Loading...
Monday

Agonga basi kwa kukiuka taratibu za DART


Bodaboda iliyokiuka taratibu za njia za mabasi yaendayo haraka ikiwa chini baada ya kugonga basi namba 54 lenye namba za usajili T122DGH lililokuwa katika majaribio likitokea Kimara kuelekea Kivukoni katika kituo cha Bakhresa - Manzese leo.
 
Toggle Footer
TOP