Wanafunzi 2 waeleza mabadiliko wanayoyatakaHuku shughuli za uchaguzi zikiendelea nchini Tanzania pamoja na hamasa kubwa, kuna kundi moja ambalo tunaweza kusema kwamba uchaguzi hauwagusi moja kwa moja, nalo ni kundi la watoto ambao hawawezi kupiga kura. Hii ni kwa sababu umri wa watu wanaopiga kura ni kuanzia miaka kumi nane kwenda juu kwa mujibu wa sheria. Hata hivyo, wana mawazo yao kuhusu kampeni na uchaguzi kwa jumla.

Mwanahabari wa BBC, Zuhura Yunus alizungumza na wanafunzi wawili kutoka shule ya Sekondari ya Siera kuhusu mabadiliko ambayo wangependa kuyaona kutokana na uchaguzi huu.

Mama Regina Lowassa 'amtwanga' mtu aliyempapasa maungo


Shine with Shina Annual Gala 2015 @ Greenbelt, MD


Meza kuu kutoka kushoto ni Bi. Jennifer Jones ambaye ni ni mkuu wa Kamisheni ya wanawake kaunti ya Prince George, Afisa Suleiman Saleh ambaye alimwakilisha Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi. Kulia ni Dr. El Senzengakulu Zulu ambaye ndio mwanzilishi na mmiliki wa shule ya Ujamaa inayofundisha tamaduni za bara la Afrika.

Mchango wa vibonzo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
Kwa muda mrefu na hasa mwaka huu wa uchaguzi nchini Tanzania, vibonzo vimekuwa gumzo ambapo licha ya kuwa na ujumbe mzito lakini ni namna ya kipekee ujumbe huo hutolewa, kwa mzaha.

Ili kutaka kujua zaidi kuhusu wachoraji vibonzo, mwanahabari wa BBC, Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es Salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.


SAFC celebrates opening of Tanzanian Youth Park

Official ribbon cutting - l to r- Symbion CEO, Paul Hinks, H.E. President Kikwete, SAFC Chief Executive, Margaret Byrne, NBA Vice President, Amadou Fall Gallo
Date: 18 October 2015

Over one thousand people attended the opening of the Jakaya M. Kikwete Youth Park in Dar es Salaam yesterday, as it was officially unveiled to the public for the first time by officials from Sunderland AFC (SAFC), Symbion Power, NBA Africa, and H.E. Jakaya Mrisho Kikwete.

The park which will provide a full-size 3G artificial turf football pitch, two five-a-side pitches, one sand-based pitch, and two football courts, will be open year round, seven days a week beginning on October 19, to help improve the sporting skills of the Tanzanian youth.

The opening event featured a variety of interactive stations, ranging from SAFC’s Head of International Football Development, Graham Robinson, delivering football sessions to over 500 youngsters, plus performances from the NBA Atlanta Hawks Sky Squad and an appearance from SAFC legend Kevin Ball.

As part of its involvement SAFC will provide the technical and practical support to the development of the park, which will see thousands of youngsters benefit from a joined up approach combining sport, education and community engagement, harnessing the knowledge and expertise of Sunderland AFC and its own successful academy.

Margaret Byrne, Sunderland’s CEO, at the launch said: “Community football was the starting point for many of our professional players. It provides the perfect structure to grow and develop as not only a player but also as a person. It teaches you the timeless qualities of leadership, responsibility, perseverance and teamwork.

“The facilities at the JMK Youth Park showcase Sunderland AFC’s ambitions for the communities it works within and will benefit a new generation of sporting stars in Tanzania, providing the perfect platform for youngsters in Dar es Salaam to nurture their talent and further develop themselves.”

The facility will also feature a centre of excellence dedicated to improving the skills of young Tanzanian footballers, with the centre scheduled to begin operations in January 2016 and will feature a programme specifically designed by Sunderland AFC.

Speaking at the event, President Kikwete said “After visiting Sunderland, the Stadium of Light and their academy, I thought yes this is a club we can work with and what I really appreciated is that you went beyond soccer and helped with our community. Sunderland are wonderful people and we hope to create great soccer players for the future.”

Symbion, a major American independent power producer with long-standing ties to Tanzania through the company’s various power plants in the country, helped develop and finance the park.

Paul Hinks, CEO of Symbion, said: “This is a labor of love not only for Symbion but also for Sunderland AFC and the NBA. What makes this special is those two organizations are providing support to give training so that we can bring up these standard of players who come to this facility to the sort of standards that come out of football academies and basketball academies overseas. “

For more information about Sunderland AFC in Africa please visit www.safc.com/the-club/safc-global and for further developments related to the park, please follow @jmkpark on Twitter and Instagram.

Official plaque unveiling - l to r- Symbion CEO, Paul Hinks, H.E. President Kikwete, SAFC Chief Executive, Margaret Byrne, NBA Vice President, Amadou Fall Gallo


sea of SAFC fans at JMK Youth Park opening
-ENDS-
Issued by Sunderland Association Football Club


Gari la Bunge lapata ajali katika safari ya kumzika Filikunjombe


Awali iliripotiwa kuwa katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah anaripotiwa kupatwa na ajali akiwa njiani kuelekea Ludewa kumzika marehemu Deo Haule Filikunjombe na kuwa watu wote waliokuwa katika gari hilo lililopinduka, wamenusurika kifo.

Habari za hivi punde kutoka kwenye Ofisi ya Bunge zinasema kuwa gari la ziada katika msafara wa Spika wa Bunge -- linaloonekana pichani -- ndilo lililopinduka wakati wakiwa njiani kuelekea katika mazishi ya marehemu Filikunjombe. Ajali hiyo iliwahusisha mlinzi wa Spika, Alphonce Mwakasege, Naibu Katibu wa Spika, Herman Berege na Mbunge wa Mafia anyaemaliza muda wake, Mhe Abdulkarim Shah. Abiria wote wamepata majeraha madogo madogo na waliokolewa katika eneo hilo na Mhe. William Lukuvi (Mbunge na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi).