Taarifa mpya/Updates za mchango kwa ajili ya tiba ya dada Mwambepo

Wasamaria wema kadhaa wamejitokeza kumsaidia dada Joyce (taarifa yake ilichapishwa hapa). Hatuna uhakika kwamba wote wanapenda majina yao yawekwe hadharani, ila tunapenda hadi sasa kukiri upokeaji wa Tshs:
 • 505,000/-
 • 50,000/-
 • 100,270/-
 • 10,000/-
 • 100,000/-
 • 500,000/- (ahadi ya uhakika)
 • 500,000/- (Michuzi Media Group)
 • 800,000/- (Kulipia gharama za vipimo vya CT Scan Regency Hospital mgonjwa atapofikishwa Dar es salaam).
Hivyo ndiyo kusema jumla ya Tshs. 2,565,270/- tayari zimekusanywa kumsaidia dada yetu huyu anayeteseka. Kwa niaba ya mgonjwa tunashukuru sana kwa msaada huo, hana cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea kwa Mola mzidishiwe pale mlipopungukiwa.

Pamoja na yote hayo, kiasi cha Tshs. 3,000,000/- za ziada zinahitajika kwa ajili ya kuhitimisha zoezi lote hili. Hiyo ikiwa ni gharama za usafiri, malazi ya mgongwa na wasaidizi wawili kwa mwezi mmoja (atapopelekwa Dar es salaam kwa vipimo na matibabu) ili kumsaidia. Hivyo michango zaidi inahitajika kumuokoa dada Joyce. KUTOA NI MOYO.

Aidha, kwa kiasi kilichopatikan, mipango imeshafanywa kumpeleka dada Joyce katika hospitali ya rufaa ya Mbeya kwa uchunguzi mpya wa awali. Baada ya hapo tutawafahamisha nini kinachotakiwa kuendelea.

Deo Kakuru Msimu
Msamaria mwema
+255769 512 420

Kansiime: My alarm clock


Uwekezaji kwenye maarifa

Ulaya na Marekani wamehangaika sana katika uvumbuzi, swali la kujiuliza upande wetu huku Afrika wajibu wetu nini kwa sasa? Muelekeo wetu ni upi?

Ni kweli kwamba kwa vumbuzi zao wameturahisishia kazi . Wajibu wetu ni kutafuta maarifa ya kutengeneza na kuongezea uwezo wa walivyovumbua. Nadhani jitihada zetu ni muhimu ziwepo hapo.

Tutakapowekeza kwenye maarifa ya watu wetu ndio tutakuwa na maendeleo ya kweli. Hatuwezi kuendelea bila kuzalisha (production knowledge) kuwa nayo. Na kuwa na watu wengi wenye skills za kuzalisha.

Kujitegemea ni kuzalisha vitu vyetu wenyewe kwa maendeleo yetu na kwa biashara. Na kuwa na uwezo wa kufikiri kwa kujitegemea kama taifa. Bila nguvu hii ( power of creation ) taifa letu haliwezi kukua. Maendeleo ya binadamu tuliyonayo yamekuja baada ya watu kuanza kugundua.

Tusipofanya hivi tutaendelea kununua bidhaa kutoka nje na kila siku tutaupeleka utajiri wetu huko.

Lakini la pili nguvu yetu ya kiulinzi itakuwa ndogo mno. Kwa sababu wao ndio watakao kuwa wakizalisha silaha na kutuuzia na hawatoweza kutuuzia silaha zenye uwezo mkubwa kuliko zao.

Ni muhimu kuwekeza kwenye maarifa na uvumbuzi na kwenye nguvu ya kutengeneza vitu. Uwezo huo tunao. Tatizo ni jinsi tunavyoelekeza mawazo yetu na kuwa tayari kwetu kujiingiza kwenye uzalishaji huo. Kwenye nia kuna njia. Iwepo nia hiyo tu.

Kiongozi mzuri lazima awe na maono hayo. Ni maono ya kimsingi sana. Hatuwezi kuwa taifa la kununua tu. Haiwezekani. Tunajua wenzetu wako mbali sana lakini bado tunauwezo wa kufika sehemu fulani kama tukijipanga.

Kama jitihada hii itakuwepo kwa vizazi kadhaa na kama tutakuwa na uongozi mzuri wa kutufikisha huko tutafika.
Hauwezi kuwa taifa linalojitegemea kama hatuko huru kifikra na kama hatuna uwezo wa kuzalisha .

Naomba masuala haya ya msingi tuyapatie muda kuyatafakari kwasababu ni mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu. Nidhamu, jitihada na nia ya dhati italinyanyua taifa hili. Na kama tutajenga msingi bora kwa vizazi vijavyo; wataendeleza yale tuliyoyaanza kwenye msingi imara.

Muhimu ni kujenga elimu ambayo haina malengo ya kibinafsi ila yenye malengo ya kuleta mapinduzi kwenye jamii yetu na taifa letu. Elimu ambayo itasaidia kuinua jamii zetu sio kuziangamiza. Elimu ambayo ina muelekeo wa kitaifa na sio wa kibinafsi. Elimu ambayo itajenga maadili ya watu wetu kwa kujua kati ya sahihi na potofu na kufuata sahihi kwa faida ya taifa letu.

Muelekeo wa taifa letu na baadae yake inategemea sana fikra za watu wetu zikoje. Umoja wao , mahusiano yao na malengo yao ya pamoja yakoje. Tena na tena tuache ubinafsi kwakuwa ubinafsi hauwezi kujenga jamii iliyo imara. Tujenge jamii yenye maadili na yenye kushirikiana na kusaidiana ili kufikia malengo yetu kama taifa.

Watu wanaelimika lakini wanajiangalia wenyewe lakini sio jamii kwahiyo elimu yao inakuwa na manufaa madogo sana katika kuleta mapinduzi kwenye jamii. Elimu lazima ilete mabadiliko kwenye jamii inayotuzunguka hiyo ndio thamani ya elimu.

Kama elimu yetu itatutengenezea wezi na mafisadi ni nini faida yake? Italetaje mabadiliko chanya ambayo tumekusudia kama taifa ? Tunatafuta maarifa ili tuishi maisha mazuri na yenye nidhamu.

Kama elimu yetu ikikosa nidhamu na watu wetu tunaowaelimisha wasipojua njia sahihi kwa kuwa mafisadi na wezi itakuwa na faida gani? Tutaendeleaje ? Haitakuwa na faida hata kidogo na hatutakuwa na maendeleo kama tutakuwa na wasomi ''corrupt'' ambao hawajui kipi sahihi na kipi potofu kwa taifa lao na kwa jamii zao zinazowazunguka.

Tunahitaji elimu itakayoleta positive impact kwa taifa letu na kwa jamii yetu na kuwafanya watu wetu kuwa na maadili, nidhamu na maarifa ya kutosha kuendesha taifa lao na kulifanya lidumu na liendelee.

Ni muhimu kujenga misingi imara sasa ya kimaadili ( values ) ambazo zitatusaidia sana kuendelea. Bila kuwa na misingi hatuwezi kuendelea. Jitihada zetu za kutafuta maarifa lazima zijengwe kwenye values. Na kwa hakika taifa letu haliwezi kuendelea bila watu wetu kuwa na maarifa.

Hatuendelei kwasababu hatuna maarifa ya kutufanya kuendelea, ni wajibu wetu kuyatafuta sasa hivi. Hakuna taifa ambalo watu wake wameendelea bila kuwa na maarifa. Kwahiyo ni muhimu sana kujiingiza katika kujifunza na kusoma bila kuchoka na kutumia maarifa yetu kwa faida ya taifa na jamii kwa ujumla.

Kuna hii nguvu ya akili kuleta mabadiliko ipo kwa kila binadamu na tuna uwezo huo wa kubadili taifa letu. Kama tutajiingiza kwenye kutafuta maarifa kama taifa. Ni muhimu sana kwa udi na uvumba kupambana na ujinga na matendo yeyote ya kijinga na kujenga mienendo yetu katika njia sahihi. Na kuacha ubinafsi ambao unaturudisha nyuma sana kama taifa. Na tujenge taifa la watu wanaoshirikiana na kuheshimiana.

Job: ICT Development Manager in Kenya at Médecins Sans Frontières - Displacement Unit

Organization: Médecins Sans Frontières
Country: Kenya
Closing date: 30 Nov 2015

Katabazi anasema Rais Magufuli "aliingizwa chaka" kuhusu Dk Ackson

IBARA ya 72 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inasema ;
"Iwapo mtu yeyote mwenye madaraka katika utumishi wa Serikali, madaraka ya aina iliyotajwa katika ibara ya 67(2)(g) ataamua:-
(a) kuwa mgombea uchaguzi wa Rais au wa nafasi nyingine yoyote chini ya Katiba hii;
(b) kugombea uongozi wa ngazi yoyote katika chama cha siasa kinyume na masharti ya ajira,
mtu huyo atahesabiwa kuwa utumishi wake umekoma tangu tarehe yake ya kuwa mgombea uchaguzi au ya kugombea uongozi katika chama cha siasa.".

Aibu! Tanzania kinara wa bima bandia ya COMESA


Guide on whether to use ice or heat for diffferent kinds of pain


Job: Deputy Chief of Party, Kenya Elections

Organization: CAMRIS International
Country: Kenya
Closing date: 06 May 2016

Job: Monitoring and Evaluation Advisor, Kenya

Organization: CAMRIS International
Country: Kenya
Closing date: 06 May 2016

Job: Financial and Administrative Manager, Kenya

Organization: CAMRIS International
Country: Kenya
Closing date: 06 May 2016

Job: HPC - Data Coordinator

Organization: International Center for AIDS Care and Treatment Programs
Country: United States of America
Closing date: 31 Dec 2015

Job: HPC - Research Nurse

Organization: International Center for AIDS Care and Treatment Programs
Country: United States of America
Closing date: 31 Dec 2015

Job: Deputy Project Director for CAMRIS International, 2016 USAID Analytical Services

Organization: CAMRIS International
Country: United States of America
Closing date: 01 Jan 2016

Job: Project Director, Analytical Services

Organization: CAMRIS International
Country: United States of America
Closing date: 01 Jan 2016

Tahadhari kwa watumia 'supplements' kukata 'weight' na kutengeneza 'six packs'

Charges brought in dietary supplement fraud case


WASHINGTON (AP) -- A Dallas company that had been ordered to recall a dietary supplement pill because of links to liver damage has been indicted along with several of its executives on charges that they intentionally misbranded their products and deceived consumers, the Justice Department announced Tuesday.

The indictment accuses USPlabs LLC of importing chemicals from China and then lying about the nature and source of those ingredients through misleading marketing labels, part of a pattern of deception that prosecutors say was designed to put products on store shelves regardless of safety risk and to satisfy consumer demand for its lucrative business.

"They falsified labeling and marketing materials to convince consumers, who prized natural ingredients, to buy their products," said Principal Deputy Assistant Attorney General Benjamin Mizer, head of the Justice Department's civil division. "All of these people - regulators, retailers and consumers - trusted that the defendants were telling the truth about their products. All of these people were deceived."

The allegations cover the company's past troubles with the Food and Drug Administration, which in 2013 directed the firm to cease production of a weight loss and muscle-building supplement after the product was linked to liver damage and several users needed liver transplants to save their lives. The company promised the FDA that it would stop distributing the supplement, known as OxyElite Pro, but instead engaged in a "surreptitious, all-hands-on-deck effort to sell as much OxyElite Pro as it could as quickly as possible," according to the Justice Department.

The indictment also charges four company executives and a consultant as well as S.K. Laboratories, Inc., an Anaheim, California firm that prosecutors say was responsible for manufacturing many products for USPlabs, and one of its executives.

Four of the six individuals who were charged were arrested Tuesday, and the two others were expected to turn themselves in.

Online court records didn't list attorneys for any of the defendants. Publicly listed phone numbers for the indicted individuals could not immediately be located.

The indictment was announced as part of a yearlong nationwide sweep against makers and marketers of dietary supplements that the Justice Department said has resulted in criminal or civil cases against 117 people and entities.

The multi-billion-dollar dietary supplement industry in recent years has come under scrutiny from lawmakers and regulators, who have expressed concerned that companies are skirting rules meant to stop them from marketing their products for specific diseases and conditions.

In June, for instance, Sen. Claire McCaskill of Missouri sent a letter to more than a dozen companies asking executives to explain how they vet dietary supplements and weed out products making false claims.

Mizer, of the Justice Department, said that while "not every label lies about what is contained in the bottle," consumers nonetheless need to be careful about what products they use.

Taarifa ya Ofisi ya Bunge: Majina ya wagombea kiti cha Unaibu Spika


Waliotangazwa ni Dk Tulia Ackson Mwansasu (CCM) na Magdalena Hamisi Sakaya (CUF).

Snowden mentions security practices everyone should adopt

Micah Lee: What are some operational security practices you think everyone should adopt? Just useful stuff for average people.
Edward Snowden: [Opsec] is important even if you’re not worried about the NSA. Because when you think about who the victims of surveillance are, on a day-to-day basis, you’re thinking about people who are in abusive spousal relationships, you’re thinking about people who are concerned about stalkers, you’re thinking about children who are concerned about their parents overhearing things. It’s to reclaim a level of privacy.
 • The first step that anyone could take is to encrypt their phone calls and their text messages. You can do that through the smartphone app Signal, by Open Whisper Systems. It’s free, and you can just download it immediately. And anybody you’re talking to now, their communications, if it’s intercepted, can’t be read by adversaries. [Signal is available for iOS and Android, and, unlike a lot of security tools, is very easy to use.]
 • You should encrypt your hard disk, so that if your computer is stolen the information isn’t obtainable to an adversary — pictures, where you live, where you work, where your kids are, where you go to school. [I’ve written a guide to encrypting your disk on Windows, Mac, and Linux.]
 • Use a password manager. One of the main things that gets people’s private information exposed, not necessarily to the most powerful adversaries, but to the most common ones, are data dumps. Your credentials may be revealed because some service you stopped using in 2007 gets hacked, and your password that you were using for that one site also works for your Gmail account. A password manager allows you to create unique passwords for every site that are unbreakable, but you don’t have the burden of memorizing them. [The password manager KeePassX is free, open source, cross-platform, and never stores anything in the cloud.]
 • The other thing there is two-factor authentication. The value of this is if someone does steal your password, or it’s left or exposed somewhere … [two-factor authentication] allows the provider to send you a secondary means of authentication — a text message or something like that. [If you enable two-factor authentication, an attacker needs both your password as the first factor and a physical device, like your phone, as your second factor, to login to your account. Gmail, Facebook, Twitter, Dropbox, GitHub, Battle.net, and tons of other services all support two-factor authentication.]
We should not live lives as if we are electronically naked.
We should armor ourselves using systems we can rely on every day. This doesn’t need to be an extraordinary lifestyle change. It doesn’t have to be something that is disruptive. It should be invisible, it should be atmospheric, it should be something that happens painlessly, effortlessly. This is why I like apps like Signal, because they’re low friction. It doesn’t require you to re-order your life. It doesn’t require you to change your method of communications. You can use it right now to talk to your friends.
DSC_0650-color-1
Micah Lee and Edward Snowden, Moscow, Russia.
 
Photo: Sue Gardner /
The Intercept
Lee: What do you think about Tor? Do you think that everyone should be familiar with it, or do you think that it’s only a use-it-if-you-need-it thing?
Snowden: I think Tor is the most important privacy-enhancing technology project being used today. I use Tor personally all the time. We know it works from at least one anecdotal case that’s fairly familiar to most people at this point. That’s not to say that Tor is bulletproof. What Tor does is it provides a measure of security and allows you to disassociate your physical location. …
But the basic idea, the concept of Tor that is so valuable, is that it’s run by volunteers. Anyone can create a new node on the network, whether it’s an entry node, a middle router, or an exit point, on the basis of their willingness to accept some risk. The voluntary nature of this network means that it is survivable, it’s resistant, it’s flexible.
[Tor Browser is a great way to selectively use Tor to look something up and not leave a trace that you did it. It can also help bypass censorship when you’re on a network where certain sites are blocked. If you want to get more involved, you can volunteer to run your own Tor node, as I do, and support the diversity of the Tor network.]
 • Read the full Edward Snowden interview with The Intercept for more advice on what the average citizen can do to protect their privacy.

Job opportunities at the Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)

Applications are invited from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the following vacant positions, at the Dar es Salaam Institute of Technology (DIT).

 1.0 TUTORIAL ASSISTANT- 2 POSTS
 1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 • Teaching up to NTA level 6 (Ordinary Diploma).
 • Conduct tutorial and practical exercises for students.
 • Prepares learning resources for tutorial exercise
 • Assists in conducting research under close supervision of supervisor
 • Carries out Consultancy and Community Services under close supervision.
 • Perform any other duties as assigned by supervisor.
 1.2       QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE:
 1.3       BUILDING AND CIVIL ENGINEERING -1 POST
 • Bachelor of Science /Bachelor of Engineering /Advance Diploma in Architecture (GPA 3.5 and above) or equivalent qualification from a recognized Institution.
 2.0. ELECTRICAL ENGINEERING – 1 POST
 • Bachelor of Science /Bachelor of Engineering /Advanced Diploma in Biomedical Engineering GPA 3.5 and above or equivalent qualification from a recognized Institution.
  2.1 REMUNERATION
 Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s salary PHTS 1.
 3.0 INSTRUCTOR I – (1 POSTS - Mwanza Campus)

3.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 • Teaches up to NTA level 6 and assist teaching in higher NTA levels.
 • Prepares leaning resources for practical exercises
 • Supervises and assists students in building up their research/ projects.
 • Prepare learning resources.
 • Assists in conducting practical exercises for students in the department under close supervision up to level 5
 • Conducts research, consultancy and community services.
 • Supervises field training.
 • Supervises and assist junior staff
 • Perform any other duties as assigned by supervisor.
3.2 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
 • Bachelor of Arts (Fine and performing Art) or BA(Fashion & Designing) with GPA   3.5 and above  or equivalent qualification from recognized Institution
 3.3 REMUNERATION
 Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s salary PTSS 10.
  4.0 PRINCIPAL PROCUREMENT OFFICER - 1 POST
 4.1 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
 • Holder of Masters in materials Management or Procurement plus CPSP (T) and nine (9) years experience in similar profession/carrier. 
4.2 Duties and Responsibilities

 • Prepares quarterly purchasing and stores returns. 
 • Plan and Organizes purchase and supplies activities.
 • Coordinates purchasing and supplies activities.
 • Reviews policies pertaining to Materials Management.
 • Advises the Chief Accountant on purchasing matters.
 • Supervises junior staff in the section and ensuring that such duties are properly executed.
 • Designs induction programmes to new employees at the section.
 • Performs any other related duties as may be assigned by immediate supervisor
 4.3 REMUNERATION
 Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s salary scale PGSS 12.
 5.1 ARTISAN I – (2 POSTS)
 5.2 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE: (PLUMBING - 1 Post & WELDER -1 Post)
Holder of Form IV/VI with Trade Test Level III/I plus three (3) years of working experience in a similar profession or carrier. 
5.3 Duties and Responsibilities

 • Perform routines specified tasks that demands higher technical skills under supervision.
 • Keep the work place tidy.
 • Collects and takes care of working tools.
 • Carries out minor repairs and maintenance.
 • Report maintenance problem to senior staff.
 • Assist in Operational repair of machinery, facilities building and infrastructure.
 • Performs other related duties as may be assigned by immediate Supervisor.
  5.4 REMUNERATION
 Attractive remuneration package in accordance with the Institution’s salary scale PGSS 3.5
NB: GENERAL CONDITIONS

 All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
 Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact postal address, e-mail address and telephone numbers.
 1. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.
 2. Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
  1. Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
  2. Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
  3. Form IV and Form VI National Examination Certificates.
  4. Computer Certificate
  5. Professional certificates from respective boards
  6. One recent passport size picture and birth certificate.
 3. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
 4. Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.
 5. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
 6. Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
 7. Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November, 2010.
 8. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
 9. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
 10. Certificates from foreign examination bodies for ordinary or advanced level education should be certified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA)
 11. Certificates from foreign Universities should be verified by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
 12. Dead line for application is 1stDecember, 2015
 13. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
 14. Women are highly encouraged to apply
 15. Only short listed candidates will be informed on a date for interview
 16. Application letters should be written in  English
 17. APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:
  Principal,
Dar es Salaam Institute of Technology,
Bibi Titi Mohamed Street/Morogoro Rd Junction,
P. O. Box 2958,
DAR ES SALAAM.

Website: www.dit.ac.tz

Kauli ya Mbwana Ally Samatta baada ya Tanzania kufungwa 7 Algeria


Mohamed Said: Baada ya "sabaa" za Algeria, tujikumbushe tulikotoka

Makala ifuatayo imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Mohamed Said

Timu ya Taifa 1960s: Kushoto Kwenda Kulia: Hemed Seif, Mbwana Abushiri, Awadh Matesa, (sina jina lake), John Limo, Mathias Kissa, Abdallah Aziz, (sina jina), Miraji, (sina jina) Chaki
Zimenifikia taarifa hivi punde kutoka Tanga za kifo cha Hemed Akida Seif. Hemed Seif amefariki jana baada ya kuugua kipindi kifupi akalazwa hospitali kasha akatoka. Hemed Seif amezikwa leo asubuhi, Jumapili tarehe 13 Aprili 2014 sawasawa na tarehe 12 Mfungo Tisa 1435 na kazikwa kwenye makaburi ya familia yao Magaoni Tanga ambako ndiko alikozaliwa na kuishi maisha yake yote. Huenda leo pakawepo wengi ambao hawamjui Hemed Seif ni nani.

Hemed Seif alikuwa mchezaji mpira maarufu katika miaka ya 1960 na siku zote akivaa jezi na. 10. Hapakuwahi kutokea mchezaji akamnyang'anya jezi hiyo wakati yeye alipokuwa bado anacheza. Jezi namba 10 ilikuwa imegongewa misumari mgongoni kwake. Hemed Seif alikuwamo katika ile timu ya taifa iliyochukua Kikombe cha Gossage mara mbili mfululizo mwaka 1964 na 1965 chini ya kocha Myugloslavia, Celebic.

Sifa kubwa ya Hemed Seif ilikuwa ni kufunga magoli kutoka mbali, yaani nje ya kumi na nane au nje ya ''box,'' kwa mashuti mazito na hapa ndipo palipokuwa na ''uchawi'' wake. Hemed Seif alikuwa mwembamba mrefu na anapokuwa uwanjani ikiwa humjui, picha itakayokujia ni kuwa ni mchezaji ambae mabeki watamzoa kwa vibuyu kirahisi na kumwangusha chini kwa wembamba wake. Lakini haikuwa hivyo kwani ingawa alikuwa mwembamba Hemed Seif alikuwa na kasi na ujanja wa kuwatoka mabeki kirahisi. Zaidi ya hayo miguu ya Hemed Seif ilikuwa ikibeba mabomu na mizinga mizito.

Free-kick'' zote pamoja na ''penalty'' iwe katika timu yake ya Tanganyika Planting Company (TPC) kutoka Moshi au Timu ya Taifa alikuwa anaachiwa Hemed Seif kupiga na kwa hakika mara nyingi sana nyavu ilikuwa lazima zitikisike. Hemed Seif alikuwa mtaalam wa magoli. Mikwaju yake ilikuwa gumzo kwa timu pinzani na magolikipa wote wa Afrika ya Mashariki wakati akicheza katika mashindano makubwa ya wakati huo ya Taifa Cup na Kombe la Gossage. Kombe ambalo likishindaniwa na nchi zote za Afrika ya Mashariki, Kenya, Uganda, Tanganyika na Zanzibar. Hemed Seif katika timu ya taifa alikuwa akicheza na ‘’Director’’ Mbwana Abushiri kuliani kwake na John Limo akiwa mbele katikati ‘’centre forward,’’ au ‘’half back’’ wa kulia. Wingi wa kulia akiwa Sembwana na kushoto Abdallah Juma Aziz.

Nakumbuaka kama jana vile jinsi tulivyokuwa tukilisubiri basi la TPC liingie uwanjani na sisi watoto tukimbilie kuwaangalie wachezaji nyota wa zama zile kama Hemed Seif mwenyewe na kaka yake Marshed Seif, Mbwana ''Director'' Abushiri, Sembwana, John Limo, Awadh Maseta, Ishaka Mzee, Dracula, Emil Benadicto Kondo, Shariff Salim, Hospitali, Okoth ambae alikuwa golikipa wa timu ya taifa Kenya kasha akaja kucheza TPC. Enzi zile takriban timu nzima ya TPC ilikuwa ikichaguliwa katika timu ya taifa. Wachezaji hawa mimi nimewafaidi sana katikia utoto wangu wakija kucheza Ilala Stadium katika miaka ya 1960 katikati.

Lakini kabla ya hapo niliwaona akina Hemed Seif wakati nikiishi na wazee wangu Moshi. Niliwaona wachezaji hawa wakicheza timu ya TPC ikija Moshi, King George Memorial Stadium, Lukaranga kuja kupambana na timu kama Kahe au Tanganyika Coffee Curing Company (TCCC) timu ambazo ndizo zilizokuwa zikishiriki katika ligi Moshi mjini. Kahe ndiyo timu angalau ikijitahidi kutoa upinzani mkali kwa TPC lakini bila mafanikio. Kahe ilikuwa timu ya wafanyakazi katika shamba la mkonge la Kahe na walikuwa na wachezaji vijana wa Kijaluo kutoka Kenya.


Wachezaji hawa wa Kahe walikuwa wakitegemea nguvu zao zaidi ya ujuzi wa mpira. Hapo ndipo palipokuwa na raha kuangalia mpira wa TPC na Kahe wakati nguvu zilipogeuzwa zikawa kichekesho wakati wachezaji wa TPC wakigonga pasi kuanzia nyuma hadi mbele kisha ikapigwa ''back pass na Mbwana wakati mwingine kwa kisigino na Hemed Seif kama vile simba aliyekuwa akisubiri mawindo akapokea pasi bila kutuliza na ghafla nyavu zinacheza.

Mwaka 2000 nilikwenda kufanya kozi Nairobi na mmoja wa walimu wangu alikuwa mchezaji wa timu wa zamani wa timu ya taifa Kenya Mohamed Abdilkadir. Alipojua natokea Tanga akaniuliza kama namjua Hemed Seif. Nilipomweleza kuwa Hemed Sief nikonae barazani kila siku na tunafanya kazi pamoja bandarini alifurahi sana ndipo akanipa kisa chake kuhusu Hemed Seif. Alinambia kuwa yeye katika miaka ya 1960 alikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu cha Nairobi na alikuwa akicheza timu ya taifa ya Kenya akiwa katika safu ya ulinzi kama ''half back.'' Anasema siku ilipojuliikana kuwa Kenya watakutana na Tanzania, kocha na wachezaji wenzake walimuonya kuwa awe makini sana na Hemed Seif, amwangalie sana asimuachie hata kidogo kwani ni mfungaji mabao hatari mno.

Mohamed Abdilkadir anasema ikawa sasa kwake ni vitisho wenzake wakimtisha kwa kumpigia makelele, ''Mohamed, Hemed Seif huyo nyuma yako...'' Basi katika mazoezi ikawa ni vicheko na vitisho kwake kuhusu Hemed Seif na mashuti yake. Maelezo haya yakanitia hamu nikamuuliza nini kilitokea Nairobi City Stadium siku ya mechi ya Kenya na Tanzania. Mohamed Abdilkadir alitingisha kichwa akasema,''Bwana ilikuwa kazi. Mimi nilimpania Hemed Seif. Sikuwa nabanduka nyuma yake. Nilikuwa kama kivuli chake, kila anapokwenda niko mgongoni kwake...wapi bwana. Kama walivyonitahadharisha wenzangu kitambo...Hemed Seif alifunga bao kama kawaida yake. Nikakumbuka maneno ya wachezaji wenzangu kuwa Hemed Seif hatoki uwanjani bila ya kutingisha nyavu.'' Hemed Seif alikuwamo katika timu ya Tanzania ilipocheza na timu kali ya daraja la kwanza kutoka Uingereza, West Bromwhich Albion ilipokuja nchini na kucheza na timu ya Tanzania Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru). Kama kawaida Hemed Seif aliwatoka mabeki wa West Bromwhich na kufunga goli. Picha yake ilitoka kwenye ''Tanganyika Standard'' ikimuonyesha Hemed Seif akifunga bao hilo. Huyu ndiye Hemed Seif aliyekuwa msakata kabumbu maarufu.

Hemed Seif alistaafu kazi Tanzania Ports Authority (TPA) Tanga kiasi cha kama miaka kumi iliyopita na tofauti na wenzake wengi aliochezanae mpira wakati mmoja, Hemed alikuwa na maisha mepesi ya kupendeza na alikuwa akicheza mpira na utu uzima wake kila alipopata nafasi. Mmoja wa marafiki zake na mwanabaraza nilipompigia simu kumpa mkono wa pole akanambia kuwa,’’Hemed Seif siku zote alikuwa mwanamichezo hadi umauti ulipomfika.’’ Nilikuwa nikimtania Hemed Seif kuhusu gari zake nzuri za kupendeza alizokuwa akiendesha pale mjini. Yeye alikuwa siku zote akinipa jibu kuwa, ''Ah! Sheikh Mohamed watoto hao wananiletea.''

Nyakati za jioni Hemed Seif alikuwa anapenda kukaa kwenye baraza yao ya ''watoto wa mji,'' akina Said Bembea, Saleh Makubeli na nduguye Athmani Makubeli, Salim Mohamed Kajembe, Mzee Ali ''Ma-White,'' ambao wote ukimtoa Said Bembea wameshatangulia mbele ya haki. Baraza hii ilikuwa kwenye kituo cha kuuza mafuta cha Agip karibu sana na Mkwakwani Stadium ambapo hadi leo napakumbuka maana palikuwa na chai nzuri sana jioni ambayo nikisimama kusalimia wanabaraza watanilazimisha kunywa angalau kikombe kimoja kabla sijashika hamsini zangu. Kituo hiki cha mafuta kilikuwa kikimilikiwa na marehemu Saleh Makubeli. Baraza hii ya Hemed Seif na wenzake ilikuwa baraza ya manufaa ikipigwa adhana wote wananyanyuka kwenda msikiti wa jirani maarufu Msikiti wa Maalim Jumbe kwenda kusali. Hemed Seif alikuwa mtu wa ibada na ukiangalia picha yake na Salim Kajembe utaiona sijda yake jinsi ilivyomuenea usoni.

Allah amsamehe sahib yangu na kaka yangu dhambi zake na amweke mahali pema peponi.

Amin.
Kushoto Kewnda Kulia: Kitwana Manara, Rashid Seif Hemed Seif, Abdallah Luo


Waliosimama wa Kwanza Kushoto: Hemed Seif

Waliosimama wa Kwanza Kutoka Kulia Hemed Seif


Kushoto Kwenda Kulia: John Limo, Mbwana Abushiri, Hemed Seif na Salehe Zimbwe


Kushoto ni Marehemu Salim Kajembe na Kulia ni Hemed Seif

Hukumu ya kesi ya Sheikh Ponda yaahirishwa

Wakili Kiongozi upande wa utetezi, Juma Nassoro ( kushoto) akibadilishana mawazo na mteja wake, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ndani ya ukumbi wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro leo asubuhi
HUKUMU ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, haikutolewa leo kama ilivyotarajiwa.

Habari kutoka mahakamani zinasema kwamba hukumu hiyo haikusomwa kwa kuwa Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya mkoa wa Morogoro , Mary Moyo ,yuko mkoani Dodoma kikazi.
Hukumu hiyo sasa inatarajiwa kutolewa Novemba 30, mwaka huu.

Akiahirisha kesi hiyo, hakimu Erick Rwehumbiza alisema kuwa, hakimu Moyo ambaye ndiye anayesikiliza kesi hiyo mpaka hatua ya kuandika hukumu , kuanzia Novemba 16, mwaka huu yuko mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo maalumu ya kushughulikia kesi za uchaguzi na atarudi kutoa hukumu hiyo. 

Hukumu ya kesi hiyo imeahirishwa kwa mara ya tatu na mara ya mwisho ilikuwa Oktoba 19, mwaka huu baaada ya Hakimu huyo kushindwa kukamilisha kuandika hukumu kutokana na sababu ya matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili. 

Sheikh Ponda alifunguliwa kesi namba 128/2013 katika Mahakama ya hakimu Mkazi mkoa wa Morogoro awali akikabiliwa na mashtaka matatu ambayo aliyatenda Agosti 10, mwaka 2013 katika eneo la Kiwanja cha ndege Manispaa ya Morogoro.

Alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Augosti 19 mwaka 2013 kwa makosa hayo matatu na baadaye alifutiwa shitaka moja na kubakia mawili ambayo ni kutoa maneno yenye kuumiza imani za dini na kushawishi watu kutenda kosa.

Mke wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini , Sheikh Ponda Issa Ponda, Khadija Ahmed Ponda , ( kushoto) akitafakari na wanawake wezake wakiwa nje ya mahakama leo.


Taarifa ya John Nditi, Morogoro via Lukwangule Ent. blog

Milioni 7 u nusu hawakupiga kura Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015

Takwimu zilizopatikana zinaonesha kuwa watu 7,571,801 sawa na asilimia 33% ya Watanzania 23,161,440 waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura, hawakupiga kura katika uchaguzi mkuu uliomalizika mwezi uliopita.

Huku wakibomolewa, kule wanajenga hoteli meta 60 kutoka baharini

Kibao hiki kinaonyesha jinsi eneo hilo lilivyotengwa kwa ajili ya kujenga
Kujengwa kwenye hifadhi ya Bahari Golden Tulip kwazua maswali ya sheria ya meta 60

Kumekuwa na sheria na kanuni mbalimbali zinazoundwa, ingawa wakati mwingine hushindwa kutekelezeka kwa wakati. Ukifika katika hoteli ya Golden Tulip utakuta jinsi eneo hilo linavyozidi kujengwa na kuendelezwa kama lilivyokutwa na mpiga picha zilizopachikwa hapa.

Kujengwa kwa eneo hili lililokuwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi inatafsiriwa kuwa ni kinyume cha sheria ya Hifadhi ya Bahari. Tumeshuhudia maeneo mengi yakivunjwa kwa nyumba zao baada ya kubainika yamejengwa katika hifadhi ya bahari.

Sheria za Hifadhi ya bahari inasema ni marufuku kujenga nyumba meta 60 kutoka ilipo bahari. Hali hii imeonekana kuwa tofauti baada ya kukuta hifadhi hii ikionekana kuanza kujengwa na kuanza kuzua maswali mengi kwa wadau wa maendeleo na Waanzania kwa ujumla wanaofuatilia mambo ya maliasili na utalii.


Gari likipita katika barabara inayoelekea katika barabara ya Golden Tulip Hoteli, ambayo pia inaonekana eneo hilo lililowekwa mabati kwa ajili ya kuanza kulijenga kama lilivyokutwa na mpiga picha na chini mkazi wa jiji la Dar es Salaam akipita katika eneo hilo, huku ikionekana ramani mbalimbali za ujenzi huo.


 • via KajunaSon blog

Shughuli ya kubomoa nyumba na makazi Kinondoni leoTingatinga likibomoa moja ya nyumba iliyojengwa kwenye hifadhi ya barabara eneo la Mwenge barabara ya TRA leo asubuhi. Wakazi waishio Mwenge waliotakiwa kuondoka na Serikali maeneo hayo kwa kuwa sio sehemu rasmi na nyumba zao kuwa zimewekewa alama ya mkasi wabomolewa nyumba zao,jijini Dar es Salaam. Zoezi hili linaonekana ni muendelezo wa bomoa bomoa maeneo ambayo yamekatazwa. Siku chache wakazi waliokuwa wanaishi eneo la Kidongo Chekundu, Kurasini nao walikumbwa na kadia hii.

Picha: Geofrey Adroph / Pamoja Blog

Tingatinga likiwa limemaliza kubomoa moja ya nyumna eneo hili la mwenge jijini DarBaadhi ya vyombo pamoja na vifaa mbalimbali vilivyookolewa katika eneo la ubomoaji uliofanyika leo Mwenge eneo la Barabara ya TRA leo asubuhi. Ubomoaji huu umeanza saa kumi za alfajiri na kumalizika saa tatu za asubuhi.

wananchi wakishuhudia ubomoaji huo ambapo ulinzi uliimarishwa vizuri.


Hakika ulinzi ulikuwa ni wakutosha wakati wa zoezi la bomoa bomoa lililofanyika leo Eneo la Mwenge barabara ya kwenda TRA

Hali halisi baada ya tingatinga kubomoa majengo yaliyojengwa kwenye hifadhi ya Barabra

Wafanyabiashara wakiokoa baadhi ya mali zao kutoka kwenye vifusi vya udongo na mabati baada ya kubomolewa maeneo yao ya biashara leo asubuhi
Baadhi ya Nyumba zikibomolewa mapema leo mchana mtaa Bwawani Manispaa ya Kinondoni,ambapo zoezi hilo linafanyika maeneo mbalimbali katika Manispaa hiyo. Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , kama msimamizi na mtekelezaji wa sera ya Taifa ya Ardhi, imekusudia kuanza kuendesha zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.

Askari wa jeshi la Polisi wakisimamaia suala la usalama mtaa wa Bwawani wakati wa bomoa bomoa ikiendelea katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar mapema leo.

Baadhi ya wakaazi wa mtaa Bwawani Manispaa ya Kinondoni wakishuhudia bomoa bomoa inayofanyika leo katika manispaa hiyo maeneo mbali mbali ambapo Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , kama msimamizi na mtekelezaji wa sera ya Taifa ya Ardhi, inakusudia kuendesha zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.

Askari wa jeshi la Polisi wakisimamaia suala la usalama mtaa wa Bwawani wakati wa bomoa bomoa ikiendelea katika Manispaa ya Kinondoni jijini Dar mapema leo.

Moja ya Nyumba iliyojengwa eneo la wazi katika mtaa wa Bwawani ikibomolewa

Askari jeshi la polisi wakihakikisha suala la usalama katika tukio hilo

Ubomoaji wa nyumba ukiendelea eneo la Manispaa ya Kinondoni