Loading...
Monday

Za mwizi! DAWASCO yakutana na nyara za serikali zilizofichwa kwenye njia ya wizi wa majiAskari polisi wakikagua baadhi ya nyara za serikali zilizopatikana eneo la Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam wakati wa opereshen ya kuwabaini wezi wa maji.

Mtuhumiwa alidaiwa kuzichimbia karibu na njia ya maji ya wizi.0 comments :

Post a Comment

 
Toggle Footer
TOP