Loading...
Friday

Mkuu wa Mkoa aamuru kukamatwa papo hapo walimu 8 kwa kujihusisha na mapenzi na wanafunzi
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ameamuru kukamatwa kwa walimu nane wa shule ya sekondari ya Mihama kwa kutuhumiwa kosa la kujihusisha na mapenzi na wasichana wa shuleni hapo.


  • Picha: GSengo blog

0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP