Loading...
Wednesday

Prof. Ndalichako aingilia kati na kutatua mgomo chuoni St Joseph - Dar

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Joyce Profesa Ndalichako leo amekitembelea chuo kikuu cha Mtakatifu Joseph (SJUIT) na kufanikiwa kuzungumza na viongozi wa chuo, viongozi wa serikali ya wanafunzi pamoja na wanafunzi wote kwa ujumla. 

Hoja tano zilifanikisha jitihada zake za kuwashawishi wanafunzi kumaliza mgomo.


 
Toggle Footer
TOP