[update] Orodha ya majina ya wabunge - Viti Maalum 2015Ujumbe wa awali: Nakala hii haijathibitishwa kuwa ndiyo rasmi ama kukanushwa kuwa sivyo...

Job: Forensic Audit Services, Tanzania

Organization: Voluntary Service Overseas
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 20 Nov 2015

Job: Istituto Oikos - Country Administrator, Tanzania

Organization: Istituto Oikos
Country: United Republic of Tanzania
Closing date: 11 Dec 2015

Muhtasari wa shughuli za Rais Magufuli siku ya kwanza; Agizo kuhusu kodi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano. (Picha na Freddy Maro)


USA Applebee's customer attacked for speaking Swahili
COON RAPIDS, Minn. (WCCO) — Asma Mohamed Jama’s face now carries the scars from what she says was an unprovoked attack inside the Applebee’s on 129th Avenue in Coon Rapids.

Jama was with her cousins and a total of four children having dinner last Friday night, they were speaking in their native language, Swahili.

According to a criminal complaint, 43-year-old Jodie Marie Bruchard-Risch, of Ramsey, became upset because they were not speaking English.

Jama says she said something back.

“I live in America. I can speak English but we prefer to speak our own language if it bothers you I’m sorry,” Jama said.

“She was abusing her verbally,” said Cmdr. Paul Sommer of the Anoka County Sheriff’s Office. “Staff at the restaurant tried to intervene, tried to get them to move and get out of the way, but the suspect in the case finished her assault by taking a large beer mug and striking the victim across the face.”

“It was the big beer mug. She threw it with the beer on my face,” Jama recalled.

The punch caused deep cuts to Jama’s nose, right eye and lower lip. She got a total of 17 stitches.

The complaint says Burchard–Risch smashed the beer mug across Jama’s face and then ran from the restaurant.

“The Applebee’s employees actually followed [Bruchard-Risch] until law enforcement could arrive and take her into custody,” Sommer said.

Burchard-Risch is charged with third-degree assault, a felony that could land her in jail for years.

“This is a case of an individual who was intolerant and not accepting of someone who was speaking in a language other than English in her presence and felt that if you are in America you should speak English,” Sommer said.

He added that in all his years of law enforcement, he’s never dealt with this type of intolerance.

“Certainly I’ve seen racially motivated crimes, but I can’t say that I’ve seen somebody assaulted for speaking in their native language,” he said.

“We kind of feel like we’ve come a long way with racism and intolerance in our country,” he added, “but every so often something like this happens and reminds us we haven’t quite come far enough.”

Jama says what happened that night has changed her.

“Emotionally it’s destroyed me honestly. I’ve lived in Minnesota for 15 years. I’ve never been looked at strangly ever,” Jama said.

Burchard- Rish has been charged with assault in the past. She pleaded guilty to an earlier assault charge in 2011.

A GoFundMe account has been set up to help Jama with her medical bills.

Zuio la maandamano na mikutano ya hadhara ya kisiasaJeshi la Polisi nchini limepiga marufuku mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa kwa kile ilichoeleza tathimini iliyofanywa na jeshi hilo inaonyesha bado kuna mihemko ya kisiasa ambayo inaweza sababisha uvunjifu wa amani endapo itaruhusiwa kufanyika.

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini ssp Advera Bulimba, amewaeleza waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuwa, maombi yote ya kufanya mikutano na maandamano yaliyotolewa na vyama vya siasa vya CCM na Chadema yamezuiliwa mpaka hapo hali itakapotengamaa baadaye.

Awali leo, kulikuwa na ujumbe unaosomeka hivi:
Siku ya Jumapili tarehe 08/11/2015 kuanzia saa 08:00 mchana mpaka saa 12:00 jioni kutakua na mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani ambapo Mh. Edward Ngoyai Lowassa ataongea na wananchi wote.Tafadhali fika bila kukosa. Imetolewa na Kurugenzi ya Habari (Makao Makuu-CHADEMA)

Job: Assessment Team Lead, E3 Analytics and Evaluation Project

Organization: Management Systems International
Country: United States of America
Closing date: 04 Dec 2015

Job: Project Director

Organization: FHI 360
Country: United States of America
Closing date: 31 Dec 2015

Job: Awards and Compliance Officer

Organization: Population Services Intl.
Country: United States of America
Closing date: 03 Dec 2015

Job: Senior Manager, Major Gifts

Organization: Rainforest Alliance
Country: United States of America
Closing date: 04 Jan 2016

Job: USPSC Overseas Operations Specialist (Multiple Positions)

Organization: US Agency for International Development
Country: United States of America
Closing date: 29 Feb 2016

Job: Manager II, Knowledge Management & Learning Unit

Organization: Catholic Relief Services
Country: United States of America
Closing date: 04 Dec 2015

USA congratulates Tanzania and Pres. Magufuli; Still alarmed about Zanzibar

Tanzanian Elections


Press Statement

John Kerry
Secretary of State
Washington, DC
November 5, 2015On behalf of President Obama and the people of the United States, I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on their presidential and parliamentary elections, reaffirming Tanzania’s strong democratic record.

As President John Pombe Magufuli and his administration assume their responsibilities, we look forward to continuing our close partnership and strengthening further ties between our two countries as we work together to support democratic traditions, promote regional security, and continue to spur economic development.

I also thank outgoing President Kikwete for his efforts to help build a strong and enduring relationship between the United States and Tanzania.

The United States, however, continues to be gravely alarmed by the announcement by authorities that they intend to nullify Zanzibar’s October 25 presidential election.

We strongly urge Tanzania’s new administration to ensure that the will of the Zanzibari people is reflected in the prompt, fair, and peaceful conclusion of the electoral process in Zanzibar.


Source: state.gov

[update] IMESITISHWA! Picha rasmi ya Rais Magufuli kwa anayetaka kubandika ofisini

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.

Awali majira ya saa 6: 00 mchana leo Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais, ambayo ilikuwa ikiuzwa kwa gharama ya Shilingi Elfu Kumi na Tano tu (15,000/=).

Aidha, Serikali imesema kwamba itazitangazia ofisi hizo na umma wa Watanzania kuhusu kuanza tena kwa matumizi ya picha hiyo hapo baadae.

Imetolewa na
IDARA YA HABARI.
Novemba 6, mwaka 2015

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali, Assah Mwambene akiwaonesha waandishi wa habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ambayo itakuwa ikitumika katika ofisi za Serikali na za binafsi zinazotaka. Picha hiyo inapatikana Idara ya Habari (MAELEZO) kwa gharama ya Shilingi 15,000/ tu.

Taarifa ya NEC ya mgawanyo wa Viti Maalum Bungeni


Kwa mujibu wa Ibara ya 66 (1)(b) na Ibara ya 78 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa Mamlaka ya kutangaza Viti Maalum vya wabunge wanawake visivyopungua asilimia 30 ya wabunge wote.

Kwa mujibu wa uamuzi wa serikali wa mwaka 2010 idadi ya wabunge wanawake wa Viti Maalum iliongezwa na kufikia asilimia 40.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 Viti Maalum ni 113 kutokana na kuwepo kwa majimbo 8 ambayo hayakufanya uchaguzi. Mgawanyo wa Viti Maalum kwa sasa ni 110. Viti 3 vilivyobaki, vitagawanywa baada ya kufanyika kwa uchaguzi katika majimbo hayo.

Vyama ambavypo vimekidhi vigezo hivyo vya Kikatiba na Kisheria vya kupata angalau asilimia 5 ya kura zote halali za wabunge ni:

CCM viti 64

CHADEMA viti 36

CUF viti 10

Rais Mstaafu Kikwete afungasha rasmi mizigo Ikulu na kuelekea kijijini Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. Kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph MagufuliRais Mstaafu Kikwete akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu. Kushoto kwake ni Rais MagufuliRais Magufuli akimsindikiza Rais MstaafuKikwete.


Rais Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu Kikwete na mkewe, Salma.Wakielekea kwenye helikopta itayowachukua hadi kijijini MsogaPicha ya pamoja kabla safari ya Msoga kuanzaRais Magufuli akiagana na Rais Mstaafu KikweteRais Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo na watumishi wa Ofisi ya Rais wakiagana na Rais Mstaafu Mrisho Kikwete


Picha za Rais Magufuli akifanya ziara ya kushitukiza katika ofisi za Serikali


Huenda ndiyo mwanzo wa kauli mbiu, #HapaKaziTu kwani, ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju leo, Dk. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushitukiza kwa kutembea kwa mguu kwa mwendo wa dakika 10 kutoka Ikulu mpaka ofisi za Wizara ya Fedha (Hazina), ambapo amekuta watumishi zaidi ya 6 hawapo katika madawati yao ya ajira.

Akizunguka katika kila ofisi pasipo watumishi hao kufahamu, alikutana na viti na meza tupu. Rais alihoji anaowakuta ndani ya ofisi hizo. Wakati mmoja amesikika akisema, "wamekwenda kunywa chai," bila kufafanua huku akionesha kushangaa na kuwaacha na butwaa waliokuwepo.

Hata hivyo Rais Magufuli baada ya ziara hiyo imeelezwa kuwa alifanya kikao na wakuu mbalimbali.

Wananchi wameshangazwa na ziara hiyo huku baadhi wakisema hawakuwa na mawazo kuwa wangeweza kumuona mkuu wa nchi akitembea kwa miguu miongoni mwao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha. (Picha kwa hisani ya Wizara ya Fedha)


TNRF wamtaka Rais Magufuli adhibiti upotevu wa maliasili

Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF), Dk.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili. Picha na Gadiola Emmanuel
Na Ferdinand Shayo/Wazalendo 25 Blog, Arusha.

Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini Dr.Suma Kaare amemtaka Raisi John Pombe Magufuli adhibiti upotevu wa mali asili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.

Suma Kaare amesema hayo katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili unaoendelea jijini Arusha,Kaare amesema kuwa jukwaa hilo litashirikiana na Rais huyo katika kuhakikisha kuwa maliasili zinalindwa na kuwanufaisha Watanzania kwa kiwango stahiki.

“Tunajua Rais wetu mpya ana kazi kubwa ya kulinda maliasili za nchi hii kama ilivyo kauli mbiu yake ya “kazi tu” tunaamini atazuia upotevu mkubwa wa rasilimali unaofanywa na watendaji wasio waaminifu” Alisema Kaare

Mratibu wa Masuala ya misitu katika shirika la uhifadhi wa maliasili na Mazingira (wwf) ,Isaac Malungu amesema kuwa asilimia 90% ya nishati inayotumika nchini inatokana na kuni pamoja na mkaa hali ambayo inaathiri misitu na kutishia uhai wa maliasili nchini hivyo ameitaka serikali ihimize matumizi ya nishati mbadala ili kunusuru mazingira yanaoharibiwa kila kukicha.

Malungu alisema kuwa kilimo cha kuhama hama pamoja na ukataji miti ovyo umekua ukisababisha uharibifu wa mazingira na hata kupelekea hecta laki 4 za misitu kupotea kila mwaka kutokana na shughuli hizo.

Mkurugenzi wa Shirika la AWF,John Salehe Alisema kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi yamesababisha hali ya ukame inayowaathiri wanyama pamoja na mimea hivyo kuathiri uhifadhi kwa ujumla .

Salehe alisema kuwa juhudi zaidi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo upandaji wa miti pamoja na kutunza misitu ili kurejesha uoto wa asili uliopotea.Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelMkurugenzi wa Shirika la AWF ,John Salehe akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWashiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelViongozi mbalimbali wa jumuiko la maliasili wakiwa katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWashiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja, ,mkutano huo ulihudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWashiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWashiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelMwakilishi wa Shirika la WWF ,Sware Semesi akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWashiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola EmmanuelWasemaji Wakuu wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel

Vote Sheria Ngowi for Best East African Fashion Designer of the YearTo cast your vote click this link www.abryanzstyleandfashionawards.com/vote