Mkandarasi asababisha kero ya barabara Kivule


WAKAZI wa Bomba Mbili, Kata ya Kivule, Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam wanakabiliwa na adha kubwa ya kutumia barabara yao ya mtaa kufuatia mkandasasi anaejenga barabara ya muda kwaajili ya kupisha ujenzi wa daraja la Kivule kumwaga vifusi bila kuvisambaza kwa zaidi ya wiki mbili sasa huku wao wakishindwa kupita na magari yao.


Vifusi vikiwa vimerundikwa barabarani na kuziba kabisa njia hiyo.'llKalavati zikiwa zimewekwa na mjenzi huyo na ambazo wananchibwamehoji uimara wake wa kuweza kuhimili uzito wa magari makubwa.


  • K-Vis