Kipindi cha Jukwaa Langu Machi 28, 2016 - Jumuiya za Watanzania ng'amboKipindi hiki ambacho kinakujia kila Jumatatu, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu Tanzania.

Katika kipindi cha wiki hii, mbali na habari mbalimbali zilizotawala vyombo vya habari, pia wasikilizaji walipata nafasi ya kujadili kuhusu Jumuiya za Watanzania nje ya nchi na changamoto zake, na pia kuhusu DICOTA na mkutano wao mkuu wa mwaka huu.

KARIBU!