mbalimbali duniani, mara zote mtu anayemliza mwenzake kwenye mapenzi, hamalizi maisha yake ya duniani bila na yeye kulia. Lazima!

Kama utataka kuungana na mimi pitia kichwani mwako watu unaowafahamu au labda hata wewe mwenyewe, inawezekana uliwahi kulizwa lakini ukaja kubaini aliyekuliza naye amelizwa kwingine. Ipo kabisa hiyo.

Lengo la mada yangu ni kuwataka wapendanao kuishi kwa kupendana sana huku wakijua kuwa, kumuumiza mwenzako kuna malipo na malipo yake ni hapahapa duniani kabla hujafa! Tuonane wiki ijayo.

  • via GPL

[video] Magufuli awaachia MwanaFA na 'wanawe' jukwaani wa 'push-up'Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa jukwaani wakati Mwana F.A akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM mjini Geita.

Magufuli, Bulembo: Tunafahamu mikakati, namna ya baadhi ya wanaCCM mnavyofadhili UKAWA na Lowassa


Mgombea Urais wa Tanzania 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amezungumzia kuwapo kwa baadhi ya wafuasi wa chama chake kumhujumu kwa kuunga mkono harakati za upinzani.

Akizungumza kwenye viwanja vya Zimbiilo, Wilaya ya Muleba Kusini jana, Magufuli alisema:
“Naomba na nyinyi msiniangushe maana wengine mchana mnakuwa CCM, usiku mnahamia vyama vingine, mimi nina moyo kama nyie jamani msiponichagua nitakwazika sana Wanamuleba”“Ikulu ni ya Magufuli. Wengine ni kama wale wasindikizaji wa harusi. Wanamuleba msirubuniwe,” alisema Dk. Magufuli huku wananchi hao wakishangilia kwa kiitikio cha “Rais! Rais! Rais!” 
Kadhalika, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Abdallah Bulembo, akizungumzia hilo wakati wa mkutano huo wa kumnadi Dk. Magufuli alisema ana ushahidi kwamba ziara ya Lowassa mkoani humo iliratibiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho na hivyo akawataka kuamua moja, ama kuitumikia CCM kwa dhati au kuondoka CCM mara moja na kumfuata Lowassa.
“Msidhani hatuwafahamu. Mikakati yote na namna mnavyofadhili UKAWA na Lowassa tunafahamu, tena tunawafahamu kwa majina na nawaambia ole wenu... msipoondoka wenyewe, tutawafukuza baada ya Dk. Magufuli kushinda”
“Anayempenda Lowassa na UKAWA avue magwanda ya CCM na awafuate huko. Hatutaki watu ambao mchana ni CCM usiku ni Lowassa… hili ni gari kubwa. Wengine wanashuka, wengine wanapanda” 
Alisema yeyote mwenye kinyongo na CCM hafai kubaki ndani ya chama hicho kwa sababu kina wanachama wengi na hakiangalii uwezo wa mtu kifedha:
“Tunawajua mnaomng’ang’ania Lowassa. Lakini nawahakikishia kuwa mtalia baada ya uchaguzi wa mwaka huu... mnajifanya CCM lakini mnafadhili upinzani, mwisho wenu unakuja.” 
via NIPASHE

Worst haj disaster in 25 years: At least 717 pilgrims dead in a crush

Thursday, September 24, 2015: Members of Saudi civil defense try to rescue pilgrims following a crush caused by large numbers of people pushing at Mina, outside the Muslim holy city of Mecca in this handout picture published on Twitter account of the Directorate of the Saudi Civil Defense September 24, 2015. REUTERS/Directorate of the Saudi Civil Defense/Handout via Reuters

At least 717 pilgrims were killed on Thursday in a crush outside the Muslim holy city of Mecca, the Saudi authorities said, the worst disaster to strike the annual haj pilgrimage in 25 years -- reports REUTERS.

At least 863 others were injured at Mina, a few kilometres east of Mecca, when two large groups of pilgrims arrived together at a crossroads on their way to performing the "stoning of the devil" ritual at Jamarat, Saudi civil defence said.

Thursday's disaster was the worst to occur at the pilgrimage since July 1990, when 1,426 pilgrims were crushed to death in a tunnel near Mecca. Both stampedes occurred on Eid al-Adha (Feast of the Sacrifice), Islam's most important feast and the day of the stoning ritual.

Photographs published on the Twitter feed of the Saudi civil defence on Thursday showed pilgrims lying on stretchers while emergency workers in high-visibility jackets lifted them into an ambulance.


A view of the camp city at Mina, near the holy city of Mecca September 24, 2015. REUTERS/AHMAD MASOOD
CCM yaahidi umeme vijiji vyote Tanzania ndani ya miaka 2A letter by Ernest Makulilo celebrating his 34th birthday


HAPPY BIRTHDAY, ERNEST

(A letter to Myself)

Dear Ernest Boniface Makulilo,

Today is the Wednesday of 23rd September 2015. On the exact same day, theWednesday of 23rd September 1981, to be exact 34 years ago you were born. You made your official debut in this world – registered to the most outstanding team on the planet – The Makulilos.

I am very proud of you, Ernest. Not because of change in calendar year, rather challenges you have been facing in the past year. You took all those challenges and turned them into opportunities and ways to overcome future problems. The best part of it is, you have managed to put everything you have encountered into perspective and keep it going.

The most difficult challenge you faced in the past year was the loss you of beloved father – Mr. Boniface Makulilo. He is the legend. Nothing you could do, it’s all God’s plan. So don’t try to punish yourself and feel burden that you were not at home on his last days. It’s the path to Heaven. How can someone go to Heaven before dying first? I am glad you are trying your best to keep your father’s legacy alive. Remember to pray for him everyday – he needs your prayers. He is watching you from there…so don’t let him down. I’m sure he is very proud of you.

You have always wanted to have PhD and teach at the university. You were admitted to pursue PhD studies in Political Science at University of South Dakota to start studies in September 2015. I am very happy for you because it brought your happiness and feeling of accomplishment. Despite the fact that you were admitted, you were in a situation to make the decision whether or not to enroll and start your studies. In every decision someone is making, there are options. You did your cost-benefit analysis and decided not to start studies this year. I am surprised you were happy with that decision. But after looking your reasons behind, I understood. It was the best decision to focus on family and your start-up business than PhD studies. I recall the situation the then, Sen. Joe Biden made when his was elected to be the senator of Delaware and at the same time his family was involved in the car accident and lost some of his loved ones. He said, “The State of Delaware can get the best senator other than me. But my family will never get another Joe Biden”. So he decided to postpone his swearing in the office to take care of his family. Since then, he was the only senator who did not live in Washington DC. He drove back and forth everyday of his life as senator until he became Vice President. In the same line, I totally get it. Your life can never get another Ernest Boniface Makulilo. The PhD is always there. At any time, you can enroll and start your studies. Your family now really wants to be with you.

In the past year of your life, you have made the most toughest and outstanding decision of your life. You decided to start-up your own business company, EBM Wholesale, LLC. I am glad you learnt in the hard way, though it took long time. It’s not late to take that U-Turn. You spent over 18 years of your life in classrooms from primary school to master’s degree. You always believed that after your education you would spend your career life in offices working some companies or government agencies. I am very pleased that, you have realized the real life is not anymore. Now you have come to an understanding that the capitalism, which is the driving force of our lives, is the modern day slavery. It is the most sophisticated way of putting employees on invisible chains and exploits them to their bones. In this mode, you are “given” credit cards, auto loans, mortgage and other ways of financing everything. When you accept any of those (which practically impossible to survive without), you are technically chain yourself and become slave of the capitalism. Without any force, you will set clock alarm to work early and go to work. You will never boycott or quit your job. Unlike old capitalism where proletariats had nothing to lose except their chains, this sophisticated slavery (imperialism), proletariats have so much to lose. If you are terminated from your job, quit or boycott (obvious you will be fired alone), you would end up homeless and bankrupt. You will lose everything you have been working for over a long time. By understanding that, which I am very proud of you, you have made a right move at the right time not become a slave in this mode of life. By owning your business, you are becoming the boss of your own life. You are becoming flexible to spend time with your family. You are increasing your income everyday as profit increases. You own something and building something. When you retire, you can leave the company, transfer to your family (but if you work on a company and retire, you transfer nothing to your children and grand children).

The business you are going into will not be easy at all. You have encountered challenges in securing business loans, as many financial institutions do not prefer to give loans to start-ups until after two years. That did not stop you from continuing with the business. You managed to incorporate and fully funded your business for 100 percent from your own money. That’s should never be underestimated, great success. Now I recall Mark Cuban’s slogan “If you are staring a business and depend on loan, you are a moron”. I can definitely say that you are not the moron. You are the smartest guy I know. You have managed to start and operate with any financial responsibility from banks. I know you well. You are bigger than yourself. You have shown how tough you are. You even proved when you decided to lose weight over 65 pounds in 75 days in order to get the job you wanted. You are the most determined person I know who does not need to read Oprah’s books and some of sorts to get motivated to reach your full potential. I know you, Ernest it is a matter of time before your business takes off and become a millionaire. I truly believe in you. You will be a great CEO and your employees will be pleased to work with you.

The 34th year is the blessing for you. You are starting the year by waiting to welcome baby Clare Francisca Makulilo. You have already shown how great father you are to your son, Benedikt Fulbright. You are a family man, and your family has been a cornerstone to your motivation and successes. Just bear in mind, no matter what happens to you, take your family and make it happy anything else is secondary.
I would like to take this opportunity to wish you a wonderful and joyous year full of accomplishments and happiness. Don’t get too excited and trapped into celebration and forget that each year in your birthday is a countdown towards your retirement. While celebrating, take a moment to thank God for all His blessings to your life. Make a reflection to your life – where did you fall and how to overcome everything you faced. As Carl Brashear pointed out “It is not a sin to get knocked down; it’s a sin to stay down”. You will be knocked down many times in your life. Never stay down, get up and put everything in perspective and keep going. You have shown that many times in your life. You haven’t allowed anyone to steal your dream, protect it and share with other people….in the end you will inspire more people.

Remember to thank everybody who has been helpful in your past year of your life. Without them you could not be in this situation and as positive as you are now. As Bishop Desmont Tutu always says, “a person is a person through other people’s eyes”. Continue to be yourself. Help many people, as you have always been whether or not you know them. Never in your life be arrogant and disrespect people. Your entire reputation will go down, and you will not a person in other people’s eyes.

You are such a good person, Ernest. I am glad to be you in your life. I will always be there for you.

HAPPY 34TH BIRTHDAY

It’s me (you),

Ernest Boniface Makulilo
September 23, 2015