Taarifa ya Wizara 7/10/2105 kuhusu Mahujaji

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Taarifa zaidi ya Mahujaji kutoka Tanzania huko Saudi Arabia

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa masikitiko makubwa imepokea majina mengine matatu ya Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki dunia kufuatia tukio la mkanyagano wa Mahujaji lililotokea eneo la Mina, Makkah tarehe 24 Septemba, 2015. Vifo vya Mahujaji hao vinafanya idadi ya Watanzania waliofariki kufuatia tukio hilo kufikia watu kumi na moja (11) hadi sasa.

Majina ya Mahujaji hao ambao wametambulika baada ya kupitia taarifa zao za vidole zilizotolewa na Serikali ya Saudi Arabia ni Bw. Yusuf Ismail Yusuf kutoka kikundi cha Khidmat Islamiya, Bi. Rahma Salim Suweid kutoka kikundi cha Ahlu Daawa na Bw. Issa Amir Faki.

Aidha, Ubalozi unaendelea kushughulikia taratibu za mazishi kwa mahujaji ambao wamefariki dunia na miili yao kutambuliwa. Tunapenda kufafanua kuwa mali za marehemu ikiwemo mizigo waliyokuwa nayo wakati wa Hijah zitawasilishwa nyumbani Tanzania na vikundi walivyokuja navyo na kukabidhiwa kwa jamaa wa marehemu.

Vile vile, Ubalozi unaendelea kufuatilia orodha mpya ya taarifa za vidole iliyotolewa na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya kuwabaini Mahujai wa Tanzania ambao bado hawajatambuliwa.

Wakati huo huo, Wizara ya Afya ya Saudi Arabia inaendelea kukamilisha zoezi la kuchukua taarifa za vinasaba (DNA) vya Mahujaji wote waliokufa na kujeruhiwa katika ajali hiyo na imeshauri wale wote waliopotelewa na ndugu na jamaa zao kupima vinasaba (DNA) ili kuwabaini jamaa zao.

Pia, kwa vile mchakato wa kuwatambua wahanga wa ajali hiyo ni mgumu na unachukua muda, Wizara inawaomba Watanzania kuwa na subira katika kipindi hiki ambapo taarifa zaidi kuhusu wapendwa wetu zikiendelea kutolewa.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Dar es Salaam
07 Oktoba, 2015

Mahojiano ya Dk Slaa kwenye StarTv 07.10.2015


Rais Kikwete aongoza wananchi kuuaga mwili wa Mch. MtikilaRais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila wakati wa kuuaga mwili wa mwanasiasa huyo katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo. Mwili huo ulisafirishwa kwenda Ludewa, mkoani Njombe kwa maziko.

Rais Kikwete akipita kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Mch. Mtikila

Rais Kikwete akiwapa mkono wa pole ndugu Marehemu Mtikila


Rais Jakaya Kikwete akiwa na viomngozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa na Serikali wakati wa kuaga mwili wa Mch. Christopher Mtikila hii leo.

Taarifa ya DW Swahili kuhusu kukusanya maoni ya wagombea Urais Tanzania

Wapendwa watumiaji wa ukurasa wetu wa Facebook na wasikilizaji kwa jumla. Kuna ujumbe unaosambazwa kwa njia wa Whatsapp katika mitandao ya kijamii kwamba DW inakusanya maoni kuhusu wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Tanzania, John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Tungependa kuwajulisha hatufanyi utafiti wowote wa maoni kuhusu wagombea.

UTAWALA

Wasimamizi wa uchaguzi kutoka majimbo yote Tanzania wakutanishwa
Wasimamizi wa Uchguzi nchini wametakiwa kusimamia sheria katika kutekeleza majukumu ya kusimamia Uchaguzi unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.

Mwenyekiti wa Uchaguzi Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema hayo katika hotuba ya ufunguzi kwa Wasimamizi wa Uchaguzi toka majimbo yote nchini kwa lengo la kupata uzoefu kuboresha utendaji kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao.

“Mpaka sasa zoezi la kampeni linakwenda vizuri tufanye kazi zetu kwa weledi, kila mmoja wetu ashiriki kikamilifu katika mkutano huu, ili kuweza kupata michango itakayoweza kufanikisha uchaguzi huru, haki na amani ukizingatia kwamba wengi wenu ni wazoefu, kupitia wakati huu mtaweza kushirikishana uzoefu na kujifunza”

Aidha Lubuva ameongeza kuwa NEC imehusisha jeshi la polisi kwa lengo la kupata maoni yao ya namna ya kusimamia Uchguzi na kuwataka washiriki wote kutambua kuwa wanajukumu kubwa la kuhakikisha amani inakuwako na itaendelaa kuwako hata baada ya `uchaguzi.

Wakurugenzi hao wametakiwa kutomruhusu mtu au kikundi cha watu, vijana kusimama karibu na vituo vya kupigia kura kwa madai ya kulinda kura hii ni kukiuka taratibu na sheria na kuwasihi wawe na ushirikiano na kuwa karibu na NEC wakati wote wa shughuli za Uchaguzi kwa lengo la kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani nchini.

via blogu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

CHADEMA yasema mahesabu NEC si sawa kuhusu vituo na wapiga kura


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeomba kupatiwa ufafanuzi kutoka kwa tume ya taifa ya uchaguzi juu ya kuwepo kwa vituo 72,000 vya kupigia kura, idadi ambayo inazidi idadi ya wapiga kura walioandikishwa na tume hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia (CHADEMA) na kuungwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Bw. Juma Duni Haji, amesema imewabidi kuomba ufafanuzi huo, baada kubaini kuwepo kwa wapiga kura hewa milioni tisa kulingana na takwimu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusiana na watu walioandikishwa, vituo vya kupiga kura na idadi ya wapiga kura katika kila kituo.

Aidha, Duni amefafanua kuwa,hata kwa idadi ya wapiga kura walioandikishwa na NEC, na idadi ya vituo vya kupiga kura, hesabu inaonesha kuwa kutakuwa na wapiga kura milioni 32 na laki nne, idadi ambayo ameipinga kulingana na idadi ya watu waliopo nchini ambao amedai kuwa ni milioni 48. [via ChannelTEN]

KWA KINA KUTOKA MwanaHALISI Online...


UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya upinzani vimedai kubaini mchezo mchafu ambao unataka kufanywa na serikali ya CCM kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC).

Hali hiyo imejitokeza kutokana na kile kinachodaiwa kuwa NEC imetoa takwimu za upotoshaji ambazo zinalenga kuwapa ushindi CCM na kutimiza adhima yao ya ushindi wa goli la mkono.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mgombea Mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa mwanvuli wa Ukawa, Juma Duni Haji alipokuwa akizungumza na waandishi mjini hapa.

Mgombea huyo alisema kuwa takwimu zilizotolewa na NEC hazina ukweli wowote na kuna kila sababu ya kutolewa ufafanuzi takwimu hizo wamezipataje.

Amesema kwa mujibu wa tume ya uchaguzi inaonesha watu ambao wanastahili kupiga kura ni milioni 23.7 na vituo vyote vya kupigia kura vitakuwa ni 72,000 na kila kituo kitakuwa na watu 450.

Amesema katika kufanya ujanja ujanja NEC inaonekana kuwa na wapiga kura hewa milioni tisa ambapo kuna vituo hewa 20,000 kwa ni vituo halisi vinatakiwa kuwa 53,000 na siyo 72,000.

Mbali na hilo Haji alifafanua kuwa kwa hesabu ya kuwa na vituo 72,000 kama hesabu ya Tume inavyoelekeza ni wazi wapiga kura wanatakiwa kuwa milioni 32 na siyo milioni 23 tena.

Kutokana na hali hiyo Duni amemtaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva kuhakikisha anatoa mchanganuo mzuri wa mahesabu ya wapiga kura vituo utoa.

“Kamwe hatuwezi kukubali tume kwa kushirikiana na serikali kutafuta ushindi wa goli la mkoni kama ilivyozoeleka kwa chama hicho.

“Hata hivyo natahadharisha serikali ikilazimisha kutaka inachokitaka wao, bila kusikiliza watu wanataka nini, ni wazi kuwa kunaweza kutokea machafuko kwani watanzania kwa sasa wamechoka na wanataka mabadiliko,” alisisitiza Duni.

Akizungumzia kuhusu safari zake, amesema mpaka sasa kafanya mikutano katika majimbo 130 ambayo mengi yao yapo vijiji na watanzania wanamalalamiko yanayofanana.

Amesema wananchi wamechoshwa na manyanyaso kwani wamekuwa wakimbizi katika nchi yao na mbaya zaidi wananyanyaswa na wazawa wenzao na wala siyo wageni.

Amesema watanzania wamechoshwa na mipango isiyokwisha ambayo uchangishwa kwa lazima bila kuona mabadiliko yoyote ya ambayo wanatakiwa kuyapata.

Almesema watanzania wengi wanakumbwa na huduma mbovu ya afya, elimu, miundombinu, ukosefu wa walimu mashuleni pamoja na shule nyingi kukosa madawati.

Mbali na hilo alieleza kuwa amebaini kwamba wanachi wengi hawana uhuru kwa kufanya kile wanachokitaka kutokana na watawala wengi kuwatisha wananchi.

“Inasikitisha jinsi askari wanyama pori wanavyowashambulia wananchi hususani wale wanaoishi karibu na hifadhi jambo ambalo linaanyima haki wananchi kufanya maamuzi,” amesema Duni.

Samata, Ulimwengu waing'arisha Tanzania 2:0 MalawiMbwana Samata akiwatoka wachezaji wa Malawi katika mchezo wa kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia.

Wananchi walivyoipokea CCM mtaa mmoja huko Arusha 06.10.2015Job opportunity at SUA for a Public Health Consultant

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO 

RE- ADVERTISEMENT REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST CAPACITY BUILDING FOR SMART PARTNERSHIPS AMONG CENTRES OF SCIENCE EXCELLENCE IN A MODEL OF SOUTH-SOUTH COOPERATION 

ENGAGEMENT OF A PUBLIC HEALTH CONSULTANT (STAKEHOLDER ENGAGEMENT AND FORUM DEVELOPMENT) 

PROJECT ID NO: G-Z1-IBO-ZZZ-002 

1. Sokoine University of Agriculture (SUA), for Southern African Centre for Infectious Disease Surveillance (SACIDS), has received financing from the African Development Bank towards Capacity Building for Smart Partnerships among Centres of Science Excellence in a Model of SouthSouth Cooperation. The objective of this intervention is to establish an African One Health Forum. This forum would bring together experts and policy makers around key issues for reducing risks of infectious disease, including improved and coordinated disease surveillance, concerted research and cost-effective effective policy for management of endemic and epidemic diseases of regional importance, and improved regional capacity to deal rapidly and effectively with new disease outbreaks e.g. Ebola virus. SUA intends to apply part of the agreed amount for this grant to payments under the contract for engagement of a Public Health Consultant (Stakeholder Engagement and Forum Development).

2. The services under this project include primarily, delivering an effective and collaborative programme for developing SACIDS as the prime Regional/African Forum for One Health that is dedicated to enhancing the capacity of Africa for the detection, identification and monitoring infectious diseases with a view to developing cost-effective policies and strategies for the risk management, prevention and control of infectious disease of humans and animals in the African ecosystems; development of a stakeholders engagement plan - One Health Research based African Forum; stakeholders field visits (SADC, AU, EAC, FAO, OIE, WHO Regional and Sub-regional offices); collaboration with CORDS, AU, EAIDSNet and SADC in

(i) facilitating the formation of West African Disease Surveillance Network in response to Ebola;

(ii) exploring the feasibility /desirability or stimulating the formation of a One Health based Disease Surveillance Network in the SADC region as part of response to Ebola and other human/animal epidemics that impact on health or livelihoods;

(ii) Developing Intensified Preparedness Planning curriculum against Ebola and other epidemics; convening Public Health and Animal Health specialists from Tanzania, Mozambique, Zambia, DRC and South Africa plus SADC Secretariat and AUSTRC to explore feasibility of a SADC Disease Surveillance Network similar to MBDS; interaction with AU-STRC in relation to networking for infectious disease surveillance research networks; setting up study teams for key Public/One Health issues for Africa – Brazil collaborative one health based research; prepare and submit stakeholder engagement quarterly reports; assisting the development of an integrated, inclusive programme for SACIDS as the African prime One Health Forum and Research platform; developing collaborative health research activities with Brazilian (e.g. Oswaldo Cruz Institute) and South African (e.g. NICD) institutions including study tour of SACIDS researchers and/or policy makers to Brazil.

3. SUA now invites eligible individual consultants to indicate their interest in providing these services in line with the project deliverables and timelines. Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc).

4. Eligibility criteria, establishment of the short-list and the selection procedure shall be in accordance with the African Development Bank’s “Rules and Procedures for the use of Consultants” May 2008 revised July 2012, which is available on the Bank’s website at http://www.afdb.org.

5. Interested consultants may obtain further information at the address below during office hours. 6. Expressions of interest must be delivered to the address below by Monday 19th October 2015 at 02:00 hrs and mention “Engagement of a Public Health Consultant (Stakeholder Engagement and Forum Development) for capacity building for smart partnerships among centres of science excellence in a model of South-South Cooperation”.

THE VICE CHANCELLOR,
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE,
P.O. BOX 3000,
MOROGORO,
TANZANIA

Tel:+255232604651/232604523 Facsimile (fax):+255232604651
E-mail: [email protected]

Attention: Executive Director, SACIDS

Job opportunity at SUA for One Health Knowledge Management Specialist/Consultant

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO

RE- ADVERTISEMENT REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST CAPACITY BUILDING FOR SMART PARTNERSHIPS AMONG CENTRES OF SCIENCE EXCELLENCE IN A MODEL OF SOUTH-SOUTH COOPERATION

ENGAGEMENT OF A ONE HEALTH KNOWLEDGE MANAGEMENT SPECIALIST/CONSULTANT

PROJECT ID NO: G-Z1-IBO-ZZZ-002

1. Sokoine University of Agriculture (SUA), for Southern African Centre for Infectious Disease Surveillance (SACIDS), has received financing from the African Development Bank towards Capacity Building for Smart Partnerships among Centres of Science Excellence in a Model of SouthSouth Cooperation. The objective of this intervention is to establish an African One Health Forum. This forum would bring together experts and policy makers around key issues for reducing risks of infectious disease, including improved and coordinated disease surveillance, concerted research and cost-effective effective policy for management of endemic and epidemic diseases of regional importance, and improved regional capacity to deal rapidly and effectively with new disease outbreaks e.g. Ebola virus. SUA intends to apply part of the agreed amount for this grant to payments under the contract for engagement of a One Health Knowledge Management Specialist/Consultant.

2. The services under this project include: undertaking studies and reviews on infectious disease burdens, factors that influence community vulnerability to infectious diseases and develop knowledge pool to underpin the work by the Communications Team towards developing the SACIDS website as the African One Health Knowledge Management pool and point of reference for one health; developing a comprehensive and interactive knowledge management strategy and plan, which seeks to respond to the demand for a multidimensional private sector-wide platform for agriculture.

3. SUA now invites eligible individual consultants to indicate their interest in providing these services in line with the project deliverables and timelines. Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc).

4. Eligibility criteria, establishment of the short-list and the selection procedure shall be in accordance with the African Development Bank’s “Rules and Procedures for the use of Consultants” May 2008 revised July 2012, which is available on the Bank’s website at http://www.afdb.org

5. Interested consultants may obtain further information at the address below during office hours.

6. Expressions of interest must be delivered to the address below by Monday 19th October 2015 at 02:00 hrs and mention “Engagement of a One Health Knowledge Management Specialist/Consultant for capacity building for smart partnerships among centres of science excellence in a model of South-South Cooperation”.

THE VICE CHANCELLOR,
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE,
P.O. BOX 3000,
MOROGORO,
TANZANIA

Tel:+255232604651/232604523
Facsimile (fax):+255232604651
E-mail: [email protected]

Attention: Executive Director, SACIDS

Request for EOI at SUA: Communication, Website and Events Management

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO 

RE- ADVERTISEMENT REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST CAPACITY BUILDING FOR SMART PARTNERSHIPS AMONG CENTRES OF SCIENCE EXCELLENCE IN A MODEL OF SOUTH-SOUTH COOPERATION 

ENGAGEMENT OF A COMMUNICATIONS, WEBSITE AND EVENTS MANAGEMENT SPECIALIST/CONSULTANT 

PROJECT ID NO: G-Z1-IBO-ZZZ-002

1. Sokoine University of Agriculture (SUA), for Southern African Centre for Infectious Disease Surveillance (SACIDS), has received financing from the African Development Bank towards Capacity Building for Smart Partnerships among Centres of Science Excellence in a Model of SouthSouth Cooperation. The objective of this intervention is to establish an African One Health Forum. This forum would bring together experts and policy makers around key issues for reducing risks of infectious disease, including improved and coordinated disease surveillance, concerted research and cost-effective effective policy for management of endemic and epidemic diseases of regional importance, and improved regional capacity to deal rapidly and effectively with new disease outbreaks e.g. Ebola virus. SUA intends to apply part of the agreed amount for this grant to payments under the contract for engagement of a Communications, Website and Events Management Specialist/Consultant.

2. The services under this project include: working closely with the Communications Team of SACIDS in order to enhance the SACIDS website as the African One health Knowledge Management Portal and to portray the One Health objectives of the SACIDS One Health Forum in Africa and globally; developing a project communications strategy with emphasis on enhanced website as a knowledge management and public engagement tool.

3. SUA now invites eligible individual consultants to indicate their interest in providing these services in line with the project deliverables and timelines. Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc). 4. Eligibility criteria, establishment of the short-list and the selection procedure shall be in accordance with the African Development Bank’s “Rules and Procedures for the use of Consultants” May 2008 revised July 2012, which is available on the Bank’s website at http://www.afdb.org.

5. Interested consultants may obtain further information at the address below during office hours.

6. Expressions of interest must be delivered to the address below by Monday 19th October 2015 at 02:00 hrs and mention “Engagement of a Communications, Website and Events Management Specialist/Consultant for capacity building for smart partnerships among centres of science excellence in a model of South-South Cooperation”.

THE VICE CHANCELLOR,

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE,

P.O. BOX 3000, MOROGORO,

TANZANIA

Tel:+255232604651/232604523

Facsimile (fax):+255232604651

E-mail: [email protected]Attention: Executive Director, SACIDS

Consulting job at SUA: Engagement of a Brazilian Technical Assistant for capacity building

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE MOROGORO 

RE- ADVERTISEMENT REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST CAPACITY BUILDING FOR SMART PARTNERSHIPS AMONG CENTRES OF SCIENCE EXCELLENCE IN A MODEL OF SOUTH-SOUTH COOPERATION 

ENGAGEMENT OF A BRAZILIAN TECHNICAL ASSISTANT 

PROJECT ID NO: G-Z1-IBO-ZZZ-002 

1. Sokoine University of Agriculture (SUA), for Southern African Centre for Infectious Disease Surveillance (SACIDS), has received financing from the African Development Bank towards Capacity Building for Smart Partnerships among Centres of Science Excellence in a Model of SouthSouth Cooperation. The objective of this intervention is to establish an African One Health Forum. This forum would bring together experts and policy makers around key issues for reducing risks of infectious disease, including improved and coordinated disease surveillance, concerted research and cost-effective effective policy for management of endemic and epidemic diseases of regional importance, and improved regional capacity to deal rapidly and effectively with new disease outbreaks e.g. Ebola virus. SUA intends to apply part of the agreed amount for this grant to payments under the contract for engagement of a Brazilian Technical Assistant.

2. The services under this project include: providing scientific advice and guidance to SACIDS and working closely with the SACIDS Secretariat and the Public Health Stakeholder Engagement and Forum Development consultant; providing a scientific brief to Executive Director, SACIDS and SACIDS on all aspects of programmes relating to One Health and infectious/communicable disease research and policy interface in Brazil with a view to fostering long-term smart partnership alliance between Brazilian and African academic and research institutions.

3. SUA now invites eligible individual consultants to indicate their interest in providing these services in line with the project deliverables and timelines. Interested consultants must provide information indicating that they are qualified to perform the services (brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc).

4. Eligibility criteria, establishment of the short-list and the selection procedure shall be in accordance with the African Development Bank’s “Rules and Procedures for the use of Consultants” May 2008 revised July 2012, which is available on the Bank’s website at http://www.afdb.org

5. Interested consultants may obtain further information at the address below during office hours.

6. Expressions of interest must be delivered to the address below by Monday 19th October 2015 at 02:00 hrs and mention “Engagement of a Brazilian Technical Assistant for capacity building for smart partnerships among centres of science excellence in a model of South-South Cooperation”.

THE VICE CHANCELLOR,
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE,
P.O. BOX 3000, MOROGORO,
TANZANIA

Tel:+255232604651/232604523
Facsimile (fax):+255232604651
E-mail: [email protected]

Attention: Executive Director, SACIDS

[update] Kutekwa na kuumizwa mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Mjini

UPDATE/TAARIFA MPYA Oktoba 9, 2015

Siku moja baada ya kupatikana kwa mgombea ubunge wa Chadema Jimbo la Mtwara Mjini, Joel Nanauka anayedaiwa kutekwa Jumatatu iliyopita amehamishiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili MNH kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Nanauka alifikishwa hospitalini hapo jana asubuhi akitokea katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Ligula alikokuwa akipatiwa matibabu tangu juzi jioni alipopatikana akiwa hana fahamu.

Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo alithibitisha uwepo wa mgonjwa huyo hospitalini hapo katika kitengo cha wagonjwa wa dharura na kueleza kuwa madaktari wanaendelea kumfanyia uchunguzi.

“Nanauka alifikishwa asubuhi ya leo(jana) baada ya kupata rufaa hospitali ya Ligula na amepokelewa vizuri vipimo vinaendelea kuchukuliwa huku madaktari wakichunguza kwa makini maendeleo yake:

Madaktari wameshauri apumzike kwa muda hivyo hawezi kuonana wala kuongea na mtu yeyote mpaka hali yake itakapoaa vizuri”

Mgombea ubunge viti maalum Chadema Mtwara Mjini Anna Deo ambaye alikuwa hospitalini hapo kumuuguza alisema kuwa licha ya kutoonekana kuwa na majeraha Nanauke analalamika maumivu makali kwenye mbavu na tumboni.

Mgombea huyo wa ubunge wa viti maalum alieleza kupigiwa simu na watu asiowajua wakimhoji kama Nanauke bado ana nia ya kuendelea kugombea ubunge baada ya tukio hilo.

Yani naona kuna utata kuhusiana na hili nimepigiwa simu na watu wawili nisiowafahamu huku kila mmoja aliuliza hali ya mgonjwa na kutaka kujua kama atagombea ubunge mmoja alikwenda mbali zaidi na kunitaka nisiongee na mtu yoyote napata hofu hata ya maisha yangu”alisema Anna

Juzi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Henry Mwaibambe alisema polisi wanaendelea na uchunguzi kubaini undani wa tukio hilo. [MWANANCHI]

UPDATE/TAARIFA MPYA Oktoba 8, 2015

Jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara limesema linachunguza kwa kina taarifa za kutekwa kwa mgombea ubunge jimbo la Mtwara mjini (Chadema) Joel Nanauka na endapo litabaini kuna udanganyifu ameufanya dhidi ya tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliuwa dhidi yake.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja baada ya mgombea huyo kutoweka nyumbani kwao eneo la Coco Beach mjini Mtwara majira ya saa 12 jioni siku ya Jumatatu na simu zake zikionyesha kufungwa baada ya kutoweka kwake.

Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe alisema wanalichunguza tukio hilo ili kubaini kama kuna ukweli, kutokana kuwapo kwa tetesi zinazoonyesha huenda tukio hilo lilipangwa kutokana na mazingira ya kutoweka kwake hadi kupatikana.

“Jana majira ya saa 7 tulipata taarifa za mgombea wa ubunge Chadema kuwa amepotea toka alipoagana na familia yake kwenda eneo la Mnarani kuonana na jamaa zake na hakuonekana tena, hadi leo amepatikana akiwa katika hali ambayo sio nzuri sana na yuko hospitali anaendelea na huduma lakini tutaendelea kuchunguza kujua ni kitu gani kilitokea,”alisema Kamanda Mwaibame. [ via MWANANCHI].


Habari za Kutekwa na kuumizwa mgombea Ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
Dada Subi, kuna tukio limetokea hapa Mtwara na hadi sasa limeripotiwa na vyombo vya habari vichache sana (sio magazeti) labda uenda kwa sababu  Jeshi la polisi bado linajipanga kutoa taarifa yao kwani hawajazungumza na vyombo vya habari. Tunaomba nisaidie kuweka habari hii ya masikitiko kwenye ukurasa wako wa wavuti ili umma ujue kinachoendelea kwenye siasa za nchi yetu kuelekea uchaguzi.http://2.bp.blogspot.com/-7DHom55RgeI/Vdwf2pwUQSI/AAAAAAAAEyQ/GHxftyGY46c/s1600/122.jpg
Ndugu yetu Joel Nanauka ambaye anagombea Ubunge Jimbo la Mtwara Mjini kupitia CHADEMA, alipotea katika mazingira ya kutatanisha siku ya Jumatatu Tarehe 5/10/2015. Siku hiyo alitoka kwenye shughuli za kampeni akiwa na wenzake na walirudi nyumbani akiwa amechoka. Majira ya saa kumi na mbili na nusu, alimtumia mwenzake ujumbe mfupi wa mkononi (SMS) akimjulisha kwamba kuna mtu amekua akimtafuta tangu wiki iliyopita waonena na mchana wa siku hiyo alimfuata ofisi ya CHADEMA lakini hakumkuta, hivyo anakwenda kuonana naye mara moja eneo linaloitwa Mnarani hapa mjini Mtwara. Eneo hilo sio mbali na nyumbani kwao.
Muda mrefu ulipita bila kurudi nyumbani huku giza likiwa limeshaingia. Tulizana kupata mashaka na ndipo tukaanza kumtafuta kwa simu na ilitushtua zaidi baada ya kuona simu yake haipatikani (imezimwa). Jitihada za kuwasiliana na kila ambaye tulidhani angeweza kuwa anajua alipo au kua na habari zake zilifanyika bila mafanikio. Tuliwasiliana na viongozi wa CHADEMA jimbo la Mtwara Mjini lakini nao hawakua na habari. Tulipoona muda unazidi kwenda tulitoa taarifa polisi na kwa kushirikiana nao tulimtafuta Joel usiku mzima bila kuonekana. Siku ya jana (terehe 6/10/2015) ilipita bila kua na habari zozote za wapi alipo jambo lilitupa hofu ya uwezekano wa kuwa ametekwa. Polisi waliendelea na jukumu lao a upelelezi.
C:\Users\User\Downloads\IMG-20151007-WA0004.jpg
Joel akiwa kalazwa Kituo cha Afya asubuhi ya leo baada ya kuokotwa


Asubuhi ya leo (Jumatano tarehe 07/10/2015) majira ya saa kumi na mbili asubuhi, Ndugu Joel alikutwa ametumwa mlangoni mwa jengo la Kliniki/kituo cha afya hapa Mjini Mtwara akiwa hajitambui, amechoka, amechafuka na shati lake limechanika. Alipewa huduma ya kwanza na alipoanza kupata fahamu amekua akilalamika kuwa ana maumivu makali ya shingo na mbavu ikionesha huenda alipigwa.


Hadi sasa hatujui nini kimetokea na Polisi bado hawajatoa taarifa zozote na ndugu Joel yuko chini ya unagalizi wa madaktari katika hospital ya Mkoa wa Mtwara. Ikumbukwe jimbo la Mtwara Mjini ni kati ya majimbo ambayo umoja wa wananchi UKAWA hawajafikiana kuteua ugombea mmoja wa Ubunge na hivyo bado kuna wagombea wa vyama vya CUF, NCCR na CDM. Siku kama tano zilizopita, Ndugu Joel alitoa kauli kupitia radio mojawapo hapa Mtwara akieleza nia ya kujitoa kugombea Ubunge  kwa maelezo kwamba umoja wao umeshindwa kuafikiana juu ya nani agombee. Pia alisema kwamba amekua akifanyia siasa chafu na wenzake na huku yeye mwenyewe na familia yake wakititishiwa maisha.
Hata hivyo, siku moja baadaye, chama chake kilitoa kauli kwamba hakijamkubalia kujitoa kwenye kinyang'anyiro na hivyo analazimika kuendelea na kampeni. Nimeambatanisha clip ya sauti ya taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari. Kwa mazingira haya tunaamini kwamba tukio la kutekwa na kuumizwa kwake lina uhusiano na siasa za uchaguzi mkuu na matisho aliyokua ameyapataka kabla ya tukio hili.
Ni matumaini yetu kwamba Jeshi la Polisi litafanya kazi yake na kutoa taafira ya uhalifu huu na kuwashughulikia wahusika kwa mujibu wa sheria za nchi.


Ni sisi Ndugu na Marafiki wa Ndugu Joel Nanauka.

Katuni: Dokta, kampeni zinaendelea vizuri...

Call for applications: 2016 Mandela Washington Fellowship Application

After reading all application requirements and details below, begin the Fellowship application process:

MANDELA WASHINGTON FELLOWSHIP APPLICATION INFORMATION

Selection Process

The Mandela Washington Fellowship is conducted as a merit-based open competition. After the deadline, all eligible applications will be reviewed by a selection panel. Chosen semifinalists will be interviewed by the U.S. embassies or consulates in their home countries. If selected for an interview, applicants must provide a copy of their passport (if available) or other government-issued photo identification to verify eligibility.

Who is eligible to apply?

Applicants will not be discriminated against on the basis of race, color, gender, religion, socio-economic status, disability, sexual orientation or gender identity. The Mandela Washington Fellowship is open to young African leaders who meet the following criteria:
 • Are between the ages of 25 and 35 at the time of application submission, although exceptional applicants younger than 25 will be considered.
 • Are not U.S. citizens or permanent residents of the U.S.
 • Are eligible to receive a United States J-1 visa.
 • Are proficient in reading, writing, and speaking English.
 • Are citizens and residents of one of the following countries: Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Cabo Verde, Central African Republic, Chad, Comoros, Democratic Republic of the Congo (DRC), Republic of the Congo, Cote d’Ivoire, Djibouti, Equatorial Guinea, Eritrea, Ethiopia, Gabon, The Gambia, Ghana, Guinea, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mauritius, Mozambique, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Sao Tome and Principe, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Somalia, South Africa, South Sudan, Sudan, Swaziland, Tanzania, Togo, Uganda, Zambia and Zimbabwe.
Individuals residing in Eritrea and Zimbabwe may not apply to the Public Management track. Residents of Sudan may only apply for the Civic Leadership track.
The U.S. Department of State and IREX reserve the right to verify all of the information included in the application. In the event that there is a discrepancy, or information is found to be false, the application will immediately be declared invalid and the applicant ineligible.
Applications not meeting the above technical eligibility requirements will not be forwarded to the selection committee. If you do not meet the technical eligibility requirements for this program, we invite you to visit exchanges.state.gov for information on other U.S. Department of State exchange opportunities.

What are the criteria for selection?

Selection panels will use the following criteria to evaluate applications (not in order of importance):
 • A proven record of leadership and accomplishment in public service, business and entrepreneurship, or civic engagement.
 • A demonstrated commitment to public or community service, volunteerism, or mentorship.
 • The ability to work cooperatively in diverse groups and respect the opinions of others.
 • Strong social and communication skills.
 • An energetic, positive attitude.
 • Demonstrated knowledge, interest and professional experience in the sector/track selected.
 • A commitment to return to Africa and apply leadership skills and training to benefit the applicant’s country and/or community after they return home.

Application Information:

The application will collect basic information and will include questions regarding the applicant’s professional and academic experience, including educational background; honors and awards received; extracurricular and volunteer activities; and English language proficiency. We will also request a résumé (with dated educational and professional background), and personal information (name, address, phone, email, country of citizenship). Additional elements, such as letters of recommendation or university transcripts, are OPTIONAL and may supplement your application.

Application Timeline:

   October 1, 2015:   Application opens
   November 11, 2015:   Application closes
 January-February 2016:   Semifinalists interviewed by local U.S. Embassies and Consulates
   March 2016:   Applicants are notified of their status
   April-May 2016:   Visa processing for finalists
   Mid-June 2016:   Fellowship starts in the United States

Source: https://youngafricanleaders.state.gov/washington-fellowship/apply


Ajali ya gari: Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA


Daniel Naftal Ngogo ambaye ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Kwela, Mkoani Sumbawanga kwa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenusurika kufa katika ajali ya gari iliyotokea majira ya saa tano asubuhi.

Kuna picha zaidi katika blogu ya Arusha255.

PPRA yafunga makampuni 7 kwa udanganyifu

Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga
Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga
Mamlaka ya Ununuzi wa Umma (PPRA), imeyafungia makampuni 7 pamoja na wakurugenzi wake kutokana na vitendo vya udanganyifu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya PPRA, Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga amesema kuwa Mamlaka hiyo imeamua kuyafungia makampuni hayo kwa mujibu wa kifungu cha 62 cha Sheria ya Manunuzi ya Umma Na. 7 ya Mwaka 2011 na Kanuni ya 98 ya Tangazo la Serikali Na. 446 la Mwaka 2013.

Aidha, Balozi Lumbanga alisema kuwa kati ya makampuni hayo, Gagaja Contractors Company Limited, limefungiwa kwa kipindi cha miaka 10 (kutoka tarehe 2 Oktoba,2015 hadi 1 Octoba, 2025) kwa kosa la kuwasilisha dhamana za zabuni za kughushi wakati wa michakato ya zabuni.

Aidha, Balozi Lumbanga alisema kuwa makampuni mengine Sita yamefungiwa kwa kipindi cha miaka miwili (kuanzia tarehe 2, Oktoba, 2015 hadi 1, Oktoba 2017 kwa kukiuka masharti ya mikataba.

Makampuni hayo sita ni pamoja na Intersystem Holdings Company Limited,PEMA TECH Company Limited, Nyakire Investment Limited, Kosemwa Prospects Company Limited, PERNTELS Company Limited na Car and General Trading Limited.

Katika hatua nyingine, PPRA imetoa matokeo ya ukaguzi ya mwaka wa fedha 2014/2015 ambapo imebainika kuwepo kwa ongezeko kidogo la uzingatiaji wa sheria katika manunuzi ya umma.

“Matokeo yamebaini kiwango kidogo cha ongezeko la uzingatiaji wa sheria kutoka wastani wa asilimia 65 mwaka jana hadi kufikia asilimia 69 mwaka huu. Aidha, wastani huu bado uko chini ya lengo lililowekwa la asilimia 75,” alisema Balozi Lumbanga.

Aidha, alibainisha kuwepo mapungufu kadhaa ikiwa ni pamoja na malipo hewa ya kazi za ujenzi wa kandarasi katika taasisi 9, malipo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 951.7.

“Malipo ya zaidi ya shilingi milioni 951.7 yalilipwa kwa wakandarasi kwa kazi hewa (non existing works). Kiasi hiki ni sawa na asilimia 15 ya jumla ya thamani ya miradi yote ya kazi za ujenzi iliyokaguliwa,”alisema.

Kadhalika, ripoti hiyo ilibainisha uwepo wa viashiria vya rushwa katika baadhi ya taasisi na kueleza kuwa Mamlaka hiyo itayapeleka majina ya taasisi hizo TAKUKURU kwa ajili ya uchunguzi.

Alizitaja taasisi hizo kuwa ni NEC (29%), Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (21), Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda (22%), Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo (24%), Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma (28%), Agricultural Input Trust Fund (28%), Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi (20%) na Halmashauri ya Wilaya ya Karatu (31%).

Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Matern Lumbanga (kulia)
akiongea na waandishi wa habari. Aliyeko kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA,
Dk. Laurent Shirima.


Lowassa awaambia TANESCO ole! Tukiwakuta...


Aisha, A movie with difficulty story to tellBy our Reporter

AISHA a movie produced locally to address the pains of turning a blind eye on issues which affects women in particular rape, was screened over the weekend at Century Cinema in Mlimani City, Dar es Salaam.

It was a shocking story, coupled with dangerous moves portrayed very accurately by actress and actors on the movie.

The director Omar Chande brilliantly made his shocking story understood to the public by presenting close ups and cuts barely used in the country.

Godliver Gordian, Adarusi Walii, Florah Nicholas and, Juma Madenge managed to send home the message and in fact the audiences in a full packed house at Mlimani cinema hall were kept in suspense for a long time before realizing that all glitters are not diamonds, ex- lover revenge was so distasteful to a tune of making the full packed room very uncomfortable, aghhhh!.

Aisha, which is UZIKWASA’s Third Film tells a story of a young married pharmacist living in the city who decides to go home to visit her younger sister who is about to be wedded to the son of a local village leader.

While at home, she meets with familiar faces and attempts rekindling the past. However, when an old flame turns cold and spoke the truth she cannot engage in extramarital an ex-boyfriend who was also married got furry and decided to seek revenge.


Aisha being counselled by her brother.

In his outrage action with a director consequences to the girl, a group of people rapped the girl in turn and left her dying. She did not die. Her little sister set out early in the morning searching for her until she found her in the beach laying there unconscious.

She cried she didn’t know what happed to her big sis and when the brother arrived the way he talked to his little sister one can start thinking what kind of a community was that, it looks like the deed was done and everyone would rather turn a blind eye, than seeking justice.

Diana Kamara, one of the audiences at the Movie, said the film made her feel very angry as it took her like a storm. She said she failed to swallow the stigma, shame and victim blame with leaders reluctance to take action against culprits.

Her girlfriend, Monica added that there should be a campaign to arose interest on common forms of violence against women .She believed that Aisha showed a way to break the silence about one of the most devastating form of violence against women, rape.


The husband listening the horrifying story.

Godliver Gordian who acted as Aisha in the movie, said she acted with passion after hearing what happened to her fellow women, to her it was a tragedy which was supposed to be exposed with compassion and clarity so as to catch audience who in turn will do something about this devastating behavior.

Godliver made me believe we have actress she worked hard and in a way managed to make people shout no in the theatre while rape scene was being screened.

The trauma from rape and injustice it was just like love being betrayed everywhere and even the husband who declared her love showed no interest in it, after listening to the tell of rape done to her spouse by a bunch of thugs. He left her in a hurry not to come back; she wanted it she got it, what a stigma!


Godliver (Aisha) talking to one of her new fan after Aisha screening.

To her next of kins it was another betrayal. Her Brother for reasons known best to him failed to reason with her sister to seek justice and he was forced to try it by his wife when she told her point blank: If Ramadhan is the culprit what are you waiting for? Until your daughter and I being rapped?

Yes, it was like a question directed to the audiences, what are they waiting for.


Director of the film Omar Chande giving a hand to Adarus Walii who acted as Ramadhan, Aisha ex boyfriend.


Director of the film Omar Chande posing for a picture with executive director of the film, Vera Pieroth.
Godliver taking selfie.


The director of the movies Omar Chande said it took him three weeks to do the film which is dedicated to women who have gone through the same sufferings as Aisha.

Although the story is very difficult to tell, the actors and actress who went almost 21 days of training, managed to produce a movie which unfolds itself. That is From confidant and cheerful life to the most challenging life when confidence destroys peace, love and harmony.

Executive producer of the movie Vera Pieroth spoke about the need of the community to break the silence and start helping women by ensuring their safety and dignity.


Different people after the screening of Aisha at Mliman Century.


Godliver Gordian who acted as Aisha.


Invited guests after the show.


Ramadhan and his henchmen after being surrounded by the village.


The gang after doing their dirty job.


Preparations for the wedding day.


Aisha and ramadhan remembering their old goodtimes.