Loading...
Monday

Kilichotokea mahakamani Mwanza leo wakati wa kesi ya Wenje vs Mabula


Mamia ya wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe leo, Machi 14, 2016 walifurika katika mahakama kuu jijini Mwanza katika kesi ya mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) anayepinga matokeo ya Stanslaus Mabula (CCM).

Polisi wametumia nguvu ya ziada kuhakikisha ulinzi unaimarika mahakamani hapo.


Ezekia Wenje akiwa Mahakamani


Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa mahakamani


Ezekiel Wenje akisubiri kutoa ushahidi

Freeman Mbowe na Ezekiel Wenje wakiwa mahakamani

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP