Taarifa ya habari ChannelTEN Desemba 13, 2015

Picha za CCTV zaonesha askari wenye silaha za moto, mapanga usiku wa manane mbele ya ofisi za CUF ZanzibarTunakuwa tunaushahidi wa kutosha ni nani khasa yupo nyuma ya matukio yanayoendelea
Posted by Hassan Khamis on Sunday, December 13, 2015

Tumeshiriikishwa video hii kutoka Facebook na mdau wa wavuti.com