Hali ilivyokuwa hospitalini Ligula baada ya huduma kusitishwa Published on Tuesday, March 29, 2016 Watoa huduma Hospitali ya Ligula wakishangilia baada ya Waziri wa Afya, @UMwalimu kuwasili hospitalini hapo. Waziri @UMwalimu akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Mkoa ya Ligula