Kamanda Siro atoa muhtasari wa operesheni ya kukamata 'dada na kaka poa' Published on Monday, March 14, 2016 Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam Kamishna Simon Siro ameeleza kwa muhtasari mengine waliyogundua wakati wakiendelea na operesheni ya kuwakamata watu wanaouza miili yao kwa ajili ya ngono katika jiji la Dar es Salaam.